Mawazo Ya Wanadamu By The salvation Choir Official 4K Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • “Na sasa napenda kuwakumbusha ndugu zangu kuhusu Injili niliyowahubiria, mkaipokea na ambayo ndio msimamo wenu. 2 Mnaoko lewa kwa Injili hii ikiwa mnashikilia imara neno nililowahubiria. Vinginevyo mtakuwa mmeamini bure. 3 Kwa maana niliyopokea ndio niliyowapa ninyi, nayo ni muhimu sana: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivy oandikwa katika Maandiko. 4 Na kwamba alizikwa na kufufuka siku ya tatu, kama ilivyoandikwa katika Maandiko.”
    copyright © 2021 under tThe salvation choir music. all rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 22