NAY wa MITEGO afunguka KUTUKANA/ AWACHANA wasanii wanaosifia SERIKALI/ AFUNGIWA wimbo WAKE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

КОМЕНТАРІ • 104

  • @JakoboKibakuli
    @JakoboKibakuli День тому +10

    Wew ndo mzalendo nambie moj Tanzania big up brooooo

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 День тому +18

    Basata wote ni mashoga

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 День тому +13

    Rais wa kitaa

  • @AmaniNasoni
    @AmaniNasoni День тому +8

    hiv mnao post habari huwa mnasikiliza kwanza au mnapost to maana sauti zinakatika katika hovyo hata huelewi vizuri dar wario kerwa na hili tujuane hapa

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo День тому +3

    Ney my brotherhood nipo nawe mm ni hip hop faza sitaweza kunyamaza ,sitaogipa watoto wa mama nipeni mzigo wa lawama,naomba nipige kolabo na ww ngoma kijiko ya jikoni, aksantum

  • @AtanathJeremia
    @AtanathJeremia День тому +4

    Nay na Roma tuwape nch

  • @SamwelTemba-l7b
    @SamwelTemba-l7b День тому +4

    Tukopamoja kaka

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje День тому +28

    Uyu jamaa ni gentleman yupo real xn haogopi kukosoa kwa yanayoendelea nchini fanya interview kaka ukiwa kwenye gari ukishuka tu wanakukamata

  • @zomasamweli
    @zomasamweli День тому +2

    We mwandishi kumanina ww uwe unareekenisha mitambo yako ndo unahoji watu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 День тому +2

    Nyimbo za matus wana penda ila za Ukweli 😢😢Subhanallah 😢

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 День тому +3

    Kweli Baba

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 День тому +2

    Hata wakikufungia ila ujumbe umefika.

  • @EvaristNgabigala
    @EvaristNgabigala День тому +2

    Media zakipumbafu sana .tunasikilizaMALEMA wapili anaye tetea w'afrika wenzake nini muko munaharibu kilakitu t

  • @Liam-v1q2e
    @Liam-v1q2e День тому +2

    Tuzie iyo media inakushinda

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 День тому +1

    Mwanangu mwenyewe nakukubali sana chuma kweli kweli.....
    Wale wazee wa kusifia kila kitu eti mara anaupiga mwingi mara ni mlezi mara kaifungua nchi kwaiyo nchi ilikuwa imefungwa kumbe😆😆😆

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 День тому +7

    Wananchi wote tunakuelewa kasoro viongozi2

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 День тому +1

    Endapo Tanzania itaruhusu mgombea huru, Ney ndiyo Rais wa wanyonge

  • @stephanokaluse
    @stephanokaluse День тому +1

    Ney wa mtigo ila usjali maana mungu yupo tutakuombea adi uchinde hyo gemu maana Kuna wengene wataka kuongea ila anaogopa kuongea 😅😅😅😅

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 День тому +1

    NAY kabisa muzalendo namba moja kabisa.ukweli unaumiza.🇨🇩

  • @stephanokaluse
    @stephanokaluse День тому +1

    Yan mungu akuongesee miaka ya kuichi dunian ney wa mtigo tuko pamoja😂😂😂😂

  • @nasramusaro
    @nasramusaro День тому +2

    Mnakera sauti

  • @KasalambaJuma-tc8yt
    @KasalambaJuma-tc8yt День тому +2

    Kweli mwana🫡🫡

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri День тому +1

    Kabisa ney Mungu akutunze kaka hakuna mkaskazini muoga ndio maana wanaburuzwa mahakamani kila siku

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 День тому +2

    Upo sahihi

  • @bon_boy_musani_muimbaji_music
    @bon_boy_musani_muimbaji_music День тому +2

    kweli brother

  • @MatridaGodfrey-xf1zn
    @MatridaGodfrey-xf1zn День тому +1

    Rekebisha sound system mzee

  • @MateusPius
    @MateusPius День тому +5

    Kweli Kaká🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 nakukubali sana Mimi kutoka Moçambique

  • @abasingawile-h3f
    @abasingawile-h3f День тому +1

    Mbona sauti inakata kata vip

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 День тому +2

    Poapoa

  • @brunoshirima3387
    @brunoshirima3387 День тому +8

    We jamaa boresha mifumo ya media yako....inakatika katika hadi inaudhi ase...rekebisha

  • @benbizzytz6441
    @benbizzytz6441 День тому +1

    Imma anajitoa sana yani

  • @MATOGOROAUTOSPAREPARTS-b7g
    @MATOGOROAUTOSPAREPARTS-b7g День тому

    dah ushauri wangu.. rick media tuwe seriously.. camera inacheza sana, sauti zinakwaruza na kupotea sometime.. ila big up kwa hicho tulichokipata🤒

  • @MUGISHAGUYCoumbrice
    @MUGISHAGUYCoumbrice День тому +2

    U will loose credibility soon

    • @salehrwigemagisa81
      @salehrwigemagisa81 День тому +1

      Unajifunza kingereza?Ao unakurupuka tu kuandika?

