What we are thinking is next time try to look for serious actors who can act to look it real 😂😂Hawa wamekuwangusha mpaka hata mtoto anaweza jua tu it's acting not real😢😢😢
Brave married women dont hide it anymore,leaving their husbands flabagasted.
Keep it up wajiku napenda bidii yako girl
Wanjiku your camera man iz becoming soo lazy hamuliki poa hawa watu hawaonekani
Afro continues; act welwel
Sanitize simu ya Mercy huenda tony Ni mmoja tu ya wanaume wake.Mke wa tony anaonekana mtu wa Vita kwa ndoa na miale ya maneno kwa Mume wake ,tabia hiyo hufanya upendo kumtoka Mume polepole.Wanaume wanapenda wale wa heshima.
Number one🎉🎉🎉🎉likes zicome
Kama hii si acting huyu Tony ni mjinga mjinga kabisa
How do you leave a young wife and go for granny
What ever you do to your lady it will be done to you
KWA MAONI YANGU NIMESIKIA UCHUNGU SANA ! HUYU MKE NA BWANA YAKE WAMEFIKIA DECISIONS MBAYA OUT OF DESPERATION, RASTA ANAPEWA PESA NA MAMA SPONSOR NDIPO AVUNJE NDOA NAYE MAMA ANA UNA MAPENZI NA MTU WA MAJI.
I was doubting 500 per day! Ndudhi! Mumamas is there and ready for it all
Wanjiku nakupenda akin usinigeuka tukifika kwa mubabaz wangu😂😂😂😂
Ña bona wote wanakaa vienyeji
Hata nashangaa eti boss su sugarmummy ni yupi nywele hazichwanuliwi hazishukwi viatu zakikomba na nguo za mitumba😂
😂😂😂 ati unawalisha wah nunua mapezi itakulaba
I can feel the pain of this lady
I like the way wanjiku aske questions one by one
Sisemi kitu when i grow up i want to be like Angel wanjiku a
Hata mwanaume anafaitiwa aii❤❤
This man must be having a good game😂
The nduthi hasallers should all be arrested this is shameful.
@@Kiilu_Onesmus bibi kama hana heshima na ataki kujituma unataka the nduthi guy afanye nini God gave each one of us an equal life so use it well don't blame it on any one for an example ukipata ukmwi utalmwu mwenye amekubukizia.
@@jbnj7413 let this be an example be to everyone who treat their men badly.
Wewe mercy ungekua na figure kaa yangu saa SITA ungeringa aje,achana na ndoa ya Naomi itakucost bure
Kalondu shipendi
Ule wazimu uko *Kenya* ni mwingi sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anyway Iam enjoying to be a single mother of 3 and they enjoying to have a mummy like me........
Me too 6 children niko poa sana bila stress za mwanaume for sure single ni raha 😂😂😂😂😂
@@emillyajiambo4703 😂😂😂😂may Almighty God be upon us mimlele na milele Amina 🙏 🙏🙏🙏
Umaskini ni mbaya 💔📍dear God plz come through for those who are financially unstable
Angel you are not fair,,fanya sanitize simu ya kila mtu hapo
Weeee moto kama pasi
Watu wa nduthi aki
Sidechic is older than this lad
Eish mnafaa kuwa watu wanaanikana wakiwa straight not with hidden storoz
Mnapigania mwanaume 😮
Wanjiku please sanitize their fons
What are they fighting for?
Wangiko,that's wrong,u cdnt pick that ladies phone with out picking for mercy ,that's wrong pliz,all the three have things underground
If this woman is well groomed then where is the father of his kids
Jama haki ni mugiga sana
What do men put their women to surely? How can you leave your woman to be humiliated like this??
Naomie usililiye mwanahume Mungu yupo anateteya wanyonge usikatitama ungali mudogo sana
Mm nkifikia mahali apa pakugombania boy especially mrasta😂😂😂😂mnitoe kichwa mkunywe supu😅
This is crazy 😂😂😂😂😂
Siange revenge kwa mwenye alimnyanganya bwana, sasa mbona kulipisha na mtu ajakunyanganya
Vijana wanapenda kulelewa hawataki kujituma .
Haki wanawake mnapigania kahii???
