BLACK PASSY ALIA NA WANAUME/ MIAKA 37 SIJAOLEWA/ HAWANITONGOZI/KUOLEWA NATAKA/NIMEMFUMANIA/SIKUACHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 294

  • @leilaibrahim5380
    @leilaibrahim5380 2 роки тому +13

    Inaonaka huyu dada anashida yandoa sana mungu amusayidiye apate mume

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 2 роки тому +2

    Ukisimama pamoja na Bwana Yesu atakufanya kuwa MALKIA. BIG UP DD

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому +2

    Very good,binafsi nmekupenda buuureeee

  • @Special_boy_og
    @Special_boy_og 2 роки тому +2

    Dah uyo dada nampendaaaga😂😂😂

  • @touches4lifeonlinetv46
    @touches4lifeonlinetv46 Рік тому +3

    Yuko straight saana😁Kuna kamovie flan anaitwa Tatu

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 роки тому +1

    Black pass nakujipendeag 💖💖👌👌🇴🇲🇧🇮

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 роки тому +4

    Black Pass nakufuatilia tangu muda miaka mingi sana hata katika interview zako nakufuatilia sana ila nitakupataje sasa nawezakuwa mumeo tukifuata vigezo na masharti..

  • @rodriguesluciano8617
    @rodriguesluciano8617 2 роки тому +9

    We dada ni mzuli sana nakupenda

  • @samsonnkinda852
    @samsonnkinda852 2 роки тому +1

    Unayoyaongea Kama nikwel omba mungu akupe mume mwema Kwan mme mwema atoka kwa BWANA

  • @yhasinidda4009
    @yhasinidda4009 2 роки тому +4

    Hiyo saut ndio inaogopeka IRA we mzuri 💯❤️👌

  • @salumsicknesspeoplemusafir7902
    @salumsicknesspeoplemusafir7902 2 роки тому +6

    She's really right hhhhh kaongeya ukweli

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 2 роки тому +4

    Dada ni mrembo mashaallah mashaallah mashaallah na mzuri pia❤️♥️

  • @princessjj8298
    @princessjj8298 2 роки тому

    Siku atakayoacha kuigiza kama kiziwi na kuomba toba mbele za Mungu ndo siku atakayopata mtu wa kumuoa. Atafute namna nyingine ya kuigiza VIZIWI WAMEUMBWA NA MUNGU NA HAWAKUPENDA KUWA VIWIZI. Mungu ndo anakuadhibu dada.

  • @zakaliajoseph7705
    @zakaliajoseph7705 2 роки тому +2

    Kwanza nicheke Yani ulivyo kazuli ivyo et umekosa wa kukuowa kweli duhh haya Kama umemkosa m nipo hapa

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 2 роки тому +22

    Ila kiuekweri Huyu dada mzuri mashallah

    • @enockoivp2256
      @enockoivp2256 2 роки тому

      Mambo

    • @rashidimkumba8846
      @rashidimkumba8846 2 роки тому +1

      Mwambie nipo tayari tuowani nipo kigoma

    • @rashidimkumba8846
      @rashidimkumba8846 2 роки тому +1

      Mwambie nipo tayari tuowani nipo kigoma

    • @theophilojohn7331
      @theophilojohn7331 2 роки тому +1

      Kweliiiii ngada sc wamehalibu Hadi Hawa wadada hatimae hawaolewi wameanza kutafuta wanaumee

    • @francisgituti2494
      @francisgituti2494 2 роки тому

      Yaani hapo umemaliza dada make Hawa wa vipi ni keroooooo

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 роки тому +1

    Utaolewa tu Dada wew nimzur sana wala usijali

  • @uredipeter412
    @uredipeter412 2 роки тому +3

    Black beauty kweli nampendaga uyu dada

  • @happinessmtalika16
    @happinessmtalika16 2 роки тому +2

    Punguza ukali wa maneno mdogo wangu wapo wanaume wengine wao wenyewe ndio wanawapeleka wake zao kutoboa hivyo vipini.kila mwanaume ana types zake unaweza ukavaaa magauni marefu na hujichibui lkn usiolewe.

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 2 роки тому +2

    Hahaha nimekupenda bureee eti anipende asinipende atajua mwenyewe tutagawana upendo wangu

  • @jamalmbuguni5640
    @jamalmbuguni5640 2 роки тому

    Dada Naamin uko silias na umejifunza mengi mpk ss mm nakupenda nko tyr na upendo ninao shida ya mke pia ninayo je upo tayr au ushapata mume wa kukuoa

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 2 роки тому

    Carry mastory mwambie atoe vikucha vya shetani

  • @jannyjmamdak2570
    @jannyjmamdak2570 2 роки тому +1

    Yaani mdada mzuri hajajitia mambo mengi yaani mpka hereni hujavaa lakini unaonekana mrembo mtu mwingine hapo kwenye entervw angejipamba balaa

