Richard Boadu |Goals, Skills & Assists | Welcome to Ismaily Club

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @mohammedomary9476
    @mohammedomary9476 Рік тому +1

    Huyu mwehu anajua🙌🙌🙌

  • @فيالبعيدة
    @فيالبعيدة Місяць тому

    An ideal midfielder for the Ismaily club in Egypt

  • @juliankamugisha9886
    @juliankamugisha9886 Рік тому +2

    Mnatupanga siyo! Tunataka nusufainal ya klabu bingwa na ubingwa tz msimu huu.

  • @jessicamamaasha6214
    @jessicamamaasha6214 Рік тому +5

    Kwa mtazamo ni mchezaji mzuri tatizo wachezaji wetu wanalogwa na upande wa pili kuweni macho viongozi na hilo

  • @rajtwice_Tz
    @rajtwice_Tz Рік тому +1

    Huyu ndie mrithi wa chama kama kwel atakuja Simba 💪💪💪

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 Рік тому +3

    Huyu asajiliwe haraka sana

  • @godfreynongastz6912
    @godfreynongastz6912 Рік тому +2

    Welcome Simba sports clb

  • @ramosamos7349
    @ramosamos7349 Рік тому

    Uyu nichama

  • @فيالبعيدة
    @فيالبعيدة Місяць тому

    Come to Ismaily Club in the Egyptian Premier League

  • @saimonisaya1759
    @saimonisaya1759 Рік тому +3

    Bonge la no 6

  • @franciskanuth1705
    @franciskanuth1705 Рік тому

    Wa kawaida mnoooo..

    • @mihamedyiddy5989
      @mihamedyiddy5989 Рік тому

      Mt2 abakaba na anatoa mipira sahihi unasema wakawaida kweli jamn

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Рік тому

    Jamaa ana u chama mwingi sana akitoa chop passes tu

  • @issamnimbo9990
    @issamnimbo9990 Рік тому

    Fundi wa dimba kweli kweli,

  • @تباركالله-ض6ش
    @تباركالله-ض6ش Місяць тому

    Come to the Egyptian Ismaily Club🟡

  • @peternaaly4081
    @peternaaly4081 Рік тому +1

    Hana maajabu kamzidi mkude kitu kidogo sana

  • @jessicamamaasha6214
    @jessicamamaasha6214 Рік тому +1

    Huyu bonge moja la mchezaji

  • @richardmatinde7163
    @richardmatinde7163 Рік тому

    Ni kweli Chama anahitaji mtu wa kubadilishana ili timu iwe na options hasa wakati inapotokea dharura.

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Рік тому +2

    Ni mashine matata afu anafafana na aziz ki huenda wakawa wa nchi moja

  • @saimonisaya1759
    @saimonisaya1759 Рік тому +3

    Huyu anakata umeme

  • @nicholassostenes4372
    @nicholassostenes4372 Рік тому

    Huyu jamaa hajui mpira Hana kazi kwanza

  • @jessicamamaasha6214
    @jessicamamaasha6214 Рік тому +2

    Unaye msapoti mkude pumbafu mkunde anann asaaivi mkude kaisha hana inshu bhana wakatafute namba Ihefu

  • @bentaomari4272
    @bentaomari4272 Рік тому +1

    Ina SFTV muendeleze na ushawishi wa kutafuta wachezaji wengi ili Simba iwe na machaguo mazuri ya usajili

  • @abuushaymaatz
    @abuushaymaatz Рік тому +2

    Hii ni machine hatari sana, timu gani?

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 Рік тому +1

    Huyo jamaa ni mtu haswa kw namba 6 za bongo anaweza sana ana speed anapokonya mipira kw adui ana assist long passes zake zinafika, Shida ya simba ni kututamanisha tu kisha Timu nyengne zinamsajili😒

  • @janlemopao3934
    @janlemopao3934 Рік тому

    Japokuwa usajili ni Kamali nawamini viongozi watafanya sajili nzuri. Nb,naomba kusiwe na danadana nyingi kama sajili ya mwaka jana mpaka wachezaji mnapora na vilabu vingine.

  • @tomasmwasambogo9557
    @tomasmwasambogo9557 Рік тому

    Uyu jamaa nmeinjoy turn zake tu ama sfa zte za kiungo

  • @goodluckmsigwa910
    @goodluckmsigwa910 Рік тому

    Akitua niite mbwaa nimekaaa pale

  • @annurmohamedi9824
    @annurmohamedi9824 Рік тому

    Middle ya kukaba halafu anajua kuondoka na Mali, watu kma Hawa ndo tunawahitaji Simba sio middle mgumu hata kuondoka na Mali hajui

  • @mikajoseph1125
    @mikajoseph1125 Рік тому

    Usajili wakalenda

  • @jessicamamaasha6214
    @jessicamamaasha6214 Рік тому +1

    Halafu kunakitendawili kimejificha wakukitegua hayupo mm nataka nikitegue mgunda ni kocha mzuri ila watu wanamuonea choyo wanamharibiya kazi yake. Tena kikulacho kimo shingoni mwako anayemharibiya mgunda kazi ni mtu wake wa karibu pengine wanafanya kazi pamoja , uongozi wa simba atakapo fukuzwa mgunda na matola nae afukuzwe

  • @richardmatinde7163
    @richardmatinde7163 Рік тому

    Katika hali ya changamoto na migogoro iliyoanza, tusitegemee kitu cheema kwa sasa.

  • @billywilliammyovella2202
    @billywilliammyovella2202 Рік тому

    Muda wa kudanganyana umefika