DESAGU APATA MASAIBU AKIANIKA NGUO | Henry DeSagu x Naomi Kuria |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лют 2025
  • Desagu apata masaibu akianika ngo
    --
    #HenryDesagu #Desagu #Desagucomedy

КОМЕНТАРІ • 683

  • @wilsonrogersodero9583
    @wilsonrogersodero9583 2 роки тому +8

    the confidence in this girl is so great. she's just a straight forward girl🤣

  • @MUTUMAMNAIROBI
    @MUTUMAMNAIROBI 3 роки тому +54

    Naomi: Hey, mimi nakuwanga mtu wa mapenzi sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this lady never disappoints

  • @wisegenanimationtv3612
    @wisegenanimationtv3612 3 роки тому +104

    Ati 48hrs kama nivea😂😂😂

  • @nairobimedia7808
    @nairobimedia7808 3 роки тому +426

    Kama Ingekuwa Mimi Ningeingia Box Venye tu amesema Ananitaka 🤣🤣Desagu Mbona haya sasa 🤔🤔

    • @annnyoks7008
      @annnyoks7008 3 роки тому +4

      So wewe hauchelewagi 🤣🤣🤣

    • @Yusuf-ry5jv
      @Yusuf-ry5jv 3 роки тому +3

      Nakuona mwambie akutafute😂😂😂😂

    • @musclecarsG
      @musclecarsG 3 роки тому +4

      Kabiiisa mkuu jalassss😅

    • @rhodahj7121
      @rhodahj7121 3 роки тому +1

      😂😂

    • @victordreadd
      @victordreadd 3 роки тому +2

      Jalas hapa the Prince ameingiza baridi 😂😂😂😂

  • @RangsMteule
    @RangsMteule 3 роки тому +3

    This lady yuko tops,the way anahangaisha desagu this is my 4th time naiwatch.haha mimi niko na qualities

  • @bonnyndush4651
    @bonnyndush4651 3 роки тому +25

    😂😂😂 Naomi ameiva acting maze hizo lines na sauti💥💥

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 3 роки тому +17

    I like the way she say "Hee" bfr she speak., " wewe inakaa si mjanjaa"😂😂

  • @vincethebasist4
    @vincethebasist4 3 роки тому +9

    Anaenda long distance...monday to monday ..apo ananifinyiria sana...naomi😀😀😀

  • @josephhahanyu2399
    @josephhahanyu2399 3 роки тому +14

    Aki I love this, Desagu you never disappoint. Angusha moja na Hannah sasa I love that girl

  • @johnnjogu5145
    @johnnjogu5145 3 роки тому +91

    Uyu dame ako na mistari mbaya🤣🤣

  • @peterwambui278
    @peterwambui278 3 роки тому

    Naomi uko sawa sana...the authenticity and the delivery...so unique... keep it ablaze...desagu wewe ni GOAT kama kawa

  • @peternjenga5790
    @peternjenga5790 3 роки тому +8

    😂😂😂😂iyo mistari ya Naomi ni noma Sana.ur so cute and I loooove your voice

  • @ngokajohn3811
    @ngokajohn3811 3 роки тому +20

    Gaiiiii🔥🔥🔥🥰mistari aki....."wangu ni long distance"......

  • @tonnyndundahse69
    @tonnyndundahse69 3 роки тому

    Jirani ni Noma Sana. Naomi you are the best. Desangu uko chini

  • @davyjones500
    @davyjones500 3 роки тому +14

    Henry Desagu...weka to be continued bwana..that was so hilarious umeangusha #teammafisi though.....Naomi ni kapoa ka kufanya tizi ukingoja finale....

  • @abelkunmarube9193
    @abelkunmarube9193 3 роки тому +7

    huyo dem amewezaa na story anapiga👏

  • @mekatones
    @mekatones 3 роки тому +21

    "unajua mimi ndio niko na kifunguu ya gate." 😂😂😂😂😂

  • @duffymasheti9007
    @duffymasheti9007 3 роки тому +29

    Ladies, huyu mrembo hajakufa after kujibonga

    • @mr.prince5614
      @mr.prince5614 3 роки тому +1

      It's comedy nigga

    • @daughterk1305
      @daughterk1305 3 роки тому

      @@mr.prince5614 he doesn't seem to Gerrit😂😂😂

  • @collorebo
    @collorebo 3 роки тому +22

    Prince of mwihoko never disappoints big up king 🤛

  • @abou__jayyaboutrika4381
    @abou__jayyaboutrika4381 3 роки тому +23

    This conversation was interesting 😄😄🤏💫🥲

  • @majoka2542
    @majoka2542 3 роки тому +2

    Desagu unakataa...naomi siku hizi basi umegeuka kuwa good man...kaa ni kitambo ungekua umemwambia muende kwako

