KIPINDI CHA MASWALI YESU ALISULUBIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 роки тому +1

    Yesu ndo jibu

  • @amanchidundo2849
    @amanchidundo2849 6 років тому +5

    Mbona haijafika mwisho watumishi wa Mungu,nafurahi sana mnavyowafundisha kwa wema wasiokuwa na roho mtakatifu

  • @davidmorthon7268
    @davidmorthon7268 6 років тому +15

    Ndasha MUNGU akubaliki sana,tunakupata sana pande za Tanzania, karibu sana Tanzania upige neno na huku!!!!

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому +2

      Kbs uyu jamaa Mungu kamchagua ili alihubiri neno la bwana tungefurahi kama angekuja Tanzania akagawa chakula cha bwana kwa watanzania

  • @petersitati3979
    @petersitati3979 5 років тому +2

    Kama kawaida kijana unafanya kazi nzuri.

  • @sangajackson6509
    @sangajackson6509 5 років тому +3

    Ndugu zangu waislam wanatabu

  • @جانيتكينيا
    @جانيتكينيا 6 років тому +8

    Jesus christ is the Lord of lords n king of kings.

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 5 років тому +1

    Walioyo na masikiyo wanepata kitu chamhimu maishani mwao. Following from Abu Dhabi

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 3 роки тому +1

    Ndacha never disppoint But some people can't function without negativity.....Because bringing down others makes them feel better

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 Рік тому

    Mwalimu Dasha , keep a way from this mission of islams vs christian . We waombee na habari hii imesha wafikia wengi , sasa wewe mtumishi wa Mungu tengeneza mambo yako na Baba ili kujitengenezea taji maana yeye hana haja ya kumtetea mbali yeye mwenye hujifunuwa kwa wale wampendaye na kufwaa njia ya take.wachana na hao wabishi maana watakunasa katika kuhojiaba nao

  • @drtobias_
    @drtobias_ 5 років тому +2

    Maisilam yapo kama mazuzu

    • @sabrakhamis4585
      @sabrakhamis4585 5 років тому

      Pole mimi nahis mazuzu ni nyonyi msio na dini mnaemuabud mtu alietahiriwa kama mlivyotahiriwaa nyinyii.nyau wewe

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 роки тому

      @@sabrakhamis4585 wewe unamjua Yesu Kristo kimwili but kiroho wewe ni mteja kabisaa njoo ubatizwe upate kuelewa.

  • @جانيتكينيا
    @جانيتكينيا 6 років тому +2

    Imani is to hv faith even if the death come you will hv faith.

  • @mathewmoturi2895
    @mathewmoturi2895 6 років тому +6

    Waislamu ni wagumu kuelewa

    • @Julia-gm1wh
      @Julia-gm1wh 6 років тому

      Shetani ndo amewafunga ufahamu wao

    • @mathewmoturi2895
      @mathewmoturi2895 6 років тому

      @@Julia-gm1wh 2rd wathesoloki 2:10-12

    • @raphaelkimaro1753
      @raphaelkimaro1753 6 років тому

      @@mathewmoturi2895 sasa kama muhammad hakuelewa chochote hawa wataelewa vipi.

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 6 років тому +1

      @@raphaelkimaro1753 nyinyi mbona mnakula nguruwe na yesu akula nguruwe

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 6 років тому +1

      @@Julia-gm1wh endeleeni kujisemea waona ukisema ndo umeshinda

  • @edwinomweri4348
    @edwinomweri4348 5 років тому +4

    Nikweli waislamu ni wagumu kuelewa

    • @tituswafula7087
      @tituswafula7087 5 років тому +1

      Wanaelewa ni kujifanya tu ili wasumbue...tunawajua hawa

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      Awa jamaa ni maroboti wa Mohammed sio akili zao wanaendeshwa na rimoti ya majini uoni majini wamejaa vichwani mwao waganga ndo ndugu zao muislam akiumwa cha kwanza kwenda kwa mganga

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 6 років тому +3

    Yule muislm alie kua na nyinyi nimeona kaludi uislam na kusema mambo ya kusikitisha inamana yule alikuja uko kwa ajili ya maslahi akua mkweli.ameongea mengi ya uongo kbs kwaiyo mume makini mtu akitaka kuja ukiristo aje kwa faida ya uzima sio faida ya tumbo.na mke mlio mpa kambadilisha kua muislm muwe makini na aho waislam wanakuja kualibu tuu na kutangaz mambo ya uongo.mungu awabaliki sana

