Kwenye upande wa kuwatuma ni hak yao kufanya kaz zao wenyewe kawaida, sasa mlitaka awe anawafulia na kuwapikia, awakogeshe hivyo ndivyo mnataka? Wanadam achen kumuhukumu dada pili anafanya kaz kubwa sana, hongera sana dd ake👏👏👏👏
you are rigth👍ni kweli,maana wengine hata hawalipishwi pesa,kama Paulin zongo ametibiwa bure bila malipo,na hawa wa nitarejea,sasa mtu asaidiwe na afanyiwe na shuulizake binafsi za kila siku?jamani!tujiongeze
Tatizo lingine la Pauline ni kujiskia yeye ni mjuaji sana na hilo ni tatizo sana kwa watu ambalo hufanya watu wa aina hiyo kutobadilika .Maana huwa hawaambiliki watu wa namna hiyo.
Na wewe dada dada pili unahitaj msaada wa kuacha kula vyakula hatarishi na uanze mazoez unasaidia sana jamii ila wewe unajisahau obesity ni hatari sana unaona unapata tabu hata kuongea unahema sana
Tatizo kubwa la waathirika wa Pombe na madawa ni mpaka yeye mwenyewe nafsi yake ikubali kujitoa katika tatizo otherwise wanarudia.Wapo wengi tu wamelipiwa na familia zao pesa nyingi ili wawatoe katika majanga ya madawa/pombe lakini wapii wanarudi palepale.Pili umejitolea kumsaidia lakini hukufanikiwa vile ulipenda ila yeye mwenyewe akijishtukia na kuona anahitaji kujitoa huko atakuja mwenyewe kwa miguu yake mwenyewe endelea kusaidia wengine mwenyezi mungu atakulipa
Dada pili mimi nakupenda sana kazi unayo ifanya sio ndogo mungu andele kukutia moyo wa uvumilivu kwa yanayoongelewa maana ukiwa na moyo mdogo unaweza ukakata tamaa...
First of all six months in rehab is just like 6 weeks in rehab for an addict. In most cases watalam wanasema it takes the least 7 years for an addict to fully recover because any little thing can trigger them to go back to their old ways. NGOs without Government funding is a waste of time they are stained for funds. Pia once they are rehabilitated they need to be occupied with something.
Ndugu MWANDISHI::Umejfuta MDOMONI na ktu Gani!???? Ila interview kama hiii inabid muandae VIKALIO bhana.haya MAHOJIANO ni marefu sana UJUE,alaf ni MUHIMU pia.
Dada pili unajitahidi Sasa tunakushukuru sana unajitahidi kuwatete Hawa ndugu zetu waadhirika nakushauri ujitahidi sana. Na ibada Kisha kujistiri wewe mtoto wakiislm kumbuka siku ya mwisho. Ukumbusho tu
Teja kama hataki kuacha kuvuta unga atatafuta kila sababu ili aondoke kutoka hapo maana yule hakuja hapo mwenyewe mlienda kumchukua kwa lazima yule anasingizia ni pombe tu ile sio pombe ile hali aliyokuwa nayo kabla ya kuletwa sober house ni hali ya unga sio pombe na amewezaje kushika ujauzito na pombe wakati ni vigumu sana kushika ujauzito ukiwa unakunywa sana pombe
Ma slay kila siku wanapewa tuzo za ujinga wakati kuna watu wanafanya vitu vikubwa vyakuokoa jamii Kama huyu mama, kazi anayofanya Ni zaidi ya biashara lakini ukute hata tuzo ya malkia wa nguvu hana
Inabid afungue souber house ya chakula atatusaidia wengi na atajisaidia na yeye pia maana anatibu watu wakat yeye hajitibu addiction ni addiction iwe ya pombe iwe ya chakula iwe ya mapenz😀
Sifikiri shida ni hiyo nadhani anamatatizo mwenyewe ni kwamba bado hajaamua kuacha hizo tabia. Cha kwanza akitaka kubadilika ni lazima akubali kuachana na Mwanamme aliyekuwa naye ambae wanatabia inayofanana ya ulevi yaani huwezi kumove on kama mtu hutoki katika hali uliyokuwa nayo zamani .Endapo atajitambua na kutaka kutoka hali aliyonayo ni lazima awache maisha ya zamani moja wapo amuache huyo Mwanamme wake.
Dada umeongea point👏👏👏Ila cha kumshaur dada asichoke kumsaidia mungu awabariki
Huyu mama ni wa kushukuriwa kwa kweli asante mamangu may God bless you and give you strenth
Kwenye upande wa kuwatuma ni hak yao kufanya kaz zao wenyewe kawaida, sasa mlitaka awe anawafulia na kuwapikia, awakogeshe hivyo ndivyo mnataka? Wanadam achen kumuhukumu dada pili anafanya kaz kubwa sana, hongera sana dd ake👏👏👏👏
you are rigth👍ni kweli,maana wengine hata hawalipishwi pesa,kama Paulin zongo ametibiwa bure bila malipo,na hawa wa nitarejea,sasa mtu asaidiwe na afanyiwe na shuulizake binafsi za kila siku?jamani!tujiongeze
Dada pili hatumi wagonjwa wake mimi namjua, wale anao watuma ni vijana tofauti sana
Tatizo lingine la Pauline ni kujiskia yeye ni mjuaji sana na hilo ni tatizo sana kwa watu ambalo hufanya watu wa aina hiyo kutobadilika .Maana huwa hawaambiliki watu wa namna hiyo.
