MSHIRIKI MTOTO WA MIAKA 13 TOKA KENYA ALIYEHIFADHI JUZUU THALATHINI KTK MASHINDANO UWANJA WA MKAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 130

  • @aligodah3622
    @aligodah3622 9 місяців тому +2

    Maashallah wabaarikillahu fiyk,Allah akuhifadhi kkangu na in shaa ajaalie quran hio iwe mwongozo mwema na yenye manufaa kwako na Allah atuhifadhi waislamu wote dunianì na wanao upinga uislamu Allah azibatwil nia zao inshaa Allah ❤❤❤❤🇰🇪 🇰🇪

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 9 місяців тому +2

    Mashallah hakika dini yetu ya kiislamu inakw kwa kasi sana kwa kuongeza idadi ya mahafidh tn wenye umri mdogo alhamdulillah❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SemenMasud
    @SemenMasud 10 місяців тому +10

    mashallah mtoto mdog sana allah amlinde na husda

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 роки тому +13

    So proud of you kenyan young boy Abdul rahman umesoma vizuri sana👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mwanamksisoppah9325
      @mwanamksisoppah9325 2 роки тому

      Mashallah ❤ mng hakuzedeshehe inshallah 🙏

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 2 роки тому

      Aamiin 🤲sana tu ma Shaa Allah na sauti tamu

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 2 роки тому +18

    Na watoto wetu mungu awajalie na vipaji vya kuhifadhi qur_an ishallah🙏🙏🙏🙏

  • @adanali7889
    @adanali7889 3 роки тому +16

    Mashallah ..kijana kutoka garissa county. Kenya .mola akuhifadhi

  • @foziaadan9664
    @foziaadan9664 3 роки тому +13

    Mashallah Allah akuhifadhi vile ambavyo umehifadhi kitabu chake Inshallah

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd Рік тому +2

    Mashaa allah allah akufanyie wepes na awajaliye watoto wetu wawemiongoni mwao

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 2 роки тому +2

    Masha Allah, masha Allah,, najivunia 🇰🇪 Allah atujalie mema na mwisho mwema

  • @Mashkuramuhidini
    @Mashkuramuhidini Рік тому +3

    Mashaallah ALLAH SW amhifadhi azidi hapo pia ALLAH SW amjaalie kumbukumbu ya yote mema aliyoyahifadhi

  • @MWANASHAAHMED
    @MWANASHAAHMED 9 місяців тому

    Mabrook Allah akuhifadhi KMA ulivojifadhi kitabu chake,,,Mashallah haswa kwenye makharijul huruuf❤❤❤❤❤

  • @rashidaalihamad207
    @rashidaalihamad207 2 роки тому +1

    Mashallah mashhllah mashlh hasbiyallah ..mungu akuhifadhi mtot n cc atuhaalie kizaz chema kitakachomjua n kumuogopa allah (sw)

  • @ramabamvua4473
    @ramabamvua4473 2 роки тому +2

    Mashaallah.kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya kitabu chake Allah.SW.

  • @hawamohammed6939
    @hawamohammed6939 Рік тому

    Ma Sha Allah Allah Akuhifadhi Mtoto Akuzidishie Ilmu Yk Iwe Ya Juu Zaid Nakupenda Sana Ww Ni Mtoto Wa Kuigwa Na Watoto Wenzio Mpaka Wakubwa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +3

    ماشاءالله بارك الله فيكم Allah amhifadhi .Jifunze Quran kwa hukmu gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @MwanaidFaki
    @MwanaidFaki 11 місяців тому +2

    Maashallah allah akulinde dunian na akhera❤❤❤

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому +7

    Ma sha allah
    Allah akuhifadhi

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 10 місяців тому +1

    Masya-allah masya-allah🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦 tabarakallah❤❤❤❤

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 10 місяців тому +4

    ❤❤❤❤takbiiiir🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪👍

  • @AminKanefu
    @AminKanefu 10 місяців тому +1

    Allah awahifadhi watoto haoo mashallah Na wenetu Allah awaongoze waweze insha

  • @halimamwazewe8295
    @halimamwazewe8295 3 роки тому +4

    MashaAllah mashaAllah MashaAllah

  • @marimabdlah8168
    @marimabdlah8168 2 роки тому +1

    MA SHAA ALLAH TABARAKA ALLAH,NYOTE NI WASHINDI,

  • @khalfanmohammed7594
    @khalfanmohammed7594 2 роки тому +2

    ماشاءالله،،، زادك الله في الخيرات

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 3 роки тому +4

    Maashaallah

  • @adiakaniki9737
    @adiakaniki9737 3 роки тому +3

    Maashallah

  • @suleymanialawi2208
    @suleymanialawi2208 3 роки тому +4

    MAA SHAA ALLAH

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 3 роки тому +6

    Masha Allah tabaraka Allah.
    Allah amuhifadhi🇰🇪🇰🇪

  • @HawaAbdallah-s1f
    @HawaAbdallah-s1f 10 місяців тому

    Mashallah mashallah mashallah allah akuhifadhi kama ulivyokihifadhi kitabu chake kitukufu inshallah

