MWENENDO WA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Charles Kihampa leo Agosti 29, 2023 akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, amevitaka vyuo vya elimu ya juu nchini vinavyofanya udahili wa Shahada ya Kwanza kuendelea kuzingatia sheria, kanuni na taratibu katika zoezi la udahili ili kuepuka usumbufu usiokuwa wa lazima kwa waombaji udahili na wananchi kwa ujumla.

КОМЕНТАРІ •