MAFURIKO MAKUBWA ARUSHA, NYUMBA ZAFUNIKWA NA MAJI WANANCHI ZAIDI YA 200 HAWANA PAKUISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 129

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 6 місяців тому +33

    Tuache maovu. Tunamkwaza Mungu. Sana haya mambo hayaji kirahisi tu kunamahala hatujakaa sawa. Kiimani wapendwa🙏🙏

  • @Gorgeousij
    @Gorgeousij 6 місяців тому +2

    Poleni sana ndugu zetu,ata sisi wakenya tunaomba Serikali juu tuko kama nyinyi

  • @Nabillsilver
    @Nabillsilver 6 місяців тому +6

    Poleni sana Mungu atawasaidia kwa rehma zake.

  • @omanmct135
    @omanmct135 6 місяців тому +2

    Subhanalllah duniyanzima mvuwa

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 6 місяців тому +8

    Serikali tangaza siku ya kufunga na kuomba kila mtu kwa imani yake tukimwomba MUNGU aepushe hasira yake kwa maovu yote tuliyomtenda atusamehe.KANISA(mdo 2:47)Yusimame katika zamu yetu pia (Nya7:13-14)

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 6 місяців тому +14

    😢Mungu atawasaidia muwe wavumilivu haya ni mapito 🤲

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 6 місяців тому

    Madhambi yamezidi sana! Ushoga, usagaji nk.. Allaah anatuadhibu..

  • @aminajuma1215
    @aminajuma1215 6 місяців тому

    Subhana llah, wawe pole jmn.

  • @hermanmarko6939
    @hermanmarko6939 6 місяців тому

    Hongera mbuge awaki. Mungu akubariki.

  • @piusj.hayuma363
    @piusj.hayuma363 6 місяців тому +5

    Tatizo la watu kutokubaliana na mazingira hayo kuwa ni eneo la bwawa hilo ila kwa kuwa wamelisogela lazima wakumbane na mafuriko kipindi cha mvua nyingi kama ilivyo tokea mwaka 1998

  • @SaraA-u8v
    @SaraA-u8v 5 місяців тому

    Wah mungu awasaidie watu wake

  • @peterraymwasha2362
    @peterraymwasha2362 6 місяців тому +4

    inatia moyo kuona kiongozi mhesimiwa anawafariji watu wake..bless him

  • @kwabimagumba1279
    @kwabimagumba1279 6 місяців тому

    Pole sana watu manyara

  • @MagdalenaMachua
    @MagdalenaMachua 6 місяців тому +1

    Tuyaonapo haya tujue yakwamba Bwana Yesu Kristo yu mlangoni yatupasa tujiandae.

  • @Ostadhatnasma
    @Ostadhatnasma 6 місяців тому +5

    Polen sana kwa makaz haya yaliyowakuta Allah awafanyie wepes muondokane ha zahama hii

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 6 місяців тому +1

    Nawapa pole ndugu zangu wa Karatu. Na mpongeza Kiongozi mbunge wa Karatu

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 6 місяців тому +2

    Daah Mungu atuhurumie kwakweli

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 6 місяців тому

    Poleni sana ndugu zanguni, nawakumbukeni sana Slahhamo, upper kitete, kambi ya simba.....huko kote mvua ikinyesha hakupitiki kabisa

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 6 місяців тому

    Tuwache maasi. Mungu amekasirika . Tutubu na kufanya ibada kama walivyo tueleza mitume . Adha hii ni dunia nzima. Tumabudu yeye TU mwenyezi Mungu. Na sii vinginevyo.

