PASSPORT Sehemu ya Kwanza (1)
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- PASSPORT Sehemu ya Kwanza (1) Full Movie
Passport sehemu ya 1
Passport part 1
Passport Episode 1
Pembe part 2
Pembe sehemu ya 2
Pembe sehemu ya Pili
Pembe episode 2
Pembe
Limbwata Full Movie
MWANA PART 2 Full Movie 2023
MWANA Sehemu ya 1
MWANA Episode 1
MWANA Sehemu ya Kwanza
KASHESHE Ep 2 FULL MOVIE 2023
KASHESHE sehemu ya 1
KASHESHE sehemu ya pili
KASHESHE sehemu ya 1
KASHESHE sehemu ya kwanza
KASHESHE part 1
KASHESHE
KASHESHE part 1
New Movie
Film
Mkwaju
Mahari
Battery
Netflix
African
Sadstory
Love
Swahili Movies
umzu
oberlo
Bongo Movie
Swahili Movies
MWIBA PART 1
MWIBA 1
HIDAYA BOLI
MSIBA
MSIBA FULL MOVIE
MSIBA PART 1
MSIBA 1
latest swahiliwood bongo movie
Swahiliwood bongo movie
Tinwhite
Mkojani
Fagio Series
Fagio
Ugaigai
Pita huku
Steve Mweusi
African Home
Njugush tv
Madebe Lidai Muuza kahawa series
Kenya Movies
Latest Kenyan Movie 2023
Nigeria Movies
Millard ayo
Diamond Platinumz
Alikiba
Harmonize
Rayvanny
Wasafi tv
Wemasepetu
Madonga
bongo Movie 2023
Bongo Movies 2023
African Tanzania Movie
East African Tanzania Movies 2023
Madebe Lidai na Chanuo Full Movie
Madebe Lidai na Chanuo Mwana full movie
Madebe Lidai na Hidaya Boli Full Movie
Ngoma mpya
Ngoma mpya 2023
Matusi
Matusi Madebe Lidai
Matusi by Madebe Lidai
Madebe Lidai Mwana
Mahari by Madebe Lidai
Shilingi series
Madebe Lidai Shilingi
Mboni Madebe Lidai
Chanuo na Madebe
Huba
Vodacom
Airtel
Tigo
Halotel
Zantel
TTCL
MTN
Coca-Cola
Pepsi
Azam
Email Marketing
Insurance
Sell House
Website Hosting
Ecommerce Software
E Commerce
Credit Card
Vpn
Online Business
Seo
Loans
Kazi zuri nawasapoti Sana Sema nini huo mdundo wa sauti umekuwa sometime unazidi kwenye sauti sometime hatusikii vinzuri
Asante 🙏🏼 tutaliweka sawa.
Nagwa kazi nzuri Kenya twakupenda pia tunapanda nyimbo zako
Asante sana kaka 🙏🏼
Kazikazi mwamba humohumo hakuna kupoa kazi nzuli
Asante 🙏🏼
kaka vp
imeenda hii 🤣🤣 nmeikubali
😮
Kilaaa mtuuu anaweza sema akitaka choo ilaaa uyooo mweupe amefitii uhuniiii vizulii tuuuuu❤❤❤❤
Asante 🙏🏼
Mwamba kafit San ten maneno yapo mdomoni sio uongeaji wa kukalili yupo vizur San keep going... 💪
Aya karibuuu 😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana Nagwa na wengine lakini sauti iko chini sawa
Asante sana 🙏🏼, tutaendelea kurekebisha sehemu zote!
Hapa ngoma nagwa hapa kishandu nakubali sana familia zangu🔥🔥👊
Asante 🙏🏼
Kali sana
Asante 🙏🏼
Nakubali
Nakubar 💪🏾 kazi nzuri 💯💯🔥🔥
🙏
Mnazingua hivy vinanda
🙏🏼 Tutaliweka sawa.
