Tuulizane! Ndugai alikuwa sahihi ama! Kwa upande wangu kwa yanayoendelea Ndugai alikuwa sahihi Sana Tena Sana! Maana ndani ya ccm wasema kweli huwa wabaya kwa viongozi wachumia tumbo
Mungu ambariki ndugai alisema hii nchi itapigwa mnada huyu ni ccm pyuwa c chadema lkn wezi wa hii nchi walimtukana wakamtishia uhai akajihudhuru uspika leo bandari inawekezwa milele kizazi na kizazi wakat wakolon walijenga waliiacha waingereza miaka 40 wakiacha nyerere miaka 20 akaiacha mwingi miaka 10 akaiacha mkapa miaka 10 akaiacha afu Kikwete miaka 10 akaiacha afu Mangu miaka 6 akaiacha sasa Rais Samia ndan ya miaka mi3 anajiuza milele kizazi na kizazi Mungu watetee mawakili wanao kutetea bandari zetu na anga ya Tanzania
Hoja za wapinzani ziliisha. Wakati wa Kikwete walikuwa na mbinu ya kutoka Bungeni na wananchi walikuwa wanawaunga mkono. Lakini wakati wa Magufuli walivyootoka nje ya Bunge wananchi hawakuwaungs mkono. Hapa Dar, akina Alima (MuDEE) walikuwa WAnAJAMPISHWA tu mitaani, mpaka viongozi wa dini wakawashauri warudi Bungeni. Hoja zikapotea, na Yule Muzee muzima alishiba akaanguka kwenye ngazi za gorofa, akadai amepigwa. Ndio hoja za wapinzani zilizokuwepo wakati wa MAGU.
Mbona wenyewe huo muda hawana, mara nyingi kama sio mwenzao lazima uwe na jekejeke la kubambanya maneno, lakini wenyewe wanasonga mbele na hata hawa muwazi,wapi Lowassa? sumaye? Kigoma Malima? holasi Kolimba? Wengi mno,Nchi lazima iende, Tanzania kwanza Mengine baadae
Huyu ni kiongozi mwenye msimamo na mzalendo hakutaka kushuhudia Sehemu za taifa rake zikiuzwa kwa makaburu huku na yeye akishiriki na ndoomaana akahamua kujiweka pembeni.Achukue form ya kugombea urais watanganyika tutampigia kura kwa kishindo.
Hiyo chuki umepitiliza 😂😂hadi unasema hujajifunza kitu ikiwa wasema alijona kama hakuna mwingine na aliligeuza bunge kama lake? Hapo umejifunza kutokujiona wewe ni bora kuliko wenginekifupi alipokose sisi tumejifunza, kujifunza kutoka kwa mwingine ni baada ya kutenda mabaya au mema ili wewe baadae Usije au uje ama mtu wako asije au aje fanya kama yeye hiyo ndio maana ya kujifunza
Kila nikisema magufuli alikuwa jini wengi hawanielewi. Aliua nyota na uwezo wa watanzania wengi waliokuwa na uwezo mkubwa kifikra kumzidi yeye. Ukifuatilia jwa makini uongozi wa magufuli umeacha maumivu kwa nchi yetu kuliko tunavyoweza kayaona kwa haraka.
@@nmedardbenedicto5544 ndugai alikuwa mtu mwenye kuelewa sana. Kilichomfsnya average ni ubabe wa magufuli. Kumbuka ndugai alikuwa na kshfq ya kutumia dollar million 12 kwenye matibabu na alitakiwa aeleze zilitumikaje. Magufuli watu wengi aliowapa nafasi ni wale aliojua walikuwa na makandokando yao na akatumia udhaifu wao kuwalazimisha wafanye anavyotaka . Chunguza kwa makini uone ni aina gani ya viongozi walikuwa chini ya magufuli. Wale waliokuwa waadilifu hakuwa karibu nao maana hakuwa na kitu cha kumtisha aliishia kuwatumbuwa hadharani huku akibaki na hao maharamia waliokubaliana na upuuzi wake.
@@nmedardbenedicto5544wewe jiulize alikuwa mtu wa aina gani kiasi cha kuweka watu wa kudukuwa mawasiliano ya watu kwenye makampuni ya simu. Yule mzee alilivuruga sana taifa.
Zanzibar ina nini? Vyote vya maana ilivyokuwa navyo imepokonywa na Tanganyika. Sasa Zanzibar imebaki hohehahe. Muulizeni Lukuvi anayajua hayo vizuri. Iwachieni Zanzibar mwone kama haitaweza kijiendesha na kujitegemea wenyewe.
