KISA NILICHOKISHUHUDIA NA KUNICHANGANYA MPAKA LEO //SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Vijana wengi wamekua hawana heshima kwa wazazi wao hawajua kua mzazi ni PEPO au ni MOTO KWAKE.

КОМЕНТАРІ • 126

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Рік тому +5

    Allah akuhifadh shekhe wetu

  • @bintiomariwendo2279
    @bintiomariwendo2279 Рік тому +3

    Mola akupe umri mrefu sana Sheikh Othman Maalim uzidi kutuelimisha na kutupatia nasaha. Jazakallah kheir.

  • @rashidamashaallahnyimbohio1664
    @rashidamashaallahnyimbohio1664 4 місяці тому

    Mashaallah mawaidha yako yanamafunzo sana Allah akuhifadhi Sheikh Othman

  • @HadijaSalim-qx8fw
    @HadijaSalim-qx8fw Рік тому +2

    Mashaallah tabaraka Allah shukran kwa darsa yko shekh Allah Atujalie tupate radh Zake na radh za wazazi wawili

  • @frdosr5794
    @frdosr5794 4 місяці тому

    Takbiir!JazzakAllahu khayr duniya wal Akhera InshaAllah,Allah atufanyie wepesi wa kuwatunza wazazi wetu na vizazi vyetu kwa wema na uadilifu InshaAllah.

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Рік тому +7

    Subhaanallah ALLAHU AKBARU ☝️ MASHA ALLAH Yaa الله tujaalie Tuwapende wazz wetu na tujaalie tuwe walady swalihy kwao YAA RAHMAN 🤲 Yaa الله nakuomb wahurumie wazz Wang km walivyonilea utotoni Amiin tujaalie kalimatul shahada wakati wa mauti yetu amiin

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k Рік тому +10

    Ustaz nimekupenda kwa ajili ya Allah, mawaidha yako yanayomzungumziya Allah pamoja na mama yananiingiya hadi penye mishipa Allah akupe mwisho mwema

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Рік тому +2

    Shukran
    Shukran
    Mungu akulinde sheikh wetu

  • @user-fg8tf7kt4v
    @user-fg8tf7kt4v Рік тому +4

    Allah tujalie tuishi vizuri na wazazi wetu

  • @sumaiyaally4959
    @sumaiyaally4959 Рік тому +1

    Ameen tusife bila radhi ya Allah na wazaziwetu

  • @JumaMweso-vh4qy
    @JumaMweso-vh4qy 11 місяців тому

    Shukran San kwa ku2kumbusha mung akupe umr mlef Ameen🙏

  • @farhiaisabella3166
    @farhiaisabella3166 Рік тому +3

    Masha Allah

  • @MariamNyagawa-sq3hi
    @MariamNyagawa-sq3hi Рік тому +6

    Mashaallah Allah awahifadhi wanazuoni wetu wazidi kutuonyesha nuru ya allah

  • @mwanasitiomar9914
    @mwanasitiomar9914 Рік тому +2

    Allah akulipe kher kwa mafunzo yote unayo tufunza inshallah

  • @rehemawanjala-bu5oq
    @rehemawanjala-bu5oq Рік тому

    Mashallah kiswa kizuri. Allah akupe maisha marefu uzidi kutufungua macho

  • @moedinofficial1028
    @moedinofficial1028 Рік тому +2

    Subhanallah ❤ my ALLMIGHTY make easier our mothers in this world and here after insha ALLAH ❤RABBI nagadig kuwa walidkodha kaduceysto adiga darts my ALLAH ❤RABBI nagadig Kuwa walidkodha karalinoqdho idinkadha my RABBI❤ amiin ya RABBI ❤insha ALLAH 🤲🏻❤️💞💕❤️

  • @nusrasadick3516
    @nusrasadick3516 Рік тому +4

    Shukran shekhe wetu Allah akuzidishie siha njema uzidi kutuwaadhishia mawaidha adhim

    • @fatmazakaria539
      @fatmazakaria539 Рік тому +1

      Alllha akujaalie filidaus iwe makazi yako shekhe nakupenda sanaa 🤲🤲🤲😘

  • @user-zy4sx6xm4t
    @user-zy4sx6xm4t Рік тому +1

    Mashallah Allah Bless u sheikh hakika ww allah akupe kila la kheri na furaha Jazakallahu kheryn Frm Kenya❤🎉

  • @user-en2do1ww8l
    @user-en2do1ww8l 9 місяців тому

    shukran ustadh mungu akuzidishie umri

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +1

    Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri

  • @halimasalum788
    @halimasalum788 Рік тому

    Allah akulipe kheri shekh Kwa ajili ya maneno ya Allah ❤

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 Рік тому +3

    Shukran sana Sheikh kwa ukumbusho

  • @dickikahese9681
    @dickikahese9681 Рік тому +4

    shekhe othman maalim nakupenda sana nduguyangu naitwa salumu naishi dodoma kila mawaidha unayotoa nayashika ni elimu kubwa sana unatufunza mwenyezi mungu inshaalwah akupe kilma kirefu chema