Ila mziki mwingi Sana mpk saut inakua chini sema kazi mzuli Sana
Asante 🙏🏼, tutalifanyia kazi 💯
Ngoma nagwa bendera chuma safi sana
Asante 🙏🏼
❤❤ Gostei Muito
🇲🇿🇲🇿🇲🇿💪💪💪
🙏🏼
full support from 001 🇰🇪 mko juu tuu sana..mume eleza jamii kunavoendelea #new Generation...wahuni hee nawatambua 👊👊👊 ma bloody.
Mule mule family apo kwenyewe aina iyo wala nn kazi nzuri sana hii
Asante sana 🙏
254 imeweza buda
Asante 🙏🏼
Congrats big up your work had now acen see jah bress you
Amen 🙏🏼
Good work
🙏🏼
Kazi nzuri nagwa sema sauti sehemu nyengine Haina salute
Asante 🙏🏼, tutaliweka sawa!
mmetisha wakush sema bit inatawala sana kuliko voice
Asante 🙏, tutalifanyia kazi.
Bwana nagwa tunakukubali big up man🇰🇪
Asante 🙏🏼
Umetisha sana yani ire kizazi
Asante 🙏🏼
Zimeni iyo mi sound beat inayo pita na sauti ina boa chengine quality ya video na editing zingatie ata izo camera mnazo shutia zingatieni na sauti kwenye movie
Asante 🙏🏼, tutalifanyia kazi 💯
.kaz 💥💥
🙏🏼
Ngoma nagwa nakukubali kisenge ❤
Asante sana 🙏
Content nzur lkn kiukwel tunaitaji content zakuivusha tasnia yet katka dunia kmataifa kwahz conten bdo tasnia yetu naiona inasogea kwa kidgo mno huo ndio ukwel unao umiza hz content za kiuni usela hatujengi tasnia maana tunaaamasisha vjana waish hvoo
Asante 🙏🏼, tutalifanyia kazi kuhusu ilo 💯
🤟🤟🤟 nakubali kichwa Andazi🙌🙌🤛🤛✊
Asante sana 🙏🏼
Nagwa unaweza sana mkali ila vijana wako hawajatulia san kwenye uongeaji,wahun wamekaa poa ila huyo mzee mjomba wa bint na mjumbe hawajafit kabisa.hao chura wako poa ila wapange kwenye maneno mkal wawe mapepe fulan alafu kali konki nazan unaekewa mkali namanisha nn,ila kazi poa san tunategemea mengi yenye kuburudisha.
Asante sana 🙏🏼
Hio nyimbo hapo background iko na sauti kubwa hata maneno tatuskii poa but movie iko sawa 2
Daah asante nimekusubir sana hatimaye umerud
Asante 🙏🏼
Ila ngoma nagwa nakukubali
Asante 🙏🏼
Hhhhhh mze nagwa kaz sn
🙏🏼
Nmependa tabuu alvo mchangamfu af anajua kuvaa uhusk wake
Asant 🙏🏾
Huyo mdada alomuokota huyo dada sijapenda alivyo igiza yeye kama kamuokota mtu ani kumuuliza tu mh
CHUMA Iko sawa Lakini sauti mumeinyima
Asante 🙏 tutaliweka sawa.
Sema sauti ipo chin sana nagwa
🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Pamoja Sana
NICE ONE NAGWA
Hivi kweli muhuni no mtu ambae anavaa cheni shingoni herine masikioni na kipini puani wewe sio muhuni no shoga kwani hofu yangu umevaa ahanga Kama umeweza kuvaa kipini utashindwaje kuvaa ahanga
Nakubali 💪💪💪
Asante 🙏🏼
movie mbayq bhana😢😢😢
🙏
mama mmoja shem
Sema nni ilo biti la boa kweli
Usijali tutaweka sawa
Kunavipande sauti ikochini sana
Usijali bos tutaifanyia kazi 🙏
Nangwa Kaka uko bike nini maana tumemisi kazi zako
Kazi zitakuepo nyingi sana 💯
Kali sana nakukubali mzito nagwa
Asante sana 🙏🏼
Nagwa tumekumis sana
🤙
Kazi Zuri ila Sauti ipoo chini.sanaa
Wanawake w skuiz mnaboa nyote mna mipini puani 😅
🙏🏼
Sijapenda😂
Nagwa tulisha wamiss😊😊
Asante 🙏
Sema sauti iko chini san wanangu
kazi nzur ila iyo sound inayosikika nyuma inazingua inafanya maneno yasisikike vizur
Asante 🙏🏼 tutaliweka sawa.
