How I ended up in prison for 20 years innocently - My Life in prison

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 174

  • @itugitv
    @itugitv  8 днів тому +6

    Hello guys thank you for tuning in to watch our new episode.
    To support James use his number 0748 199346 (James Mwangi)
    Don't forget to subscribe that you may never miss out on any future Episodes.
    To advertise with us or for more info CALL or Text us. (ITUGI TV NO. 0723625743)

  • @muktarmohammed4691
    @muktarmohammed4691 8 днів тому +8

    Pole sana bro i will give you a security job also will send you something next week

  • @janetjaneten8511
    @janetjaneten8511 13 днів тому +28

    Haki hii dunia.. is very sad ..i will call him tomorrow and see what i can send him

    • @MargaretMacharia-q2e
      @MargaretMacharia-q2e 10 днів тому

      Be blessed dear

    • @MargaretMacharia-q2e
      @MargaretMacharia-q2e 10 днів тому

      Woie what a weakened human mmama

    • @josephtesha5835
      @josephtesha5835 9 днів тому

      Good bless you 🎉

    • @tabithamaina9416
      @tabithamaina9416 9 днів тому

      I think kikuyu we are hated very much. Already judged by police without listening both to both sides.

    • @janemwangi6932
      @janemwangi6932 8 днів тому

      I wonder why this things dnt happen to celebrities. Does it only middle class an poor people are jailed without evidence. Why are not listened to? Anyway God sees everything happens to people.

  • @davidmacharia6141
    @davidmacharia6141 8 днів тому +8

    You should bring Raila to give his story life in prison

  • @jonathanhaule6281
    @jonathanhaule6281 7 днів тому +3

    Wanawake Mungu anawaona, niliwahi ambiwa ati I'm not handsome and romantic na mwanamke wangu wa ndoa na niliyesomesha na alifunga ndoa juu ya ndoa. Pole sana ndugu yangu from TZ🇹🇿

  • @simonkiiru2683
    @simonkiiru2683 8 днів тому +7

    2015/2016 niliponea chupuchupu nikiwa nimewekelewa defilement. By God's grace nilipata judge Mwanaume so alijudge bila emotions. Niko 200%sure kama ningepata judge mama ningefungwa. I always Thank God kwa kunipigania

  • @naftalimiheso249
    @naftalimiheso249 11 днів тому +16

    Pole sana bro. But usiseme mkamba mzuri ni mwenye ako kaburini. Huyo wako tu ndio alikuwa mangaa. Nimeoa mkamba na hajaikuwa na drama 13yrs now. In fact most of my friends (we are not kambas) are married to kamba ladies na wote marriage zao ziko intact. Mwanamke yeyote mlevi ata kusumbua regardless of her tribe.

    • @truphenalukania6170
      @truphenalukania6170 10 днів тому

      You will Stop advising watu wamekua na Bad experience na wakamba, 😢😢😢

    • @vugutzatheblackqueen
      @vugutzatheblackqueen 10 днів тому +3

      Yeah I agree...ni personality na choice ya mtu kuwa mwovu ata sio kabila lake wakati mwingi.

    • @timoscar1908
      @timoscar1908 9 днів тому +1

      My friend the volcano is still domand Ile siku itakuwa active utaimba hallelujah...Mimi hata alikuwa wa kanisa 😢kambas it's a big no.

    • @naftalimiheso249
      @naftalimiheso249 7 днів тому

      Pole bro.

    • @samkrooo8017
      @samkrooo8017 5 днів тому

      Mwanamke mkamba anafaa tu aolewe na kabila yake ama mkisii 😂

  • @jessicakasandikasandi3978
    @jessicakasandikasandi3978 13 днів тому +8

    Pole sana mungu atakuinua tena brother don't worry everything will be well

  • @AshaMwikali
    @AshaMwikali 8 днів тому

    Pole Sana kaka, Mungu atawapa viboko wote walio kutendea mbaya, dunia ni mviringo,waenda kuinuka mara Saba sabuni ya hiyo,kama Mungu amekuondo hapo, ana kupenda sana na ana sababu na wewe

  • @hannahmwambela5956
    @hannahmwambela5956 2 дні тому

    God will restore you.. Pole sana

  • @monicahnyambura130
    @monicahnyambura130 День тому

    The story is soo touching.. out there kuna watu heartless but God is good and faithful amemtoa jela & it's my prayer atapata uponyaji /his destiny helper

