KUFUNGULIWA UFAHAMU (MIND SET DELIVERANCE) NA MWALIMU SUNBELLA KYANDO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @annaminja6518
    @annaminja6518 7 років тому

    This is powerful...nmejifunza kitu kipya. Naomba Mungu neno hili likanisaidiwe kuzidi kufunguka ufahamu wangu. Mwalim sunbella Mungu azidi kukubariki na kukujaza utukufu wake.

  • @godlovewarwa
    @godlovewarwa 5 років тому

    Mtumishi Mungu akubariki sana...neno la Bwana unalichambua mpaka nafurahi sana...Amen kwa Bwana Yesu

  • @juliusvictormhina285
    @juliusvictormhina285 2 місяці тому

    This is wonderfully

  • @El9a
    @El9a 3 роки тому

    Nimebarikiwa ujumbe umefanyika baraka, content iko valid na haizeeki thats the Nature of the Truth

  • @ericksosthenes1068
    @ericksosthenes1068 6 років тому +2

    Listening to you, Makes me grow wiser and wiser. Thanks for always being there

    • @MrSunbella
      @MrSunbella 6 років тому

      ERICK SOSTHENES barikiwa saana

  • @barakachilala2387
    @barakachilala2387 Рік тому

    Hakika neno la Mungu ni taa inayoangaza gizani,wala giza haliiwezi nuru yake..

  • @magesomi6142
    @magesomi6142 5 років тому +2

    Ubarikiwe sana MTUMISHI,lakini huo wimbo unaoimba ktkati ya mafundisho yako unatufanya tusisikie vizuri.

  • @sethgreater_than_solomon334
    @sethgreater_than_solomon334 8 років тому

    Amen Amen this is too powerful Baba...God bless you sana sana

  • @asmakwembe7224
    @asmakwembe7224 7 років тому

    Aisee,Mungu akubariki sana mtumish,utukufu hadi utukufu

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 9 місяців тому

    Amina

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 роки тому

    Mungu nifunguwe ufahamu wangu

  • @immaculatejohn9906
    @immaculatejohn9906 2 роки тому

    Nashukuru sana baba

  • @paulchristian5071
    @paulchristian5071 Рік тому +1

    Baba ,Mimi ni MChungaji kabisaa kabisaa ...ILA WW NI HATARI Baba.

  • @mockykyando6444
    @mockykyando6444 8 років тому +1

    Asante sana Mwalimu,Mungu akubariki.

  • @abiudmkadobe2312
    @abiudmkadobe2312 2 роки тому

    Aimen!

  • @BlandinaSanga-p9n
    @BlandinaSanga-p9n Рік тому

    Mtumish hii vedio umeituma muda lakini nimepokea uponyaj Faham zangu zimefunguliwa

  • @happymajapa1351
    @happymajapa1351 2 роки тому

    Shallom baba

  • @jescakallage9855
    @jescakallage9855 3 роки тому +1

    Jaman mtumish naguswa Sana na malfundisho yako hauna group la maombi WhatsApp yoyote anaye jua naomb aniadd

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 роки тому

      Group lipo la Telegram,group la WhatsApp ni kwa ajili ya matangazo,clips na updates zote za Huduma.

    • @shaletmlaghui510
      @shaletmlaghui510 2 роки тому +1

      @@realityofchristchurch mm najiunga vipi nipo Jordan nimekuwa nikikufatilia sana naitaji kuongea na wewe thafathali

  • @helenabagege66
    @helenabagege66 6 років тому +1

    Pastor unanifundisha vitu vikubwa mno,barikiwa

  • @georgelyimo4821
    @georgelyimo4821 4 роки тому

    Amen mtumishi

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 5 років тому +1

    Nime jifuza Asente