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 6 років тому +2

    Mchungaji yona hakufa ndani ya tumbo la nyangumi yesu mwasema alikufa

    • @mapendomrosso2270
      @mapendomrosso2270 5 років тому

      Tulii Tulizana sio tunasema bali maandiko ndivyo yanasema kama nyinyi mnakataa mnakataa maandiko pole yenu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому +2

      Nyinyi amna hoja za msingi mnakataa maandiko na yapo wazi yoha akufa ila akuwepo duniani alikua dumboni mwa samaki na yesu yy alikua kaburini lkn roho yake ilikua mzima muwe mnaelewa maandiko msikurupuke alafu waislam bhana amjui ata kiswahili sasa kama yesu akufa swali alieenda wp?mbona amna haya ya yesu kunyakuliwa juuu ila kuna haya ya yesu kufa kufufuka na kupaa sasa mnakataa nn?ila bible ilisema roho yyte inayo pinga kama yesu akufa basi iyo ni roho ya shetani na roho inayo kubali yesu alikufa basi iyo roho ya kimungu.kwaiyo waislam nyinyi ni mpinga kristo na ni roho za kishetani ndio maana waislam na majini na waganga wotee ni ndugu

    • @janenjenga5639
      @janenjenga5639 5 років тому

      @@financialloan9818 shetani amewazimba masikiyo na kuwafanya mioyo yao ngumu

  • @raphaelkimaro1753
    @raphaelkimaro1753 6 років тому +4

    Kwa mfano swali la yona alilouliza ni ushahidi kuwa hawana la kuuliza.

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 Рік тому

    Usiwe nahaja kufundisha vipofu na visiwi wa roho , yatosha maana sahii yesu akirudi sahii utagundua umegaramika na kutaabika bure. Ila tumikisha wito wako vyema

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 6 років тому +2

    Kijana alikuwa amesahau kwamba Quran pia ina mgogano wa aya

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 6 років тому +6

    Hawa Waislam hawana lolote wajualo ni vilaza kabisa

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому

      Yani uislamu raha Dini ya haki Alhamdulilah 😊

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      @@minaminaa1669 maroboti wa Mohammed😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mnapelekwa pelekwa tuu nilipo waona waislam nyinyi sio wa kawaida pale mnapo kamua maiti na kuingiza mkono mkunduni apo ndo nachoka kbs😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃

    • @sarahwanjala6601
      @sarahwanjala6601 5 років тому

      Wajuwa waisilamu niwabishi sana nandio wataangamia kwa upofu wao

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      @@sarahwanjala6601 awa motoni moja kwa moja maana Mungu wao Allah ni shetani makao yake pale macca wanamuacha Yesu ivi ivi mpaka nawaonea huruma jamani maana maandiko yapo wazi

    • @janenjenga5639
      @janenjenga5639 5 років тому

      Mwisilamu hawezi kubali ukweli kwa kuogopa kuuliwa

  • @fakiswalehe9785
    @fakiswalehe9785 6 років тому +3

    Kafiri ndacha mwisho wako nikusilimu tu

    • @hopedavid9968
      @hopedavid9968 6 років тому +2

      Nakwabiya kafiri lazima awajue wenzake,joo kwa Yesu ukobolewe milele

    • @johnmnonjela9809
      @johnmnonjela9809 6 років тому +1

      Makafiri wanapatikana katika umma wa Muhammad soma 3:11 Qur'an mjinga wewe

    • @aminachowas4163
      @aminachowas4163 6 років тому +1

      Ao wanao patikana kwa Muhammad ni kama nyinyi kwasababu huu ni uma wa Muhammad uma wa yesu umeisha

    • @hopedavid9968
      @hopedavid9968 6 років тому +2

      @@aminachowas4163 unayo sema angekuwa ukweli,basi quran haingeandikwa yakuwa Yesu atalundi kuhukumu dunia,ila ingesema Muhammad 😎🤪

    • @jashisham6280
      @jashisham6280 5 років тому

      Hope David Issa AS atakuja kuhukumu na QURAN.