Mungu akubariki na akuongezee busara na hekima. Ni kweli wapinzani wakiamua kuwa pamoja watashinda. UMOJA NI NGUVU viongozi wa juu acha tamaa za madaraka acha ubinafsi.
Kama anasoma hizi comment, Anitafute, kwakweli sitamsamehe mpaka atakaponitafuta binafsi ili nimwambie alichokifanya kwangu. Na kweli ya MUNGU alinikosea sana tena sana
Anasema asiwe mnafiki papo hapo analeta unafiki wani ni nini maana ya unafiki basi hayo unayoteta hapo basi huwo ndiyo maana ya unafiki ni kuteta ilitakiwa maneno hayo wewe uwafuate hao unawowaambiya ukawaambiye hayo unayosema sio usemee pembeni huwo ndiyo unafiki na papohapo umevaa joho la unafiki ni hivyo.
Wajinga wakubwa nyie Tena wapuuzi wenzenu wanapambana na roho za watu waliofukiwa na ghorofa nyie mnahangaika na kula Sasa hao watakao wapigia kura nyie nani kama wapiga kula wamepata ajari
Mungu akubariki na akuongezee busara na hekima. Ni kweli wapinzani wakiamua kuwa pamoja watashinda. UMOJA NI NGUVU viongozi wa juu acha tamaa za madaraka acha ubinafsi.
😊😊
Kama anasoma hizi comment,
Anitafute, kwakweli sitamsamehe mpaka atakaponitafuta binafsi ili nimwambie alichokifanya kwangu. Na kweli ya MUNGU alinikosea sana tena sana
Huyu padre anasimamia haki,nakumbuka hata kipindi cha Magufuli alisimama kidete kuipigania HAKI.
Anasema asiwe mnafiki papo hapo analeta unafiki wani ni nini maana ya unafiki basi hayo unayoteta hapo basi huwo ndiyo maana ya unafiki ni kuteta ilitakiwa maneno hayo wewe uwafuate hao unawowaambiya ukawaambiye hayo unayosema sio usemee pembeni huwo ndiyo unafiki na papohapo umevaa joho la unafiki ni hivyo.
Ngoja mwaipopo akujibu sasa tusubiri
Mngekuwa. Mnatoa ushirikiano huko kariakoo kunusuru watu wewe umejikondea na kofia yako huko mbele! Huna akili kabisa
Huyu askofu sikuwahi kumuamini kabisa tangu alipokurupuka kwenye jambo la yeriko....
Wajinga wakubwa nyie Tena wapuuzi wenzenu wanapambana na roho za watu waliofukiwa na ghorofa nyie mnahangaika na kula Sasa hao watakao wapigia kura nyie nani kama wapiga kula wamepata ajari
WEWE NI ASKOFU AU NI WANAHARAKATI AU NI MWANA SIASA AU NI MTU WA DINI
KWANI YEYE HANA HAKI YA KUONGELEA NCHI YAKE KAA KIMYA NAWE MBUZI
😂😂😂😂😂😂😂