MUONEKANO WA JUU DARAJA JIPYA LA WAMI LINAVYOWAKA USIKU, HAKUNA FOLENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 72

  • @Jal210
    @Jal210 Рік тому +13

    Mwamba JPM asante ulale PEMA peponi

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 Рік тому +14

    RIP John Magufuli my your soul rest internal peace 🕊️, tutakumbuka daima kwa mema uliyofanya katika nchi hii....Happy Birthday 🎂🎉

  • @joevang4685
    @joevang4685 Рік тому +12

    r.i.p jpm.... happy birthday pia huko uliko.. mzee jpm alizaliwa leo...dah

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 Рік тому +11

    Maono ya Hayati Magufuli wampinge kwa vitendo tofauti na hapo rekodi yake ya maendeleo kwa vitendo na tukajionea ni ngumu kufikia rekodi yake
    Pumzika kwa amani

  • @ayoubomary9336
    @ayoubomary9336 Рік тому +12

    Mwamba magu.r.i.p

  • @vicenttheophil9254
    @vicenttheophil9254 Рік тому +5

    Kazi ya magufuli

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 Рік тому +3

    Viva magu vivaaaa

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 Рік тому +3

    JPM alikuwa na maono mazuri kwa Nchi yetu 🇹🇿

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +2

    Hee afadhali alhamdulilah nilipita siku moja niliona sirudi Zanzibar nilifumba machoo sasa nitakuja tena inshallah

  • @abdullatifhassan9399
    @abdullatifhassan9399 Рік тому +4

    Masha Allah good job

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 Рік тому +10

    Kazi ya JPM HIYOO

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Рік тому

      Wakati wa JPM kazi haikuwa na speed

    • @manchalijob9600
      @manchalijob9600 Рік тому

      Mpumbavu ww 🖕🖕🖕

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 Рік тому

      @@malopemaliyamungu5243 speed ya mamaako

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Рік тому +1

      @@manchalijob9600 Peleka mahaba yako kwenye makaburi huko Chato.. sisi tunaendelea.. ilani ipo kazi iendelee. Unadhani ukitukana utabadili nn? Sanasana naona una-stress. Cool down Kijana.. Nchi haiendeshwagi ki-mihemko.

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Рік тому

      @@daudimichael7338 Sijawahi kukashfu mwanamke na sitakaa nifanye hivyo. Ukiona mtu analipuka tu kwa kumhusisha mwanamke ktk kutukana au kukashifu huyo Ni mjinga. Na ujinga Ni kipaji Kama vipaji vingine. So una kipaji @Daudi

  • @ashurajuma4837
    @ashurajuma4837 Рік тому +6

    Afadhari jamani nilikuwa nikitaka kwenda kwetu lazima niwaze daraja la wami

  • @4hestatecompany20
    @4hestatecompany20 Рік тому +1

    Hongera anko uko ulpo ulale salama sisi tupo tu na trab na trat zetu anko

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb Рік тому +3

    Ulaya Ulayaaaaa👌👌👌

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +4

    Hongera Tanganyika kwa maendeleo

    • @emmanuelpeter8286
      @emmanuelpeter8286 Рік тому

      Tanganyika ama Tz

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 Рік тому

      @@emmanuelpeter8286 kinachofanyika Zanzibar kinakua cha Tanzania or cha Zanzibar??

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 Рік тому +1

    Ila Maguful Mungu amsamehe alipokosa ukweli hatutapata mwamba kama magu pumzika baba

  • @athumanimohamed4832
    @athumanimohamed4832 Рік тому +3

    Anafanya kazi nzuri rais wetu, kumalizia miradi yote mikumbwa

  • @lucaskumalija
    @lucaskumalija Рік тому +1

    Safi sana Waziri wa ujenzi

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 Рік тому +5

    Chadema wasipite kwenye hilo daraja,watafute njia yao.

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 Рік тому

    Maa shaa Allah 🙏🙏

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 Рік тому

    *Alhamdulillah nimefrahi sana kwa hili maana kwa mwezi napita mara 3 ama 4 hapo nilikuwa sina amani coz kila mara nilikuwa nashuhudia ajali hapo*

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 Рік тому

    Marehemu magu alikuwa ana maono ya mbali sn na lengo lake kuu ilikuwa ni kuijenga nchi ili awaumbue wezi waliojikusanyia mipesa na mipesa,na bora yao waliwahi kumuua mapema lkn km wangemuacha akaimalizia tn miaka mi5 kikwete angejiona mavi zaid ya anavyojiona ss hv

  • @venas127
    @venas127 Рік тому +1

    R.i.p Jpm

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 Рік тому +1

    WOW

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Kaziiendelee.

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Рік тому +1

    Wangewek taa za rangi pemben liwe la kuvutia uck kama la tanzanite

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 Рік тому +3

    Kwahiyo huyo magu yupo ndo ana endelea kujenga acheni ujinga mama anamchamgo mkubwa pia

    • @komboomar8275
      @komboomar8275 Рік тому

      *Wajinga hawayajui hayo*

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 Рік тому +1

      Ndiyo mwenye maono, mama kalazimika tu anaogopa kuhukumiwa na waTz

    • @jameskazimili1849
      @jameskazimili1849 Рік тому

      MAMA ANALAZIMISHWA KWA SABABU KALIKUTA MIM MWAKA 2020 NILIPITA APO NILIKUTA NGUZO TU APO SASA MAREHEMU KAFA MWAKA GANI MAMA ANALAZIMISHWA TU APENDI NI NGUMU

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 Рік тому +1

    Rip magufuri

  • @realdone
    @realdone Рік тому +1

    Ungetuonesha na mchana pia pakoje kwani usiku ni taa tu ndo kitu cha maana na hizo reflectors

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 Рік тому

    Bora liishe aisee

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +1

    Viwekwe vibao vya speed limit kila upande wa daraja, madereva wa kibongo akili zao wanazijua wenyewe

    • @bnyangoma
      @bnyangoma Рік тому

      Lazima vipo kaka. Hawawezi kufanya mambo kienyeji. Lakini je madereva watazinatia?

  • @neemamrombo5916
    @neemamrombo5916 Рік тому

    Nataman kurud nyumban baada ya kusikia hivyo waooooh

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Рік тому

    Hadi raha. Huwa tukikaribia hapo mioyo inasinyaa

  • @ZagambaMnubi
    @ZagambaMnubi Рік тому +1

    Ila jamaa kadie lakn kama yupo mjomba ulikuwa hatari

  • @mopalmo5818
    @mopalmo5818 Рік тому

    Magufuli !!!!

  • @ZagambaMnubi
    @ZagambaMnubi Рік тому +2

    Jiwe la msingi limewekwa na nani acheni mbamba

  • @jumaramadhan4908
    @jumaramadhan4908 Рік тому +1

    Taa za daraja la tanzanite aziwaki

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому

    Pazur kwer

  • @maalimrajabu8942
    @maalimrajabu8942 Рік тому

    Basi madereva wazembe pia waweza sababisha ajali hapo

  • @privamushi2512
    @privamushi2512 Рік тому +1

    Huyo ndo aliye kuwa rais wa Tanzania raisi mpenda maendelea ya nchi yake so hao wengine wa binafsi RIP MAGUFULI

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +1

    Kuviona tena vitu hivi vya kimaendeleo ni ndoto Labda Majaliwa awe rais

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 Рік тому

    Hv vitu kuvion tena vikitendeka lbd azaliwe tena mtu km JPM sio hawa wachumia tumbo