  • @RosemaryKamau-j8k
    @RosemaryKamau-j8k 7 днів тому

    Pole sana papa.may God help you through na akubalikie maisha

  • @NgugiMyles
    @NgugiMyles 8 днів тому

    May our God restore his good health na apone hiyo mgongo aweze kujifanyia kazi

  • @MohamedMahfudh-o4k
    @MohamedMahfudh-o4k 7 днів тому +2

    Pole sana mwanamume ni kuji kaza lakini hyo judge pia alikuoneya sana kama yeye alijuwa kuwa huna makosa alikuwa akuachiliye hpo hpo haina haja akutolee miaka kumi hiyo ume kaa ilikuwa ni mingi sana

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 11 днів тому

    Pole sana....hasidi hana sababu...bro Mungu atakulipia kisasi

  • @selinanjeri5899
    @selinanjeri5899 12 днів тому +3

    Kwani wanawake kweli mnatakanga aje kweli.....

  • @PurityNjeri-ib6mk
    @PurityNjeri-ib6mk 6 днів тому +1

    Aki women women when u do this to someone's son do you remember you have children to ?????this is painful ,,,,may God restore this man

  • @ahmeddahir6088
    @ahmeddahir6088 13 днів тому +4

    Bro. Wapi masomali prisoner interview.

  • @brendaatieno2240
    @brendaatieno2240 13 днів тому +6

    Wooooiyee bro akilia hivi i shade tears too
    Sijui nitapata wapi mzee mzuri hivo

  • @douglasabuya1637
    @douglasabuya1637 9 днів тому

    😢,bro never give up machozi inanitoka kweli

  • @sarahkemboi1063
    @sarahkemboi1063 2 дні тому

    This guy is genius ni huyo mama amemrudisha nyuma.

  • @HubasaFamily254
    @HubasaFamily254 13 днів тому +4

    1:32:10 That's how easily you could play with illiterate innocent souls. Yeye anaona alifanyiwa vizuri innocently 🥶🥶🥶🥶

    • @esauodhiambo1756
      @esauodhiambo1756 12 днів тому +1

      I fully agree with you. The judge just manipulated him that he's been saved*

    • @Lydia-Martin949
      @Lydia-Martin949 4 дні тому

      Eeeh very true hata mm nimefikiria hivyo

  • @bonifacemutinda8087
    @bonifacemutinda8087 6 днів тому +1

    Mungu naye halali huyo judge alikuja akashikwa na scandal ya corruption hata alifutwa...

  • @KiloshNick
    @KiloshNick 4 дні тому

    So sad aki also you should share about life of people

  • @SummerTime-v1s
    @SummerTime-v1s 12 днів тому +7

    Wale wanaofanya wenzao kuteseka jela innocently,,,chuma Chao ki motoni...what goes around comes around.

  • @KosgeiGilbert-p9i
    @KosgeiGilbert-p9i 9 днів тому

    Never give up brother you will rise again

  • @LeahKano
    @LeahKano День тому

    😢pole Dana bro

  • @morrisamuza3201
    @morrisamuza3201 8 днів тому

    Waaaah afadhali Delilah alidanganywa na nyoka ..huyo alidanganywa na pin ya Mpesa..

  • @elphasmutange-bx2qy
    @elphasmutange-bx2qy 6 днів тому

    Bro am very sorry how l wish ningekuwa na kitu nikusaidie 😱😱😱

  • @polycarpmakora5530
    @polycarpmakora5530 7 днів тому

    Pole sana my brother

  • @bonniemwanzia1417
    @bonniemwanzia1417 8 днів тому +1

    This story is very touching and sad. However, you should not generalize a whole community because of a single person. I had a very bad experience with my gikiyu step mum but that doesn't mean all gikuyus are evil.

  • @Supa100Store
    @Supa100Store 11 годин тому

    Single mom is a no go zone just run for your life

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 8 днів тому

    Same story about my baba wanawake wengine sio wazuri ila mungu yupo watajibu siku ya kiama

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 11 днів тому +1

    😭😭😭wanawake wana roho mbaya sana yaani unapea kijana kesi ambayo hakufanya ,

    • @vugutzatheblackqueen
      @vugutzatheblackqueen 10 днів тому +1

      Sio wote kuna wale wana utu tupo hapa nje na we're very appreciative kwa wanaume kama yeye anaye chukua mwanamke na watoto wake sio rahisi I've really felt for him.may God restore him&every man that is sacrificing their lives for their families..the story is so touching.

