YANGA WANA KIBURI KWASABABU WANA TIMU| YANGA WANA WACHEZAJI WENGI LAKINI WANA KIKOSI CHEMBAMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 116

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 5 місяців тому +29

    Ki uhalisia ni Kwamba Yanga haikucheza na Mamelody, Bali Yanga walicheza na Timu ya Taifa ya Africa Kusini, Bravo Yanga, Bravo Tanzania 💪🇹🇿💪

    • @luwanda03
      @luwanda03 5 місяців тому +1

      Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa....

    • @omarmohamedriko4597
      @omarmohamedriko4597 5 місяців тому

      Kweli kabisa bro Yanga kama klabu ilicheza na timu ya taifa ya south africa coz wachezaji tisa ni sehemu ya kikosi cha bafana bafana kilichocheza afco 2023 takriban miezi miwili iliopita bro

    • @musaalfred1207
      @musaalfred1207 5 місяців тому

      Bravooo

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 5 місяців тому +18

    Kiukweli kama Yanga wangekuwa na striker ambao ni clinical finisher kama Mayele,Yange angeshinda. --- Mzize anatatizo la kuchelewa kufanya maamuzi na kutojua kufanya maamuzi sahihi.

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 5 місяців тому +1

      Nakubaliana tu kwamba Yanga inahitaji mmaliziaji mzuri. Lakini sioni kama Mayele ni mfano mzuri...! Misimu miwili aliyokaa hapa bongo alishindwa kuchukua moja kwa moja ufungaji bora na akiwa ana wastani wa kucheza karibu kila mechi katika ligi!

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 5 місяців тому +1

      Tukimpata Kam dube ama mastriker mengine ila sio mayele mayele ni Kam mzize tu kwa nafasi 6 anaweza funga goli 1 2

    • @ikrahtune
      @ikrahtune 5 місяців тому

      Dunduk umeanza ngonjela zko mayele kashapit wakat wak acha ujinga n ss wananch mtu yeyote anashinda nenda kajadili uwezo wa wzee wenzio

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 5 місяців тому +1

      ​@@malietamalietDuh sio kweli mdau Mayele hafanani na Mzize kbs maji na mafuta kbs ndugu tumsichukie kwa haya yanayoendelea sasaivi mitandaoni hayo tuyaache kama yalivyo tu ila Mayele yuko juu sana mpambanaji analijua goli sana tu

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 5 місяців тому

      @@checkchannel3876Wewe Ni Kolo Nn Unamkataa Mayele😂😂

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 5 місяців тому +5

    Baba levo unaujua mpira tena Sana Sana kwanza upo vzur Sana kama edo kumwembe yani hauna tofaut na akina oscar huwa hauborongi kbs...kuhusu Guede na clement umewaelezea vzur

  • @maikoluwondo3205
    @maikoluwondo3205 5 місяців тому +1

    Baba levo unaangalia mpira kwa jicho la tatu u are clear

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j Місяць тому

    Oscar nimekuelewa unaongea vzr

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi 5 місяців тому +10

    I WISH 1 day yanga icheze na Timu ya Taifa Ya Ufaransa

    • @elimringimoshi590
      @elimringimoshi590 5 місяців тому

      Wewe ni chizi huijui unachoongea

    • @GodfreyKunambi
      @GodfreyKunambi 5 місяців тому

      @@elimringimoshi590 Uchz wang ni Nin

    • @leonardkinanda3284
      @leonardkinanda3284 5 місяців тому

      Hayo ni matamanio na ndoto isiyokuja kutokea! Club kucheza na National Timu si kitu rahisi

    • @GodfreyKunambi
      @GodfreyKunambi 5 місяців тому

      @@elimringimoshi590 Sijui Nnachoongea na hcho nlichoongea ni Nin

  • @abdilahinjopeka3053
    @abdilahinjopeka3053 5 місяців тому +2

    Mimi sikubaliani na Oscar, lazima kuwe na first eleven hawawezi kuchezi wachezaji wote, unaweza kuwa na timu 2 lakini kila timu na timu mechi yake

