Kessy hakika wewe ni mchambuzi mzuri, unaujua mpira, unajua tabia za wahusika ktk mchezo wa mpira, aiseh upewe Maua yako , nakupenda kwa ukweli wako maana huelemei timu yoyote unapochambua , kama binadamu una mapenzi yako kwa timu fulani lkn unapochambua unaongea MPIRA tu, sio upenzi wako, tafuta radio ukahusike kuchanbua tukusikie kila Leo taf....Mimi nimekukubali ... really U know football!
Napenda sana kukufuatilia unanifanya naulewa mpira zaidi upo mkweli muwazi hupindishi hata hongera sana sana❤❤❤
Asante kaka wewe unajua kuyelezeya ukweli mungu akubaliki
Justin nakuelewa Sana mkuu endelea na kazi yako nzuli
Ata mimi nampa 10 pasent yuko vizuri Sana kessy
Uko vizur kessy
Bro kessy umeongea vitu vya misingi sana
Uchambuzi umekamilika bila chenga
Kes hua nakuelewa sana broo utakua kocha mkubwasana
Kessy hakika wewe ni mchambuzi mzuri, unaujua mpira, unajua tabia za wahusika ktk mchezo wa mpira, aiseh upewe Maua yako , nakupenda kwa ukweli wako maana huelemei timu yoyote unapochambua , kama binadamu una mapenzi yako kwa timu fulani lkn unapochambua unaongea MPIRA tu, sio upenzi wako, tafuta radio ukahusike kuchanbua tukusikie kila Leo taf....Mimi nimekukubali ... really U know football!
Lakini hata sauti inajaa kwa mwamba huyu
Huyu jama anajua mpaka anakela
We, huyu kessyanajua usimpereke Azam ataharibiwa nao sio watu wampira
Umeongea vizuuri saana
Mchambuzi tunaomba uwe unatufahamisha sikumoja kabula yamahojiano ili tuwe lov
Mwamba upo vzuri kiuchambuzi
Bro unajua Nini maana nzima ya soka,hauna upendeleo japo wee Ni kolo lakn unajua kuchambua
kessy kwann Azam awakuoni ukachambue mpila kule we sio levo za yutub kaka unachambua mpila kwa mapana sana
Kwani Huyu si yuko mjini fm