Msasa wa mawaziri wateule, Hassan Joho na Wycliffe Oparanya wahojiwa na wabunge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 2 місяці тому +2

    Team Joho forever 💪

  • @muhmuhsini005
    @muhmuhsini005 2 місяці тому +1

    Dr. Ali Hassan Joho amewashangaza wengi wanaodhania kuwa Wapwani wamezembea

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 2 місяці тому

    Presdent mbona hatumuelewi

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 місяці тому +1

    Shida ya ruto anaregesha waizi kama joho mbona haulizwi gava 10hakuna stadium prove him ALAFU aanze tena kuleta dawa huku hazionekani marekani wataziona basi ulitoa wapi billions mbona hukuleta wakujenga stadium

  • @BonnieMutua-k6p
    @BonnieMutua-k6p 2 місяці тому

    Nang'ethia TU !!nikiona eti serikali eti inapea wasee wako na over 500m, ili hali vijana wako wamesoma ata saidi, sa hii ni Nini, enyewe sokos watabaku kua masokos, Kenya itakua sawa siku tutafanikiwa kutoa hizi sura za kitambo Kwa uongozi 😔😔

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 2 місяці тому

    Drag baron

  • @petermaswi
    @petermaswi 2 місяці тому

    Mihadarati kibao sasa ndio hiyo

  • @muhmuhsini005
    @muhmuhsini005 2 місяці тому

    Ujinga ni kuwahoji watu kuhusu ufisadi wakati wanaohoji wenyewe wafisadi wakubwa wa Dhahabu Bandia (hatujasahau)

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 2 місяці тому

    Huyu joho ni drug cartel mistake musitakee😅

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 2 місяці тому

    Drag baron

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 2 місяці тому

    Drag baron