Huo mkataba unajadiriwa upya. Umekwama, Bunge halibadiri sheria kama ilivyotegemewa. Hivyo, majadiriano yanaaza moja. Aliyesema maaskofu wanachanganya dini na siasa, ninampa pole na hajui atendalo. NGOMA IMEISHA ISHA HIYO.!!!
@@MercyMagezi-s6t Lukuvi alisema nini kanisani kuhusu Zanzibar, mbona kanisa halikutoa waraka kuwa aliyoyasema siyo sawa. Wazi Kanisa linajitia katika siasa kulinda maslahi yao na kutii amri wanayotaka Wazungu.
Hakuna kitu hapo hana lolote ni chawa wa Magufuli huyu mimi nilikua simkubali hata kidogo amewabana wabunge enzi za Magu kamdhalilisha Tundu lisu kwani Magu alikua hakopi?
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Ndughai ni mtambo imara. Anaona mbali na anachana live na ukweli mtupu. Mungu ampe maisha marefu❤❤
Huu ni mtambo imara sana. Ndugai funga mifugo kama ilivyo asili yenu Wajomba zetu. Lima fuga mengine yatafuata. Ubarikiwe sana.
Tuulizane! Ndugai alikuwa sahihi ama! Kwa upande wangu kwa yanayoendelea Ndugai alikuwa sahihi Sana Tena Sana! Maana ndani ya ccm wasema kweli huwa wabaya kwa viongozi wachumia tumbo
Shukran kwa elimu hii
Alikuwa akisema hayo mbona leo ndiyo yametokea kama Job alivyosema?
Mhe Ndugai sasa nimekuelewa ,unaweza kwanza unatanguliza Tanzania kwanza hasa wananchi masikini sawa tu na mtangulizi wako,kweli unafaa.
Mh Ndugai alikosea kumchana live boss wake kuwa atauza Nchi,kumbe boss kashaipeleka Taifa mnadani kuuzwa.
Mmepevuka sana saivi,
Hogera sana
Ndugai' upo sahihi;! Kujiuzudhuru kwako;:' kutaleta MAGEUZI MAKUBWA ktka nchi yetu UMEMALIZA TUACHIE SISI WANANCHI:'!
Ubarikiwe
Mungu ambariki ndugai alisema hii nchi itapigwa mnada huyu ni ccm pyuwa c chadema lkn wezi wa hii nchi walimtukana wakamtishia uhai akajihudhuru uspika leo bandari inawekezwa milele kizazi na kizazi wakat wakolon walijenga waliiacha waingereza miaka 40 wakiacha nyerere miaka 20 akaiacha mwingi miaka 10 akaiacha mkapa miaka 10 akaiacha afu Kikwete miaka 10 akaiacha afu Mangu miaka 6 akaiacha sasa Rais Samia ndan ya miaka mi3 anajiuza milele kizazi na kizazi Mungu watetee mawakili wanao kutetea bandari zetu na anga ya Tanzania
Job Angekufa mapema ningemshukuru mungu kunyanyasa wapinzani tz mungu mshugurikiee amina
Naww ufi ee!?
Hoja za wapinzani ziliisha.
Wakati wa Kikwete walikuwa na mbinu ya kutoka Bungeni na wananchi walikuwa wanawaunga mkono.
Lakini wakati wa Magufuli walivyootoka nje ya Bunge wananchi hawakuwaungs mkono.
Hapa Dar, akina Alima (MuDEE) walikuwa WAnAJAMPISHWA tu mitaani, mpaka viongozi wa dini wakawashauri warudi Bungeni.
Hoja zikapotea, na Yule Muzee muzima alishiba akaanguka kwenye ngazi za gorofa, akadai amepigwa. Ndio hoja za wapinzani zilizokuwepo wakati wa MAGU.
Mbona wenyewe huo muda hawana, mara nyingi kama sio mwenzao lazima uwe na jekejeke la kubambanya maneno, lakini wenyewe wanasonga mbele na hata hawa muwazi,wapi Lowassa? sumaye? Kigoma Malima? holasi Kolimba? Wengi mno,Nchi lazima iende, Tanzania kwanza Mengine baadae
Job Ndugai alikuwa sahihi Siku zote huwa namlaumu kwanini aliomba msamaha.
Unamuomba msamaha nani na kwa sababu gani ilhali umeongea ukweli!!
Anna Mbawala wape funzo wengine wanaofanya unachokifanya
Umeweza sana humu.
