Bwana Mungu Awabariki Sana wapendwa wote wakusanyiko la Dar esalaam. Mbarikiwe ktk Kwaya Yenu colas sayuni ndio Mji Ni Mji mzuri sana, Ndio Mji Wa wale Wanaomwabu Bwana Yesu, umetuletea tu mawazo kwa jinsi Ulivyopambwa. Kwa Kweli tufanye Bidii tuifikie Mji ule.
Shalom and greetings to all the saints. It's good to see some new faces. Shows that This Message has not lost its attraction. God bless you'll and take you'll from glory unto glory
Bwana Mungu awabariki sana !!
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen❤
Bwana Mungu Awabariki Sana wapendwa wote wakusanyiko la Dar esalaam. Mbarikiwe ktk Kwaya Yenu colas sayuni ndio Mji Ni Mji mzuri sana, Ndio Mji Wa wale Wanaomwabu Bwana Yesu, umetuletea tu mawazo kwa jinsi Ulivyopambwa. Kwa Kweli tufanye Bidii tuifikie Mji ule.
Amina, Ubarikiwe pia
❤❤
Shalom and greetings to all the saints. It's good to see some new faces. Shows that This Message has not lost its attraction. God bless you'll and take you'll from glory unto glory
Amen Amen. Be blessed
Bwana Mungu awabariki sana
#Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Haleluya
Amen
Kwani kanisa hili liko wapi hapo buguruni naomba mnijulishe
ndio lipo buguruni namba za simu ziko hapo kwenye description
Address ya makutano????
Bwana akubariki, tunapatikana buguruni mtaa wa madenge, namba zetu zipo hapo juu au waweza tuandikia yako tutakuelekeza