Joo uoe kwetu kabila moja adimu sana tunapatika arusha tumekamilika kila kitu heshima wacha MUNGU rangi nywele shape huruma na mengine mengi ❤ ukifika arusha ukaulizia utafika bila wasi wasi
Ngoma mbaya kabisa loo uta fikiria hajaenda shure loo sipendangi natamanigi nife kabisa niki sikia uu utumbo loo wazaramo mna erim ndogo sana naizi ngoma zeni
hahaha bado nacheka sana tu maana umewachamba aiseeeee. hahaha safi kabisa somo yangu Dullah makabila. Shout out kutoka Switzerland. Endeleza singeli babaaa!!!
Hii ngoma haitakuja kuchuja vizazi na vizazi Niko hapa mtaniambia
Kama unasikiliza hii singeli mwaka huu 2024
Gonga like hapa 👎🏽✍🏽
Vp
Kama bado unasikiliza goma hili gonga like hapa❤
Respect to Dula
n❤️❤️❤️❤️
Njoo uoe ukara , ni warembo na wanapenda kuishi na Kila mtu ni wakalimu sana
Nakupendaga dula hiv unajijua kweli😋😋
Wale tumeludia kusikiliza baada ya kuwa na wapenziii wamakabila tofaut2022
Jamani we kaka nakupenda Sana.much love from Kenya.
Daaaaa hii ngoma nilikuelewa htl Sana mnymaa milele milele
Leo nmerud kuichek hii ngoma kabla sjaoa!
🤣🤣🤣🤣una balaa wewe
Wamakonde tup asant sanaa dulla nakukubali piga kaz
Oyoooo tunipawa wako
2024🎉😂❤ gonga hapa
Nitaoa hata mwakani😅
Kwa iyo??!@@delymoebright9326
Oya Dulla makabila umetisha sana npo Morogoro karibu na Qkiu nataman nkuone tena tupige picha ya pamoja nakukubal sana mwamba unaweza jamaa angu
Good job p😉🤣🤣😘😘😘😘😘😘
Hivi ni kweli hizi sifa za haya makabila au just kaimba tu kufurahisha watu. Maana duh hao wengine ni noma sana
Nikweli
Tulikuja hapa baada ya comedy ya Aza Boy, TX na wenzie....
Nakupenda bure dulla
Heee!!! sasa hakuna kuowa maana wote wana kasoro jamani😀😀😀👌👌
Dulla makabila my favorite,,,,,,,achia jiwe mzeee,,,, nasubiria Mpaka uambiwe eeeehe achia jiwe mzeee
Waloludia kuangalia Hili Goma 2023 na 2024 Gonga Like
Singeli To The World 🌍...... Enhe Tuambie, Umeoa Kabila gani????? 🤣
Duuuu jamani samanini???sana kwani raisi wetu ni msukuma?????m south Africa jah
Warangi unatuonea tu dulla hahahaha
Joo uoe kwetu kabila moja adimu sana tunapatika arusha tumekamilika kila kitu heshima wacha MUNGU rangi nywele shape huruma na mengine mengi ❤ ukifika arusha ukaulizia utafika bila wasi wasi
Kabilq gani
KING KING 👑👑👑👑👑👑👑 BRO UNAJUWA mpaka UNABOA IN CAPS
Dulla kwan hujui kuna sisi waduruma tunalima kama tingatinga naniii😂😂😂😂😂😂waduruma samwaliku
Aka sisi wanyakyusa atu ji tengi 😂👍✨
Live
Roho ngum nyie ninawifi angu jaman mbinafsi kwel aiseee
Katuonea
Tena kama mishikaki
Wanyakyusa ni kwer kabisa nina ushaidi na wanyakyusa
Wapogoro hapo unatuonea dullah
Tena katuonea Haswaaaaaa
Angesema tutaza Asubuh na jioni
Au makusanya 🤣🤣🤣🤣🤣
Ila haja msema muha wa kigoma daaah 😢😢🎉
myao ndo kila kitu.akikuvalia na shanga wewe. utapenda mauno kama fen
Cheze myao watu wadini ww
Hahaha
😀😀😀😀
👍👍👍
dula Anae kukatikia apo kabila gan?
Hii nyimbo mi naipendaga sana kuicheza walahi
Kweli au
Wabena na wahehe🔥🔥🔥hatuna sifa mbaya
Kabisa
Yani we makabila njoo uoe usukumani hutajutia.
❤❤ sana mhuni umeuwa lakin uoowe
msanii wa singeli pekee anaye jieleewa
Huu wimbo wametajwa watani zangu wayao tu ila watani zangu wamakuwa hawatajwa hao ni noma kumshima mtu zambi aaaaa acha kabisa wamakua
Huu wimbo ulinipita.. umenichekesha sana..
oya wanyamwezi hujawataja
mm kama muhaya naomb tu useme😁much love🔥💗
Makabila... Viatu ivo vya blue ni vya Nani... Vmevaliwa na watu wawili
Dah Leo ndo nimeelewa ulikuwa unamaanisha nini mpka sasa nafatilia kabila bro Big up
Hongera sana dulla makabila umeimba sana hii nyimbo pia ina Elimu ndani yake ss wanaume tusipende kudandia wanawake hovyo
Wa kina sipha Tia lake apa 😁😁😁😁 dulla makabila anatupenda
Uko juu Kaa waya ya umeme.keep up.
