Hata Mtume wetu MUHAMMAD(s.a.w) aliwapenda watu wote. Wakati wa harakati zake akiwa na Maswahaba(Wanafunzi) wake alipata kuona Jeneza ambalo lilikuwa na maiti ya Mkristo ndipo akaonesha ishara ya kuhuzunika, moja kati ya Swahaba wake akamuuliza Mtume: kwanini unahuzunika wakati yule ni Mkristo? akamjibu: yule pia ni Binadamu. Na Mtume aliwasilimisha watu kwa upendo,lugha nzuri na bila kulazimisha au kutumia nguvu. ALIWAPENDA WAKRISTO, MAYAHUDI NK.
Hii shekhe kaelezea kwa hisia Kali mashallah
Allah amrehemu
Mungu akulehe peponi
Allah akufanyie nyepesi mahali ulipo
GOD BLESS YOU Inshaallah
Allah akurehem pepuni
Mungu akurehem sheikh 😢
Mung akulaze mahala pema peponi inshallah hakika mengi uliyakemea kuwekeza katika njia iliyo sahihi
MashaAllh ❤❤
Huyu shehk namkubali na sijawahi kusikia akiusema ukristo kumbe inawezekana.
Hata Mtume wetu MUHAMMAD(s.a.w) aliwapenda watu wote. Wakati wa harakati zake akiwa na Maswahaba(Wanafunzi) wake alipata kuona Jeneza ambalo lilikuwa na maiti ya Mkristo ndipo akaonesha ishara ya kuhuzunika, moja kati ya Swahaba wake akamuuliza Mtume: kwanini unahuzunika wakati yule ni Mkristo? akamjibu: yule pia ni Binadamu. Na Mtume aliwasilimisha watu kwa upendo,lugha nzuri na bila kulazimisha au kutumia nguvu. ALIWAPENDA WAKRISTO, MAYAHUDI NK.
Ni kweli, lakini hakuna mahala alipowaunga mkono
Mashalla
Maashaallah
jamani kumbe alikufa
😂😂😂😂
😅
Rip