  • @mwatangamasolwa5258
    @mwatangamasolwa5258 Рік тому +2

    Asalam aleykum warahmatuh wabarakatuh sheikh wangu mawaidha mazuri sana ila hata wazazi nao wanachangia kuharibika watoto kwa malezi ya hovyo mtoto kila kukicha neno la mzazi ni tusi sheikh othumani maalim weka maidha kwa wazazi sasa wajifunze nini malezi bora kwa watoto innshaallah

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 Рік тому +2

    Shukurn sheikh wetu 🙏

  • @WardaAli-t4v
    @WardaAli-t4v Рік тому

    Shukran jazaka llahu lkheir kwa ukumbusho

  • @user-ve3wu5jn1l
    @user-ve3wu5jn1l 9 місяців тому

    Mashalala Allhal akupe umri mrefu . Akupe leo na kesho ahera

  • @user-oy8gk5fj2e
    @user-oy8gk5fj2e 5 місяців тому

    Allah akupe umri mlefu sheikh wetu

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV Рік тому +1

    Jazaakllahul khair

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman1427 Рік тому +1

    Kweli kabisaa shekh na kutapika mpk wazaa

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +2

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +2

    Yarabb tujaaliye sisi na vizazi vyetu 🤲

  • @saumumushai2190
    @saumumushai2190 Рік тому

    Mwenyezi Mungu Allah swt akubariki kwa kukumbusha ..na vijana wapate Tawfiq ya kusikia na kufuata... insha'Allah

  • @shakilabakari6928
    @shakilabakari6928 Рік тому +9

    Yarrab tujaalie tupate radh za wazazi wetu na allah atujalie sis na vizazi vyetu inshallah

  • @user-jc8jl2ku2n
    @user-jc8jl2ku2n Рік тому +3

    MashaAllah

  • @shankshankarcade2123
    @shankshankarcade2123 6 місяців тому

    SubhanaAllah jazakallahu kheiran

  • @MaryamKhamis-rj7pj
    @MaryamKhamis-rj7pj Рік тому +2

    Napata mashaka sana ni ninavoishi jee sheikh mzazi anapomlazimisha mwanawe kumuacha mke wake ni Haki kumtii

  • @nasramusaro
    @nasramusaro Рік тому +1

    Jazakalah kher

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 Рік тому +1

    Naumia sana shekh kwaajil ya kisa hiki

  • @qamarbashir8149
    @qamarbashir8149 Рік тому +2

    MashaAllah sheikh baraka lahu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Subhannallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Allah akulipe kher inshallah

  • @user-oe9ip3xv2j
    @user-oe9ip3xv2j Рік тому

    Sheghe Othman we baba kwanza kiukweli mm nakupendaga sana tangu enzi za ujana wangu mpaka sasayani nikisikia tu mawaidha Yako moyo wangu unasuuzika mungu akupe uhai mkubwa uzidi kutupa mawaidha mazuri jazakkallahu gheri sheghe❤❤❤❤❤😂

  • @Aminachande-wg6vi
    @Aminachande-wg6vi Рік тому +1

    Mungu awajaalie Wanamaker wrote waishi Marshall marefu

  • @russysalimu2498
    @russysalimu2498 Рік тому +2

    Ya ALLAH tunusuru mimi nandugu zangu na vizazi vyetu inshaallah

  • @user-gi3mp8nf2v
    @user-gi3mp8nf2v 9 місяців тому

    Mashaallah mashaallah ❤🎉

  • @dihamejr-bh6np
    @dihamejr-bh6np Рік тому

    MashaAllah tabarakallah

  • @nusratsemtawa5390
    @nusratsemtawa5390 Рік тому

    Jazakallah kheir

  • @AbdiShui-xo7qi
    @AbdiShui-xo7qi Рік тому +1

    shkuran sana shekhe wetu

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Рік тому +2

    Mashaalah tabarak llah

  • @sumahyasaid7711
    @sumahyasaid7711 11 місяців тому

    😢😢😢shukran ostadh kwa kutukumbusha kutii wazazi na kuwa kumbuka

  • @timaali8254
    @timaali8254 Рік тому +1

    Subhaanallahi ❤May Almighty grant my parents in this world and here after In Shaa Allah 🙏

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому +1

    Subhanallah, Allah atuhifadhi na vizazi vyetu.

