Mbarikiwa afichua MIPANGO YA KUMUUA akiwa Gerezani. Mnataka "KUNIUA FOR NOTHING", nimekosa NINI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 18 годин тому

    Yooooo babangu, moyo wangu umelia, Jehovah Bwana Mungu wetu usikae kimya na ijulikane kwamba wewe uko kipitia hii kesi ya mtumishi wako Mbarikiwa Mwakipesile.
    Kupitia ushindi wa hii kesi maelfu wa watu ulimwenguni mwote waokoke tena wakujuwe wewe.
    Kwa Yesu Kristo Bwana wetu amen.

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 17 годин тому +1

    Pole sanaa bro

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 20 годин тому +1

    Mbarikiwa uko sawa nakukubaligi tukipata 50 kwa internat kama ww watanzania tutajua meng

  • @LameckLameckmjwanga-yc6yv
    @LameckLameckmjwanga-yc6yv 11 годин тому

    ❤❤ameni ameni baba🙏🙏

  • @AlipoMwasenga
    @AlipoMwasenga 15 годин тому

    Ukovitani bado mungu atatenda muujiza tu serikari itujua walikuonea bure

  • @peterpanyika6810
    @peterpanyika6810 14 годин тому

    INJILI YA NYAKATI ZA MWISHO

  • @MagiebeautySalon
    @MagiebeautySalon 19 годин тому +3

    Kwann unatumia mda mwingi kugombana na watu???

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 15 годин тому

    Mnao kosoa muwe mnasoma maandiko soma zabur 16:3

  • @SiwemaMohamed-s9e
    @SiwemaMohamed-s9e 21 годину тому

    Acha kujihesabia haki mtakatatifu ni Mungu tu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  21 годину тому +2

      Unataka nijihesabie dhambi wakati sina? Kama Mtakatifu ni Mungu basi 1 Petro 1:16 imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 21 годину тому

      Acha kudhani wote wana mioyo ya kihalifu kama wewe

    • @IbrahimMwangonji
      @IbrahimMwangonji 19 годин тому

      😢😢😢😢😢😢

    • @anafikamugisha8834
      @anafikamugisha8834 19 годин тому

      Good ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

  • @elisaalbert3201
    @elisaalbert3201 17 годин тому

    Mbarikiwa hapo umedanganya hakuna askri Magereza anaweza kuua hovyo hovyo kama unavyosema na haya matukio ya watu kuuawa magerezani siyo raisi usalama wa wafungwa na mahabusu unazingatiwa ndoo maana ulitoka salama

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 годин тому

      Lete ukweli mwingine zaidi ya maelezo haya kama haya ni uongo. Gereza lipi linalozingatia haki za binadamu kwa mfungwa? Kwa tendo lipi kuanzia kulala, kula, kazi nk?

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA 11 годин тому

      Mh.