  • @EverlineMusa-hv9tq
    @EverlineMusa-hv9tq 4 дні тому

    What my bro needs to do is to forgive those who wronged him for quick healing coz I have been through the same situation not long ago

  • @beccacheruiyot8138
    @beccacheruiyot8138 12 днів тому +1

    Pole sana

  • @COSBINEOwino
    @COSBINEOwino 8 днів тому +1

    My son pia aliitwa tu hivo asubuhi..kimchezo tu😢

  • @MaryMuriithi-x2d
    @MaryMuriithi-x2d 8 днів тому

    Woi pole sana kwake

  • @dannykajula7457
    @dannykajula7457 13 днів тому +10

    Tangu ni follow Itugi channel leo ndiyo nimetoa machozi namimi ni mwanaume, dah God gives his glory.

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@dannykajula7457 😂😂 nivizuri kulia at times

    • @JOYCEKAMAU-zk4ki
      @JOYCEKAMAU-zk4ki 3 дні тому

      This is the most emotional story l have ever heard here

  • @Njiroanna
    @Njiroanna 13 днів тому +6

    From Tanzania,Haki oyee pole rafiki MUNGU atakuinua.Mtoto wa sonko we appreciate for hizi stories tunajifunza mengi.

    • @favournganga4258
      @favournganga4258 12 днів тому +1

      Much love from 254

    • @Njiroanna
      @Njiroanna 12 днів тому

      Asante sana ndugu ❤

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@Njiroanna You are most welcome

    • @Njiroanna
      @Njiroanna 9 днів тому +1

      @@itugitv asante sana mtoto wa Sonko ❤️

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @Njiroanna you are welcome

  • @BoscoGab
    @BoscoGab 11 днів тому +2

    Sexual offences act should be reviewed. Victim or accuser should be able to demonstrate beyond reasonable doubt of an alleged offence. Otherwise, many innocent men would die in jail

    • @naftalimiheso249
      @naftalimiheso249 10 днів тому +2

      Exactly. Kesi ya defilement hata bila evidence unafungwa tu. Kesi mbovu sana. Better murder case.

  • @mikemuthaisu2919
    @mikemuthaisu2919 10 днів тому +1

    Pole sana.
    Jah see,Jah know.

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@mikemuthaisu2919 True day Raster 😂😂

  • @rosesyokwaa6500
    @rosesyokwaa6500 8 днів тому +2

    Wah mwanaume kama huyu naeza toa wapi..mtu anakupea pin hadi za bank😢😢😢

  • @riomuthama1332
    @riomuthama1332 6 днів тому

    Pole Sana brother 😢

  • @patriciamuthoni8714
    @patriciamuthoni8714 8 днів тому

    Aki mwenye uplan mtoto wa mtu kuingia jela bure mungu anawaonanga tuu😢

  • @juliangii9569
    @juliangii9569 9 днів тому

    She will pay for that. Pole sana my son.

  • @friquesfrixx9600
    @friquesfrixx9600 7 днів тому

    The people you trust so much will always find a way to stab your back when you turn around...So sad😢😢

  • @boniface3710
    @boniface3710 8 днів тому

    Huyo mama na watoto 2ake watateseka hadi kifo maubwa! Nikisema ukiona mtu anataka kukufunga ua yeye mnafikiria mimi ni chizi

  • @remmylutesh425
    @remmylutesh425 11 днів тому +1

    huyo mwanamke hatai pata bwana kwa maisha yake yote , She will know no peace in her entire life on this earth

  • @DIon..Godismyshield
    @DIon..Godismyshield 13 днів тому +7

    Lakini sisi women atimes we put men through alot aki be kind to your spouse if you can't move out😢

  • @CollinsKipcumbaRutoo
    @CollinsKipcumbaRutoo 8 днів тому

    Pole mungu ako

  • @obbufuntv759
    @obbufuntv759 12 днів тому +1

    Pole brother

  • @lawrencenkoyo6787
    @lawrencenkoyo6787 День тому

    Hurting sana😢

  • @noahkibet354
    @noahkibet354 12 днів тому

    All will be well muchiri.

