NYUMBA YA SALA SALA YENYE SEBURE MBILI TUMESHAIKABIZI KWA MTEJA KTK HATUA ZA UJENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @dork8749
    @dork8749 6 місяців тому +1

    nyumba iko vizuri sana hasa hizo nguzo za kwenye kona kwa maeneo hayo hilo ni muhimu na lazima

  • @amouraxmed1435
    @amouraxmed1435 6 місяців тому +2

    Kaz nzur keep up

  • @swahabahamad1753
    @swahabahamad1753 3 місяці тому +1

    Safi sana

  • @December-p3n
    @December-p3n 6 місяців тому +2

    Wee hapo kinachotakiwa hapo ni kuwapa mrejesho wa Kiasi ambacho kimetumika kama gharama vitu vingine gavisaidii na wala havitii moyo hata kama ni ml 100 sema tuu usiwaze

  • @EmmyMo
    @EmmyMo 6 місяців тому +2

    Masha allah 🎉🎉🎉good job broh

    • @Sanuka539
      @Sanuka539 6 місяців тому

      🙏🙏🙏

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 6 місяців тому +3

    Nimekubali zaidi ulivyoweka nguzo kwenye kila kona ya nyumba zimenyooka mpaka juu kwenda kushika lenta.yani kiufupi umesuka nyumba 🎉

    • @Sanuka539
      @Sanuka539 6 місяців тому

      Nashukuru kwakuliona Hilo

    • @Mwachuomo
      @Mwachuomo 6 місяців тому

      Mbona imekuwa fupi sana

  • @AbdullahMohamed-oj3gz
    @AbdullahMohamed-oj3gz 6 місяців тому

    Kanzi nzuri Bro, Bonge ya Ramani hope mtu akitaka kupunguza vitu pia inawezekana

  • @abbytaurus652
    @abbytaurus652 6 місяців тому

    Nyumb kali... plumbing imefanywa tayar sio mpk nyumb inaisha wanavunja tiles...keep up the good work

  • @mikiorupamahundi668
    @mikiorupamahundi668 6 місяців тому

    Kazi nzuri sana, samahani nina swali hivi mbona kuna unyevuunyevu huko ndani chini kwenye kuta je huko mbeleni kuna kitu kitawekwa kuzuia huo unyevunyevu? asante

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 6 місяців тому

    Mashaailah mashaailah kazi mnzuri

  • @hucky-lh5mr
    @hucky-lh5mr 5 місяців тому

    Broo kazi m nzurii sanaa ila tunaombaa bei tafadhali ili tujue ,,, tujipange taratibu mm na wish ipo siku na mm utaijenga yangu hebu uwe unatoa bei basi naombaaa

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd 6 місяців тому

    Mashaallah ❤❤❤❤

  • @zainab8251
    @zainab8251 6 місяців тому

    Mashaa Allah ❤❤

  • @AminaMohamed-x3u
    @AminaMohamed-x3u 6 місяців тому

    Asalam.aleikum.kali.sana

  • @godwintenesi3307
    @godwintenesi3307 5 місяців тому

    KAZI NZURI SANA MR HOUSE

  • @godfreymwandoje6851
    @godfreymwandoje6851 6 місяців тому

    Nyumba nzur lkn mbona inapandisha maji juu Yani ikipigwa finshingi italeta fangas bro

  • @Jahra2023-gm1qp
    @Jahra2023-gm1qp 6 місяців тому

    Kazi nzuri kaka angu, na mimi ntakutafuta inshallah

  • @janethchidobe5919
    @janethchidobe5919 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤

  • @neemayusufu-kd3se
    @neemayusufu-kd3se 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉 HONGERENI SANA KWA KAZI MNZURI

  • @WardahBakary
    @WardahBakary 6 місяців тому

    Safiii🎉

  • @HellenFatma
    @HellenFatma 6 місяців тому

    Mimi nko Kenya 🇰🇪 nitakupataje

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 6 місяців тому

    Niaje Mr house hchi kitu nimekipenda, makadirio bajet yake yapoje

  • @bilaltamsi3399
    @bilaltamsi3399 6 місяців тому

    Gharama mpaka hapo ni ngapi

  • @OmanOman-c9d
    @OmanOman-c9d 6 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

    • @Sanuka539
      @Sanuka539 6 місяців тому

      🎉🎉🎉

  • @ZuwenaSoni
    @ZuwenaSoni 6 місяців тому

    ❤❤❤