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 6 місяців тому +1

    Subahnallah 😭 😭 😭 allah awape nusra yaarab

  • @daliahmachendenice8543
    @daliahmachendenice8543 6 місяців тому +4

    Dah poleni sana Wana karatu

  • @TammyMaritin
    @TammyMaritin 6 місяців тому

    Jamani Madhambi yamezidi tumrudie Mungu wetu Mara Mauaji ,ushoga ,usagaji kufilana, kubaka watoto wadogo hiii Dunia tunakwenda wapi,Ardhi ya Mungu tumeichafua sana ,Eee Mungu tuhurumie utuokoe na majanga haya

    • @uhurujan2244
      @uhurujan2244 6 місяців тому

      Tunahitaji kujitafakari watanzania na kuomba toba Sana.

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 6 місяців тому +1

    Mh M/Mungu asiwapungukie watu wake

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 6 місяців тому +3

    Jamani! Nadhani kuwepo uangalizi wa mara kwa mara kwenye hilo bwawa ili kuondoa huo uchafu unaosababisha kupunguza kina cha bwawa.

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 6 місяців тому +2

    Dah!! Poleni jamn..😔😔

  • @NdinguLucas
    @NdinguLucas 6 місяців тому

    🙏🙏🙏

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 6 місяців тому

    Mungu tusadie

  • @SaraLucas-l1i
    @SaraLucas-l1i 6 місяців тому

    Pole I kwa kweli

  • @SamwelSinoMelkiard
    @SamwelSinoMelkiard 6 місяців тому

    Safi mheshimiwa mbung kwa kuwajali watu wako wakat wa shida

  • @Winner_Maggie88
    @Winner_Maggie88 6 місяців тому

    Poleni sana jamani

  • @Keyjop
    @Keyjop 6 місяців тому +1

    Aisee poleni saana

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx 6 місяців тому +6

    Mm kila mahala nitasema Mungu anatuadhibu kupitia uongozi uliopo hauna baraka zake

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 6 місяців тому +2

      Usiseme uongoz wote Kwa pamoja tumuombe mungu Kuna kitu anatukumbusha kabla hajatuletea majaribu makubwa zaidi
      Uongoz huu wa tz ndio unapeleka mafuriko Dubai na mataifa mengine
      Dunia nzima tunapaswa kuona namna ya kurudi Kwa mola Toba , maombi mengi kwani hata matukio ya kupatwa Kwa mwezi ,jua ni dalili mbaya Mungu ni mjuzi wa yote

    • @ImmaThelonewolf-bk2cx
      @ImmaThelonewolf-bk2cx 6 місяців тому +1

      @@NunuKupela nunu kama una hoja lete uwanjani tujadili
      Ukisema Dubai yametokea mangapi na kwetu ni mangapi mpaka leo?

    • @nurualamoody4305
      @nurualamoody4305 6 місяців тому +1

      Ww Mwenyewe ni sbb ya mafuriko unaisingizia serikali iliyopo madarakani

    • @wilhardtarimo386
      @wilhardtarimo386 6 місяців тому +1

      Unaakili timamu kwel wew

    • @binndovu
      @binndovu 6 місяців тому

      Sio uongozi ni sisi wenyewe tunamuasi ALLAH sana na tusipokaa sw yatakuja zid ya haya ALLAH atunusuru

  • @MohamediAthumani-ub8nn
    @MohamediAthumani-ub8nn 6 місяців тому

    Hongera sana mbunge

  • @MaloneMalick-wo8yf
    @MaloneMalick-wo8yf 6 місяців тому

    Poleni sana daah😢😢

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 6 місяців тому

    Maonni yangu. Hili bwawa halina paku pumulia. Kinacho takiwa hapa ni kutengeneza mtaro ili maji yakizidi yatoke. Ndio suluhisho. Kitu simple kabisa. Tusisubiri madhara . Tujihami.