  • @allyr.mavura7878
    @allyr.mavura7878 5 місяців тому +4

    Mwacheni mwalim Gamond afanye kazi yake. Hayo ni maoni yenu tu

  • @guccij6236
    @guccij6236 5 місяців тому +7

    Nyie sindo mlisema tutafungwa😂Ila wachambuzi wa bongo bhana

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 5 місяців тому

    Hivi na ninyi wachambuzi wetu kweli mnaujua mpira? Mbona hata mamelod walipiga shut likazuiliwa kwa mkono na bek wa yanga lakin hamsemi? ilakama ingelikua kwa yanga magazet yote yangemwatak mwamuz, kwan mamelod hapa walikuja kujilinda tu nakuwazuia yanga wasiwafunge subirini leo ndipo mtaamini ninyi wachambuz hamuujui mpira mko sawa tu na mashabiki wayanga akina babalevo

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 5 місяців тому +2

    Oscer ni kigeugeu mpaka na shindwa kumuelewa kabla ya mechi alikuwa haipi yanga nafasi kabisa😢

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 5 місяців тому

    Yanga tuna kikosi kizur cha kufanya vizur sehem yyte ila tunahitaji kupata straika wa kutumia kila chance inayopatikana basi

  • @AldofNyankena
    @AldofNyankena 5 місяців тому +1

    Yaan baba levo uko sahihi Hilo la Kocha wetu kuchelewa kufanya sabu linaniumiza moyo kweli hapo kwa Okra na sio mechi Moja angalia mechi Berzdad nusu wapate goli wanafanya sab ye katulia angalia mechi ya mashujaa alichelewesha sab alafu akafanya sab ya hovyo ni Mungu alisaidia na ni mechi nyingi yaan Kuna mda unataman mpaka uingie kwenye tv utokzee uwanjani tena sio kwa mashabik kwenye benchi umwambie huon,.

  • @AbdallahNguvumali
    @AbdallahNguvumali 5 місяців тому

    baba levo ulinifuraisha sana kipindi kabla yanga ijacheza ile kauri yani akuna kuziwia kushambulia yaani vurugu mara penati kitaeleweka daa ase ulinifuraisha sana na tumejitaidi

  • @mlalikwabiswalo7804
    @mlalikwabiswalo7804 5 місяців тому

    Oscar umenena vzr yanga inakikosi kikubwa ila mwalimu amekifinya ana watu wake kadhaa na mfumo huu unauwa wachezaji yani wachezaji wengine kucheza mpaka wachezaji wake anawapenda yeye waumie hii sio sawa maana kila mchezaji aliyopo yanga ni bora.

  • @DianaAbdalah-d8z
    @DianaAbdalah-d8z 5 місяців тому +2

    Akuna asiyefungwa ila ata simba imefanya, vzur simba msikate tamaa ila mungu yupo, unaemzarau, mungu anajitukuza

  • @rweyemamurweyemamu680
    @rweyemamurweyemamu680 5 місяців тому

    Mnaomsema Ocra aanze mnataka tufungwe,ni kweli ana mbio na ni mzuri lkn issue inategemea ni mechi gani atumike maana shida yake harudi kukaba na sio tafu kugomgana na beki kama Mzize,tusimlaumu Mzize bali tuwaambie viongozi waache siasa watafute watu wa maana sio akina Guede

  • @EzronEmanuel
    @EzronEmanuel 5 місяців тому +2

    Oscar Oscar ata nabi alianza ivyo ivyo mpe mda ata gaamond

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 5 місяців тому

    Baba level nakuona leo umeimprove sana

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 5 місяців тому +2

    Yanga Wekeni Dube pale mbele tumalize shughuli

  • @makatajumaa4298
    @makatajumaa4298 5 місяців тому +1

    Hahaaaa kwamba wanasubiri kukusoa tu na sio kusifia😂

  • @mathewdickson8891
    @mathewdickson8891 5 місяців тому

    Okrah ana spidi lakini anafanya nini asipokuwa na mpira??