  • @kipkurodan9410
    @kipkurodan9410 13 днів тому +2

    😢😢 really sad

  • @davidkings3285
    @davidkings3285 13 днів тому +2

    So sorry bro

  • @MaranguKellen
    @MaranguKellen 12 днів тому +2

    Very sad God will restore everything for you

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@MaranguKellen True has His ways and he shall prosper in Jesus name Amen

  • @DuncanKhagoni
    @DuncanKhagoni 11 днів тому

    Pole sana bro

  • @moseskoknya9751
    @moseskoknya9751 13 днів тому +2

    Very sad 😢😢

  • @kevinopado5798
    @kevinopado5798 7 днів тому

    Pole bro

  • @msundi84
    @msundi84 12 днів тому +3

    Yes! most men are suffering in prison for falsely been accused of defilement and sexual assaults. But in my opinion, There seems to be a lot of gaps in Bwana Muchiri's narration. E.G,
    1). What happened to informing his employer?
    2). Why didn't he want his people to be alerted, and visit him?
    3). If he had money, why didn't he want his relatives to access it for his aid (maybe hire a lawyer)
    4). What was his relationship with the said victim, e.g. neighbor? that led to this accusation?
    Maybe he can clarify more?

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@msundi84 we will be doing a follow up soon and we will ask him those questions

    • @COSBINEOwino
      @COSBINEOwino 8 днів тому

      The neighbor ndio alikuwa na contacts zake off head..
      Alafu myb hakutaka boss ajue juu ya hofu ya kupoteza kazi
      Huyo mama ndio alikuwa Aunty ya wife wake
      Kuto julisha familia ni kwa sababu alidhani ni kesi rahisi

  • @wanguiqariukiqariuki3797
    @wanguiqariukiqariuki3797 8 днів тому

    Kuna mwingine alizaa na mchinese na Ako kwa bwana.....🤔🤔🤔🤔nilishtuka...😮😮😮"mkamba"...

  • @gloriousmarin
    @gloriousmarin 12 днів тому

    Woiye it's so much hurting 😢😢

  • @naftalimiheso249
    @naftalimiheso249 11 днів тому +1

    Kama Kuna kesi hufanyiwa investigation mbovu ni ya defilement.

  • @douglaskundu
    @douglaskundu 9 днів тому +1

    wanaume wezangu don't marry a single mum to safe your life

  • @ThukuMoko
    @ThukuMoko 2 дні тому

    Mkiambiwa mkae mbali na single mothers hamsikii!!!!

  • @Joys-e2s
    @Joys-e2s 8 днів тому

    Haki watu wengine huwa wanahalibia watu wengine coz kaa sisi tuko na watoi hatuwenzi Pata wakutuoa na maybe bwana ya mtu alifariki mpaka nakufa moyo😔😔😔😔

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 10 днів тому +2

    bro hata kama ulikosewa dont jus assume that all the people are the same......we have even evil gikuyus pole but stop generazing everyone

  • @janewambui5876
    @janewambui5876 11 днів тому +1

    Huyo mwanamke hakufanya poa. Hawezi wekwa ndani na alipe hizo pesa??

  • @faithgathua7883
    @faithgathua7883 10 днів тому +1

    He needs to go through counselling to accept what has happened and start a fresh, with God. Only God can lift that pain

  • @benjaminmbugua
    @benjaminmbugua 12 днів тому +1

    It's good you learnt a lesson that issues should be solved outside courts, coz if you knew you would have talked to your wife the day she came visiting you at the police station.

    • @voks_mburu
      @voks_mburu 11 днів тому

      ww kwan hufikiri, mtu amekufanya ivyo after kumlelea hadi watoto, what good intentions do you think she had, angeendelea tu kumuumiza

    • @chreyspolskagondu1788
      @chreyspolskagondu1788 11 днів тому

      My question too how to have a conversation with someone whose wish is to see you perish ,,,,,,,,how can you hold a conversation na mtu kama uyo

    • @COSBINEOwino
      @COSBINEOwino 8 днів тому

      Difilment case can't be withdrawn..note that

  • @denismigayi8513
    @denismigayi8513 12 днів тому +1

    Sad story....

  • @EdithwanjiruWainaina-r8k
    @EdithwanjiruWainaina-r8k 9 днів тому

    😢😢😢😢sorry my brother

  • @gladysmassawe6133
    @gladysmassawe6133 2 дні тому

    Another reason to fear women😢😢😢

  • @morganchuhi3416
    @morganchuhi3416 11 днів тому +1

    Very sad, fear women 😰😭

  • @wanduikamau7458
    @wanduikamau7458 13 днів тому +3

    pin yako ni siri yako mpaka kwa kaburi

  • @judymwaura3959
    @judymwaura3959 3 дні тому +1

    Aunt yako mbona hakukusaidia kwa case na ako na doo

  • @christabelsimwa-y8o
    @christabelsimwa-y8o 8 днів тому +1

    Hope some people learn from this

  • @kellennjue7133
    @kellennjue7133 9 днів тому

    Mbona nalia 😭😭😭

  • @sosnesmadoya4409
    @sosnesmadoya4409 12 днів тому +3

    But you must accept your self and move on with your life. Stop crying every time

  • @mosesmboka6520
    @mosesmboka6520 8 днів тому

    Mwanamke mlevi is ano for a wife

  • @rubyruby4368
    @rubyruby4368 6 днів тому

    Please tafuata Waruingi atakusaidia.