😂 😂 😂 😂 Mnipitie ady
Hiki kimama is a real 😈
Wenye mnasema ni script si mlete zenu real na ni kwa nini mnaview , ikuwe script isikuwe bora nikuwe entertained ❤
Hawa watu wote nivyenyeji hawachani, hawashuki, wanakaa same plot so sugarmummy au boss ni nani? Ladies lets work toavoid this shame😂😂
Sasa huyo wa checked dress Ako poa wapi juu anajisifu sana
Huyu mathee Yuko desperate Sana...
Anikana show....
hiki kimama kinaniboo nkt
Alafu hiki kimama ni kama kiumbwa
Marcy kalondu umeparara na unasema uko na pesa
Hizi vitu zinakuanga za ukweli??
Nani atachukua kichwa ,na Nani atachukua kiuno😅
😂😂😂😂😂kwani unalisha watu juu ya mapenzi😂😂😂😂
this Mubaba of today is to weak to stand the pressure and the size plus strength of his women.
Kama bwana wakwanza alikuacha pia huyu vile vile atakuacha😢
Mnapigania mwanamke nyinyi
Ulaaniwa😂😂😂😂
Huyu mama naye si atumie akili jamani
Pahari nimefikia i was against wamama lakini i can't hold on too much to burst pia mimi nataka mumama
Scripted ama ,,,,,,provider pia ako tu league normal
😂😂😂mama kiwinya kwaheri bye bye, Tony ataende siku pesa itaisha🎶 🎵 yani mama mzima wa watoto wawili anakatia huyu rasta fala bwana wa wenyewe...siku hizi mama kiwinya mpaka alipe mwanaume ndio apendwe😮😂😂😂. Tony huna haya kijana taaaa😢😮😢😮bona mama mzima jameni? One day Tony you will regret your sponsor. Mwanamke kiwinya bona unanjificha na Tony, Naomi akikuchapa? Kiwinya wife to be, you look very crazy. 😂😂Naomi wachana na Tony naompee muda, with time kiwinya atachoka kumulipa tony juu ya mapenzi...ata rudi tu. Meantime Naomi piga rodi pia wewe wanaume ni wengi hata mwanzia ni mtu tu❤
Tony unakaa funny sana katikati ya kina mama wawili.
all in all tony iz after money
Nani mwingine anaona vile sidechick anajificha natony navile ameshikilia tony
Huyu kijana amekosa mwelekeo na kitamramba tuu
Watu wenye anaside na goat wife hamoni pia anacheat
huyu mumamaa ni Malaya,huyu Jamaal ATA regret
Nipewe huyu mama nimchapwe slap mbili tu
Miss i dont care is evil
This boy will regret kufuata mumama juu ya pesa kwisha wewe hapo akuna mapenzi enda lelea mwanaume watoto utajua hujui utajua kwa nini bwanake alimuwacha
Money can buy anything😢
Shida ni kwamba the raster man atacheat huyu mwingine
KARMA awaits
This too bad for the wife, I know how she feels,it's heartbreaking
On behalf of other ladies like me how do you finance aguy juu nataka kujua🤔🤔
Ni nani wanapigania 😅😅😅yawaa wanawake kweli wamechanganyikiwa
Rasta hana pesa amewekwa na Mercy
Mko n ujinga wasichana
😂😂😂😂😂keinya😅😅😅😅
No comment
Heeeh!
Mwanzia tena?!!😮😮 Goat wife na vile umepiga kijana wa wenyewe??
Wonders🫢🫢
Is this real or acting
Hawa watu tunaletewa knowadays r so boring
Msijifanye hamujasikia wife akisema woman material
Rasta marry from kamba huwezi dhulumiwa hata kama umekosa...achana na hii anataka tu pesa😂
Wacha siku Ile ataambiwa fungueni ni Mimi mwenye nyumba wacha aende kufugwa
Sasa hawa wanapigania nini???
Huyu toniii ni ngunia ya. Mwanaume
Huyu kondoo mbona anakaa 40 yrs 😅
Na vile umehaibisha rasta last episode what goes around comes around 😂😂
Mmama iz confusing tony with moneys and with love
،you don't need to be around pple who don't see and appreciate your value
Wenye mnasema ni script tunangoja zenu real😢😢 please
😅😅