Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ni kweli kabisa huyo ni Sharifu fekiiiii KISHKI shekh wetu mwenyezi akupe umri mrefu
Huyo sio sharif ni sharifa
Masheikh tuache kulumbana na mambo ambaoyo hayaupeleki wiislam mbele. Tujadili katk male ambayo ni sababu za kuutangaza Uislam na kuuweneza zaidi kivutendo na kimaneno ktk jamii. Na tunapo tumia elim ya swarf tutumie km inavyo elezaa
Mambo kama haya yasipokemewa kesho yake atadai kua yeye anafukua waliokufa na wafuasi atawapata
Huo ushatifu ni mapepo. Tokeni uko gizani mwamini Yesu Kristo mpate uzima wa milele bure
Yesu sisi tunamuamini kama ni kiumbe wa Allah na ni mtume nyinyi mnamtukana eti nimtoto ww Mungu ndio mlipokosea
Ww endelea kumuamini munguwako yesu ss n binadamu mwezetu ni mjumbe wa mwenyeenzi mungu sasa ww endelea kuamini
Siku zote mulikua wapi au ilikua hamujamuona huyu shekh
we Joshua una matatizo kwanza umekosea kuandika neno sharifu umeandika shatifu kumbe mada yenyewe hauijui kaa kmya na pia yesu unamjua ww
Tapeli muongo vundo kwara mwivi hasidi mpotoshaji ATM hana usharif ni mwivi tu kalbutaaban
Tuache kauli za matusi. Tukumbuke aya ya Allah isumayo"Hatamki mtu tamko lolote ili ajue lipo ktk daftari lake la mate ndio yake limeandikwaa
Ni kweli kabisa huyo ni Sharifu fekiiiii KISHKI shekh wetu mwenyezi akupe umri mrefu
Huyo sio sharif ni sharifa
Masheikh tuache kulumbana na mambo ambaoyo hayaupeleki wiislam mbele.
Tujadili katk male ambayo ni sababu za kuutangaza Uislam na kuuweneza zaidi kivutendo na kimaneno ktk jamii.
Na tunapo tumia elim ya swarf tutumie km inavyo elezaa
Mambo kama haya yasipokemewa kesho yake atadai kua yeye anafukua waliokufa na wafuasi atawapata
Huo ushatifu ni mapepo. Tokeni uko gizani mwamini Yesu Kristo mpate uzima wa milele bure
Yesu sisi tunamuamini kama ni kiumbe wa Allah na ni mtume nyinyi mnamtukana eti nimtoto ww Mungu ndio mlipokosea
Ww endelea kumuamini munguwako yesu ss n binadamu mwezetu ni mjumbe wa mwenyeenzi mungu sasa ww endelea kuamini
Siku zote mulikua wapi au ilikua hamujamuona huyu shekh
we Joshua una matatizo kwanza umekosea kuandika neno sharifu umeandika shatifu kumbe mada yenyewe hauijui kaa kmya na pia yesu unamjua ww
Tapeli muongo vundo kwara mwivi hasidi mpotoshaji ATM hana usharif ni mwivi tu kalbutaaban
Tuache kauli za matusi.
Tukumbuke aya ya Allah isumayo
"Hatamki mtu tamko lolote ili ajue lipo ktk daftari lake la mate ndio yake limeandikwaa