PATANISHO: Nilimkosea bibi naomba anisamehe (Episode 5, July 2019)

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 33

  • @bxgdhydydh6505
    @bxgdhydydh6505 5 років тому +12

    Waaah leo wakwanza aisee likes kama zote mnipee😄😄😄😄

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 5 років тому +7

    Charles pole..lkn huo uchungu wa kuachwa na wife ndio ata first husband aliskia na ni ww uli muadvice atoke huko myb mama njeri amepata mwingine amemu advice atoke kwako

  • @swashabdul
    @swashabdul 5 років тому +3

    Ni wanaume 2 wanakosea wanawake......🤗🤗🤗

  • @housekeeping977
    @housekeeping977 5 років тому

    Charles Mungu akufungulie milango upate mke mwema

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 років тому

    Wah Charles pole huyu mwanamke asha move on pia nawe jipange lkn mkisikazana ni sawa

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 років тому +3

    Sasa Charles ndio ujue sababu za kupigwa na mume wake wa kwanza ndio hiyo ww kwa sababu uliskia side moja na ukatosheka na hiyo sasa onee! IN EVERY STORY THEIR R THREE SIDE MY SIDE, YOUR SIDE, AND THE TRUTH

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +1

    Pole sana kaka..Malama youwmwanadada ashajiondowa kwako

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 років тому

    kama ulijukuwa yeye na 2 months badaa ya kutoka kwa bwanake..Maybe tena ashapata mwingine..Pole likini

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 років тому

    Hahahahaha nauuliza kwa nn watu wakienda Nairobi wanabadilika pole bro move on kubali matokeo

  • @mwametallic7668
    @mwametallic7668 5 років тому +2

    Ukioa wa wenyewe lazima atakua wa wenyewe

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 5 років тому +1

    Hii ya Leo ni ngumu sana

  • @samhenry5100
    @samhenry5100 5 років тому +3

    This lady used this guy as a rebound...she did not heal from the abusive relationship...🤔

  • @periswarish7022
    @periswarish7022 5 років тому

    Malove love kazi ipo

  • @nurumwangaza8581
    @nurumwangaza8581 5 років тому

    Huyo ni kama amepata mwingine tena wewe move on na maisha yako kaka.

  • @nancynjogu4
    @nancynjogu4 5 років тому

    Charles move on your life,, uyo wife Hana time na wewe,,, mybe ako na husband mwingine,,,, pole sana

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 років тому

    Ndio ukisikia sikio LA kufa halina dawa kaka,soma na kitabu yako.

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 років тому +1

    Pole Charles

  • @fridahkimilu7626
    @fridahkimilu7626 5 років тому

    Ndoa n kuvumiliana

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 років тому

    Listening👂

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому

    Aki niko number 16 ndio kusikiza patanisho hapa niko Monday

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 років тому +1

    You better move on young man and look a serious lady with life that lady is a gold digger Na amekufanyia vile tu alimfanyia huyo mwingine ...

  • @charlesmuriungi4547
    @charlesmuriungi4547 5 років тому

    Hukosana na bibi yako ama bwana yako plz look for replacement..watu ni wegi...plz waluya na wajaluo stop crying for women cry for yua feature.

  • @ruthnjambi728
    @ruthnjambi728 5 років тому

    Pole charles