  • @alexngaomuthui
    @alexngaomuthui 2 роки тому +1

    Shambiki mkenya mpya kabisa kaka,,,huyo dada ana watoto naulizaa,,naeza mpenda ila Mimi nmdogo wake kimiaka

  • @juniorvakwa3259
    @juniorvakwa3259 2 роки тому +4

    I like uuu !!mungu akupe mume mwema muumini muslim akufanye mama mzuri uko vzr wa lukoo nakutemwa iwe

  • @hamadbajaj6663
    @hamadbajaj6663 2 роки тому

    Mm nipo kama unahitaji kweli nakuhurumia sana

  • @trustvideoproductiontztrus4736
    @trustvideoproductiontztrus4736 2 роки тому +3

    Mungu akusaidie umpate mme bora

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +3

    Huyu dada 😂nimempenda bure tu amenifurahisha sana 😅anapenda wazee halafu anavyosema hiyo broo 🤣🤣🤣ningekuwa huko ningekutafuta hadi nikupe ofa ya lunch na tuongee na kucheka

  • @jamesrwazo261
    @jamesrwazo261 Рік тому

    Uko vizuri

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 2 роки тому +2

    Katubu dhambi zako mungu atafungua mlango wa ombi lako

  • @solutionprovider7155
    @solutionprovider7155 2 роки тому

    Naomba nikupatie ushauri, Ndoa sio tukio Fulani ambalo watu Fulani wanapanga hapana, Ndoa ni Taasisi iliyo kamili kabisa, na mwanzilishi wa Taasisi hii ni Mungu na msimamizi wa Taasisi hii ni Mungu, yeye ndiye anachagua nani aingie au nani asiingie maana Mungu ndiye anaewajua Zaidi watu wake aliewaumba kuliko watu kumjua Mungu aliyetuumba, Sasa unachotakiwa kufanya kumkaribia mwanzilishi na msimamizi wa Taasisi hii ili nawe akupatie mume wako. Ushauri mwingine. Usikubali kuwa mke wa pili jitahidi uwe mke mmoja tu huo ndio mpango wa aliyeanzisha hii Taasisi, MIPANGO mingine haitoki kwake Bali kwa yule mwovu shetani. Ubarikiwe

  • @salimabdallah6405
    @salimabdallah6405 2 роки тому +1

    Aise muulizeni huyo dadayetu je na sisi walemavu tunaruhusiwa kugombea jimbo

  • @jovithajosephsalvatory2392
    @jovithajosephsalvatory2392 2 роки тому +2

    Safi sana dada mapenzi ayachaguhi

  • @wanzokiwanene7931
    @wanzokiwanene7931 2 роки тому +3

    Kuwa mkweli watu kweli tunahitaji kuoa ujue

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 роки тому +2

    Waawooo wafipa tujuane

  • @manasa2449
    @manasa2449 Рік тому +1

    Black pas akitokea mwanaume kafa unabaki kwe mjengo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lucyhanzuruni7165
    @lucyhanzuruni7165 2 роки тому +5

    Kutoboa vipimi ainamaana ajui ndoa ajui kulea watoto ivi nivitu tu vinampendezesha mwanamke ,Kuna walio toboa na wameolewa na wametudu kweny ndoa atar ,we jiuliz tu unashda gan ila Vipin avina shd

    • @danielp4147
      @danielp4147 2 роки тому +5

      Acha kutetea hilo hakuna mwanaume wa kuowa mwanake katoboa vipini kila kona ya mwili wake hapo hakuna ndoa

    • @tatotato506
      @tatotato506 2 роки тому +1

      @@danielp4147 ndo apo sasa watu wanaalibu tuu mabibizetu walikua wanatoa puani tuu lakini sasa ivi kilaseem wanatoaboa

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 2 роки тому +1

      Usitetee upuuzi unatoboaje vidubwasha mwili mzima kama chujio .

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 2 роки тому +2

      Acha uongo ww Kuna mwanamke wa kuoa na WA ku2mia huwez ukaja na Vipin vyakko ety huyo n mke c kweli me cjaona kipin akidumu kwenye ndoa, sisi wanaume hatuoi vipn tunaoa mke wa kawaida tu atunze familia cheus Yuko sawa

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 2 роки тому +1

      Acha kujitetea ujinga wanawake WA aina hiyo huwa mnamambo meng sanai

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 2 роки тому +4

    Mlilie Mungu dada siyo wanadam tuko wengi tu sema wengine hatujulikani, lakini Mungu wetu ndio Wa kutupa Mme sahihi siyo kila mwanaume ni bora

