MWALIMU MGENI ❤️ /1/
Вставка
- Опубліковано 1 вер 2023
- Hii movie inaelezea jinsi walimu hutengeneza chuki Kati yao au walimu na wanafunzi ambapo hupelekea mpaka WANAFUNZI kufeli kwa kushindwa kufundishwa vizuri kwa sababu za magomvi ya walimu ,mapenzi❤️pia inakua sababu nyingine inayopelekea kutokuelewana baina ya WANAFUNZI,walimu
#schoollife #clamvevo #school - Комедії
Mbna anayeimba kama ana bonge la kipaji aisee em aangaliwe sana ,🔥🔥🎙️
wooooowww this boy is quiet cool in singing,,I think he has something in his mind kando na masomo..may God help him and others too.. congratulations
Aiseee hujamaa ni mbunifu sana muigizaji vizur sana Allah ampe elmu ya dunia na akhera pia na amjaalie mwisho mwema
Dogo anakipaji kikubwa chakuimba wekeni mtaji kwahuyo dogo✌️🙏💪🔥🔥🔥
💥💥💥 Dogo katsha Sanaa....Anajua kuimbaa....kafunika woteeee Yan 💥💥💥
Duuh kwery noma ao wanafunzi
jomn nianaimba kwa hisia sana
jomn anajua very nice
Anakipaji uyo dogo mpelekeni wasafi bongo club🎉🎉
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Woow dogo katisha jamn he know to sing
Huyu hata ukiacha na kuigza huyu anakipaji🎉🎉
😂😂 tabia ya huyu mwalim kibonge inafrahisha sana
Mwarimu muzur sana huo kibong anamuonea wivu kwasababu anafundisha vizuri
Ume focus vizuri San mwalim wa math wange kua ivo wote walim hatilisti hige kua vieema San..!!!
BN(MANAGER ASKA,U S.
❤❤❤❤❤mashallh kijana anaimba vizuri
Achana na kingeleza Ina wenyewe😂😂
❤❤kijana mgeni aimba vizuri sana aiseee🎉🎉🎉🎉
Mwalimu mgeni upo cool sana,,,,sema hesabu unatudanganya😂😂😂💔💔💔
Ata mm kwa upande wangi nimeipenda hiyo, mwalimu
Uyo ana Talent mpelekeni studio
Khaa uyuu mbaba anajua kuwa muogo maaah sijapata ona ila mwalimu mgeni hongera zako Ticha ❤❤❤❤
😂😂
Huyo mwalimu bonge namfananisha na mwl wangu mwl Magesa
Wew km mm n wap ulisom❤
Ndo huyohuyo alifundisha miburani secondary school pale sudani
Uongo😊
uyu mkaka aliyeimba nampennda sana anakipaji kizuri sana ilove
Wewe kijana, umetisha sana mwalimu wa biology na chemistry unawadangaya watoto aisee
kabisa huku english ugonjwa
Duh 🙄 kijana huyu apewe Maua yake 💐🌹💐🌹 kabisa yani ni anajua Kuimba 👌 Hongera sana kijana
Sema Nini 😂😂Mwalimu Cheusi ana wivu sana😂😂
Kicheche
Hahahahaha mwalimu Makingi umetisha sanaaaa
Kongore wakuu❤️💕
Asante
Mwalimu mgeni umekubalika kitaani sana mwamba hongera kaka unajua
mwalimu hajui english❤🎉🎉
😂😂😂
❤❤❤❤❤Nimependa kwel kijana umewezaa unaimba vizur kw kwel ❤❤❤❤❤❤❤
Mhhhhh ofcorse
Wapumbafu mnadhalilisha waalim mwakim gan anavaa kichangudoa
Huyo upara du kanikumbusha mbali kwa teacher wang wa sekondar mabara🎉🎉🎉
Uko vzr ktk kufundisha unaanza kupasha ubongo wawa nafunzi
Mwalimu mgeni tunakupo hesima kwa kufundisha wanafunzi ziema sana mungu awe na wewe
😂😂😂 mwanafunzi ni kichaa😅😅
Hii ni nzuri sana. Wasanii bunini vitu vyenye manufaa kuigiza na kuelimisha jamii sio kukalia mapenzi tu. Asante.