Huyu ni kiongozi mwenye msimamo na mzalendo hakutaka kushuhudia Sehemu za taifa rake zikiuzwa kwa makaburu huku na yeye akishiriki na ndoomaana akahamua kujiweka pembeni.Achukue form ya kugombea urais watanganyika tutampigia kura kwa kishindo.
Kweli kabisa
Ndugai Yuko sawa, huyo wa serikali ya mpito ni uoga wake tu
Congratulations!!! Global tv I like it.....👏👏👏
Huyo alikuwa mnoko na Mungu kamuhikumu
Anna mbawala Ur so nice sauti nzuri mno
Huyu Shujaaaa...Mungu Ampe Maisha Marefu kwa KAULI YAKE KUU
Kimeumanaaa
Mtangazaji ovyo kabisa.Mwanzoni umetangaza kwa kumponda mwishoni unamalizia kwa kumsifia....husomeki
Upepo aina Gani,?
Ina uzunisha....daah...Basi tu
Alisema kweli
Logo hii ya nchi mmeipeleka wapi we mama yetu
Madaraka ni sawa na koti la kuazima mwenye nalo akiliitaji ulinyakuwamuda wowote!!! Mfalme Suleiman aliomba Hekima kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Daaa ndugai ulion mbali
Aende zake uko alijiona kama mungu
❤
Lakiniii kweri. Alikuwa ni mchapa kaziii mzuri mnooo na mchapa kaziiii haswaa. Siii alijikwaaa tuuu kidogo. Daaa jamani. M
Kweli Baba umenene
Alijiona kama hakuna mwingine kama yeye aligeuza bungee kama lake hakuna chakujifunza kwake
Hiyo chuki umepitiliza 😂😂hadi unasema hujajifunza kitu ikiwa wasema alijona kama hakuna mwingine na aliligeuza bunge kama lake? Hapo umejifunza kutokujiona wewe ni bora kuliko wenginekifupi alipokose sisi tumejifunza, kujifunza kutoka kwa mwingine ni baada ya kutenda mabaya au mema ili wewe baadae Usije au uje ama mtu wako asije au aje fanya kama yeye hiyo ndio maana ya kujifunza
Wewe urijuwa kuwa tutauzwa ukajiodoea usije ikaraumiea na
Kichwa hicho
Mbona sasa Wewe na Tulia mnafanya mauza uza? Kweli uliamua maamuzi mazuri kwani ungeweza kuuwa pia.
Wanaosema ukweli ni maadui wakubwa kwa upande wa Ccm,sio Ndugai TU, wapo wengi waliosema ukweli walishafukuzwa,Ccm chama cha lishetani.
Ngoja 2025 tutaona ukweli
Kila nikisema magufuli alikuwa jini wengi hawanielewi. Aliua nyota na uwezo wa watanzania wengi waliokuwa na uwezo mkubwa kifikra kumzidi yeye. Ukifuatilia jwa makini uongozi wa magufuli umeacha maumivu kwa nchi yetu kuliko tunavyoweza kayaona kwa haraka.
Mungu ndiye mwamuzi ndugai ndiye aliye vuruga na kuona upinzani kama uahini
Mwambie huyo basi akuonyenyeshe uliyoshindwa kuyajua kwani kinashidikana NN kuonyeshwa mbaya ya daddy na Hali hayopo? 😏
@@nmedardbenedicto5544 ndugai alikuwa mtu mwenye kuelewa sana. Kilichomfsnya average ni ubabe wa magufuli. Kumbuka ndugai alikuwa na kshfq ya kutumia dollar million 12 kwenye matibabu na alitakiwa aeleze zilitumikaje. Magufuli watu wengi aliowapa nafasi ni wale aliojua walikuwa na makandokando yao na akatumia udhaifu wao kuwalazimisha wafanye anavyotaka . Chunguza kwa makini uone ni aina gani ya viongozi walikuwa chini ya magufuli. Wale waliokuwa waadilifu hakuwa karibu nao maana hakuwa na kitu cha kumtisha aliishia kuwatumbuwa hadharani huku akibaki na hao maharamia waliokubaliana na upuuzi wake.
@@nmedardbenedicto5544wewe jiulize alikuwa mtu wa aina gani kiasi cha kuweka watu wa kudukuwa mawasiliano ya watu kwenye makampuni ya simu. Yule mzee alilivuruga sana taifa.
Haya malaya tumekusikia ambao hawakuvuruga taifa wamefanya nini cha maana
leo mtakusanya vibovu vyote na kuvileta mbele ya mama ili ati aonekane mzuri never hatuwezi kumuona mzuri yy wala magu..!
unajua kuandika ila hujui unachoandika.
