MBWADUKE: Ni penalti? Simba yashinda kwa goli la jiooooni...!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 271

  • @RenatusMakene-pd2dy
    @RenatusMakene-pd2dy 18 днів тому +24

    Hakuna mchambuzi zaidi yako mbwaduke kwa sasa hapa nchini!! Endelea kutupa data zaidi na zaidi mzee wa data!! Heri ya krismas brother!!

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  18 днів тому +3

      Nawe pia. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @petertimothy7882
    @petertimothy7882 18 днів тому +17

    Wewe ni mchambuzi mbobezi Mbwaduke. Ubarikiwe kwa ichambuzi wa kisheria na kitaalam🙋

  • @RamadhaniRacx
    @RamadhaniRacx 18 днів тому +21

    Shukran 🎉,,,,
    Lecturer MBWADUKE

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 18 днів тому +17

    Umeelezea vizuri kaka, sema changamoto ya uhasimu wa simba na yanga ndo tatizo. Kuna watu hawawezi kuelewa

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 18 днів тому +9

    Safi sana tunashukuru kwa uchambuzi mzuri ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DanielYusto
    @DanielYusto 18 днів тому +12

    Uchambuzi mahiri, ahsante sana kaka Ramadhan mwaduke. 🎉

  • @malimajtz8179
    @malimajtz8179 18 днів тому +3

    ❤❤❤❤ unajua kaka

  • @DudiBonse
    @DudiBonse 17 днів тому

    Father mungu akubaliki sana na akuongoze katika kazi Yako

  • @ElikanaKimayi
    @ElikanaKimayi 18 днів тому +2

    Umetisha sana 🎉🎉🎉 mzee wa data

  • @baltazarmakata7969
    @baltazarmakata7969 18 днів тому +16

    Uko vizuri mchambuzi mungu ukisimamie ufike mbali kwa ndoto yako uko vizur kwa kuchambua

  • @SalminiMussa-q3x
    @SalminiMussa-q3x 18 днів тому +25

    Anae sema mbwaduke hayupo sahihi chambua mpira ww

  • @AnciscoKayombo
    @AnciscoKayombo 18 днів тому +30

    Utopolo hapa hawawezi kusikiliza😂😂😂😂😂

    • @hafidhisaid5446
      @hafidhisaid5446 18 днів тому

      😅😅😅😅

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 18 днів тому

      Wakajinyongeeee

    • @MwanaBaloz-ij6es
      @MwanaBaloz-ij6es 18 днів тому

      Utajinyonga weye sie hatujazowea kubebwa

    • @ZuberiHuseni
      @ZuberiHuseni 18 днів тому +1

      ​@@MwanaBaloz-ij6es Vp goli la mkono😂

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 18 днів тому +2

      @@MwanaBaloz-ij6es ndio kabisa sindio mmefunga Gori la mkono , hapo hujabebwa??😀😀

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 18 днів тому +23

    😂😂 Vyura wameongea sana waelimishe brother

  • @Mabrukinambingu
    @Mabrukinambingu 17 днів тому +1

    Ongeara sana mchambuz ubalikiwe

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 18 днів тому +10

    ❤❤❤❤❤❤hakuna mchambuzi niliewahi kumfaham kabla na nikamwelewa uchambuzi wake kama wewe mungu akupe maisha marefu

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  18 днів тому

      Aamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

    • @AllyMwinyi-rx8gr
      @AllyMwinyi-rx8gr 18 днів тому

      Allah akuhifadhi akuweke na akukinge na husda

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 18 днів тому +3

    Mbwaduke upo sahihi sana

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 18 днів тому +39

    Hii ni sawa na goli la kwanza simba vs platinum.Ali kamwe alikuwa mtangazaji anajua zaidi.Alikuwa ni yuleyule shomar kapombe

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 18 днів тому +12

      Kipindi hicho alikuwa ana akili baadae kauza utu na akili zake

    • @ChaudaDinnah
      @ChaudaDinnah 18 днів тому

      ​@@januarysungura8119Kabisa😂😂

    • @manfreddafrosa2994
      @manfreddafrosa2994 18 днів тому +2

      wew kweli unakumbukumbu safiiiii

    • @DanielChaula
      @DanielChaula 18 днів тому +2

      ❤❤❤😂

    • @JumaNyumba-m7y
      @JumaNyumba-m7y 18 днів тому

      Yes baada ya said ndemla kupokonya mpira kwa walinzi wa platinum

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 18 днів тому +3

    Hongera kwakutufafanulia hii penart manake kunawatu niwabishi sana Mbwiduke nmeelewa sana ndomana napenda sana kukufatiria sana ili nchukue kidogo madiniyako