  • @rubenmsimbe934
    @rubenmsimbe934 5 місяців тому

    Wachambuzi wa kitz mh,yaani hawachambui kiufundi wao wanachambua kimahaba,anazungumzia mamelod timu ya kawaida kabisa,kigezo ni kwa kutoa sare na yanga...

  • @halidmauga96
    @halidmauga96 5 місяців тому

    Kwanin kila mchezaj aendelee kufananishwa na mayele? Wakati hawa wakina mzize na musonda timu nyingi hazina washambuliaji wa aina hii

  • @hamzachiute619
    @hamzachiute619 5 місяців тому

    Baba levo hapo yupo kama mchambuzi wa Mpira au yupo kama Shabiki ....

  • @iddiharidimohamedi5517
    @iddiharidimohamedi5517 5 місяців тому

    Fainali ni Yanga na Al Ahly, mark my words 🎉🎉🎉

  • @jewelmabhenga4742
    @jewelmabhenga4742 5 місяців тому

    Huyo Oscar awe anaacha edo anachambua mpira yeye analeta siasa

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 5 місяців тому

    😢😢ila watanzania wachambuzi wetu niwashenzi sana penye ukweli hawakubali
    Sasa angalia jinga linavyotumia kauli za ovyo eti wanakiburi tumia lunga nzuri

  • @MarietaJohn
    @MarietaJohn 5 місяців тому

    Iv we oscs osc uwaga mshsbiki wa tm gan mbn kama uerewekag naonag upo upand wapil kweny uot wasili 😮😮😮

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 5 місяців тому

    Hili Oscar linafiki tu yanga hawana kikosi kwani mlishamuongelea mkude liini nyie c mpk amecheza ndio mnasema acheni basi kifinyu ni cha timu yko MAKOLO fc achana na sisi

  • @AldofNyankena
    @AldofNyankena 5 місяців тому

    Baba levo anajua kufunga hana nguvu mipira mingi anatukaba, hapo mzize aanzie nnje msonda striker na Okra aanze

  • @ashrafadam4629
    @ashrafadam4629 5 місяців тому

    Oscar ww mbabaishaj kwn Yanga unawaponda ata kabla ya mechi ya Mamelody ulkua unasema tunapoteza ila leo unafanya nn acha tuwe na kbur ww ni shabik wa simba kabis

  • @AmidaMangota
    @AmidaMangota 5 місяців тому +2

    Wachambuzi wa mchongooo

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 5 місяців тому

    Yeeees,tutaendelea kuwanyoaaaa

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 5 місяців тому

    Kama huy oska nimnafiki Sana Sana Yani mtuwakubadilika Kama kinyonga

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 5 місяців тому +2

    Yanga haina ugenini hapa Afrika

  • @ashorass4431
    @ashorass4431 5 місяців тому +1

    Nice baba levo

  • @SaidSaid-uz3wk
    @SaidSaid-uz3wk 5 місяців тому

    Kiburi ni vazi la mungu Oscar,sema Yanga wana jeuri.

  • @hamzachiute619
    @hamzachiute619 5 місяців тому

    OSCAR SI UMTAJE FARID MBONA UNAZUNGUKA KUTAJA AKINA OKRA ..MAUYA ..MKUDE...NENDA KWENYE POINT...KWANINI FARID APAT NAFAS😂😂😂

  • @sulebest4457
    @sulebest4457 5 місяців тому

    Kwani nyinyi yanga mumesahau km mulisema mutmfunga mamelod na watapgana km walivyopgana waarabu

  • @HAKHASH312
    @HAKHASH312 5 місяців тому +2

    Wana nafasi zaidi kama vile yanga anacheza peke yake 😂

    • @godfreybeatus8396
      @godfreybeatus8396 5 місяців тому

      Aisifiaye mvua south siyo bongo utopolo anapigwa nying

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 5 місяців тому

    makolo bwanji wanaumia kuckia yanga inasifiwa

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 5 місяців тому

    Mtu wa kigoma safi ukweli umeusema

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 5 місяців тому

    BABA LEVO KWA GWEDE HAPO NAKUKATAA HUJAWAHI KUINGIA CHAKA KWENYE CHAMBUZI ZAKO TANGU UANZE HIKI KIPINDI CHA JANA NA LEO ILA KWA GWEDE HAPANA HAPANA