Nikweli ndugai nchi hitaiuzwa
Biblia imeandika kitabu cha Isaya 1:7b
Namkumbuka alivyo mpiga mgombea mwenzake nafimbo kichwani mpaka akazimia
Ngugai tunataka uje kuwa raisi witanzani
Atarudi acha upepo upite kazi inaendelea.
Tunamkumbuka huyu mwamba kwa kauli zake za mwisho .
Msema kwel ktk nchi hii ni mharifu
Tutakutana hiyo 2025 pamoja na madudu haya
Mwoga sana huyu mjomba.
Kongwa siyo Kongwe
Neugai ni Nani ni moja was viongozi ambao ni bendera fuata upepo tuu Hana jipya huyo
WEWE MWAMBA HII SELIKALI IMEOZA HII ONA SASA TUMEKUMIC NDUGAI
Mara kongwe mara kongwa kipi ni kipi?
Na bado sihasha akawa mlizi mwisho wao hao hujisahau sana huhisi wamepatia viongozi wetu kesho mapema 2025 kazi I endeleen 😂😂
Job ngombea urais
2025.
Hata mwalimu alijiulu uwaziri. Mkuu akamuachia kawawa
Hivi bandari ambazo Raisi ameingia mkataba na Dubai ni hizi za Tanganyika tu au na za Znz?
Zanzibar ina nini? Vyote vya maana ilivyokuwa navyo imepokonywa na Tanganyika. Sasa Zanzibar imebaki hohehahe. Muulizeni Lukuvi anayajua hayo vizuri. Iwachieni Zanzibar mwone kama haitaweza kijiendesha na kujitegemea wenyewe.
Huo mkataba unajadiriwa upya. Umekwama, Bunge halibadiri sheria kama ilivyotegemewa.
Hivyo, majadiriano yanaaza moja.
Aliyesema maaskofu wanachanganya dini na siasa, ninampa pole na hajui atendalo. NGOMA IMEISHA ISHA HIYO.!!!
@@MercyMagezi-s6t Lukuvi alisema nini kanisani kuhusu Zanzibar, mbona kanisa halikutoa waraka kuwa aliyoyasema siyo sawa. Wazi Kanisa linajitia katika siasa kulinda maslahi yao na kutii amri wanayotaka Wazungu.
🤣🤣🤣🤣VITUKO VYA VIONGOZI WAWE WANASOMA BIBLIA TU.
Yote yametimia
Hakuna kitu hapo hana lolote ni chawa wa Magufuli huyu mimi nilikua simkubali hata kidogo amewabana wabunge enzi za Magu kamdhalilisha Tundu lisu kwani Magu alikua hakopi?
Dada sio shule za wenye akili nyingi ni shule za wenye ufaulu wa juu
Mihimili ya Dola haiingiiani kumbe hamna bwana serikali ndio Kila kitu
Ni upumbavu Tu!;
25 wabunge wote piga chini ndugai tu anafaa
,,,,, wanafunzi wenye akili nyingi!! Mh,,,!!!??!!!
global media a believed media is that a content for now? iam sorry but for real this is contentless.
Shida alishindana na askof
Aliwaonea upinzan akajiona Mungu mtu bola alivyo timuliwa tea apotelee mbali
Tena ilitakiwa afukuzwe uanachama kabisa
Upinzani ndo kitu gani we nae, wavuta bangi wale.. upinzani wanapinga nini? Wanawapinga waTanzania wenzao
@@georgemassebu2083 kwa mtu mwenye akili timamu atajua tu kuwa asiyejua maana ya upinzani ndiye mvuta bangi
alikua mshenzi tu usimsifu alikua dikteta na kuonewa wengine
@@georgemassebu2083 ao ccm we unaona wanatufanyia nini cha maana tofauti na kuiba
Mtangazaji poor poor kabisa
Ndugai' ni jembe
Huu ni uchonganishi nyie waandishi
Aaa
Ndugah gombea urais tutakuwa pamoja wewe ni msema ukweli na unaweza kuongoza nchi
Indio Tanzania kichwa chamwenda wazimu,
Mimi naona kila jambo linalosumbua tuwe tunarudi kwenye katiba itakua poa sana
Hahaaaaa
Mhe Ndugai sasa nimekuelewa ,unaweza kwanza unatanguliza Tanzania kwanza hasa wananchi masikini sawa tu na mtangulizi wako,kweli unafaa.