  • @ShelyboyshelyShelyboy
    @ShelyboyshelyShelyboy 18 днів тому +3

    Kazi nzuri kaka mkubwa

  • @MwitaPetro-e9z
    @MwitaPetro-e9z 18 днів тому +7

    @brother nakukubal sana

  • @ZiadaZuber
    @ZiadaZuber 18 днів тому +8

    Nakukubali sana

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge 18 днів тому +4

    Waao Simba natafuta namba ya kapombe ni mupe kuku

  • @KulwaDeus-h1q
    @KulwaDeus-h1q 16 днів тому

    Nikweli kaka uko pow🔥🔥

  • @NganziDuwa
    @NganziDuwa 18 днів тому +8

    Ndomana nakukubaliii sana

  • @NyakoroZabron-t8p
    @NyakoroZabron-t8p 18 днів тому

    Upo vizuri kaka !!

  • @REVOCATUSLAURIAN
    @REVOCATUSLAURIAN 18 днів тому +5

    ❤❤❤❤nic broo

  • @ManfaceFildoline-d9x
    @ManfaceFildoline-d9x 18 днів тому +4

    Next ❤❤❤

  • @salummaalim1710
    @salummaalim1710 18 днів тому +3

    Aise!! Simba inawatesa wapinzani hasa yanga mana mara nyingi huwa wanafunga hesabu ila hesabu Yao inahariniwa dakika sijioooon yn simba ttz sio kushnda ttz ni kushinda wakt wapinzani washafunga hesabu kua ameshapoteza yn Simba inakeraaaaa😅

  • @Steve_tz
    @Steve_tz 18 днів тому +1

    Baba umesomea eti ???? Uko vizurii snaa

  • @RishDonn-g9u
    @RishDonn-g9u 18 днів тому +8

    Mbona unajuwa Sana ndugu

    • @RishDonn-g9u
      @RishDonn-g9u 18 днів тому

      Endelea kuupa tiba mpila wetu ili tujuwe na tuache kupiga kelele

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 18 днів тому

    Hongera sana mchambuzi wetu....umefafanua vzr sana. Point 3 kwa SIMBA zilikua za halali kabisa.
    Heri ya ckukuu ya Christmas. MUNGU akulinde

  • @rogoyassin5
    @rogoyassin5 18 днів тому +1

    Huyu refa Yuko sawa 🙏

  • @seifsefunga3228
    @seifsefunga3228 18 днів тому +5

    Mchambuzi no 1 tanzania

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 17 днів тому

    Upo vizuri na hapa tumejifunza kitu kikubwa na si kubishana bila sababu yoyote

  • @AthumanMagari
    @AthumanMagari 18 днів тому +10

    💯👍💯💯💯💯 umetishaa mchambuz bora

  • @EliapaMichael
    @EliapaMichael 18 днів тому +1

    Nakukubali cnaa mchambuzi msema kweli

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 18 днів тому +1

    Hongera sana 🙏

  • @NicksonMathayo
    @NicksonMathayo 18 днів тому

    Waeleze kaka wajue utopolooo ndo wanaongea sana kuliko walio fungwa naipenda simba❤❤

  • @johnelisha3867
    @johnelisha3867 18 днів тому +3

    Upo sahihi

  • @danmanga4342
    @danmanga4342 18 днів тому +5

    Waambie mbute fc

    • @FrankEnockmabundu
      @FrankEnockmabundu 18 днів тому

      Hahaha mbute FC ndonini et😂😂 sukuma turibe😂😂😂😂

    • @JoyceStevenMabula
      @JoyceStevenMabula 18 днів тому

      Haahaaa mbuteee umenikumbusha kwa Bibi enzi hizoo

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 18 днів тому +1

    Utopolo pateni data apoo😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @ALEXSimwinga-q3d
    @ALEXSimwinga-q3d 18 днів тому

    Nakupata Mzee wangu nikiwahapa kapiri mposhi 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲👏

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  18 днів тому

      Shukran Mkuu. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 18 днів тому

    Uko vizuri san kk

  • @DjumasPaul
    @DjumasPaul 18 днів тому +1

    Hongera sana kaka kwauchambuzi mzuri mm napenda kukuita merry watakwimu kwauchambuzi huuuu nakuita chambuzi la FIFA