  • @barakmzee2563
    @barakmzee2563 5 місяців тому

    Baba levo tia neno hapo

  • @kamandashupavu206
    @kamandashupavu206 5 місяців тому

    Kasoro babalevo wengine ni wanafki wakubwa kabla ya mechi mlisema hatoki Kwa mamelod Leo mnaipamba ...
    Kwenden zenu

  • @SafariMagesa-hw6kt
    @SafariMagesa-hw6kt 5 місяців тому

    Yangaa kikosi kazii wazeee

  • @AbdullyCharles
    @AbdullyCharles 5 місяців тому +1

    Oscar oscar wataka upana wakikosi gani mkuu mbna juzi kaonyesha upana wake

  • @EmmaMtusi
    @EmmaMtusi 5 місяців тому

    Baba levo yuko wapi Adelah

  • @CharlesNdaki-mb5kt
    @CharlesNdaki-mb5kt 5 місяців тому

    Hapo uko sahihi

  • @AtanasioDaffa
    @AtanasioDaffa 5 місяців тому

    Hamli"Hamlali mnaongelea Yanga tu""Mara mnaiponda Mara muisifie..Nyie ongeeni vyovyote..Lakini matokeo ya Yanga hata maadui ,zake watashangilia tu...Hata simba WANAJUA

    • @CharlesSeleli-to2un
      @CharlesSeleli-to2un 5 місяців тому

      Oya yanga ni kama maji tu usipoyaoga lazima utayanywa kwa lazima uyazungumzie tu

  • @dicksoncyprian9511
    @dicksoncyprian9511 5 місяців тому

    BABA LEVO ANACHAMBUA VIZURI,KULIKO HAO WACHAMBUZI WENYEWE

  • @khalidhamka9567
    @khalidhamka9567 5 місяців тому

    Edo unakunywa konyagi studio😂😂😂😂😂

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 5 місяців тому

    Zipo redio baadhi wachambuzi wao niwahajabu sana walitutisha mpaka basi,,ipo redio moja Yanga walipotoa kikosi chao kwa mkapa yani wachambuzi wote waliachia kicheko mpaka nikatetemeka.

  • @AldofNyankena
    @AldofNyankena 5 місяців тому

    Sijui uongoz hua hawakai nae,.

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 5 місяців тому

    Mpira mchezo wa maisabu

  • @ellymzalendo4517
    @ellymzalendo4517 5 місяців тому

    Msisahau na wao memelod walikosa wachezaji wanne wa muhimu😂😂

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 5 місяців тому

      Muongo wewe walikosa mchezaji mmoja tu

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 5 місяців тому

    HIVI NYIE SINDO MLISEMA TUTAFUNGWA KWA MKAPA??

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 5 місяців тому

    Nyie mnaliwa mtako

  • @NuruBoazHomoke
    @NuruBoazHomoke 5 місяців тому

    Wachambuzi munakosea munaisifia yanga ilicheza kama Iko ugenini imecheza bila kushambulia ngoja wakapigwe na nyie mtabadorika hapo hapo

  • @SafariMagesa-hw6kt
    @SafariMagesa-hw6kt 5 місяців тому +1

    Wachambuzi miyeyuxho nyieee kasoro babalevoo

  • @jumaseseme1654
    @jumaseseme1654 5 місяців тому

    Nipo na wewe Baba levo gwede anajua kufunga kuliko mzize

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi 5 місяців тому

    hata huyo jirani Yako ana kiburi. lijamaa linakunywa maji mbele ya kamera mwezi huu..

