Mama ombi langu kwako mimi kama mtanzanzia ninayeona mambo mengine uku chini naomba nkuombe tu walimu ,majeshi na madactari naomba muwaongeze mshahara kwa maslahi yetu sisi waTz nakuomba sana mama walim niwamuhm ,majeshi na madactari .
hiyo ninzuli ingawa kama itakuwa imetekelezwa hivyo tutaomba walimu wazingatie kisawa sawa mafuzo ili shule za selikali zirudishiwe heshima na ziwe bora na imala kwa mafundisho ya watoto wetu wanao endelea kuzaliwa hadi sasa!
Bado vijana wapo mtaani walimu mnawaita kufanya interview na tayari mmesha chagua watu wenu" AJIRA HAKUNA MAMA PUNGUZA MISHAHARA YA WABUNGE,MAWAZIRI NA WAKURUGENZI KWA 30%. TUACHE SIASA KWENYE MAISHA YA WATU.

Uchaguzi umekaribiaaaa
TUNAKUPENDA SANA RAIS WETU KWA KUTUJALI WANANCHI WAKO