  • @hamismbaruku4850
    @hamismbaruku4850 Рік тому +1

    Wawwwww mashaallah mashaallah 🥰 so amazing

  • @madinahassan14
    @madinahassan14 3 роки тому +3

    MashaAllah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 роки тому +5

    MashaAllah mtoto mzr

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 роки тому +2

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH

    • @FadhiliRajabu-u1q
      @FadhiliRajabu-u1q 10 місяців тому

      Mwenyezi mungu awajaalie watoto wetu wawe wenye kuhifadhi Qur'an awotoe kwenye anasa za dunia

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 3 роки тому +1

    Maashaa Allah Tabarakallah

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 9 місяців тому

    Mashallah kijana wetu Allah amuufadhi

  • @mariamsudi8845
    @mariamsudi8845 3 роки тому +5

    Mashaallah

  • @hatengekimanaajml7230
    @hatengekimanaajml7230 3 роки тому +2

    Mashallah

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +4

    Mashaallah mwanangu

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 роки тому +2

    Masha Allah tabarrakah allah

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 3 роки тому +6

    Masha Allah

  • @munasayed8657
    @munasayed8657 2 роки тому

    Maa shaa allah Tabarakallah

  • @amedealigora6764
    @amedealigora6764 3 роки тому +3

    Allah akibar

  • @JumanneHunda
    @JumanneHunda 10 місяців тому +1

    Maashallah kijana Kenya hoyeee❤

  • @Rayaseif-z9b
    @Rayaseif-z9b Місяць тому

    masha allah

  • @mhjgkgjfjzuzu9545
    @mhjgkgjfjzuzu9545 2 роки тому

    MashaaAllah

  • @hamdiabdi4258
    @hamdiabdi4258 2 роки тому

    mashaaAllah

  • @abdullahiabdi6888
    @abdullahiabdi6888 3 роки тому +6

    mashaallah

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 3 роки тому +6

    Maa shaa Allah yani nimefurahi kwa mtoto huyu mola akulinde

  • @khawlaabdul4685
    @khawlaabdul4685 9 місяців тому

    MashaaAllah ❤

  • @ShamilaMrisho
    @ShamilaMrisho 9 місяців тому

    Mashallah.

  • @hassnagari6497
    @hassnagari6497 Рік тому

    🎉 Masha Allah 👍 tabarak ALLAH ❤

  • @zaruqueselemane4069
    @zaruqueselemane4069 10 місяців тому

    Subunallah mashallah

  • @chinchon5984
    @chinchon5984 2 роки тому

    Ma Shaa Allah

  • @abassdjuma8257
    @abassdjuma8257 2 роки тому +1

    Allah akihifadhi mtoto wetu

  • @AyubRashid-gr7pq
    @AyubRashid-gr7pq 10 місяців тому

    MC mungu anakuona mwenye mkoa humjui au

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 10 місяців тому

    Allahu akbaaar🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪👍👍👍❤❤❤❤❤❤

  • @aishabenta9506
    @aishabenta9506 3 роки тому +2

    Mashaa Allah....baraka Allah fika

  • @fitinamushito-nw9vr
    @fitinamushito-nw9vr Рік тому

    Mashallah raha sn

  • @TatuJuma-et8hz
    @TatuJuma-et8hz 9 місяців тому

    Masha Allah Masha Allah ❤❤

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 10 місяців тому

    Mashallah ♥️ ♥️

  • @runkamine8773
    @runkamine8773 2 роки тому +1

    M.a am proud for being somali and love you all

  • @seinabosman9047
    @seinabosman9047 Рік тому

    MashsAllah Mwenyezimungu Amhifadhi❤😅❤

  • @MusaSaid-pw9bk
    @MusaSaid-pw9bk 10 місяців тому

    Mashallah❤

  • @EshaBiking
    @EshaBiking 9 місяців тому

    Mashallah u can do better keep it up

  • @ZeinabSwabir-h3p
    @ZeinabSwabir-h3p 10 місяців тому

    Mashallah mashallah

  • @ziadakisanga1011
    @ziadakisanga1011 2 роки тому

    Mashaa Allah

  • @RayaAli-k5j
    @RayaAli-k5j 10 місяців тому

    Mashaallwa ❤❤

  • @ShufaaMussa-h2n
    @ShufaaMussa-h2n 10 місяців тому

    Maashaanlla chetu

  • @nuruurubeya2694
    @nuruurubeya2694 2 роки тому

    Mashaallah ❤

  • @hulailasmith2536
    @hulailasmith2536 2 роки тому

    Mashallah gd bless you

  • @iddyhemed6116
    @iddyhemed6116 2 роки тому

    Naam mashaallah 🙏💕💞

  • @latifahashim7325
    @latifahashim7325 2 роки тому

    Mashaallah mashallah

  • @HidayaKivyy
    @HidayaKivyy 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @OthmanLiyoka-jo2ck
    @OthmanLiyoka-jo2ck 10 місяців тому