  • @josephmhagama8750
    @josephmhagama8750 2 роки тому +1

    Dada unajianimini upo vizuri

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 2 роки тому +4

    Black wwe ni mwanamke wa peke uko smart

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 2 роки тому

    Ivi kweli uyu dada yupo seriously na iko anachokisema au comedy tu

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 2 роки тому

    Nakupenda eee kpzzzzzz mkoa gani kpzzzzzz

  • @mussanangumi1734
    @mussanangumi1734 2 роки тому +2

    Kama nikweli yupo tayali mimi Sina Elimu nasina Mali ila ninanguvu ya kupambana nilisha umizwa na mahusiano sasa je nikweli anaitaji mune au anaitaji kuondoa nuksi

  • @barakaogingfamer4114
    @barakaogingfamer4114 2 роки тому +5

    Dada hata mimi pia nina mtoto mmoja ila mama yake alikataa kuolewa na mimi anasema yeye bado hayuko tayari kuolewa kwa sasa

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 Рік тому

      Njoo unioe Mimi nipo tayari naomba namba yako ya whtassap please tuwasliane

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 роки тому +3

    Ooh! Ni mziri asiwe na hofu ataolewa TU acjal.

  • @azorheradius8681
    @azorheradius8681 2 роки тому +3

    Blackpass you look so beautiful

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 роки тому

    Naomba No yako mdogo wangu tuwasiliane mm mfipa mwenzako

  • @emmanuelmatogolo5869
    @emmanuelmatogolo5869 2 роки тому

    Mmh! Kwa kabila hili nalijua vizuri,
    Mimi binafsi 😎.

  • @camilacharzy7780
    @camilacharzy7780 2 роки тому

    Wakukada mpimbwe iyo katavi nyumbanii . Nakupenda wa kwetu

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 2 роки тому +5

    She's Bright

  • @harithsaid1834
    @harithsaid1834 Рік тому

    Ikitokea umepata mume lakini akakwambia uache Sanaa vipi utarizika

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 2 роки тому

    Tatizo mnataka waume wa kuwaowa mukisha wapata munaanza kuwadharau na kuona hawafai, Munaanza kuwasaliti na vinginevyo.
    Kwa iyo, hivyo vilio vyenu habina maana yoyote.
    Bora tubaki single.

  • @davidmgaya4385
    @davidmgaya4385 2 роки тому

    Ahhaaa hapo unazingua mamba za Dingi za Nini weka za kwako tuanze na mizagamuo kwanza ,tunatest mitambo kwanza

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 2 роки тому

    Sasa siuje kwangu Jamani

  • @geophreymlewa3863
    @geophreymlewa3863 2 роки тому

    Kauli hii ya Passy iheshimiwe "HAKUNA MWANAUME MPUMBAVU MBELE YA MWANAMKE NYENYEKEVU" iwekwe kwenye kumbukumbu hii sauti

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 Рік тому

    Wewe ni mzuri Kwa uhalisia wako. Na unapendeza hivyo hivyo.

  • @lobertmiyoa5152
    @lobertmiyoa5152 2 роки тому +1

    huyo dem yoko wp asee namhitaji sana

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 2 роки тому +2

    Hahahaha eti vp broo umenielewa hahaha dada wewe umenifraisha sana hahahaha

  • @kwizeralajoie3619
    @kwizeralajoie3619 Рік тому

    Sehr schön aber haben sie gut Idee

  • @barakaogingfamer4114
    @barakaogingfamer4114 2 роки тому +2

    Nimetamani sana kukuoa ila we mkubwa sana kwangu

  • @mswahilipeople2579
    @mswahilipeople2579 2 роки тому

    Samhn San kikweli dada km uko kweli hebu nitafute mm

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 2 роки тому +1

    Njoo yanga utaolewa

  • @mdungimdungikhamis7779
    @mdungimdungikhamis7779 Рік тому

    Njoo Zanzibar nipo tayari kukuoa

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 роки тому +1

    Je iyo mikucha sio kasoro maana auna mipini ila mikucha na kufunga minywere ya bandia

  • @barakaogingfamer4114
    @barakaogingfamer4114 2 роки тому

    Ila dada we mzuri sana sio utani

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 2 роки тому +2

    Kwakifupi Mimi binafsi nikiwa na akili timamu, nimempenda mno, na zaidi sana ni kabila langu japokuwa kabila kuwa moja sio kigezo kwangu cha kumpenda. Nimesha fatilia crip zake nyingi aisee sijajuwa tu nitaanzia wapi kupafahamu kwao kwa wazazi wake.♥️♥️♥️💒💒💍💍🍾🥂🥂🥂🍾🍾🍾