Nomileeeee
Huyu dogo wait mtoto wa mama sana hata maneno ya kihuni hayamkai yanampwaya uhuni siyo staili yake
Asante 🙏🏼
Mnakwama ktk sound sauti ipo chini baadhi ya vipande kingine background sound inakua juu kuliko waongeaji mkiongea zima sound background inazingua
Asante 🙏 tutaliweka sawa
@@mashinefilmtz shukrani kwa kuelewa na kutusikiliza wateja wenu asante sana nafikiri episode no. 2 itakua poa kwa sauti
mwamba mtukazi nagwa
🙏🏼
Tariiiiiii wauni nakubali wazeee sema zingatieni sauti sasa
Asante 🙏🏼, tutalifanyia kazi 💯
Jamani sound ipo juuu sana
Tutaliweka sawa 🙏🏼
Nagwa boleshea kwenye saut
💪💪💪🇲🇿🙌
🙏🏼
Mwendelezo naupata wapi
Tayari upo
Kumamaee wa kwele hawaa
🙏🏼
Movie safi ila sound effects ziko juu kuliko chenye mwaongea
Asante 🙏🏼, tutaliweka sawa 💯
Nagwa saut yako Ipo chin babuu.au hupo Sirius kwenye iyo movie
Tutaliweka sawa 🙏
💪
Asante 🙏🏼
Jitahidi sauti inazingua maneno haya sikiki
Asante 🙏🏼 tutaliweka sawa
Kuna Mtu Hapo Anafanana Na Afande Wa Zanzibar
Kazi nzr soundback iko juu
Asante 🙏🏼, tutalifanyia kazi 💯
Mashallah ❤❤❤❤❤
🙏🏼
🔥🔥🔥🇺🇸
🙏🏼
Sauti ni tatizo
Tutaliweka sawa 🙏🏼
Me sio shangingi lol 😂😂😂😂😂
nagwa kama nagwa #542
🙏🏼
Mmezingua sauti ila kazi kazi.
Asante 🙏🏼, tutaliweka sawa 💯
Hahahahaaaaa👍👍👍🇹🇿
🙏🏼
NYUNDO
Kanuti wangu uko juu
Asante
@@mashinefilmtz ushanijua
Nakbal
Hatalii
🙏🏼
Nangwa unafanana na barna boy kinyam
Asante sana 🙏🏼
Muendelezo please
Soon utakuepo
Og
Tatzo saut low qwalyt
Director kazingua sauti imesikia ikimwambia tabu amwambie piper "haya karibu"
Asante 🙏🏼 tutaliweka sawa 💯
Muendelezooo pleass 😢😢😢
Soon
Voice is donw please next tim collection
Tutalifanyia kazi 🙏🏼
Mh
😮
Bendera chuma
🙏🏼
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
🙏🏼
Kak kiufup haujui kuigiza ww pamoj na crue yako nzima movie zako hazin elimu Wala hazitujeng kwa chochot Zaid ya ujinga tu nakupotosha vijana kwa uamzi wangu km ningekua na kiwadhifa fulan iv nigekufungis kabs kaz hii
🙏🏼
Nilikuwa nataka niitazame hii movie ila kwa maelexo yako ngoja niache nisije kumalizia bando langu buree kwa ujinga wa nagwa
❤❤❤❤❤
💪💪💪🇲🇿🙌
🙏🏼