Aise hongeraa sana Lemi...nimemuona Ethrone toka Bujora pale na wengine wote mmetisha sana...inabakia ujaliwa ufundi wa mtu binafs2 sasa...Mungu awabarikii sanaaa....alafu Ethrone kaimba na kule backup sauti yake naisikiaaa
Kwaya changa waimbaji wakongwe aisee kazi nzuri na haina kasoro, Mungu aendelee kusimama na nyie maana si rahisi lakini inawezekana, Kurugenzi ya zamani ikazalowa Nira ambayo wakongwe mnaibeba vizuri na inazidi kuimarika.
Wewe nihatariii saana 🎉
haha asante sana
Lahh punguzeni urefu wa wimbo, mnarudia rudia maneno
sawa🥰
Mubarikiwe watumishi wa mungu kz nzuriiiiiiiiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
ameen dear
Yaaaani,eeee MUNGU awainue zaidi jamani❤❤❤❤❤❤ mmetisha saaana
hehehe asanteee
Emma Emma Emmanuel nakuita mara tatu 😂😂😂 hongereni sanaa jirani zangu mmeweza sanaa 🎉🎉
😍😍😍
Mungu akubariki saana sister Lemi Mungu azidi kukuinua zaid kazi njema saana Mungu awabariki saana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana kaka, barikiwa sana
Mmependeza xn😮
🥰🥰
Mungu hazid kukuinua dada🎉
Kazi yako ni njema,Mungu akupeleke viwango vya juu zaidi ❤
Asante sana dear
Ubarikiwe sana aaaaaaaa❤❤❤❤
Asantee
Nimeupata huu wako unaofaa ....barikiwa dada lemi 😊
Asante kaka, karibu sana
Lemi umeweza ubarikiwe sanaa tuko nyuma yko
Asanteni wapendwa, Mungu awabariki sana
Mmeua aisee lemmy watakukumbuka aict nyakat choir hongera dada big up kwa mwalim umetisha sana salum
Asante dear, bado nipo mbona
Mungu awainue zaid na zaid❤❤❤❤❤
Ameen, karibu sana
Solo wa kwanza wa kiume ana saut na vibes za kutosha, hongera Lemi ❤
Ameeen, anaitwa Esrom Buyange Jembe letu, Mungu azidi kumuinua.
Dada lemi msukuma wangu Hallelujah love you my Sister ❤
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
We nae mpaka useme ni msukuma😂😂
🤣🤣🤣@@agnethapaul5084
@@agnethapaul5084 kwani kuna shida
Hongera sana Dada, Mungu na azidi na kukuinua kabisa ❤❤🇰🇪🇰🇪
Asante sana dear, barikiwa sana
Jitahidi pia ikiwezekana toa kabsa na ew wa kwako cover tulizia.
Hongela sana m🎉🎉🎉🎉
asante dear
Dada lemi tunauomba huu wimbo na kwenye platform nyingine
sawa dear
Da lemiii umeuwaaaa always you're the best .......Mungu azidi kukuinua❤❤❤❤
Asante kaka, Mungu wetu mwema sana
Endelea kufanyika kuwa baraka kwetu
Congratulations dada Lemi you made it, glory be to God
Kaka ake Lemi 🔥🔥🔥💪🙌
Aise hongeraa sana Lemi...nimemuona Ethrone toka Bujora pale na wengine wote mmetisha sana...inabakia ujaliwa ufundi wa mtu binafs2 sasa...Mungu awabarikii sanaaa....alafu Ethrone kaimba na kule backup sauti yake naisikiaaa
Ameen, nikweli kabisa
Nyakato upo bado au umeenda kishapuuu!!!!!😅❤❤
WOW baraka tele
AMEEEN
Hongera saana Lemi.Mungu akuweke viwango vya juu zaidi .❤
Ameen asante sana
Hongelen sanaaaa by masonda
asantee
Mungu akubariki saana mtumishi
Ameen, asante
Dada lini umehamia huku tenaaa,ila hongera sana Kwa karama uliyo mayo🙏🙏
hahha asante🥰🥰
Amina dada lemi tumebarikiwa San wimbo mzuri mungu endelee kuitunza karama yak
Asante sana dear, Mungu mwema
Hongera kazi nzuriii👏👏👏
Asante sana
Mungu azidi kuwainua zaidi
Amen, asante sana kaka
Kaz nzurii
🥰🥰🥰🥰🥰
Mbona umeweka kwako sasa wimbo wa watu
Barikiwa na ujumbe huu wa pasaka na Mungu akubariki
Weka Jina la choir
Mmeanza na nyie😂😂😂😂Kwan ikiwekwa kwake hupokei ujumbe?
Wow congratulations so much servants of God,God blessed so much
Amen, asante sana
Mungu ni mwema
Wakati wote
Hogera sana dada nabarikiwa na nyimbo zako
Asante dear, karibu
Great song.,.
It reminds me of unconditional love of Christ to me
Amen kaka, tumesamehewa na Yesu tuko huru
Nakukubali my dada wa Mimi Lemi George
hahah asante Gifty barikiwa dear
Sster akee mm
Wonderfull❤
Asante dear
Kazi nzuri Jesus is alive
Ameen
Umetisha sana madam na unajua mm nlivyo shabiki wako mkubwa hakika Mungu azidi kukuinua zaidi
wooo asante sana dear
Kwaya changa waimbaji wakongwe aisee kazi nzuri na haina kasoro, Mungu aendelee kusimama na nyie maana si rahisi lakini inawezekana, Kurugenzi ya zamani ikazalowa Nira ambayo wakongwe mnaibeba vizuri na inazidi kuimarika.
Ameeeeeeen kaka 🥰🥰🥰🥰🥰
Amen❤❤❤❤❤❤
🥰🥰🥰🥰🥰
Umetisha sana 🎉🎉🎉
Asante sana sana
Yale Mateso Yalikuwa Makali 😭😭
😭😭😭😭😭Ameen
Wa kwanza ku_comment
HAHAHA Kweli, na ubarikiwe sana kwa upendo
Ameen
Suit ya sololist wa kwanza wa kiume nimeipenda, na mm nitashona km yy😂😂😂😂😂
🤩🤩🤩🤩🤩
😂😂😂😂😂
@@gifftygabriel375 😂😂😂
#Wasamehe hawajui walitendalo
Ameen
Safi
asante
Mungu tu
🙏🙏🙏
🙌🙌
🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉❤
asantee
🎉🎉🎉
mmetisha sana wapendwa wangu
Mungu nimwema
Simba umeua xn
💝💝💝💝💝💝
🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤
🤩🤩🤩
By kakus
🙏🙏🙏
❤❤❤❤ 1:24
asante
Jmn 😍🥰 uyo kaka solo wa kwanza anaitwa nani anaweza nipatia namba ake please nikwa wema tu katika kazi za utumishi mbarikiwe🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉
🥰🥰🥰🥰
Kazi nzuri
Asante sana
🎉🎉🎉
😍😍😍😍
❤❤❤❤
🤩🤩🤩
❤❤❤
😘😘😘😘
❤❤
😍😍😍😍
God is good
❤❤❤❤
🥰🥰🥰🥰
❤❤
🤩🤩🤩
❤❤❤❤❤
❤❤
🥰🥰🥰