Dulla mimi sigongi like hili ngoma mpka uwataje na wamasaiii 😣😣👆
Mm
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣
Halafu kweli 🤣 bila kusahau wanyamwezi, wapemba (zenjis) na waha 🤣🤣🤣🤣
Jamani kazi poa sana kakangu nimependa sana 🙏 😢 nimecheka sana
Hongera kijana kwa huu wimbo
Warangi hujawakosea kaka dulla
Kwa ushauli tuu dullah oa MKINGA
Leo nilikua nacompea nyimbo za singeri duh we unasauti nzuri Sana bigup
Yaani hii ngoma tunayo mpaka kayla mtoto wa shetta atakavokuwa raisi😂
Aliyesema hataki kuoa hadi ajue kabilaaa, ha ha ha haaaaa kaoa bila kujua na kuachaaa
Du wangoni atuja tajwa 😀😀asant sana dul
Fatma Rashidi umeona ee
Fatma Rashidi haa Mme tajwa
Mbona mumetajwa
Mi mwenyewe nimeshkuru mana tungeambiwa wamalaya
Hatuna tabia mbaya
Somo uko juu kila time big up💯💯🇰🇪🇰🇪
Kwer kabisa Mzee
Dulla mkolof wanyakyusa atuna noma
Ngoma mpka leo inaishi❤
Piga kazi kaka achana na hayo mengine yapotu hayo
Wimbo mzuri sanaa ila wachezaji tuuu hawamo
Kumbe huu wimbo uliiba brother
Dulla usitoe nyimbo mpaka 24 ngoja tupambane nayo hiiii
Nakubali san kk
Nani karudi hapa kwa makabila baada ya kumchekesha rais magufuli gonga like
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😥mm hapo
Nimekuelewa dulah
Dulla ni dulla tu
Kali sana still kurian boy watching from 🇰🇪
Wakurya mpoooo😂😂😂😂 just watching 2020
Tupo
😂😂😂
Sijasikia Wanyamwezi kabisa
Mgogo hapa naomba mpaka dekio😁😁😁
😃😃😃😃
Nimependa San WAP watu wachoy duuuu
wanyakyusa jamaniiih mh si tunajitenga kwaajili yaubeez tu
Uko vizur
Hahahaaaa
Si uchukue Tu mtanga akuenzi?
Dulla usitoe nyimbo paka 24 ngoja tupambane nayo hiiii
Dullah nakubal sana kaka makabila noma sana
nimekikubali Dulla song kabila la kuawa
😂😂😂😂wayao atuna mambo mengi
ILA wahaya na WASUKUMA 😄😃😃😀
Ngoma mbaya kabisa loo uta fikiria hajaenda shure loo sipendangi natamanigi nife kabisa niki sikia uu utumbo loo wazaramo mna erim ndogo sana naizi ngoma zeni
Wewe nakukubali sana
Oa mnyiramba dulla😂
Abisa
Moshi nitauziwa mpaka busu sina hamu na dullah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kali saana🥰
Hiii Ngoma imenitoa jasho
2024 mzigua og tunajua mahaba nasio libwata
2024 hii hapa
Nakukubali Dullah... Kaza tu bro...
Wakerewe tuko vizuri jaman nione like zenu hapa
Hamuyebe
Kaseniiiii
Mulezi
Umejua kunichekesha huu wimbo bora mwaya utuoe warabu
😀😀😀😀😀😀. Kama kuolewa kwamakabila bhc kaz ipo
Cjackia wanyamwez MC
Mpaka busu nitauziwa😃
dula makabila kamuowe mzaramu ndo mpango mzima weweeeee churaa iyooo
Mzaramu Original wazaramoooo oyeee
Nomaa sana waparee
Piga kelele kwa Tangaaa akeee
Watangaaa mnajua mapenz san
hahaha bado nacheka sana tu maana umewachamba aiseeeee. hahaha safi kabisa somo yangu Dullah makabila. Shout out kutoka Switzerland. Endeleza singeli babaaa!!!
Dulla kiboko😘💖💞💝😍🎉🎊
Jaman si warangi si hatuna roho za kishetan
Wacchaga gonga like👍
Dulla nomaa sanaaaaa
Sitaki kuoa mbaka nijue,kaka nakufuatilia kwa ukaribu sana...hii aina ya mziki kali
Waziri Wany aoe mhehe
Waziri Wany w
Sexlove
Sex
Za kizungu
Dulla Mbona kimya brother
Hii ngoma hatari ,,,
Hii ngoma weee achatuu😅😮😢🎉
Kaboba ndio yupi hapo
Wayao watu wadini #ProudOfTunduru #2020DEC
Yeah mwenetu huyooi
Wayao juu..😂
Nyimbo hi kali sana ingia studio utowe remix itahit sana broo
Umekosea kusema wasuuma washamba unaboa san