  • @zakarialusambo4299
    @zakarialusambo4299 2 роки тому

    Yuko vzr mwana Simba tuma namba

  • @rashidimkumba8846
    @rashidimkumba8846 2 роки тому +1

    Mme umepata nipo tayari tuowane

  • @jairosjulius3466
    @jairosjulius3466 2 роки тому +1

    Kama mzuri mbona haolewi🙈

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 2 роки тому

    Nilijua huna mtoto kumbe una mtoto, Kwa Nini basi hayo unayoyasema hukuyaishi kwenye ndoa na huyo uliyezaa naye? Nimekupenda lakini nikuambie tu ukweli hakuna mwanaume anayempenda mwanamke mwenye mtoto halafu muongeaji kama wewe atakuona kama muigizaji na mbabaishaji

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +5

    Soooo nice 🎉

  • @jovithajosephsalvatory2392
    @jovithajosephsalvatory2392 2 роки тому +2

    Ndiyo watoto wetu ndo kilakitu

  • @Mtumishi2000
    @Mtumishi2000 Рік тому

    🤣🤣🤣sasa kwani namtongoza baba au pisi... mbona anatuchangany

  • @omaryseshambi6468
    @omaryseshambi6468 2 роки тому +1

    Nimempenda bure nanimzuri hajachezea hata rangiyake.sematu nimeshaoa

  • @azorheradius8681
    @azorheradius8681 2 роки тому +1

    Black shines bright

  • @ally-k3427
    @ally-k3427 2 роки тому

    You really good

  • @petermgogosi20
    @petermgogosi20 2 роки тому +1

    Huyo wa kwanza ndo anajua matizo yake

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 2 роки тому +2

    Mzuri mbona jamani.

  • @athumanmarekano2454
    @athumanmarekano2454 2 роки тому

    Uyo baba anaekubali kutoa namba yake kirahisi basi baba wa mchongo uyo

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 2 роки тому

    Aki kweli nimecheka haaaa

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 2 роки тому +1

    Masikini mylove utaolewa

  • @estheremmanuel4593
    @estheremmanuel4593 Рік тому

    Dada utapata my MUNGU ni mwema

  • @mdungimdungikhamis7779
    @mdungimdungikhamis7779 Рік тому

    Nipe namba za mzee

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 2 роки тому +3

    Yani wewe dada upo Kama Mimi sipendi kujikilimu

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 2 роки тому +1

    Mwandishi mbona huyu dada hujamuuliza jina Lake kamili na dini yake ni dini gani ili watu wamjue vizuri?

  • @salimuahmedi6948
    @salimuahmedi6948 2 роки тому

    bint upo vzr

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 2 роки тому +4

    Dada yng pas, unatuzalilisha wafipa , Mme utapat tuuu, mda haujafik ,

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 dada mfipa nasikia nyie mnapenda sana na hamna noma ila mnapenda sana pombe kama komba

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 2 роки тому

      Huyu si mfipa ni mpimbwe kabila la kina pinda ila ameamua kusema hivyo muelewe mapema coz kabla hlo ni dogo...by the way wapimbwe hapana kwakwel labda kama huyu atakuwa wa tofaut

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 2 роки тому +10

    Abadilishe caracter yake yaku act sasa wanaume wanchkulia poa ila huyu ni wife material kabisa alie single mchkue utanishkuru baadae.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Hiyo Sio sababu jombi mtu akipenda angalimapungufu ya jinsi hiyo so huyo mwanamke asubili tu akiwa napupa atakwenda kulilia chooni

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 2 роки тому

    We mzuri baba

  • @barakaogingfamer4114
    @barakaogingfamer4114 2 роки тому

    Dada wewe ni mzuri sana na maelezo yako yamenikosha sana pamoja na mwenendo yako kidogo. Lakini wewe ni mkubwa kwangu make hata mimi nataka kuoa . Pia nimeogopa kabila lako we ni mfipa kuna wafipa waliwahi kuishi kwenye kijiji chetu waliwaua watu wengi

  • @rahmamboni2023
    @rahmamboni2023 2 роки тому

    Sasa kama unatoa namba yababa ako utaolewa vip mhh haya dada kila lakher

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 2 роки тому

    Dah

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 2 роки тому

    Haaaaahaaaaa eti umenielewa bro

  • @under18junior43
    @under18junior43 2 роки тому +2

    Love u

  • @danielijackson8700
    @danielijackson8700 2 роки тому

    Utaolewa tuu utapata wa kuendana nae mbona Kuna mmoja kwenye office ya rais kaolewa na inanyesha ni mkubwa? Ila kujitangaza hivo unakosea tulia muombe mungu utaolewa tuu

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +1

    Miaka 39 au sijasikia vzr

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому +1

    Dada uwa namkubqli saana

  • @charlespesambili
    @charlespesambili 2 роки тому

    yaniwedada ungekua ninavyo kupenda hatausinge jiposti mutandaoni

  • @4list.105
    @4list.105 2 роки тому

    This good

  • @jumaabas6837
    @jumaabas6837 2 роки тому

    Mjuaji sana huyu

  • @dicelwantu2192
    @dicelwantu2192 2 роки тому +1

    Nimempata twin wang