  • @GIDDY383
    @GIDDY383 3 роки тому

    Mimi sijawai sikia dame ako juu hivi .... 👍👍👍

  • @wanjeriwaititu
    @wanjeriwaititu 3 роки тому +30

    Kabisaa Naomi na desagu 😂 😂 😂

  • @SirCollinsLuv
    @SirCollinsLuv 3 роки тому +2

    Ati 48 hours kama Nivea 🤣🤣🤣🤣that was volcano 🌋

  • @team_JosKenya
    @team_JosKenya 3 роки тому +6

    😂😂 Desagu huyu dem anasema ujiadvice🔥🔥

  • @Rastotect
    @Rastotect 3 роки тому +5

    Ati Desagu hapendi Zero grazing😁😁😁😁😁😁 hiii imeweza

  • @kissyknight5612
    @kissyknight5612 3 роки тому +26

    Huu ngeus ni actor mfiti😂😂

  • @albannuskioko3546
    @albannuskioko3546 3 роки тому +9

    No body:
    Naomi: Mi sina shida, ata unaeza niweka chini.

  • @truckingwithfauz7089
    @truckingwithfauz7089 3 роки тому

    Uyu dem ni talent tupu...atinisha kata milage

  • @josephriari3615
    @josephriari3615 3 роки тому +75

    i love this chic voice.

  • @Fatherabraham254
    @Fatherabraham254 3 роки тому +32

    This meru girl is naturally talented ...she doesn't struggle to deliver talent 😁

  • @jes254
    @jes254 3 роки тому +30

    This chic's voice, wordings and confidence is top notch😂😂😂. Blackmail, and stuff, mko tu sawa. Part 2 ije

  • @anthonykanyi2168
    @anthonykanyi2168 3 роки тому +6

    Nikikatiwa na damme natoroka

  • @sharonwangui1944
    @sharonwangui1944 3 роки тому +1

    Desagu vile unakuwanga 👌👌naomi anakupeleka🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @LeoMessiBestGoals
    @LeoMessiBestGoals 3 роки тому +17

    Desagu utanimaliza siku moja😂😂😂😂😂🤣

  • @roymutie5266
    @roymutie5266 3 роки тому +3

    Naomi my all time best.
    Somebody show some love for Naomi kuria .

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 роки тому +18

    She plays the role so well...

  • @franciswanderi4476
    @franciswanderi4476 3 роки тому

    🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂Kuniona ni kuniona na kuniongelesha. Alaa alaaa alaaaaaaa🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @karenjonyunsuu5501
    @karenjonyunsuu5501 3 роки тому +6

    😂😂😂😂😂🔥 gari za simama twende ndizo huu ufika

  • @kiwaEU
    @kiwaEU 3 роки тому +10

    unaniblackmail na funguo ya gate🔥😂😂😂

  • @brianrutere459
    @brianrutere459 3 роки тому +1

    She's on point 👌 and the best , I would like to meet her, character on point 👌. She's eloquent, courage, She's going far. Her Voice am inlove with it, answering, reasoning on another level, she's a 🌟

  • @kennedymwangi54
    @kennedymwangi54 3 роки тому +4

    Love that girl....desagu my guy..

  • @IrushKansas
    @IrushKansas 3 роки тому +1

    Uchunge sana ukikataa mambo yangu pia wewe ntakuweka on hold... utalala nje na hao madem wako... eish

  • @florayator1866
    @florayator1866 3 роки тому +2

    Eti Desagu unaplay hard to get 🤣🤣🤣

  • @charliekibxy2682
    @charliekibxy2682 3 роки тому +1

    Desagu King of mwihoko good job

  • @danielmaundu8545
    @danielmaundu8545 3 роки тому +1

    😂😂😂😂desagu wacha waana,,,lima iyo mali
    Kwani wanaume mnatakanga aje
    Mkikataliwa ni shida
    Mkipendwa ni shida