  • @YusufuJila
    @YusufuJila 18 днів тому

    Kk mbwaduke waeleweshe vizuri hao wasiojitambua

  • @dicksonchavallah1226
    @dicksonchavallah1226 18 днів тому

    Nakuamini sana kwenye uchambuzi🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @augustshirima9726
    @augustshirima9726 18 днів тому +2

    Simon nimelielewa kuna kitu kwako umetuzidi sana

  • @DanielKazungu-k7r
    @DanielKazungu-k7r 16 днів тому

    Mafisi hayo yamefurahi kweli utafikir yanajua sheria za mpra

  • @evancemringo6675
    @evancemringo6675 18 днів тому

    Uko vzr sana

  • @OthmanMohamed-t9m
    @OthmanMohamed-t9m 18 днів тому +9

    Mchambuzi wangu bora

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 18 днів тому +5

    Unafki ni Nini?
    Ni kukubali goli la Mkono na kukataa goli la wazi la penati 😂

    • @BeatriceMsophe-k3m
      @BeatriceMsophe-k3m 18 днів тому +1

      Shida yao simba isipate alama hawaaminj kama simba inayojitafuta ndo iko kileleniiiiii hahahhaa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 18 днів тому

      @BeatriceMsophe-k3m Watateseka sana msimu huu

  • @user-dm1ru1nt1m
    @user-dm1ru1nt1m 18 днів тому

    Mbwaduke wewe ni mchambuzi Bora, fantastic

  • @RamaKd-s8w
    @RamaKd-s8w 18 днів тому +2

    Wachawe unyama mwingi🎉🎉

  • @jascinthakameleki104
    @jascinthakameleki104 18 днів тому

    Upo sahihi Baba! Keep going Simba. Kama wanaona rahisi nawao wabebwe. Lkn Raha ya kubebwa NI kubebeka. Sisis wale point tatu. Acheni maneno

  • @mikidadiayubu4782
    @mikidadiayubu4782 18 днів тому +1

    Tutor at his best 🔥🤝

  • @AdamNdaki-n6q
    @AdamNdaki-n6q 18 днів тому +7

    Umeelezea vizr sana

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 18 днів тому

    Duh safi sana mtaalam wauchambuz wa Sheria lakin utopolo walivyo na vichwa vigum sijui wamekuelewa !!😂😂😂

  • @RaphaelStembela
    @RaphaelStembela 18 днів тому

    Ingekuwa upande wa simba hakika isingeamuliwa iwe pernet hilo ndio tatizo ndugu mbwanduke

  • @elineemamndeme5634
    @elineemamndeme5634 18 днів тому

    Safi sana bro bonge la uchambuz

  • @HassanMkwenda
    @HassanMkwenda 18 днів тому

    Nakukubali bro, unaufahamu mpira. Wape habari hao

  • @GabrielMwaipopo-i5i
    @GabrielMwaipopo-i5i 18 днів тому +5

    wambie watoto maana awaujui mpira et tumebebwa wanajua mpira kwel wabongo pole yetu

  • @HajiMarcus
    @HajiMarcus 18 днів тому

    Mchambuzi uko vizuri sana

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 18 днів тому +4

    lecturer wetu anajua boli kinoma

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba 18 днів тому

    Nakuelewa sanaa yani unajua kuchambua hadi basi tunakupenda sanaa

  • @RaphaelSimba-o7r
    @RaphaelSimba-o7r 18 днів тому +3

    Mwaduke ww unafaa kuwa kocha

  • @tunumwakingwe6781
    @tunumwakingwe6781 18 днів тому

    Nakwelewa sana mkuu wangu nex rebo

  • @JanuaryMganga
    @JanuaryMganga 18 днів тому +4

    Nakukubal sana mbwaduke stata hakika ujawai kupelea kwenye uchambuz wako kaka

    • @DaniKisitu
      @DaniKisitu 18 днів тому

      mbona sion koment za yanga

  • @Frank255-e5g
    @Frank255-e5g 18 днів тому +4

    Usinge waelewesha hao sisi tunataka wawe wanaumia tu acha waseme tumebebwa

  • @SamriJamaly
    @SamriJamaly 18 днів тому

    Simba nguvu moja

  • @FidelisMathewmagele
    @FidelisMathewmagele 18 днів тому +2

    Huyo ndiyo mnyama ubwela

  • @wiliyfundplus2065
    @wiliyfundplus2065 18 днів тому +2

    Uko vizur

  • @PatrickKiondo-t9o
    @PatrickKiondo-t9o 18 днів тому +1

    Kiongozi upon vizuri

  • @chijaboniface692
    @chijaboniface692 18 днів тому

    Nakukubali Ramadhani. Nakukumbuka tangu tukiwa Mazengo complex White House (Ujamaa) ukiandika makala na vibonzo kwenye gazeti nadhani ilikuwa Nipashe.