  • @gkirunguofficial9028
    @gkirunguofficial9028 Рік тому

    shekhe,,,unasauti y usanii kweli kweli,,,allah akuzidie ne'ema

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 10 місяців тому

    Maaashallah mawaidha mazur sana

  • @nurumwavyema1777
    @nurumwavyema1777 11 місяців тому

    Nakupenda sana kwa Ajil ya Allah

  • @MaryamKhamis-rj7pj
    @MaryamKhamis-rj7pj Рік тому +1

    Naumia kuona mwenzangu Hana mawasiliano mazuri na wazazi na hata afanye wema Gani baba yake haridhiki naomba nijue jee ni Haki kumtii anavotaka

  • @user-dy4qf7uj2x
    @user-dy4qf7uj2x Рік тому

    Mashaallah Allah atuongoze na cc na vizazi vyetu Yarrab

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 Рік тому +2

    Maa sha allah

  • @swabirattwas6796
    @swabirattwas6796 Рік тому +2

    ALLAHU AKBAR 😪🤲

  • @user-rp1ig5ec1p
    @user-rp1ig5ec1p Рік тому +1

    MashaAllah ❤❤❤

  • @KhadijaMbwana-kb8ib
    @KhadijaMbwana-kb8ib Рік тому

    Alhandullillah tunakuelewa sana sheikh wetu

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +1

    Tatizo malezo yawazee wenyewe wanawalea kwakuwaohopa watoto kama watoto waoman wanaongoza wazazi wao kama bata

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Рік тому +1

    Mashallah

  • @fatumafatuma
    @fatumafatuma Рік тому

    Allah Atujaalie Tusikilize yanayo Semwa na Kuya fuata inshaallah

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k Рік тому +1

    Takbiiiiirrrrrr❤❤❤❤❤❤

  • @user-to3ys2gv1s
    @user-to3ys2gv1s Рік тому

    Sheikh Othman maalim Allah akupe umri

  • @greenrosesshebety8227
    @greenrosesshebety8227 Рік тому +1

    So sweet 😋 💖 💓 💕

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Рік тому +1

    Nauliza ivi kwa mfano mama alifariki nikabaki na baba lkn bbngu nimlevi anakunywa pombe na aswali je uyo nafaa nimseidie au la nisaidie. Jomon 😢😢😢😢

    • @hashimurajabu2089
      @hashimurajabu2089 6 місяців тому

      Baba ni baba we fanya kwenye nafasi yako hukumu anaijua allah

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому +2

    Mashallah tabaraka Rakhman ❤

  • @user-dw8kf8jr8f
    @user-dw8kf8jr8f 11 місяців тому

    Subhana llah

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Рік тому +1

    انا لله وانا اليه راجعون
    Maneno makali sana
    Mola awarehemu wazazi wetu
    Mola amrehemu mama

  • @aplus3805
    @aplus3805 Рік тому

    Allah tupe nusra

  • @RahmahMasaood-pb1wm
    @RahmahMasaood-pb1wm Рік тому +4

    Takbiiir

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +1

    Wazazi huwapenda kupitiliza watoto wao ndio maana watoto hukosa adabu

  • @KhamisHajji-gm4ns
    @KhamisHajji-gm4ns 11 місяців тому

    Yarabi husnaa

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Рік тому +1

    Innalillahi wainnaileihi rajiun

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 Рік тому +1

    Yarrab tujaalie tupate radh za wazazi

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ibrahimmzungu3849
    @ibrahimmzungu3849 Рік тому +4

    Wakwanza kulike

  • @user-zb4py9rl9c
    @user-zb4py9rl9c 5 місяців тому

    Husbunallah wanemal wakiil 😢

  • @miminaah3911
    @miminaah3911 Рік тому

    Naam

  • @mariamissa9405
    @mariamissa9405 Рік тому

    Subhanallah

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +2

    Tatizo wazazi ndio wamewaharibu watoto kwa malezi yakuwaogopa

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Рік тому

      Omba hidaya kwa watoto sio malezi kuna watu wakali kwa watoto wao na wamepotea. Allah atustiri sisi na vizazi vyetu

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@fatmaabdallah7709 Hata vip watoto tunawapa mapenzi yakupitiliza tunawaogopa kuwaambia lolote mwisho hugeuka nyoka wakatutafuna

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@fatmaabdallah7709 kweli uwe mkali mtoto akutawale napinga

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@fatmaabdallah7709 oman wazee hawana kauli watoto ndio wenye sauti nasema kwauhakika kabisa nimekaa oman miaka 14 kikazi nimeyaona

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@fatmaabdallah7709 watoto waoman mzee ndio kawa mtoto tatizo mapenzi namtoto ukimpenda sana huzuzuka

  • @meselemanihoka5107
    @meselemanihoka5107 Рік тому

    MashAllah

    • @fatumankya610
      @fatumankya610 Рік тому

      Allah atusanehe pale tulipoteleza Kwa ndimi zetu Kwa kuwatolea maneno yasiyowaridhia wazazi wetu

  • @hamadiomari7804
    @hamadiomari7804 Рік тому +3

    Mungu atujalie tuishi vizur na wazazi wetu

  • @FahadNassor
    @FahadNassor Рік тому

    Maashaallah

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz Рік тому +1

    Subhana Allah

  • @mrsab303
    @mrsab303 Рік тому +1

    MashaAllah ❤❤❤❤❤

  • @ZubeirMaalim
    @ZubeirMaalim Рік тому +1

    Mashaallah