Tumepata elimu kubwa sana juu ya hizi sheria! Mimi Ata Sina mahusiano yoyote ya mambo ya hayo yalozungumzwa, lakini pia nimejifunza mengi kusikiza ufafanuzi wa sheria! SKY hongera kwakutufunza mengi! Na huyu kijana wow kwa elumu Na uhodari wakujua kueleza details Na complications za sheria. Nasikiliza kutoka Oman! Thank you
Safi sana nime frahi kujua zaidi sheria. Swali langu kwake je kama kuna mtu ashahukumiwa miaka iliyo pita na yupo jela na sheria alio hukumiwa nayo ilikua ya kipindi cha nyuma kama hivyo Kina Hamisi swali je na huyo alie fungwa anaweza kukata rufaa kupinga hio hukumu kutokana kuna sheria mpya ime tolewa naomba SNS muni ulizie hilo
Kanikumbusha enzi HIZO nasoma Sheria pale law school (jurisdictions)Mamlaka ya mahakama kuskiliza kesi fulani.mfano mahakama ya mwanzo, wilaya, hakimu mkazi, rufaa, kuu, nakadhalika .kwa vyovyote mahakama ikiskiliza ukawa haina Mamlaka hata kama itoe hukumu kwa jicho la kisheria ni batili.
Hiv hukumu iliyotolewa mwaka 2018 ingekua yakunyonga ukibadirisha sheria utamrudisha vip marehemu uliyomnyonga? Hukumu iliyopta kwasheria zawakati huo hauwezi kuirudisha kwa sheria mpya huo niujanja ujanja2 sheria zasasa ndo zitafata huo mpangirio yaliopita yamepita Mimi nshatumia ela ambazo mahakama ilijilizsha mm nilipwe halafu unambie nirejeshe kwa sheria zanchi nyingne au hihi hakuna apo hao tgo watakuja kulipa zngne badae waspokua makin
Tulishamsomea hitima, na tumesahau, life goes on. Na wewe kama mwana sns huna budi kumtilia ubani na kumsahau, maana hayupo tena katika family ya sns. Tuishie hapo
Tumepata elimu kubwa sana juu ya hizi sheria! Mimi Ata Sina mahusiano yoyote ya mambo ya hayo yalozungumzwa, lakini pia nimejifunza mengi kusikiza ufafanuzi wa sheria!
SKY hongera kwakutufunza mengi! Na huyu kijana wow kwa elumu Na uhodari wakujua kueleza details Na complications za sheria. Nasikiliza kutoka Oman! Thank you
Hamza Albanji Lawyer mzuri sana; keep up the good work
Mwanasheria yupo vizuri maasha Allah..Ahsnte SnS.
Kipindi kizuri saana na mwanasheria mzuri saana. Keep up a Good job Sky...👏
Mahakama zetu zina mashaka sana yani sheria hazi fatwi
Aisee ngoja nimsikilize huyu King'oko...Lawyer himself. Clasmate Songea Boys HGL Class of 2010 .
Kumbe jamaa ni Mboy Safi sana,Mimi nilitoka pale 2008
@@winepreneur7329 yeah Mboy huyu. Sisi tunmeingia 2008
Kumbe mimi mzee
Natamani sky ndo angekuwa mwanasheria Ana tone nzuri sana kama uko pamoja na mm gonga like twende sawa
Unasheria sio tone brother
Somo zuri sana. Ahsante sana Sky & Albhanji
Sana mtaalam Hamza, mwanasheria Nguli.
