Lindi Town driving Tour (Tanzania)
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- Remember to subscribe to my channel for more videos
Lindi Town is a historic southern Tanzanian coastal town and regional capital of Lindi Region located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometres (280 mi) south of Dar es Salaam and 105 km (65 mi) north of Mtwara
#daressalaam #africa #art #bgmi #comedy #funny #gaming #hindi #jimin #kids #love #zoom #xbox #youtubeshorts #youtube #whatsapp #instagram #indian #tanzania #kenya #london #newyork #zanzibar
Very good
Lindi ni mji Mzuri sana kimipango miji Nakshatra serikali kuboresha mji wa lindi kwani kiuchumi utawaleteya pato la taifa
Mji umekaa vizuri na rahisi sana kuboreshwa sema Wamwera tumelalia maskio...
Nilisomea huko Wailes shule ya msingi , nimefurahi sana kupaona tangu niondoke 1997 nikiwa la 4. Nimeiona ndanda hospital , Lindi sekondari 😊😊 Nimefurahi sana
Mpangiliio mzuri wa mitaa kuliko hata baadhi ya maeneo ya daresalam
Kabisa Lindi imepangwa
Thank you for the video, very nice video, I lived in Lindi and left 46 years ago.
From Sweden
Asante sana
Thank you very much.
Very long time I hope this video brings alot of memories
I like this town,miaka inayokuja Tanzania tutakuwa na miji mizuri sana
Kuna project kubwa sana itaanza 2030 lindi hapo..nafikiri inawekuja uchangamsha sana mji wa Lindi
I Love this little town... I have not been there yet. But, I have my eye on it. We have been to Dar es Salam in 2023.
Mitaaa mizuri shid kujengwa
Who is the owner of the "SeaView Beach Hotel"?
Nimefrahi sana kaka kuona mji wa nyumbani kwetu lindi
HATA MIMI MWANA LINDI. NAITWA KHALFANI FARISY.
Sehemu palipopita warabu waliharib miji ming ingelikuw inaruhusiw kushtakiw wangeshtakiw
During what time frame was that?
Mimi mnyarwanda naishi Kigali, naomba mniunganishe na mtu wa Lindi nimepapenda nataka kutembelea.
Safi sana kwa muandaaji, hakika tumeiona Lindi shukran nyingi
Asante sana kaka..Shukrani sana
Nime flai sana kupaona nyumbani dah kitambo sana
Kubadilike sasa
Naitwa wamnali nipo masasi mjini nimepewa jina lakijiji chetu nashukuru kuuona mjiwetu napia kupaona kivukoni kwetu kalibu mnali pia inabidi uvuke uende na kitunda pia unaweza wekeza pia
Aabhar 👌🏻👌🏻
Thank you
Video zako ni nzuri zinatukumbusha uhalisia wetu.
Asante sana kaka
Mmh uko sip poa hapana sio kuishi uko ni kuja kutembe tu looo kubaya hakuvutii ata kidogo
shukrani sana kaka godlove m.
Shukrani sana..Nashukuru Sana kaka
Uko vizuri Godlove unafafanua maeneo ndo maana nili Subscribe pia napenda kufatilia clips zako, Thanks
Thank you Brother..Nashukuru sana kwa support yako. I really appreciate 🙏
Great job bro👍👊
Shukrani sana kaka
Kuko hovyoo 😂😂😂
So?????????
Safi kaka. Nami nimefika Lindi kupitia wewe.
Shukrani sana kaka
Lindi mjini haibadiliki tangu 1988 mpaka leo pako vilevile
Kabisa Lindi mji wao upo vilevile.mabadiliko yanaenda taratibu sana
Lindi na mtwara kuzuri wapi?
Mtwara
Upendo juma .Yani kubayaaa😂😂😂😂
Nakumbuka. Miaka. Hiyo. Barabara.. Ya. Dar. Lindi... Bado. Haijawekwa. Lami.. Usafiri. Mkubwa. Ulikuwa. WA. Meli. Kipindi. Hiko.. Kulikuwa. Na. Meli. Mbili..ms.mtwara.na.mv.lindi.kulikuwa.na.mzee.mmoja..meli.
Ikija..huwa..anajjitosa.bahaarini..na.kuchukuwa.kamba..na.
Kuifunga..gatini..je..Beach. Hotel. Ipo. Mpaka.. Sasa. Au. Imekufa.mmiliki.wa.hotel.hiyo..alikuwa.anaitwa..mzee.khalfani.
Sasaivi kumebadilika sana nafikiri ilishakufa au imebadilshwa jina.
Sasaivi maasaa 5 au 6 upo lindi tokea Dar.
Meli hakuna tena maana watu wanapanda bus
Mzee khafani yupo kijijini Mtuo,na ile beach hotel au bandar club imevunjwa eneo limechkuliwa na bandari,lindi miaka ya 1970 hadi 1980 1990 ulikuwa mji wa starehe na vipaji vya mpira wa miguu