LET THERE BE LIGHT - ( GENESIS 1:1... )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • LET THERE BE LIGHT - (GENESIS 1:1...)
    #NenoLaUzima #JesusWinnerMinistry #MwangazaTv
    NENO LA UZIMA | JESUS WINNER MINISTRY - NAIROBI
    SMS 22914|22913
    Follow us on
    TIKTOK @mwangazatv
    / mwangazatv
    ​INSTAGRAM @Mwangaza_tv
    / mwangazatvkenya
    FACEBOOK @Mwangazatv
    / ​​​
    TWITTER @Mwangaza_tv
    / @mwangaza_tv

КОМЕНТАРІ • 20

  • @AnnMugure-it2tx
    @AnnMugure-it2tx 3 місяці тому

    Amen na kuwe na mwaganza kwa maisha yangu katika jina la yesu

  • @ZakayoSegerger
    @ZakayoSegerger 3 місяці тому +1

    Amen

  • @terryannmbugua4729
    @terryannmbugua4729 3 місяці тому

    Amina Amina

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 3 місяці тому

    AMINA. Wakristo kama kuna kitu Mungu Anapenda ni Mwangaza. Mungu Hawezi peana kila hana, Alipeana Mwangaza kwa maana Yeye ni Mwangaza. Tumetembea na giza sana, tumezungukwa na giza na giza imetufunika na imeelea sana lakini sasa kuwe na Mwangaza. Mwangaza wa Jehova Utaelea kwa maisha yetu. Mwangaza ukiingia lazima giza itoke na ipeane njia. 2024 hatutambea na giza kwa maana Mwangaza wa Jehova unachomoza katika maisha yetu na utatuangazia na kutuongoza. Mwaka huu Mungu Anatutenganisha na chochote kinafanana na giza na hatutambea na mchanganyiko. Tutatembea na Mwangaza wa Baba, hata tukiingia katika eneo lilio na giza tukifika Jehova Anatutenganisha na hiyo giza.

  • @milandavis3519
    @milandavis3519 3 місяці тому

    AMEN 🙏

  • @elizabethwambui7688
    @elizabethwambui7688 3 місяці тому

    Mamajames watching from githurai44

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 3 місяці тому

    Ameen 🙏

  • @Jan-ej3rp
    @Jan-ej3rp 3 місяці тому

    Amen

  • @LenaKamau-jj2vl
    @LenaKamau-jj2vl 3 місяці тому

    Amen and Amen Amen 🙏

  • @RotherhamRoth-sm4zb
    @RotherhamRoth-sm4zb 3 місяці тому

    Amen amen amen mungu asante kwa mwaka huu mungu akumbariki sana pastor

  • @florencenyambura4940
    @florencenyambura4940 3 місяці тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 3 місяці тому

    Amen Amen Amen

  • @elizabethwambui7688
    @elizabethwambui7688 3 місяці тому

    Amen Amen

  • @annevamaina5008
    @annevamaina5008 3 місяці тому

    Amen.Amen

  • @Koheretho
    @Koheretho 3 місяці тому

    Amen

  • @milandavis3519
    @milandavis3519 3 місяці тому

    AMEN,🙏

  • @FaithOmesa-ep2pt
    @FaithOmesa-ep2pt 3 місяці тому

    Na kuwe mwanga katika maisha yangu nimeishi kwa Giza la kupigwa na mapepo tangu march 10 2018 Amen

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 3 місяці тому

    AMINA. Wakristo kama kuna jambo la maana katika hali yoyote ile na majira yoyote ni mwanzo wa jambo. Hata Mungu Alipendezwa na mwanzo na ndio maana Akajihusisha na Akajitambulisha na mwanzo. Mwanzo wa kila kitu kizuri na baraka ni Mungu. Tusiruhusu kutembea na watu wala vitu mwaka huu bali tuchague kutembea na Mungu kwa sababu Anaweza bila sisi lakini sisi tunamhitaji . Kama kuna mtu anajua Kuumba na Kutengeneza ni Mungu. Tukitaka Mungu Atuumbie maisha basi tumwamini. Mwanzo wa kila kitu huwa na ukiwa, utupu na giza lakini Mungu Akaingia katika hali iliyo na giza kwa maana hakuna mahali hawezi ingia. 2024 hatujaingia pekee yetu , inaweza kuwa kuna giza na tunaona hakuna jambo njema litatendeka lakini Mungu Ameingia nasi.