    • @saidantugwa7671
      @saidantugwa7671 День тому +1

      ​@@salehrwigemagisa81 mwambie huyo itakuwa kashaliwa na P Didy! jitu alijui hata matumizi/Maana ya credibility.

  • @ElishaElishanzenele
    @ElishaElishanzenele День тому

    Natamani ningekuwa kama ww bro hakika ningekusaidia but good luck 🤲🤲🤲🤲

  • @andrewsimkoko
    @andrewsimkoko День тому

    Pamoja sana brother ney tuko pamoja na tunakuelewa sana Mimi nimtanzania halisi ingawa naishi Zambia lakini krip zako tunazifwatilia vizur sana

  • @HusseinSaiko
    @HusseinSaiko День тому

    Dar ila ney mungu aendelee kukupa maisha malefu na kukuzidishia balaka Yani wewe kweli uko upande wote mda wote na wala ujawayi kutuwacha nyumba na ningiwe kama vile wakina bakhresa nilikuwe tayali kukupa ata billion 1 mana mmm unatupenda sana Mimi sio mu Tanzania Mimi mu malawi ila nakukubali sana

  • @valerianmtowe7822
    @valerianmtowe7822 8 годин тому

    Wasanii wengine mashoga tu na ndo maana walipelekewa moto na pidy

  • @AlhajiHusseni-st4os
    @AlhajiHusseni-st4os День тому

    Rick media hua mnazngua sana kwenye swala la sound tutawakimbia na ku unscribe

  • @njaunestory761
    @njaunestory761 День тому

    tunaendeleaaa kuchangaa mpakaa tuateee nilioni miaa basata wabaki na uanazu wao wa hovyooo

  • @Ashibutz
    @Ashibutz День тому

    Nyie mnabana sauti ya nini ndo upumbavu wa waandishi wetu wa kibongo

  • @kbhazina
    @kbhazina День тому

    BASATA ni mashoga,na ccm polisccm wote

  • @EmmanuelMaigemasingija
    @EmmanuelMaigemasingija 23 години тому

    Waki mfugia wanamuonea2 yuposawa nay🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙋

  • @rabanmwanambesi1482
    @rabanmwanambesi1482 День тому

    Weeee jama mpuuzi Habari njema media ujinga mtupu😂😂

  • @eliasmnunduma7973
    @eliasmnunduma7973 День тому

    Rick brooo habar zakoo hovyo vifaaa😂 hauna saut haitok

  • @JOHNKUBINGWA
    @JOHNKUBINGWA День тому

    Huyu jamaa tumchague awe rais wa nchi na si wa kitaa tena

  • @ChiefHeke
    @ChiefHeke День тому

    Manaume wakwel wako real sana ...maneno yamenyooka

  • @DaviMaiko
    @DaviMaiko День тому

    Nakwelewasana ney wamitego nikopamoja nawewe

  • @MaryMmbaga-u7y
    @MaryMmbaga-u7y День тому

    Yan uyu kaka anaoneka ana elimu sna kuzid wasanii wote

  • @bemmicrocredit5554
    @bemmicrocredit5554 День тому

    Nyie vip sauti inakatakata vifaa vyenu vibovu au

  • @davidntowanga7717
    @davidntowanga7717 9 годин тому

    Apewee maua yake huyu mshkaji

  • @kingvikey4682
    @kingvikey4682 21 годину тому

    ..pamoja sana ney,,raisiiii🙌🙌

  • @kbhazina
    @kbhazina День тому

    Mnazingua,mnakata kata maneno ndo nn

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw День тому

    Rick mnazingua sauti inakatika katika

  • @VannyDoh
    @VannyDoh 7 годин тому

    Kiukwel akupe moyo

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 День тому

    MWAMBA HUYU HAPA! BIG UP NEY!

