KUISHI NA MWANAMKE SI MKE WAKO KATIKA RAMADHAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @almiseo274
    @almiseo274 6 років тому +2

    Shukran ustadh

  • @a.856
    @a.856 6 років тому +2

    Thanks

  • @jahialiali7093
    @jahialiali7093 3 роки тому +2

    Sheikh asalama aleikum warahma tu llahi wa barakatu Nina rafiki yangu amemsilimisha mwanamume siku ya radhani Sasa akanianbia anakaa nae humfundisha kuswali na kusoma Quran huku akimpikia akaniambia hafanyi tendo la ndo na kila mtu analala kivake na huyo mwanamume Ana Nia ya kumuoa baada ya ramadhani jee yafaa k

    • @maawymuhammad6779
      @maawymuhammad6779 Рік тому +2

      قال رسول الله صلى الله عليه وسلم
      لَا يُخَلَّوْنَ رَجُلٌ بِٱمْرَأَةٍ وَلَوْ كَانَ يُعَلِّمُهَا ٱلْقُرْءَانَ
      Wasiketi faragha mwanamume na mwanamke hata ikiwa ywamfundisha quran
      Hadithi nyingine yasema
      لَا يُخَلَّوْنَ رَجُلٌ بِٱمْرَأَةٍ وَلَوْ كَانَتِ ٱلْمَرْأَةُ مَرْيَمَ ٱلْبَطُوْلُ
      Wasiketi mwanamume na mwanamke faragha hata ikiwa mwanamke uloketi nae ni maryam(mamake nabii isa)aliye twahara
      Kwenye hadithi mbili hizi mtume amekataza mwanamume na mwanamke waketi khalwa yaani peke yao hata ikiwa mwanamke ywafundishwa quran ama ikiwa mwanamke aloketi nae ni maryam.
      Maryam ni mwanamke twahara kuliko wanawake wingine wote hata kumliko khadijah
      وَإِذْ قَالَتِ ٱلْمَلَىٰٓئِكَةُ يَىٰمَرْيَمُ إِنَّ ٱللّٰهَ ٱصْطَفَىٰكِ وَطَهَّرَكِ وَٱصْطَفَىٰكِ عَلَىٰ نِسَآءِ ٱلْعَىٰلَمِينَ
      Na jibril alpomwambia maryam ewe maryam hakika allah amekutwahirisha na akakutukuza na akakutwahirisha juu ya wanawake wa viumbe wote
      Kwa hiyo hakuna mwanamke twahara kuliko maryam
      Labda huyo bwana angelitumia njia nyingine ya kumsomesha kuliko hiyo.Maana ni makosa mtu kuwa faragha na bint ambaye ni mahrim yako.
      Sikukosoi ndugu yangu lkn ni kama ukumbusho nakupa
      Allah asema
      وَذَكِّرْ فَإِنَّ ٱلذِّكْرَىٰ تَنفَعُ ٱلْمُؤْمِنِينَ
      Na mukumbushane kwa hakika ukumbusho ni manufaa kwa waumini.
      Shukran

  • @MaryamNassir-nf7yc
    @MaryamNassir-nf7yc 8 місяців тому

    A,a nauliza waeza kula mbele ya ndugu zko ukiwa ndani ya hedhi...?? Pla naomba jibu lenu.

    • @zuhoor-mc7hq
      @zuhoor-mc7hq 8 місяців тому

      Hairuhusiwi kula kwa kuzihirish kipenzi..inabidi ukae km ni jikoni au chumbani usile Huku watu wanakuona