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 5 місяців тому

      Acha uchoko wewe kwani kosa nini

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 місяців тому +1

      Mfungo wa maonyesho,kulazimisha kushinda njaa.. kila moja aishi maisha yake

    • @EsterKindoli
      @EsterKindoli 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂​@@josephlorri431

  • @martinhaule2827
    @martinhaule2827 5 місяців тому

    Huo ni ushamba wa kigoms wewe si mchambuzi ila unamapenzi ya uyanga na ni ushamba unakusumbua ujaujua mpila umeuvamia uzeeni ndio unaokusumhua

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 5 місяців тому

    Nyinyi wchambuzi hamjui mpira simba.wamecheza na.tim.kubwa kuliko mamellod lakini hamuoni Performance.yao wajinga.tu nyinyi

  • @MohammedAli-sd8ji
    @MohammedAli-sd8ji 5 місяців тому

    Ww kaka muimu kupewa mauwa yako

  • @scorehouse3174
    @scorehouse3174 5 місяців тому

    Tuliwa heshim Sana ndio kosa kubwa tulilofanya

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 5 місяців тому

    Unashindaje wakati unapaki basi ktk uwanja wa nyumbani? Ukifika ugenini utanyeshewa subirini tuone

    • @AtanasioDaffa
      @AtanasioDaffa 5 місяців тому +2

      Hilo dua la kuku""na kwa taarifa yako itawachukua miaka mingi sana kufikia kiwango cha Yanga..Bila shaka wewe shabiki wa madunduka..Pooole kwa ahly ushatoka kitaaaambo.

    • @SomoeIssa-ft6ml
      @SomoeIssa-ft6ml 5 місяців тому +1

      Km ndio hvyo bora na simba ingepaki ikatoka sare kuliko kufungwa nyumban😂😂😂

    • @CharlesWilliam-q7j
      @CharlesWilliam-q7j 5 місяців тому

      Mechi za mtoano zinachezwa kwa mikakati.huna taaluma yoyote ya mpira ya kumzidi Gamondi.

  • @Nyamkolajumanne
    @Nyamkolajumanne 5 місяців тому

    Tunatoboa.sauzi

  • @NuruBoazHomoke
    @NuruBoazHomoke 5 місяців тому

    Hawa mashabiki ni waongo

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 місяців тому

    Wambea nyie Hadi unakunywa maji hadharam mwezi mtukufu😂😂😂😂

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 5 місяців тому

      Choko Kwan unaona wote tunafiata dini ya kiislam??? Nyie watu mna matatizo gani?

    • @petermpoma9022
      @petermpoma9022 5 місяців тому

      Kama ungekua Islamic p using mtukana mtu.

  • @williamwarioba6099
    @williamwarioba6099 5 місяців тому

    Nchi Kuna mambo ya kijinga sana watu wameshsau Yanga juzi TU wamefungwa misri wanajisaulisha

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 5 місяців тому

    Mbona Club bingwa hawajawahi kushinda nje ya Nchi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 5 місяців тому +3

      Muone daktariiii una Al alhly fevers ..... Ikipanda kichwani ni ngumu kutibikaa , hayo ni maradhi mabaya kwa afya ya akili 😅😅😅

    • @FatmaRajab-ll8gw
      @FatmaRajab-ll8gw 5 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂rudi shule ndugu yangu

    • @HAKHASH312
      @HAKHASH312 5 місяців тому

      ​@@mwanangusanasema kashinda game ipi acha kuongea ubwabwa

    • @benedictsaulingi8229
      @benedictsaulingi8229 5 місяців тому

      Kwani el-marreck alipofungiwa Rwanda ilikuwa ni ndani ya nchi?

    • @sayman158
      @sayman158 5 місяців тому

      ​@@HAKHASH312 simba alimfunga As vita kwao 1-0 msimu wa 2020,pia alimfunga el.mereikh kule kwao ,,kama unakumbuka.msim huo simba akaongoza kundi Akiwa na point 13 na Al ahly nafasi ya pili.point 10

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 5 місяців тому

    BABA LEVO KWA GWEDE HAPO NAKUKATAA HUJAWAHI KUINGIA CHAKA KWENYE CHAMBUZI ZAKO TANGU UANZE HIKI KIPINDI CHA JANA NA LEO ILA KWA GWEDE HAPANA HAPANA