  • @andy_kid2218
    @andy_kid2218 3 роки тому

    Ufungu ya gate😂😂hapo ngekubali 💯😁😁

  • @mwendii
    @mwendii 3 роки тому +4

    Eti "ungekuwa mjanja ungekuwa umejiadvise,ukajua mtu ni mimi" lmaooo🤣🤣🤣

  • @poetwaleo2633
    @poetwaleo2633 3 роки тому +24

    I love this lady 😂

  • @sammbugua1136
    @sammbugua1136 3 роки тому +10

    Desagu never disappoint 😂😂😂

  • @jethrokamau
    @jethrokamau 3 роки тому

    Best punchline....Ati ukikataa madame saizi si hiyo ni kunikatia kwa line😂😂😂

  • @Thatkenyannigga
    @Thatkenyannigga 3 роки тому +3

    Hata mimi nilikua naanza kukorogeka 🤣🤣🤣

  • @theecrayy1933
    @theecrayy1933 3 роки тому +25

    48 hours kaa Nivea 😂😂😂😂🐐

  • @johnmaina9273
    @johnmaina9273 3 роки тому

    Incredible.huyu dame abana machezo.i love this

  • @isaacwechuli2987
    @isaacwechuli2987 3 роки тому +3

    Desagu napenda hii content ..we need part ii

  • @mwaithechosen.7057
    @mwaithechosen.7057 3 роки тому

    Aki Desagu you're just funny, sema yes....huyu msichana ako na confidence 🤣🤣🤣 anajua kusafisha

  • @1234592527
    @1234592527 3 роки тому +2

    Am sure Desagu ucha ji advise already.

  • @sheilashii7146
    @sheilashii7146 3 роки тому +1

    Ati 48hrs kama navea hiyo ni noma🤣🤣🤣🥰💯

  • @elibarikiwilliam9395
    @elibarikiwilliam9395 3 роки тому

    Ni kubayaaa
    Nimemwelewa sana huyo dem

  • @caudesiolkimani7677
    @caudesiolkimani7677 3 роки тому +7

    Naomi you never disappoint 😂😂😂😂😂keep the fire burning 🔥

  • @Jonathan99-9
    @Jonathan99-9 3 роки тому

    Wajua niko na kamtoto hako ndiko nabembelezanga mapenzi sio kitu naweza kukuitia hivyo kama tropical 🤣🤣🤣🤣🤣💯👌

  • @kariukiirungu8115
    @kariukiirungu8115 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣desagu imeweza,, Naomi waaah,,,I think behind the scene ilikuwa moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alvinajulu5633
    @alvinajulu5633 3 роки тому +4

    Sa mih ni rebound😹😹😹😹

  • @richardmwalili1910
    @richardmwalili1910 3 роки тому +15

    This lady's voice🔥

  • @_Mr.Greatness
    @_Mr.Greatness 3 роки тому +1

    I like this lady desagu nitumie namba

  • @shiksgeorge8713
    @shiksgeorge8713 3 роки тому

    Woooooih Des,utapenda cha lazma

  • @joymboya3867
    @joymboya3867 3 роки тому +4

    That conversation is flowing naturally 😂😂

  • @johngachiri2692
    @johngachiri2692 3 роки тому +1

    Naomie unawezanga sana... Sure bet for u

  • @tanmysammy6295
    @tanmysammy6295 3 роки тому

    Mmi Kwanza sipendi kukatiwa ...Unajua n maboy😂😂😂😂😂

  • @LeoMessiBestGoals
    @LeoMessiBestGoals 3 роки тому +33

    You never fail king of mwihoko😂😂😁

  • @bonifacekamau2006
    @bonifacekamau2006 3 роки тому +8

    Best compination ever🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @allannutter1685
    @allannutter1685 3 роки тому +53

    "Unanikatililia kwa line..." hahaha

  • @collins8437
    @collins8437 3 роки тому

    😅😅😅😅hyu mrembo ako juu sana sauti tamu

  • @alhajjikweyu8985
    @alhajjikweyu8985 3 роки тому

    These is more responsible 💜🤣💜🤣wapy like za Naomi💜💜💜💘

  • @deejoh254
    @deejoh254 3 роки тому +4

    Love your work👍👍👍

  • @Lizitow
    @Lizitow 3 роки тому

    😂😂hii imeweza ati unanicut line cheeii... Naomi Naomi

  • @NjokaTimothyNjeru
    @NjokaTimothyNjeru 3 роки тому

    Desagu apata masaibu akianika nguo ama Desagu akumbwa na masaibu akianika nguo, Naomi Kuria akai kama amepatwa, coz yeye hawezi patikana yeye hukumba watu she always causes the boychild problems that they cannot solve. She is a total genius good job Desagu and Naomi.