Upo vizuri kijana
Pole sana mwalim hats Hulu kwetu wapoo
Anae imba msimuache mpeni saport
Du we madam mitego kwakwel mwenyew nimekielewa kinoma
Wow kijana anaimba vizur kweli❤❤
Noma. Sana iyo shule duuh🎉
Oya muimbaji yuko vizur anajua
Love songs apewe maua yake
Hakuna mwanafunzi atakayefaulu ju huyu mwalimu mgeni
Ni nzuri Sana.....kazi njema💖💖💖💖💖
Tcha nakukubali sana mgeni
Thadeo mwananguu from kitweee
Kigoma😂
Huu nd ualimu unao takiwa na sio kuanza kutaman wanafunz mnawaludisha nyuma
Sijui kwanini nilichelewa kufuatilia hii kitu , huyu jamaa sio mwalimu kabixa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Merci pour cette grâce, et rappelez-vous qu'en 1962, Jnohon Keneddy nous disait que l'art du pays n'est pas de la propagande, mais une vérité et un héritage, quel que soit le pays. est le pays qu'il y a sur cette planète ! À nous tous et courage à ces étudiants
Asante
Kizungu babu wachana nacho kabisa 😅🙌🏻
Jamani wivu uongo siyo sawa jaman
Uyu sir magesa uyuu kibongee 🤣🤣
Mwalimu wako wakiswahili ninani
I love you song
Waaaah Noma xana aky😂😂😂😂
Huyu mwl mweusi kama lami mnafiki kama nini🤣🤣🤣🤣🤣
Hii imeenda boss 🔥🔥💪💪
Mwalimu cheusi anawivu sana
Kweli
anajua san
Kazi nzuri sana
Uyu mwarimu ni pumbafu
Huyu mwalimu mwenyewe anakaa Tu mchawi 😂😂😂
Mwalimu cheusi eti sijui nani ataanza kuuwawa
Uyu mwanafunz ajitambuhii😂😂😂😂😂
Bhileke bhigende bhindi bhiloza
Viache viende vingine vitakuja...!!!
Haya ndo maneno aliyoimba Mo Music kwenye BASI NENDA?😅
Hahhhhh😅😅😅
Noma dogo anamzidi mondi
Anafanan na tin white uyu mwalmu mgen
Amejichubua sana huyu mwanadada😅
Jaman mwalim cheusi anawivu mbaya
😂😂😂😂😂uyu mwalimu so kwa majina hayo
Kuzingatiaringi😂😂😂😂😂
Dingi anamwqga fitina kila kona 😂😂😂 kumchafua mwalimu mwenzake
Dope❤...nifikisheni 2k subscribers,niko na mixes kaliii🔥🔥🔥😊
So talented boy❤❤😊
Jamani muenderezo
Baba Joan kwann usbadilishe hata maudhui ya Kaz yako isiwe kila SKU ni Mambo ya shule tu badili na vtu vingn utafka mbl zaid
That right
Mwalimu mgeni huo anajuakufunzisha watoto Sana ananzishamasomoake kuimbisha wanafunziake ongela Sana mwalimu mgeni 🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
ujui kumba
Good luck
Hongera sana mwalimu mgeni umewafundisha vizuri wanafunz
jomn so beuty
Anajuwa.kufundisha.sana
Wanafunz wa sk hiz nao balaa sana
hii nimeilewa
Hadi mm
Anajuwa sana kuimba
Mwalimu mgeni ana muandiko mzuriii❤❤
NASEMAJE NASEMAJE UBWANA HII MOV NI NOMA SANA KIONGOZ ONGERA SANA
Ehe
Uyo,msichana,apunguze,uhuni
Ukweli dogo anaweze bnafis nmependa alicho nacho
Mwibaji anaitaji support
Bigger up sana
Wooow 😂jamani mundelezo..
tuchati
Nimecheka 😂😂😂😂sanaaaa
Imeeleka hyoooooo
Mwalimu kitambi anawivu kwel
Heheeee
Dogo anajua kuimba apewe maua yake
Umetishaaa sanaaa 4:53
Kuimba anaweza
Toanyingine❤❤❤❤❤❤❤😮🎉🎉🎉🎉🎉
Watching from Kenya, it's the best episode and educative but editor please reduce the horror sound in the clip it causes a lot of anxiety 😂
Kawimbo kazur hako
Saku sec school shule yangu 2020 nemliza ap
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwalimu mgeni yuko vizur🤣🤣🤣