Teresia Bundala_Ni Wewe (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- 3rd Song in Wakati wa Mungu Album
Stream and Download in all Digital Platforms
Listen Wakati Wa Mungu on Boomplay. www.boomplay.c...
Listen Wakati Wa Mungu on Audiomack
audiomack.com/...
Listen Wakati Wa Mungu on Spotify
open.spotify.c...
Booking for Business
+255 718 690 621
+255 763 235 756
Psalm 27:1
The Lord is my light and my salvation; whom shall I fear? The Lord is the stronghold of my life; of whom shall I be afraid? That's why I said "NI WEWE"
Hongeraaaaa sana mtumish Kwa wimbo mzuriiii Binafsi nimebarikiwa sana 1
Asanteee sana ubarikiwe
Safi saana mate hakika mungu ni mwema nimebarikiwa na Wimbo wako mwayami anaomba corabo nawe
Asanteee sana mate, Mwakyami ataimba bass kaliiii akujerr😂😂
Hongeraa sana mtumishi Kwa wimbo mzuriii Mungu akubarikia sana akupandishe viwango na uzid kuwa Bora siku Hadi siku
Amina, asante sana rafiki yangu Mungu akubariki.
Wooooow hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah ♥️
Ameeeen,barikiwa rafiki yangu
Huu wimbo huwa siuchoki naupenda sanaa 😍🙏
Barikiwa sana
Wimbo ni mzuri sana dada angu endelea kupambana
Asanteee sana ❤
Niceee madam mungu akubalikii albam inatfsir nzuri sanaa
Asanteee mwanangu
Dadaangu unaupiga mwingi hongeraaaaaaaa
Asanteee mdg wangu mzuri.
Hongera sana mtumishi wa 1:29 1:30 Mungu tunabarikiwa na nyimbo zako
Asanteee sana mate,ubarikiwe sana
Mzuri jamaniii 🎉maua mengiu
Asanteee mdg wangu ❤
Barikiwa sana
Anina aaasantee sana
Nice song...........
Barikiwa sana mtumishi wa bwana.
Ameeen asanteee sana
Video nzur sana god
Asanteee sana mdg wangu
Hongera kazi nzuri sana
Asanteee sana Advancee.
Mungu azid kukuinua mwimbaji wa kimataifaaaaaa
Asanteee
Sichoki kuitazama huu wimbo ni mzuri,sauti nzuri hauchoshi mungu azidi kukuinua dada angu na kukubariki
Asanteee mdg wangu mzuri
Hujawahi feli madam unaupiga mwingi sanaaa
Asanteee,utukufu kwa Mungu
Amina my dear dada♥️♥️♥️
Aminaa
Hongera sana....Mwenyezi Mungu abariki kazi yako
Asanteee rafiki yangu.
You sound good & 4 sure it's a good song madam
Be blessed my dear.
Keep it up madam Teresia
Thank you my friend
Waaoh wimbo mzuriii my sisy Mungu azidi kukuinua.
Asanteee mdg wangu mzuri.
Wimbo mzuri sana ❤
Asanteee sana,barikiwa.
Kaz nzr
Asanteee sana
Kazi nzuri mtumishi Mungu azidi kukuinua
Ameen
Keep it up
Thank you
Hongera Sana kipenz changu,,Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
Ameen my love, be blessed.
Nice song my role modooo🌹🌹🌹👏
Waooooh thank you my dear daughter, am very proud of you.
Hakika huu wimbo umeutendea haki kila kitu ni kizuri sanaaa,hongera sanaaa,u did it!
Asanteee P wangu,Uzuri umechangiwa na makeup yako nzuri kipenz changu,Nana house of makeup,u did it my love, I really appreciate you mom.
Kila nikisikiliza ujumbe wa huu wimbo naona umegusa maisha yangu kwa asilimia kubwa. Hakika ni "NI WEWE MUNGU" Barikiwa sana dada yangu Theresia. Mungu azidi kukuinua katika huduma yako hii. Amen
Mungu akubariki mdg wangu,asante sana.Mungu aendelee kukuhudumia kupitia wimbo huu.
Ubarikiwe sana
❤ MUNGU akubariki sana madam,,,,. Azidi kukuinua
Amina .
God bless you
Ameen
MUNGU akubariki kwa kazi nzuri sana,,,, ni wewe baba kimbilio letuu❤❤ ubarikiwe sana dada teresia
Asanteee sana mdg wangu
@@Teresiabundala Ameen❤
Nice song
Thank you
Kaz nzuri sana my dear,mungu azidi kukuinua kipenz😘😘
Waooooh asante my bff.
Waooooh asante my bff.
