Hadithi ya Kachiki - 81A

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2023
  • Hadithi hii ya Kachiki ni hadithi inayomzungumzia binti mdogo aliyepitia changamoto nyingi na vikwazo vingi kwenye maisha yake. Hadithi hii pia inatufundisha kutokata tamaa kwenye maisha.
    Endelea kufurahia na kujifunza kadri unavyozidi kusikiliza hadithi hii.
    Pia usisahau ku subscribe kwenye channel yetu hii ya ‎@hadithimbalimbali ili uendelee kujifunza na kuburudika pia.

КОМЕНТАРІ •