Elimu nzuri mate Wakili Msomi Hamza (Mboy), 2008 hadi 2010
Safi sana nime frahi kujua zaidi sheria. Swali langu kwake je kama kuna mtu ashahukumiwa miaka iliyo pita na yupo jela na sheria alio hukumiwa nayo ilikua ya kipindi cha nyuma kama hivyo Kina Hamisi swali je na huyo alie fungwa anaweza kukata rufaa kupinga hio hukumu kutokana kuna sheria mpya ime tolewa naomba SNS muni ulizie hilo
Hongera kwa sns hamlali wazeee
Kanikumbusha enzi HIZO nasoma Sheria pale law school (jurisdictions)Mamlaka ya mahakama kuskiliza kesi fulani.mfano mahakama ya mwanzo, wilaya, hakimu mkazi, rufaa, kuu, nakadhalika .kwa vyovyote mahakama ikiskiliza ukawa haina Mamlaka hata kama itoe hukumu kwa jicho la kisheria ni batili.
Shukrani
Thank you kaka sky big up👌
Ahsante SnS pamoja sana 😍
SnS, please make this a special series.
Mtoto wa.mama hamuza.ongele Sana mwanasheria wetu
Uko uzuri sana Sky
Ahsante sns
Mmmm## dah apakunakazi kweli sheria inabamba ngoja tuone kwanza
Mwana sheria na mwana fa kajieleza uzuri sana
Asante sana kaka Sky...
Ufafanuzi mzuri na wenye faida 💪
Imeisha iyo
Me nataka kuidumbukiza serikali kwenye hili swala, Kwa ubovu Wa mfumo
Ndio kampuni zina takiwa zi heshimu kazi za watu haya mambo yalikuwa zamani mtu atumie kazi yako bila ridhaa yako
court of Appeal ndiyo kazi yake hata kama wilaya wako sahihi.
Kwa maelezo hayo wasanii hawatakiwi kulipa hiyo pesa kess ilishaisha wao wenyew viongoz wahizo mahakama wajtathmin
Kama mahakama kuu ndo yenye jurisdiction kwanini kesi ilipelekwa mahakama ya wilaya???
Sikiliza vizuri toka mwanzo utaelewa !!
I LOVE SNS
Kipindi kizuri tunapata uwelewa kuusu sheria
Hiv hukumu iliyotolewa mwaka 2018 ingekua yakunyonga ukibadirisha sheria utamrudisha vip marehemu uliyomnyonga? Hukumu iliyopta kwasheria zawakati huo hauwezi kuirudisha kwa sheria mpya huo niujanja ujanja2 sheria zasasa ndo zitafata huo mpangirio yaliopita yamepita Mimi nshatumia ela ambazo mahakama ilijilizsha mm nilipwe halafu unambie nirejeshe kwa sheria zanchi nyingne au hihi hakuna apo hao tgo watakuja kulipa zngne badae waspokua makin
Kama umemuelewa kwa umakini Hamisi Mwijuma aka FA... nukuu mawili matatu tusonge mbele
Kumbe ndomaana fa hatumii mtandao watigo
Bongo upotoshaji mwingi saana
Inabidi wafungue tena kwamba walipewa hela kidogo😁
P O pingamizi la awali..😂🤣
LABDA wafanye wimbo mwingine wawape tigo bure... mchezo uishe.. ela inarudishwaje sasa..
🤓🤓
Huyu Lawyer sauti inafanana kidogo na ya dr.chachu 😉😁 sky yupo wapi dr.chachu?❤🇹🇿🇨🇭
Yupo pemba chokocho
Tulishamsomea hitima, na tumesahau, life goes on. Na wewe kama mwana sns huna budi kumtilia ubani na kumsahau, maana hayupo tena katika family ya sns. Tuishie hapo
@@mrsliverpool4235 innalillah wainnailaihi rajuun
Big 👆
Very problematic caae
Hivi ni I court?au High court
Tunaendelea na Kuitazama simulizi ya SAPRAIZ YA KIFO. na hii ni PART 2 (Sehemu ya pili)
ua-cam.com/video/T4GLbrz9jrw/v-deo.html
.
ay na mwana fa lazima walikula na watu wa ndani wa Tigo
kuna mchezo umechezeka hapo
Mtoto wa mama hamuza
I wish you could be going straight to the point instead of repeating one thing over and over and over again,that's poor journalism