Nime mpenda uyu dada wa sobar kanyoosha maelezo....Ahsante Mange kimbi kwa kufukunyua aya lkn dada kajibu vizuri sana ....ana wafunza ujasiri hamali
Na wewe dada dada pili unahitaj msaada wa kuacha kula vyakula hatarishi na uanze mazoez unasaidia sana jamii ila wewe unajisahau obesity ni hatari sana unaona unapata tabu hata kuongea unahema sana
Tatizo kubwa la waathirika wa Pombe na madawa ni mpaka yeye mwenyewe nafsi yake ikubali kujitoa katika tatizo otherwise wanarudia.Wapo wengi tu wamelipiwa na familia zao pesa nyingi ili wawatoe katika majanga ya madawa/pombe lakini wapii wanarudi palepale.Pili umejitolea kumsaidia lakini hukufanikiwa vile ulipenda ila yeye mwenyewe akijishtukia na kuona anahitaji kujitoa huko atakuja mwenyewe kwa miguu yake mwenyewe endelea kusaidia wengine mwenyezi mungu atakulipa
Dada pili mimi nakupenda sana kazi unayo ifanya sio ndogo mungu andele kukutia moyo wa uvumilivu kwa yanayoongelewa maana ukiwa na moyo mdogo unaweza ukakata tamaa...
It's true dear
Mungu atakuripa dada pili inshallah
First of all six months in rehab is just like 6 weeks in rehab for an addict. In most cases watalam wanasema it takes the least 7 years for an addict to fully recover because any little thing can trigger them to go back to their old ways. NGOs without Government funding is a waste of time they are stained for funds. Pia once they are rehabilitated they need to be occupied with something.
Achaneni nae bwana maisha niyake pumbavu yule
Kajielezea vizuri sana
Daa huyu anajitambua sn kwakweli amejibu vzur
Uko vzr mama. Mungu akutie nguvu
Maombi pia yanaitajike plz mpelekeni akaombewe
Ndugu MWANDISHI::Umejfuta MDOMONI na ktu Gani!????
Ila interview kama hiii inabid muandae VIKALIO bhana.haya MAHOJIANO ni marefu sana UJUE,alaf ni MUHIMU pia.
Ni kweli kabisa
Safiiiii sana mama ubalikiwe ✌ am number one today
Vp
Dada uko vzr
Nimeupenda pili misana
Yani yule dada kunako elekea atakuwa chizi sasa wamuache tu kama ameshindikana aone analivyo rudia kukonda
Hz ofsi za SOBER huwa wanalipwa na nan? Mwenye uelewa anijuze jaman
Mimi mwenyewe nataka kujua Hilo
Mungu akubariki mamaa
Dada pili unajitahidi Sasa tunakushukuru sana unajitahidi kuwatete Hawa ndugu zetu waadhirika nakushauri ujitahidi sana. Na ibada Kisha kujistiri wewe mtoto wakiislm kumbuka siku ya mwisho. Ukumbusho tu
Mbona hukusema bye pauln tukajua
Asante
Teja kama hataki kuacha kuvuta unga atatafuta kila sababu ili aondoke kutoka hapo maana yule hakuja hapo mwenyewe mlienda kumchukua kwa lazima yule anasingizia ni pombe tu ile sio pombe ile hali aliyokuwa nayo kabla ya kuletwa sober house ni hali ya unga sio pombe na amewezaje kushika ujauzito na pombe wakati ni vigumu sana kushika ujauzito ukiwa unakunywa sana pombe
Ma slay kila siku wanapewa tuzo za ujinga wakati kuna watu wanafanya vitu vikubwa vyakuokoa jamii Kama huyu mama, kazi anayofanya Ni zaidi ya biashara lakini ukute hata tuzo ya malkia wa nguvu hana
Dini unavyo zihangaisha izo nywele mpka zimemfunga mama wa watu kwenye kidole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nitapataje namba za soba?
Dada pili fanya upungue kidogo bhan nakupenda sana🥰❤
Inabid afungue souber house ya chakula atatusaidia wengi na atajisaidia na yeye pia maana anatibu watu wakat yeye hajitibu addiction ni addiction iwe ya pombe iwe ya chakula iwe ya mapenz😀
@@kazkaz1943 🤣🤣🤣🤣🤣
@@kazkaz1943 😂😂😂😂😂😂😂nimecheka
Pauline hataki kumsahau mtunisi
Namshangaa juice kuacha anampa kichwa mwanaume anavimba
Yeah it's true but mtunisi ni handsome 😍
Sifikiri shida ni hiyo nadhani anamatatizo mwenyewe ni kwamba bado hajaamua kuacha hizo tabia. Cha kwanza akitaka kubadilika ni lazima akubali kuachana na Mwanamme aliyekuwa naye ambae wanatabia inayofanana ya ulevi yaani huwezi kumove on kama mtu hutoki katika hali uliyokuwa nayo zamani .Endapo atajitambua na kutaka kutoka hali aliyonayo ni lazima awache maisha ya zamani moja wapo amuache huyo Mwanamme wake.
Tenda wema nenda zakoo
Confidential ya mgonjwa hufai kuiyongelea...especially on UA-cam sio sawa. hapo umefail.
muko fasta😃😂😁😁
Hivi sober house unalipia au ni bure?????
Huwa wanalipa kidogo ila huyo Pauline alitibiwa Bure pamoja na Hawa yule alieimba nitarejea na diamond
Unatangaza matatizo ya mgonjwa is not professional
what's wrong with you guy's.... Amekuja Rehab amekwambia mambo yake why sasa unamuongelea.