GARNIER SKIN ACTIVE 3 in 1 PURE ACTIVE (Review)JINSI YA KUONDOA MAFUTA, CHUNUSI NA MADOA USONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @ednahmugo338
    @ednahmugo338 4 роки тому +2

    Heeey😚😚❤❤ awesome video... i used to scrub then mask😂😂😂

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому +1

      Thank you dear. Miss you here. Thank you for watching

  • @pendolifestyle277
    @pendolifestyle277 4 роки тому +1

    Nimefurahi kukuona tena,coz ni muda hujapost hope Louis hajambo pamoja na baba. Nice video.

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      Upendo McCabe Asante mwaya nimerudi, wote tuko poa . Thank you for watching

    • @pendolifestyle277
      @pendolifestyle277 4 роки тому

      I am happy coz nilikuwa kuangalia kila siku kama umepost ,coz A3 lemon soap imenisaidia sana,thanks .

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      @@pendolifestyle277 Awewe this is a very sweet and I am very happy to hear that A 3 lemon soap imekusaidia

  • @maggehnew9729
    @maggehnew9729 4 роки тому +2

    Video nzuri sana, nitaingalia dukani hiyo 3in 1 then ntajaribisha pia. Keep kutuwekea vitu vipya mpz, Asante

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      Asante Sana Maggeh. Hii nayo ni kiboko kaijaribu hutajutia

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088 4 роки тому +1

    Tumekumiss dear
    Products zao ni nzuri ila hiyo nilikuwa siijui
    Nitakuja kujaribu maana siyo kila siku mtu unaweze kutengeneza mask mwenyewe

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      Nawamiss pia jamani, yes Garnier huwa ni nzuri Sanaa jaribu Bariki utazipenda kama hiyo ukiwa nayo inakaa mda mrefu Sana huna haja ya kununua kila siku

  • @benmcpilipo7804
    @benmcpilipo7804 3 роки тому

    Is it suitable for men or other part if the body apart from the face? Help plz its agent

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  3 роки тому

      Yes a man can use it too but its only for the face

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk 4 роки тому

    Ganier products are my favourite now.Yaani uso wako umekuwa msoft.Thank you for sharing dear😘

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      Yes dear Garnier is the best 👌 Thank you for watching

  • @anastellaaron2054
    @anastellaaron2054 2 роки тому

    Unapatikanaje? Naomba simu yako/mawasiliano

  • @mslisamarie9215
    @mslisamarie9215 4 роки тому +1

    Nice skincare routine 😍.l nazitamani hizi products heard they are nice

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148  4 роки тому

      Thank you Lisa, yes ni nzuri Sana ukijaribu utaona matokeo mazuri