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 6 місяців тому +3

    Poleni sana sana ndugú zangu wa karatu wa slahamo orkee loa aree

  • @CharlesMlaponi-h6z
    @CharlesMlaponi-h6z 6 місяців тому

    Hata Noah/Nuhu alishuhudia hasira ya Mungu. Sisi bado sana

  • @laizerlusiana9215
    @laizerlusiana9215 6 місяців тому

    Eeee Mungu kumbuka Rehema

  • @sharonkeya8090
    @sharonkeya8090 6 місяців тому

    The same situations in kenya 🇰🇪 , mungu atuonekanie

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 6 місяців тому

    🙏🙏

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 6 місяців тому

    Poleni

  • @davidlupenzaTanzania
    @davidlupenzaTanzania 6 місяців тому

    Majanga haya yanatukumbusha kuwa ujio wa YESU KRISTO ukaribu sana...poleni sana wahanga,

  • @deogratiusdominick8882
    @deogratiusdominick8882 6 місяців тому

    Polen sana wandugu

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 6 місяців тому

    Waaaah kenya na tanzania 😢😢Kuna shida gani yarab

    • @saidimaalim6997
      @saidimaalim6997 6 місяців тому

      Ni tatizo la kidunia si kenya na Tanzania tu

  • @JumaMohammed-ch1sm
    @JumaMohammed-ch1sm 6 місяців тому +12

    Goli moja mil 10 waathirika wa mafuriko hata chakula hawan.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +3

      Ndugu yangu juma ona viongozi tuliona ni huzuni kubwa😢😢😢😢

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 6 місяців тому +1

      Mama huyo anaupiga mwingi wanasema

    • @AlfarouqIslamic
      @AlfarouqIslamic 6 місяців тому

      Hata wewe unaweza kuwasaidia,hujazuiliwa choko wewe.

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 6 місяців тому

      Nimshangao

  • @elisharuben7681
    @elisharuben7681 6 місяців тому

    Poleni sana ndugu zangu Mungu atunusuru na janga hili

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 6 місяців тому

    Ushoga maasi dhulma mauwaji yamezidi kwahio tutegemee haya kutoka kwa muumba mbingu na ardhi 😢😢😢

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 6 місяців тому +5

    Eti serikal ya ccm ipo makini nikweli mpo makini ila kwenye ufisadi na ujambazi lakn sio uongozi bora

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 6 місяців тому +1

      Wew mpuuzi mwenye selikali Yako unamsaada gani

    • @AlfarouqIslamic
      @AlfarouqIslamic 6 місяців тому +1

      Una taahira ya akili,ccm ndiyo imesababisha mafuriko karatu?

    • @RebbecaFrancis
      @RebbecaFrancis 6 місяців тому +2

      Siasa Na dhoruba Ni wapi Na wapiii aw ukosefu Wa elimu Na akilii kichwanii 🤨

  • @judicateurassa7817
    @judicateurassa7817 6 місяців тому +1

    Dhuluma hizo hakuna haki nchi hii

  • @VailetJulias
    @VailetJulias 6 місяців тому

    Polen kwa mafuliko

  • @MatildaEvaristo
    @MatildaEvaristo 6 місяців тому

    Mahasi ni mengi tumemsahau mungu tutubu

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 6 місяців тому

    Dah poleni sn wanang wa home

  • @marymeela
    @marymeela 6 місяців тому +1

    Oooh my God

  • @veronicejamespeter6239
    @veronicejamespeter6239 6 місяців тому

    poleni sana

  • @furahaedmundi2302
    @furahaedmundi2302 6 місяців тому

    Poleni sana

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd 6 місяців тому +1

    Dhambi zimezidi.tupige magot tuombe msamaha

  • @Classic-i2e
    @Classic-i2e 6 місяців тому

    Mungu awasaidie poleni😢

  • @idrisalikembe1831
    @idrisalikembe1831 6 місяців тому

    duuu polen san

  • @BiteMacha
    @BiteMacha 6 місяців тому

    Uwiiiii

  • @AntoniJacob-u7z
    @AntoniJacob-u7z 6 місяців тому

    Daah!!! Napajua kabisa huko niliishi sana

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 6 місяців тому +2

    Sjui ni kwann cfanyi ibada maana dalili za kihama ndio izi

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 6 місяців тому

      Yesu Kristo atakutembelea Siku moja na Hapo utaanza Kufanya Ibada Vilivyo,Mwamini Yesu Utauona Ufalme wa Mungu

