DR KIMWELI&USTADH SHAFII WAICHAMBUA QURAN ILIVYOICHAMBUA SAYANSI KABLA YA WAGUNDUZI KUGUNDUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 11

  • @samxx411
    @samxx411 8 днів тому +2

    Mashallah mashallah masheikh elimu zenu ni vyema kuzifikisha kwa wengine mana siku ya siku tutaulizwa...Allah akulipeni Jannatul Fir-daus.

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 7 днів тому +1

    Maa shaa allah

  • @samxx411
    @samxx411 8 днів тому +2

    Sheikh Shafi muda zidisha kidogo vitu vizito vya Sheikh Kimweli..Allah amzidishie elimu.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 8 днів тому +1

    Maa Shaa Allah
    Mashekhe wetu wa dhahabu Allah awaweke.

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 8 днів тому +1

    Mashallah tabarakallah endeleya kutupa faida malipo ni kwa Allah

  • @samxx411
    @samxx411 8 днів тому +3

    Sheikh Shafi hicho kichwa usikiache kina madini ambayo kwa muda mrefu tumekikosa...Nakuomba kitumie katika online yako kitakufikisha safari yako...kichwa chake kimejaa tanzanite hicho.

  • @samxx411
    @samxx411 8 днів тому

    Kutokana na sheikh kimweli qurani inakuwa ndio catalogue yetu

  • @samxx411
    @samxx411 8 днів тому

    Kutokana na maelezo ya sheikh kimweli it means Kuna malaika wanafika umri wao bilioni 15 tangu ulimwengu kuumbwa

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x День тому +1

    Masha Allah