Mungu wa mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi na zaidi kila unapotoa wimbo unakuwa so 🔥 🔥 na zaidi zinambariki kila anaesikiliza nakupenda dadaangu daima uzidi kuinuliwa
Sifa na utukufu ni kwake Mungu aliyenipa kipaji hiki,endelea kuniombea mdg wangu mzuri,nakupenda sana na natambua mchango wako mkubwa katika huduma yangu.
Wimbo mtam sichok kusikiliza jmn ❤❤❤..nimeeka kwnye my favorite playlist
Waooooh nakupenda sanaaa.
So nice.....Mungu azidi kukuinua katika kipaji chako cha kuhubiri kupitia nyimboo
Asanteee sana rafiki yangu,barikiwa sana.
That’s a nice song. Big up 👍Ted
Ohoo thank you my boss.
Hongera sana,Mke
Wangu,Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi mke wangu. NI WEWE ni 🔥 🔥 🔥 song.
Asanteee sana mume wangu.
Mama kama mama on fireeeeee💥💥 sikupingii ata kidogoo
Asanteee mwanangu endelea kunisapoti.
Waoooh hongera madam 😊❤
Asanteee sana kijana wangu
ni wewe Baba tumaini leeetu, unapigana vita kwaajili yangu
Hatari tupu, Super video super song, ni wewe Baba kimbilio letu🙌🙌🙌🙌🙌
Asanteee baba yangu,ubarikiwe sana.
Ubarikiwe mtumishi kwa huduma nzuri
Asanteee sana Marion,barikiwa.
Unanilinda sina cha kukupa Bwana, ni wewe baba kimbilio letu. NI WEWE 🔥 🔥 🔥 ni wimbo wa faraja na wenye upako.Mungu azidi kukuinua katika uimbaji mke wangu 😍 Nice song 🔥 🔥 🔥.
Thank you my love.
You did it dear sis
I feel blessed by listening your song
Bring it on.❤️
Waooooh thank you,be blessed my young sisy.
Nmebarikiwa sana na hii nyimbo dada Mungu aendlee kukupeleka viwango vya juu sana na aendlee kukuonekania ktk kaz zako NI WEWE 🙌 nzuri sana
Waooooh asante mtoto mzuri,nakupenda sana.
Hongera sana madam Teresia,kaz nzur,ujumbe mzuri ,location nzur,be blessed more
Thank you my dear,mshaur wangu wa mziki,nakukubali sana.
❤❤❤❤
Amina kazi nzur mtumish
Dada tedy unajua ninavyokupendaga mpaka sio kazi zako zipo👍💞nakukubali hakuna wa kupinga mungu akupiganie mpaka tufike kule mwaaa
Mwaaaaa,asante mdg wangu mzuri,nakupenda zaid yaan.
❤❤❤ ni wewee nice song
Thank you dear.
Kazi nzuri
Nice
Thank you
Wooow GOD BLESS YOU TERESIA BUNDALA
Hongeraa
Asanteee sana.
Barikiwa sana dada mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
Ameeen Ruth, ubarikiwe sana.
Mungu akutangulie ili ufikie malengo
Aminaaaa
Umetishaaa sana rafiki yangu nakubaliiii
Asanteee sana
Super woman kazi nzuri kipenzi changu mungu akuinue zaidi
Ameeen my dear,be blessed.
Kazi ni kubwa❤❤❤ mungu akupandishe pale
Asanteee sana Joshua,barikiwa sana.
Good work! Kijana wetu
Asanteee sana
Hongera Sana Mwimbo mzuri sana
Hongera sana kwa wimbo mzuri Mungu aendelee kuibariki kazi yako ya uimbaji
Asanteee kipenz changu.
Ninajuaaaaa uko upande wangu, keep shining!!!
Thank you my dear.be blessed
Umefanya vizuri sana nakukubali mno.
Asanteee sana my friend
Shem nice! nice! your good creater, video nimeipenda mahadhi ya kiafrica
Asanteee sana shem,ubarikiwe sana.
Amen
Waoooh madam Mungu akutunze we love you so much wimbo uko vzr Mungu akuinue mahali pa juu sana ❤
Asanteee sana,be blessed.
Nawapenda sanaaa
Kila nikitazama natamani kuendelea kuitazama tena na tena, nani ana feel kama mimi jamani?mungu zaidi kukuinua dada
Waooooh barikiwa mno mdg wangu mzuri
The goodness of God is up on you!The song sounds powerful and thrilling. I implore more anointing on you, , , , reach many people and nations in the name of Jesus!
Ameeen ameeen man of God,I receive it in Jesus name.