  • @zamzamabdikariim3896
    @zamzamabdikariim3896 2 роки тому +1

    الله اكبر اللهم احفظهم
    هُمْ أَهْلُ الْقُرْآنِ ، أَهْلُ اللَّهِ وَخَاصَّتُهُ )

    • @zakiamisana3252
      @zakiamisana3252 Рік тому

      Masshalah Allah awajaze Imani watoto Hawa yalambi awape afya njema na uwelewa ishalh

  • @zainabdadu2667
    @zainabdadu2667 9 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dennismajesonlenamunyi7761
    @dennismajesonlenamunyi7761 9 місяців тому

    🇸🇸

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 10 місяців тому

    Tunaongeza mapato ya nchi yetu kupitia uwanja wa mkapa

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 роки тому +1

    Mashaallah tabarakaallah natamani

    • @salmsalmo931
      @salmsalmo931 2 роки тому

      Kama mm nataman wanangu wawe na vipaji vya kuhifadhi qur_an

  • @pamojaeddz8913
    @pamojaeddz8913 2 роки тому

    alijitahidi sana ila tu hakujiami watu ndio walimpotezea kutokujiamin ila safi sana kwa mtoto km huyo

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 10 місяців тому

    ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🌹🌹🥀🙏🙏👌

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 Рік тому

    Sikila mtu anaweza kuitwa shehe shehe nicheo kikubwa sana kiuslamu

  • @AbdulrazackAbdulrazack-u8h
    @AbdulrazackAbdulrazack-u8h 10 місяців тому

    Kasinge muno omukama akwongele emigisha yokumanya kushoma ee quraa n

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 10 місяців тому

    Lengo kuu kusambaza uislamu Tanzania hakuna cha mashindano wala nini

    • @idrisabakar7928
      @idrisabakar7928 10 місяців тому

      Unataka kuongea nn au nn kimekuuma kafir ww

    • @luluabdala3184
      @luluabdala3184 10 місяців тому

      Au basi nilitaka nikutakane wewe acha kabisa kuusema uislam unabahati limeishia kooni hujielew Allah akusamehe

    • @idrisabakar7928
      @idrisabakar7928 10 місяців тому

      @@luluabdala3184 wapuuz tu hao

    • @samsonsimon3138
      @samsonsimon3138 10 місяців тому

      Kafiri ni neno la kawaida sana na haliwezi niuma kw sababu najua nina imani kuwa mungu yupo unaeniita kafiri leo unaweza ukashagaa nikaiona pepo vizuri sababu mi najua njia kukufksha kw mungu ni matendo mazuri na mema kw watu wote wanaokuzuguka

  • @talalalamre654
    @talalalamre654 3 роки тому +2

    Masha Allah

  • @AliMbarikiya
    @AliMbarikiya 10 місяців тому

    MashaaAllah

  • @mafundasharif6981
    @mafundasharif6981 Рік тому

    Maashaallah

  • @SalmaSaid-fj5fq
    @SalmaSaid-fj5fq 10 місяців тому

    Mashallah❤

  • @mwanahamisiselemani7119
    @mwanahamisiselemani7119 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @MussaJangwa
    @MussaJangwa 10 місяців тому

    Mashallah

  • @rashidnajma350
    @rashidnajma350 2 роки тому

    MashaAllah

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 роки тому

    Mashaallaah

  • @SaidSaid-jz9mm
    @SaidSaid-jz9mm 10 місяців тому

    Maashaallah

  • @abdulkareembafagih60
    @abdulkareembafagih60 2 роки тому

    MashaAllah

  • @allybyamukama877
    @allybyamukama877 2 роки тому

    Mashaallah

  • @rashidiramadhani7885
    @rashidiramadhani7885 2 роки тому

    Masha Allah

  • @abdulmalikibrahim3147
    @abdulmalikibrahim3147 9 місяців тому

    MashaAllah

  • @UmmiNigogo
    @UmmiNigogo 10 місяців тому

    Mashaallah

  • @aminaali9429
    @aminaali9429 9 місяців тому

    MashaAllah

  • @FettyMakula
    @FettyMakula 9 місяців тому

    Mashaallah