Kiongozi wenu wa mavazi nampa pongezi amejua kucheza mana tumezoea nguo mpaka zifanane kila kitu ila nyie mmefanya amazing na mmpependeza sana na wimbo umetulia wa tafakari aisee🌹🥰
The true definition of cute, cool, calm and collected people. this is soul soothing and uplifting Mungu wa mbinguni asiwapungukie wana na binti zake .Aendelee kutuvumilia na kutusamehe 🙏🏿🙏🏿🇹🇿❤️❤️
Haleluya sasa. “Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. ” - Warumi 8:37 (Biblia Takatifu) Tujipe moyo Mungu wetu yupo kutenda
Mungu awabariki sana kazi nzuri nyimbo nzuri video muziki umetulia sana sana Mungu awabariki mno ninawaombea mfike mbali na mtumike mpaka nje ya kipaka ta Tanzania 🇹🇿
Amen, you have give it beautiful, the beat, harmony, and calmness all suggesting great music is here,🎉🎉 God bless you
@@healer7533 Amen
K7k7 is it was wrongly Ukraine or Argentina will have 6:01 @@thefamilymusictz6209
Jmniiii nipen like nami hata moja
Kanda ya ziwa wekeni like twende sawa🎉🎉🎉
Mwl Matisho Hongera sana , sifa na utukufu kwa Bwana, ujumbe wa wimbo unatupa nguvu ya kuzidi kuuchuchulia wokovu zaidi
Amen Amen
Exactly the message we need,
Mungu awabariki sana Family Music
#Tutashindaa
Maturity ya kiwango chenyewe kabisa
Huu wimbo unanibaliki sana unanifanya nipende sana kuwa mchungaji
Wimbo ni mzuri umepangika
Hivyo unanipa sababu ya kufatilia ujumbe
mbarikiwe sana,
Video nzuri,waimbaji wazuri,ujumbe mzuri sana ❤❤
Ni hakika tutashinda, Hongereni Family Music kwa kazi nzuri ya Injili kupitia uimbaji wenu.
Inainua moyo kumshukuru Mungu na Inaleta Tumaini kumtegemea Mungu...... HalleluYahwe🙏🙏🙏
Sisi tutashinda,tutashinda kwa uwezo wako,maana ulituumba....Amen be blessed Family
Kazi nzuri, tunawapata kutokea Arusha..
Nabarikiwaa na wimbo huu, be blessed Fam🎉
Licha ya makosa yetuuuuu, wewe ulitusamehe, hata kwa masumbufu yote
Kiongozi wenu wa mavazi nampa pongezi amejua kucheza mana tumezoea nguo mpaka zifanane kila kitu ila nyie mmefanya amazing na mmpependeza sana na wimbo umetulia wa tafakari aisee🌹🥰
❤🎉barikiweni Sana 🔥🔥
Niliusubiri kwa hamu sana huu wimbo, Barikiweni kwa ujumbe mzuri sana🙏
Barikiwa sana. Songeni mbele kwa kazi njema ya Baba.
Salute #Ibpro
#joshcut
Oooh nice song, cool rhythms the beat 😊 God is good ❤❤
Jina la Baba litukuzwe barikiwa sana wapendwa #familymusic
@@msesesimbira2689 Amina
Mbarikiwe saana❤❤
The true definition of cute, cool, calm and collected people. this is soul soothing and uplifting
Mungu wa mbinguni asiwapungukie wana na binti zake .Aendelee kutuvumilia na kutusamehe 🙏🏿🙏🏿🇹🇿❤️❤️
@@gloriousnp AMEN, AMEN
🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mungu aendelee kuwatumia kwa ajili ya utukufu wake...
Hii imeendaaa sanaaa. Kiwango ni kikubwa mnooo, mziki ni mkubwa mnooo pia.. Mungu awatumie zaidi
Hakika tutashinda 🎉
Safi sana, MUNGU azidi kuwatumia wapendwa
Wow wow 🎉❤. Excellent production and harmony. Mbarikiwe sana Family Music Tz 🇹🇿. Team work ✅️. Audio ✅️. Uniform ✅️. Video ✅️. Message ✅️
@@franklinmireri7408 Amina sana
🙏🏽
Familia mbarikiwe sana,,nawamiss nawapenda na nawaombea❤🙏
@@LENATHALeny Amina
❤
be blessed good song,,,naomba tu taarifa ifike kwa andrew nickson namm nkiwa mkubwa nataman niwe kama yeye😂😂😂
😂
Mbarikiwe sana wapendwa wangu Family Music. Songeni mbele
Amen keep up the good work 👏🏾🙏🏽
Amen
wimbo mzuri ujumbe wenye maantiki safi. Mungu aendelee kuwabariki.
