DK RIZIKI ALIVYO NUSURIKA KWENYE AJALI MBAYA, ONA MIZIMU YAKE ILICHO KIFANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @petermakokha-jf6hd
    @petermakokha-jf6hd Рік тому

    Mimi naitwa Peter Makokha kutoka Nairobi Kenya,nawapongeza Mbengo tv pamoja na Dr.Riziki Kwa kazi nzuri.

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 Рік тому +3

    Acha utapeli ndugu utakufa

    • @silaslemayian5871
      @silaslemayian5871 Рік тому

      Waah ni tapeli kweli? Ebu nieleze ndugu

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d Місяць тому

      Alikutapeli nn? Half kifo atakufa kwa ahad ya mungu maana kila mwanaadamu atakufa ht ww utakufa wabongo bhn mmejaa roho mbaya na husda tu ndio mnachokijua

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Рік тому +2

    Astaghafirullah

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 9 місяців тому +1

    MUNGU GANI UNAEMSHUKURU

  • @ummufaru3012
    @ummufaru3012 Рік тому

    Astaghfirullah anaamini sana mizimu kuliko mungu! Allah atu ahhid

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Рік тому +1

    Washiirikina nyie eti waganga Eee ya Allah nakuomba uniepushe na ushirikina na shirki kama hizi mola wangu mlezi

  • @biblenakoranmatuhuhu9904
    @biblenakoranmatuhuhu9904 10 місяців тому

    Sijui Mambo na Mizimu ila naamini uwepo wao upo,ila,hii janga na zinginezo zimefanyika baada ya hii sherehe ukihusisha na ya Kenya pia.
    Swali langu ni,
    Umesema unakuwa salama baadda ya zidika,na haribivu umefuatia kwa mali zako,ni kipi kilienda mlama?
    Tafadhali daktari nitoe hofu kwa hili

  • @MariamuIsaka-fu8xy
    @MariamuIsaka-fu8xy 11 місяців тому

    pole sana🙏🙏🙏

  • @deonjawike4881
    @deonjawike4881 Рік тому

    Pole sana

  • @vincentmugendi7183
    @vincentmugendi7183 10 місяців тому

    Hata ukifa umepora wakenya pesa mingi sana.

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 9 місяців тому

    Namshukuru sana Mungu sijawai kwenda kwa mganga na sitakuja kwenda nikiwa na akili timamu

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 Рік тому +1

    Ungekufa tu nyau wewe

    • @IRENEMPOKI
      @IRENEMPOKI 10 місяців тому

      Mbona hv kwan umewah enda