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 6 місяців тому

    Kumbe vyakula tunavyo vya kutosha hii kutaka msaada kutoka malekani ili mashoga waonhezeke mmh selekali.mungu ana waonaa.kama mbunge mmoja anaweza toa gunia miambili haya serekali ina magala mangap adi wapokee misaada ya kishetani

  • @amondickson5110
    @amondickson5110 6 місяців тому

    Polen San ndugu zetu wa Arusha

  • @magrethmmbando9483
    @magrethmmbando9483 6 місяців тому

    Lakin mungu awasaidie sana ila sifa za wairaq huku mjin mnazijua jaman? Watu uku mjin wanaishi maisha ya kutanua ona sasa mungu alivyomkali anaenda kudhuru wazaz na ndugu yan laana inatembea jaman tuache dhambi au bas tupunguze tu dhambi

  • @gracengairo6214
    @gracengairo6214 6 місяців тому

    Tanzania na dunia nzima Mungu anatukumbusha kuwa yeye ni Mkuuu kuliko vyote duniani nahakuna wakushindananaye hivyo tuombe lehema kwa Mungu mana duniani tunapita tusijisahau tunakufulu sana watu sahizi

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 6 місяців тому

    Watu waache kujenga kwny njia zamaji serekal ihuishe njia za maji nakuboresha miferej mikubwa yaasili

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp 6 місяців тому

    iinimikono yetu tunamuas mungu tunazin sana tunaloga sana tunazulumu sana tunapenda sana mipila namiziki kuliko muumba tuna waasi wazazi wote ndoa zetu atutendiak iisasa niukumu zetu tuache maovu ilapoleni

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 6 місяців тому

    Polen Sana ndugu zanguni

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 6 місяців тому +1

    Mbinguni Kuna makao ya milele

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 6 місяців тому

    Chineke😢😮

  • @SamuelsigaraWakushiba
    @SamuelsigaraWakushiba 6 місяців тому

    Poleni sana 🙏🙏🙏

  • @alfrededwin6479
    @alfrededwin6479 6 місяців тому

    Aloo nilihama hapa siku moja kabla yamaji kunifikia

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 місяців тому +1

    Bwawa la Nyerere limehamia Arusha?

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому

    SAFISHENI BASI HILO BWAWA.

  • @mariabura877
    @mariabura877 6 місяців тому

    Ni mwendo kasi wa maji

  • @marialionce8410
    @marialionce8410 6 місяців тому

    Eee Mola tunusuru 😢😢

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 6 місяців тому

    Miishonya dunia hii

  • @HildaMachange
    @HildaMachange 6 місяців тому +1

    Polen san

  • @ShadyAbdallah-vu7iu
    @ShadyAbdallah-vu7iu 6 місяців тому

    Hata sisi mererani maji yame tuvyamia shida tu

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 6 місяців тому

    Na tutawaonjesha katika adhabu ndogo ndogo sio ile adhabu kubwa ili wapate warejee. quran 32:21
    jamani tusijitoe fahamu maasi yamekua mengi tumtake msamaha mola muumba ili haya mambo yaondoke sio kutoa visingizio kua ni bwawa. sio bwawa ni madhambi yamekithiri.

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 6 місяців тому

    Poreeeeee

  • @nyoracnn7256
    @nyoracnn7256 6 місяців тому +1

    Kuna wanasiasa wa arusha walisema rufiji ni bwawa la mwl nyerere limehamia na chuga

    • @hollymore4904
      @hollymore4904 6 місяців тому

      Hujajikomboa kifikra bado! Pole brother

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 6 місяців тому

    Poren😢