Asateni sana kwa hilo nyimbo nzuli sana ndipo murundi lakini napenda nyimbo zenu sana.na mungu awabaliki sana
Nimeukubal huu wimb unanitia moy kumshukur Mungu
Thank you Family music for always drawing my heart next to christ....
May God bless you
Our pleasure!
Kazi nzuri mnooooooo
Asante sana Yesu kwa kunivumilia. What a song❤❤! More blessings from above.
@@namsifumaduhumwita2495 Amen
Amen Amen 🙏🏼. Blessings always 23:09
Ama hakika tutashinda✅💯 Kwa Jina la Yesu❤️🙏
Sauti ya pili maua yenu mchukue kwa kweli ila nawapenda wote jamani Mmenibaliki kwakeli
Mbarikiwe sana ,ujumbe mzuri unaomtia nguvu mtu ya kuendelea na safari
@@VailethMaleba Amina
Kwa hakika kazi zenu zinanibariki sana,hongera mwalimu Matisho
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
GOD WILL ALWAYS SHOW UP ✊
GOD BLESS YOU
@@kilasasalu916 Amen
Ninyi ni mbaraka sana Family
This song is so amazing......I completely loved it
Best tenor in the world ❤❤❤
Tutashinda hakika🙌🏾🙏🏾
Kazi nzuri sana
Mjawahi niangusha
Tutashinda.... Amen amen
Good Cinematography
Much love kutoka Uganda ❤.Mbarikiwe
@@bwambalefriday9648 ♥️♥️
Ya moto ❤❤❤
Asanteni kwa wimbo mzuri unaotuonyesha thamani ya damu ya Yesu ktk kusafisha makosa yetu.Mungu azidi kuwainua. Nawaombea na ninawapenda.
@@nazaelmjema7645 Amina
Sichoki kusikiliza huu wimbo mbarikiwe saana wanangu Mungu awape uwezo wa kufanya makubwa zaidi.
Amina❤
God bless u..🙏🙏
You glow differently when you serve the Most High. See how they are glowing😊
Love from Ug🇺🇬
Pass my greetings to Mika Suleiman 🙌🙌
Next level
Amina ….. tutashinda kwa uwezo wake
Wimbo mzuri
Pasipo nguvu ya YESU Christ hatuwezi lolote. Choir tuna sema amina
Am blessed with this🎶
mbarikiwe
Hakika tutashindaa kwa uwezo wake. Amen mbarikiwe Sana message sent
Mbarikiwe sana
Hakika Tutashinda❤
Kazi nzuri
BRAVOOOOO family music...
Proud of u guys🎉
Sisi tutashinda 🙏😇💪
Amen.....almight God bless you
@@wanjekisija2076 Amen
Nabarikiwa na nyimbo zenu zote❤
@@tinamwilongo7739 Amina
Hongereni sanaaa na Mbarikiweee,Moja ya nyimbo nilizosubiria video yake muda mrefuuu.
@@upendogodfrey7919 Barikiwa sana
Haleluya sasa.
“Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
”
- Warumi 8:37 (Biblia Takatifu)
Tujipe moyo Mungu wetu yupo kutenda
@@JeremiahMusa-vo8lg Amina
Kazi nzuriiiii
Familia 🙏
nice song ❤
Amazing song mola awabarikj
Naaam
Mungu awabariki sana kazi nzuri nyimbo nzuri video muziki umetulia sana sana Mungu awabariki mno ninawaombea mfike mbali na mtumike mpaka nje ya kipaka ta Tanzania 🇹🇿
@@mwalimuministrytz Amina sana mwalimu
Anen 🙏
Long wait is finally over ❤❤❤
Nabarikiwa sana 🫡
Mtengeneza BT nione bas tupeane kazi plz
Amina Amina Amina
Amina naenda kubarikiwa
Solo amazing
My favorite song
Uh guys, on a serious note, you hardly managed to win me over. ❤❤👌
🧐🤔🤔🤔
@Mwalimu Matisho: The family Music Tz aisee nimebarikiwa. Licha ya Makosa yetu Wewe Ulitusamehe. Amina!
Ndugu,Barikiwa sana
😍😍😍
Ya kitambo hongera ya kale ni faida
Waoooh
Ameen.
Amina
🙌🏽💕
❤❤
Amen for the cross