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  18 днів тому

      Ahaaaa. Kaka Mkubwa Bony...Mzee wa Data amefurahi sana kupata comment yako na anakutakia Krismasi Njema wewe na familia yako. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @JohnMzuge
    @JohnMzuge 18 днів тому

    Watalala Mika Sanaa ss tunasonga mbele mbele yaoo

  • @salumkarume2728
    @salumkarume2728 18 днів тому

    Mzee wa data utafika mbali sana

  • @harunamshahara1837
    @harunamshahara1837 18 днів тому +2

    tunashukuru kwa darasa bro...ww unajua

  • @Chidboy014
    @Chidboy014 18 днів тому

    Anajua sana huyu mwamba

  • @erickkalunga-v7z
    @erickkalunga-v7z 18 днів тому +2

    Mnyama bingwa

  • @Ashirafuissa-f7q
    @Ashirafuissa-f7q 17 днів тому

    Unaweza

  • @SaraMbuya-hr2nj
    @SaraMbuya-hr2nj 18 днів тому +3

    😂😂😂😂mchome yuko wapiii😂😂😂😂

  • @JafariLiyawile
    @JafariLiyawile 18 днів тому

    Uko vizur saana

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 18 днів тому

    Mzee wadada ahuna mpinzani baba yangu

  • @VicentNyangira
    @VicentNyangira 18 днів тому

    Nilichogundua simba ni timu kubwa sana

  • @montabchannel2221
    @montabchannel2221 18 днів тому

    Uko vzur

  • @salymgaimale235
    @salymgaimale235 18 днів тому +3

    sikilizeni sheria ninyi utopolo,bao la juzi la mkono halikusemwa leo imewauma

  • @joachimngereja7608
    @joachimngereja7608 18 днів тому +5

    Kati ya Simba vs Platinum ilikuwa penalty au sio penalty? mahaba ya wana utopolo yatawasumbua

  • @frankalkadokizale2536
    @frankalkadokizale2536 18 днів тому

    Mwaduke una sanamu lako!

  • @IbrahimAmos-r2y
    @IbrahimAmos-r2y 18 днів тому

    Hapo mm sisapoti juu ya hyo penati hapo umetafsili Sheria ni sawa lakini shomarii hakuwa kwenye hatali yoyote kupelekea muamuzi kutoa penati

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  18 днів тому

      Sawa Bro. Ila ukipata nafasi kapitie vizuri sheria namba 12 kuhusu fouls and misconduct. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @igigigigivig9112
    @igigigigivig9112 18 днів тому +2

    Mchambuzi wanqu pendwa🙌

  • @JosphJofure
    @JosphJofure 18 днів тому +1

    Asant simba

  • @BekaTitle-m4w
    @BekaTitle-m4w 18 днів тому

    Muamuzi wa Leo alikuwa sahihi Moja Kwa Moja ule ni mkwaju wa penati

  • @FikiriMasiko-xl9wp
    @FikiriMasiko-xl9wp 18 днів тому

    Safi

  • @ph.mahmoudjrsperrachee6922
    @ph.mahmoudjrsperrachee6922 18 днів тому

    Mchambuzi bora wa muda wote

  • @AshrafuHashimu
    @AshrafuHashimu 18 днів тому +3

    kaka wa ball huna baya🎉

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 18 днів тому

    Shabik wa simba uyo

  • @michaelmwaweza1060
    @michaelmwaweza1060 16 днів тому

    Chambuzi Bora kabisa 🤣🤣

  • @hamzurunimbinga969
    @hamzurunimbinga969 18 днів тому

    Hatukupingi kaka

  • @TheAdventMissionaries
    @TheAdventMissionaries 18 днів тому

    Sawa bwana nimekuelewa

  • @MudiMnyamwezi
    @MudiMnyamwezi 18 днів тому +1

    Mbute fc masikio wameweka pamba. Wanasema Mnyama kabebwa

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 18 днів тому

      Wanajua ukweli, shida ni kwamba wanatamani Simba adondoshe. Walikuwa wamejiandaa kushabikia droo. 😂

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 18 днів тому

    Mbona Simba ndio timu inayoongoza kuptiwa penelti tangu ianze ligi ni Simba tu bodi ya ligi VP apo