  • @peninahmaina-p3m
    @peninahmaina-p3m 6 днів тому

    It’s so painful

  • @erickarthurongale4738
    @erickarthurongale4738 День тому

    I think this guy did it.

  • @RukiaJohn
    @RukiaJohn 9 днів тому

    So sad😢😢

  • @ashraf.e.o
    @ashraf.e.o 12 днів тому +4

    Majina kamili ya bibi tumtembelee. Tunataka tu kumsalimia na kumwombea

    • @itugitv
      @itugitv  9 днів тому

      @@ashraf.e.o 😂😂😂 No need for that bro

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 4 дні тому

    Pole, lakini tatizo ni moja tu! Ubaguzi wa kabila, Kenyans pls stop this habit, kuita watu kwa kabila, yule Mkamba, huyu Kikuyu, huyo Luo, na wale waswahili 😂😂 please this is serious issue! UBAGUZI TUUUUU

  • @polycarpmakora5530
    @polycarpmakora5530 6 днів тому

    Fear women😢😢😢😢

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 11 днів тому +1

    Hindi prison iko lamu county

  • @Supa100Store
    @Supa100Store 11 годин тому

    First thing huyu jamaa ni mjinga

  • @rahabnganga2793
    @rahabnganga2793 12 днів тому +1

    Hindi prison is in Lamu

  • @supermoodworld
    @supermoodworld 3 дні тому

    Bro iposiku

  • @veronicahwaithera6908
    @veronicahwaithera6908 12 днів тому +2

    Ile revenge women do to men nikuwaekelea Ni rape so sad and we have sons😢

  • @stellahbartilol6357
    @stellahbartilol6357 9 днів тому

    Pole

  • @COSBINEOwino
    @COSBINEOwino 8 днів тому

    Kwani alifungwa 2019 na ashatoka tayari?

    • @blessedvictor6347
      @blessedvictor6347 7 днів тому

      Alifanya Case appeal myaka ikashukishwa mpaka 10yrs

  • @Akatsa66
    @Akatsa66 13 днів тому +3

    do the police carry out-thorough investigation?

    • @masichachris793
      @masichachris793 12 днів тому

      I doubt kabisa

    • @jaqualineobuchi2256
      @jaqualineobuchi2256 12 днів тому +3

      No they don't and if they do the level of corruption in kenya takes precedence.
      So people end up being incarcerated for crimes they never committed.

    • @Akatsa66
      @Akatsa66 12 днів тому

      @@jaqualineobuchi2256 sad a man jailed for a crime he didn't commit instead revenge from his spouse and money exchanged hands

    • @deckmacyber7952
      @deckmacyber7952 12 днів тому

      they bought a policewoman at the station-if you listen to the story

    • @bonniemwanzia1417
      @bonniemwanzia1417 8 днів тому

      ​@@deckmacyber7952it is sad...I know that lady Emma Mututa, very bad

  • @khalfannyanje8970
    @khalfannyanje8970 6 днів тому

    Unachukua mwanamke amewachwa na watto wawili hujiulizi ama ukachunguza mwanzo hapo ndo mwanzo wa makosa ...ujue alikuwa mangaa huko alikotoka

    • @elosykiende5640
      @elosykiende5640 16 годин тому

      Si wote wako na watoto wabaya alipatana na pepo ya mtu

  • @johnnjuguna8687
    @johnnjuguna8687 9 днів тому

    But ungeskiza wife

  • @anthonykinyanjui600
    @anthonykinyanjui600 9 днів тому

    Change your caption.

  • @nicholaskithuva6934
    @nicholaskithuva6934 12 днів тому +1

    Don't drug kambas with your tribal mind.. it happens everywhere.. globally

    • @rubyruby4368
      @rubyruby4368 6 днів тому

      Mimi ni Mkamba lakini sisi Wakamba tunakuwa jealous sana even kwa Wakamba wenzetu. My brother went through the same kwa msichana mkamba tu . We need to change imagine kuekelea mtu kesi yenye haiko., huyu jamaa ako na uchungu.