  • @BIGJIMTHEGAMER
    @BIGJIMTHEGAMER 3 роки тому

    😂😂😂😂 hiyo sauti Ni ya morio ama Ni ya mrembo. Desagu Ni jibu😂😂

  • @HouseHunting254
    @HouseHunting254 3 роки тому +1

    DeSagu ingia box wacha mambo

  • @abrahamwiseman8342
    @abrahamwiseman8342 3 роки тому

    Hahaha 🤣🤣😂😂😂😂 ati kwa plot autaki mazoea huyo mrembo moto kama pasi#Naomikuria

  • @newsofourworld-p6i
    @newsofourworld-p6i 3 роки тому

    Huyu dem anaeza kuhanda mbaya sana😁😁😁

  •  3 роки тому +4

    Nan MWINGINE hafa yangi zero grazing..?? 🤣🤣🤣🤣😂😂🔥🔥

  • @richardondora1481
    @richardondora1481 3 роки тому +3

    Ground floor na 5th floor pia ni long distance relationship

  • @vicpharmaltd2264
    @vicpharmaltd2264 3 роки тому +1

    haha ivo ndo pia niliambiwa kwa plot , she hit the nail on the head toka hiyo siku walai nawakula vizuri kwanza wa ploti

  • @Super_Intruder28
    @Super_Intruder28 3 роки тому

    This the third time am back here kuwatch hi kitu yaaani ni Kali sana Desagu to be continued ikipotea pia wewe upotee...😂😂😂😂then that lady manze ni mnoma sana her voice lines Yaani 🔥🔥🔥🔥💯✅ajenge youtube channel atupee jina tu SUBSCRIBE afanye commedy yake salute manze🤣🤣🤣

  • @johnnabie5445
    @johnnabie5445 3 роки тому +1

    Desagu unakatiwa na bado huradi 😂😂😂😂

  • @julimwas2348
    @julimwas2348 3 роки тому

    desagu utalala nje haya ...utafunguliwa gate

  • @kelvinmaurice5880
    @kelvinmaurice5880 3 роки тому

    Lakini uyo dem apana😂😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @JK-vi8rb
    @JK-vi8rb 3 роки тому

    Noma sana 🔥🔥🔥🔥

  • @peterkiiru7033
    @peterkiiru7033 3 роки тому

    🤣🤣uyu dem ako sawa, acting and everything dope

  • @dawiny_hsf
    @dawiny_hsf 3 роки тому +25

    Desagu never disappoint 💪💪big up 💥

  • @hassanyussuf8381
    @hassanyussuf8381 3 роки тому +2

    Nani kama Naomi haki, really like huyu mrembo.keep it up dia

  • @rayyanmusic3657
    @rayyanmusic3657 3 роки тому

    Desagu ujai nibwaga broh....... Uyo mdem ni Macho kavu niaje..... 😂😂😂

  • @collinsmjamo6676
    @collinsmjamo6676 3 роки тому

    Naomy anaeza kukatia hadi uingiane ako na vibe mbaya

  • @nyaorakevintv3518
    @nyaorakevintv3518 3 роки тому

    Mimi vile napenda Naomi 💜❤️💜❤️ wacha tu

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 роки тому +13

    Desagu ingia box yaishe😂😂😂

  • @khamisijulius8245
    @khamisijulius8245 3 роки тому +1

    Huyu dem dah😁😁

  • @haronkife3590
    @haronkife3590 3 роки тому +4

    Hahaaaa Naomi unathreaten ama unakatia ,,,,,,Desagu usiniangushe

  • @johntez6231
    @johntez6231 3 роки тому +4

    Issa Trap 😂😂 Vile Naomi anaongea zae.... Anyway nice Collabo Guyz ✨✨😅

  • @davidmutua464
    @davidmutua464 3 роки тому

    Weuweee desangu leo umepatikana Sema kukatiwa nayo haaaaa😂😂😂