Kwenye "title" naona tafsiri ya ekerango majigambo (kwenye mabano). Kwa haraka haraka tafsiri hii inaonekana sahihi. Ukweli ni kuwa hii ni fani ya muziki ambayo ina mambo mengi ndani yake Ekerango ni sawa 'okwibhaka". Hii iko kwenye fani ya lugha hasa kwenye ushairi "poems/prose". Lengo ni kuburudisha na kutoa elimu ya maisha kwa njia hii. Majigambo ni "Okwihema" au kujidai. Nakubali kusahihishwa kwa sababu ujuzi wangu wa Kikurya ni 90%.
*Karibuni nyote, abhakurya isimisi* ```Vigezo na masharti 1-Wageni wote ni lazima wajitambulishe kwa majina matatu(3), na picha, kwao ni wapi, na kwa sasa yuko wapi. (MUHIMU) 2-Mijandala hasa ya mpira wa miguu hairuhusiwi!! 3 -Ni marufuku kutukana, kukejeli mtu, ama kundi la watu``` *LENGO LA GROUP* ➡️Kuwakutanisha Wazalendo, wapenda mila ➡️Tujuane ➡️Tusaidiane ➡️Tuheshimiane ➡️Tusupport kazi za wenzetu bila wivu wala kinyongo chat.whatsapp.com/BF9vAttEeMv7u2QQjGlUVs
I love this song umugancha,,, dedication to bro Vincent Iranda... Mbooorrrhh
Kweli Ghati umumuncha ni kipaji aiseeeee.....
Kwenye "title" naona tafsiri ya ekerango majigambo (kwenye mabano). Kwa haraka haraka tafsiri hii inaonekana sahihi. Ukweli ni kuwa hii ni fani ya muziki ambayo ina mambo mengi ndani yake Ekerango ni sawa 'okwibhaka". Hii iko kwenye fani ya lugha hasa kwenye ushairi "poems/prose". Lengo ni kuburudisha na kutoa elimu ya maisha kwa njia hii. Majigambo ni "Okwihema" au kujidai. Nakubali kusahihishwa kwa sababu ujuzi wangu wa Kikurya ni 90%.
Susaana koghoro nkologhale saachi ghukulwa london nawapata vizuri
Asante endelea kutusapoti
Pia karibu whatsapp group WAKURYA wote kenya na Tanzania
*Karibuni nyote, abhakurya isimisi*
```Vigezo na masharti
1-Wageni wote ni lazima wajitambulishe kwa majina matatu(3), na picha, kwao ni wapi, na kwa sasa yuko wapi. (MUHIMU)
2-Mijandala hasa ya mpira wa miguu hairuhusiwi!!
3 -Ni marufuku kutukana, kukejeli mtu, ama kundi la watu```
*LENGO LA GROUP*
➡️Kuwakutanisha Wazalendo, wapenda mila
➡️Tujuane
➡️Tusaidiane
➡️Tuheshimiane
➡️Tusupport kazi za wenzetu bila wivu wala kinyongo
chat.whatsapp.com/BF9vAttEeMv7u2QQjGlUVs
Huyu dogo Ghati Umumuncha ni kipaji
Safi kk
Safi sana jamaa
W
Love the song more
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ako vizuri san nimekumisi mimi mtoto wa msubTi nyamohanga mke wà chahca daniel naomb siku nikuja tan,anzania u itolee
Karibu sana WhatsApp namba +255622672519
Swafi kabisa
Kabisa