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo День тому

    Basata matailaaaaaa kenge nyie

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 День тому

    Tunakulewa sana raisi wakitaa

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe День тому

    Ilaaa nay nakukubaliii sanaaa

  • @ezekielimungure3007
    @ezekielimungure3007 День тому

    No one like u my brother bigger up

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 23 години тому

    Big up ney uposahihi sana 🎉🎉🎉🎉

  • @SaidyKigoda
    @SaidyKigoda День тому

    Mungu akulinde brooo

  • @AllyHusein-iw5kb
    @AllyHusein-iw5kb День тому

    Rick media amu wezi kaki

  • @jasperyassin1708
    @jasperyassin1708 День тому

    Umeongea vzr san

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina День тому

    Tuko pamoja kaka ney

  • @AlexHosea-m4m
    @AlexHosea-m4m День тому

    Pambana baba tuponyuma

  • @Chaputa11
    @Chaputa11 День тому

    Semakwel kk tupopamoj

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 День тому

    Bey for president ❤❤🫶🏿

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj День тому

    Nakubali ney

  • @novatusrichard9375
    @novatusrichard9375 День тому

    The true boi in tha buildin

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 День тому +3

    Ney wa Mitego ana uelewa mkubwa sana alipaswa kupewa Udaktari wa Heshima katika kutetea jamii yake. Bahati mbaya PhD hizo wanapewa machawa na vilaza tu fulani

  • @AliDaud-i4j
    @AliDaud-i4j День тому

    Bachela man

  • @paikitz
    @paikitz День тому

    Kabisaa yaani 🙏🙏🙏

  • @EmmanuelMaigemasingija
    @EmmanuelMaigemasingija 23 години тому

    Nay yuposawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏

  • @afrayo04
    @afrayo04 День тому

    Basata 😢😢

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis День тому

    Media murekebishe ina shida ina kera

  • @ErnestMoyo
    @ErnestMoyo День тому

    Bravo sna brother

  • @Kulwasimon-g8z
    @Kulwasimon-g8z 23 години тому

    Dah 👊👊👊

  • @NeemaMpelengana-ws9rn
    @NeemaMpelengana-ws9rn День тому

    🙏🙏🙏

  • @zakayodonati8593
    @zakayodonati8593 День тому

    🎉🎉🎉

  • @patisondidas6720
    @patisondidas6720 День тому +2

    Nyie ni makum ban na maik zezu feki

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku День тому +1

    Kabisa umeongea point ndugu

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 День тому +1

    Sisi tuna kuelewa

  • @benbizzytz6441
    @benbizzytz6441 День тому +1

    Rais kasema

  • @yohanakateko
    @yohanakateko День тому +1

    Big up bro

  • @erickjohn9282
    @erickjohn9282 День тому

    Nakkubari ney mtetezi Wawa nyonge

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 День тому

    JAMANI TUNAANZA LINI KUWATEMA WASANII AMBAO WANASHINDWA KUTUSEMEA SIE ILA WAO KWENYE MAMBO YAO TWASHOBOKA. TWAONEKANA WANGESE SANA KWA KUWABEBA WASANII WASIOTUBEBA NA WAKIUMWA SIE NDO WATOA MICHANGO WAKUBWA

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor День тому

    Tanzania nzima hakuna msanii kama Ney cz nyimbo zake zinafungua akili zilolala

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 День тому

    Msanii anaejitambua Ney uko sawa siyo kusifia kila kitu hata kama hakiko sawasawa

  • @mosespeter3186
    @mosespeter3186 День тому

    Hizi online media mbona hazina ubora ...sauti zinakatakata...yaani hatumsikii msanii wetu vizuri ....kuweni makini basi

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it День тому

    Nakubali ney

  • @ipyanamwanyemba8605
    @ipyanamwanyemba8605 День тому

    Big up brother.

  • @calvintheone299
    @calvintheone299 6 годин тому

    𝙃𝙞𝙞 𝙢𝙚𝙙𝙞𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙗𝙤𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙣𝙖𝙥𝙤𝙨𝙩 𝙗𝙞𝙡𝙖 𝙠𝙪𝙘𝙝𝙪𝙣𝙜𝙪𝙯𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞

  • @rashidmohamedmalale4794
    @rashidmohamedmalale4794 День тому

    𝕄𝕚𝕔 𝕫𝕖𝕟𝕦 𝕞𝕓𝕠𝕧𝕦 𝕨𝕒𝕟𝕒 𝕙𝕒𝕓𝕒𝕣 𝕚𝕟𝕥𝕖𝕣𝕧𝕚𝕖𝕨 𝕚𝕟𝕒𝕜𝕒𝕥𝕜𝕒𝕥𝕒 𝕜𝕞𝕒 𝕞𝕟𝕒𝕠𝕘𝕠𝕡𝕒 ,𝕚𝕝𝕒 𝕓𝕚𝕘 𝕦𝕡 𝕥𝕣𝕦𝕖 𝕓𝕠𝕪