Labania za njugu | Jinsi yakupika labania/ kashata za njugu tamu na laini | Mapishi ya labania.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 роки тому +1

    If you would like to watch this video in English press the link ➡️ua-cam.com/video/ZZ2a2_67arI/v-deo.html

    • @swalehhassan3907
      @swalehhassan3907 4 роки тому +1

      u know we re from america goodjob rukiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @nyokabisuemumsue2859
    @nyokabisuemumsue2859 11 місяців тому +1

    Thank you so much for the lessons....i love this

  • @kemalswaleh9527
    @kemalswaleh9527 4 роки тому

    Mashallah hua waniacha hoi nakupenda sana huwanakufatilia mrembo

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 4 роки тому

    Maa shaa Allah Allah akubariki ktk kazi zako amin

  • @ashamidello8298
    @ashamidello8298 4 роки тому

    Mashaallah mashaallah kwa mapishi yako daima uko juuu mamii,kitu mmwaa!😋👌

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 роки тому +1

    Ma shaa Allah napenda Sana labania za njugu they look yummy 😋

  • @nasmasaid5500
    @nasmasaid5500 4 роки тому

    Mashalah zaonekana yummy yummy nitajaribu na Mimi shukran kwA mapishi mazuri

  • @mimaaabdhul
    @mimaaabdhul 4 місяці тому

    Mashallah nzuri

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 роки тому

    Masha Allah mamy pishi murwa kabisa kipenzi

  • @leilayusuf2145
    @leilayusuf2145 4 роки тому

    MashAllah mikono yako imebarikiwa

  • @Mary-cg9nh
    @Mary-cg9nh 4 роки тому

    Looks 😋 I have always wanted to try this thank you rukia

  • @ummunoor9561
    @ummunoor9561 4 роки тому

    Maa shaa Allaah luks yummy 👌

  • @cuteamish1571
    @cuteamish1571 4 роки тому

    MaashaAllah... Thank you sis

  • @fatimasaid4855
    @fatimasaid4855 3 роки тому

    Masha Allah🥰

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому

    Mashaallap kahawa tu

  • @dicksongitonga8309
    @dicksongitonga8309 4 роки тому

    I love it😋😚

  • @afric01
    @afric01 2 роки тому

    Yammy 😋

  • @fatmasaleh2707
    @fatmasaleh2707 4 роки тому

    Mashallah

  • @mariammasinza2299
    @mariammasinza2299 2 роки тому

    Mambo naeza. Weka order

  • @krypnium
    @krypnium 4 роки тому

    Why mine dint join it became too dry I couldn't shape it please help

  • @vanessaiwato4480
    @vanessaiwato4480 4 роки тому +1

    Mammy kama huna blender ya kusaga ya v2 vikavu je utat2mia nn

  • @MagawaAli-ed6gp
    @MagawaAli-ed6gp Рік тому

    Tupo pamoja

  • @mwasisalimujambia6140
    @mwasisalimujambia6140 2 роки тому

    hizo njugu ni zile tunazoita njugu mawe mamii?

  • @zulfahmohd1015
    @zulfahmohd1015 2 роки тому

    900 grams ni how many cups pls

  • @swalehhassan3907
    @swalehhassan3907 4 роки тому

    kwa upande wa njugu

  • @salmahail9641
    @salmahail9641 4 роки тому

    Hey dear..njugu kwa Belgium unanunua wapi...nazitafuta but sizipati😪

  • @hijrakassim304
    @hijrakassim304 2 роки тому

    Gram 900 kilo ngp? Inakua

    • @turab9880
      @turab9880 2 роки тому

      0.9KG, kilo inamaanisha elfu, kwahivyo kilo gram ni gram elfu moja..

  • @mimaaabdhul
    @mimaaabdhul 4 місяці тому

    Kiasi gani cha maji

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 4 роки тому

    Mashallah yummy

  • @AgnessSamwel-o4f
    @AgnessSamwel-o4f 4 місяці тому

    Hallow

  • @swalehhassan3907
    @swalehhassan3907 4 роки тому

    gram 900 ni ngapi kwa mfuko wa 10sh

  • @Bimumijiwaa
    @Bimumijiwaa Рік тому

    Milimit Mia 90 ni nus or robo am vp mamy

  • @nnafaraj3559
    @nnafaraj3559 4 роки тому

    Kukata wasubiria zipoe ama

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      Waeka alama kisha wacha zipowe Ndio ukate

    • @nnafaraj3559
      @nnafaraj3559 4 роки тому

      @@RukiaLaltia shukran dear

    • @mimaaabdhul
      @mimaaabdhul 4 місяці тому

      Assalam aleikum ningependa kujua upishi huu wa labania

    • @mimaaabdhul
      @mimaaabdhul 4 місяці тому

      Je nusu kilo ya njugu inapikwa na sukari kiasi gani ?