Kanafariji Sana kapo poa MUNGU aendelee kukutumia
Nice song sisy,, Mungu aendelee kuinia hiduma yako zaid
Ameen mdg wangu mzuri.
God bless you dear sis
Forward ever
Ameeen my dear.
Nakuona maranyingi kwenye TV mbalimbali,Mungu azid kukuinua rafiki yangu.
Asanteee sana,be blessed
Yaani hongera sana rafiki yangu,Mungu azidi kuinua Kipaji chako! 🥰😍😇
Asanteee Nana wangu,unajua vile nakupenda.endelea kuniombea mom.
Hongera sana mnyalu kwa wimbo mzuri
Asanteee sana
Hongera sana dada yangu ubarikiwe mno kwa nyimbo ya upako🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
Asanteee mdg wangu nikupendae sana.
Mungu akisema Unaweza hakuna wa kusema No Goo Mama 🤍
Thank you my son
Kazi nzuri mnoo,hujawahi feli kipenz,huna kaz mbovu mungu azidi kukuinua
Hongera sana mtumishi Mungu azidi kukuinua viwango Hadi viwango uzidi kutubariki
Ameeen wifi yangu mzuri.ubarikiwe sana.
Hongera sanaa dada ake❤❤
Asanteee mdg wangu
Wewe ni mwamba wangu,ni wewe baba kimbilio letu, Ni WEWE, Wimbo wenye kufariji,Wimbo wenye upako 🔥 🔥 🔥 .Mungu azidi kukubariki mke wangu.1
Ameeen asanteee sana.
Nakukubali dada mwenye roho nzr mung azidi kukufanyia wepesi zaidi telesia bundalaa ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
tunaondokaaaaa
🔥 🔥 🔥
Such a nice song, keep up the good work sisy
Waooooh thank you my young sister.
Tuendelee kusapoti kazi nzuri kutoka kwa Teresia Bundala.
Asanteee sana.
Hii Video Naangalia Mara tatu tatu Aiseeee .. Umeupiga Mwingiiiiii my sister
Asanteee sana .
It's great work,,,keep it up 👏👏👏
Thank you my dady.
Honger San Dada ,,,, mungu aendelee kukuinua Zaid
Ameeen asanteee sana
Ooooh!! Good one, I like the way you performed it.... marvelous
Thank you my friend
Barikiwa Sanaa Dadaangu
Ameen rafiki yangu Amos.
Hongera kwa kuendelea kutoa huduma kwa njia ya kumwimbia Mungu
Asanteee sanaa
Mungu akuzidishie
Ubarikiwe sana Dada yangu sekikoti🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asanteee kaka wa mimi,barikiwa sana.
Woyoooooooo .. hatareeeee
🔥 🔥
Waooohh it is a woonderfully song,,,,,keep on going madam big up sanaa🙏🤲
Thank you my son.be blessed.
Hongera sanaa sister kaz zur sanaaa.🎉
Asanteee sana mdg wangu,be blessed.
Wow amazing twin Mungu azidi kukuinua zaidi na Zaid Kaz nzuri mnooo tumebarikiwa sio kidogo nakupenda hakika
Asanteee my twin,nakupenda zaid,asante kwa sapoti kubwa.
Hongeraa Sana Dada Wimbo Mzuri mnooo nimebarikiwa sanaa nakuonaa mbalii
Asanteee sana C.E.O wa nyota shine everywhere
Wewe ni mkali🔥🔥🔥
Utukufu kwa Mungu mdg wangu,asante sana.
congratulations my wiii ❣️❣️very powerful wifi yangu kipenz🔥🔥 Mungu azdi kukupa kibali na kukupa maono zaidi goooo on my
Thank you my love.
Ninajua Mungu uko upande wangu hujawah niacha unanilinda na watesiii wanguu unaweka ngaooo kwa ajili yanguuu daaa yaaan kila nikisikiliza huu wimbo kaupokooo kanakaaa mahal pake thanxs dia for nice song 🙏🙏❣️
uskate tamaaa simama bwani n Tumain letu more powerful keep it up my dia
we mwamini Mungu congratulations my love Mungu azdi kukuinua
Jaman ukijua umejua kama vp njoo uchukue maua yako at
Ha ha ha ha asanteee sana Taty,be blessed my friend.
Safiiii sanaaa wimbo mzuri ,💥💥💥💥💣💣
Asanteee sana rafiki yangu
Mungu awe nawewe dadangu
Hongera Madam 🤲 Mungu akupe kusonga mbele zaidi 💪
Ameeeen asanteee sana
madam KIKOTI big up straight from sawala.
Asanteee sana