Exclusive na KICHECHE a.ka. LAMBA LAMBA ''Mimi huwaga sina akili timamu, nilipelekwa VETA nikaiba''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 153

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +21

    Wakati wa Mungu ni wakati sahiihi Mbwa Uncle Samweli😅❤ tunaenjoy sana n comedy zako

  • @hamissimonami2519
    @hamissimonami2519 Рік тому +14

    Nkurunziza 🇧🇮ni habari njema waburundi uku tunakufagilia tu sana

  • @yohanatulito1182
    @yohanatulito1182 Рік тому +14

    😂😂😂😂🥷. Huyu kicheche bwana nimoto wa kuotea Mbali Sana 🔥🔥

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Рік тому +19

    Mbwa kicheche 😄
    Nakukubali sana pumbavu zako!
    na nakushaur usipuuzie channel yko maana inakaa sana bila content na huu ndo wakat wa kuikuza zaidi kama Clam

  • @nathan6751
    @nathan6751 Рік тому +27

    Huyu bro kiboko ya makomedi anajuwa kinoma mno

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому +25

    Jama Kicheche anapendwa sana South Africa

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 Рік тому

      Umeanza lini kuwa msemaji wa wa2 South Africa

    • @roi2554
      @roi2554 Рік тому +1

      Uongo sijapenda 😅😂😂

    • @allyzegele1373
      @allyzegele1373 Рік тому

      Mji Gani? Mimi mwenyewe nipo NATAL , sema sisi wageni sana sana waongea kiswahili.

    • @michaelmiyayusho4205
      @michaelmiyayusho4205 Рік тому

      Ad MOZAMBIQUE 🇲🇿🇲🇿

  • @user-ou7pg1tx9x
    @user-ou7pg1tx9x Рік тому +11

    Fanya tour zunguka TZ yote na nchi jirani wanazo kukubali ukusanye maua yako. Maana haya mambo leo upo juu kesho ni tofauti

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 Рік тому +10

    Hata hiyo interview ni comedy pia😁😁

  • @ndendeboy962
    @ndendeboy962 Рік тому +22

    KICHEHE NI BEST COMEDIAN IN TANZANIA... 🇹🇿

  • @moisebaraka1124
    @moisebaraka1124 Рік тому +1

    Kicheche Noma sana 🤝🏾 from DRC 🇨🇩 kicheche umbwa ww Congo 🇨🇩 unakubalika broh sana

  • @augustonkondya5703
    @augustonkondya5703 Рік тому +1

    The best comediant from TZ🇹🇿, you are my favorite, i enjoy his history every weekend. From Mozambique 🇲🇿.

  • @olivierespoirniyonkuru191
    @olivierespoirniyonkuru191 Рік тому +2

    This guy is very talented hata hapa kwetu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 Рік тому +6

    Mkaka wangu kicheche atarii😂😂😂

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 Рік тому +18

    Clam awe makin huyu atamfunika 😅😅😅kama yeye alvyomfunika Mr big big 😅😅😅😅

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому +9

    Uncle samweli mbn lingeenda mbal t uliofya bure Ila big up Sana 💪

  • @shabanisefu1229
    @shabanisefu1229 Рік тому +2

    Umbwa uncle samueli. 🔥🔥💪💪💪 🇳🇦

    • @musasekachu741
      @musasekachu741 Рік тому

      Kicheche mbwa wewe nakukubali mno mbwa wewe

  • @Harryking001
    @Harryking001 Рік тому +8

    Mbwa mimi...... pumbavu zenu😂😂💔💔💔

  • @shosegodson7472
    @shosegodson7472 Рік тому +5

    Mbwa kicheche 😂😂😂😂😂😂 nakukubali sana broo

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому +4

    Napenda mie saut ya kicheche 😍😍😍

  • @zainaboresti
    @zainaboresti Рік тому +3

    ❤❤❤❤ I love you so much Allah akupe umri bro

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Рік тому +1

    Kicheche nakupenda sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥💪☝🏾💪💪

  • @jaliamartinz
    @jaliamartinz Рік тому +2

    Kicheche for life 😂😂

  • @MarthaGihome-cc7tl
    @MarthaGihome-cc7tl Рік тому +1

    Mmm nampenda sana mist kicheche unanipa raha kweli😂😂😂😂

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 Рік тому +6

    Jama anaishi ki comedy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 Рік тому +1

    😂😂😂mbwa yeye...kaiteka comedy kinoma noma

  • @kuyengathomas876
    @kuyengathomas876 Рік тому +1

    Kicheche were ni shidaaaa🔥🔥

  • @waduni2326
    @waduni2326 Рік тому +1

    Usimfananishe clam na kicheche! Kicheche ni habari nyingine

  • @manirakizastiven
    @manirakizastiven Рік тому +2

    Kicheche ilo jina la NKurunziza ni la marehemu president wetu pendwa nchini Burundi!anyways nakukubali kinoma

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 Рік тому +3

    Kicheche kua seriously bhana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому +4

    Mbona mnafanana ndugu mtangazaji na kicheche,,au ndugu?

  • @user-gy9yi4tl6m
    @user-gy9yi4tl6m Рік тому +5

    Bro kicheche ww uk kibok san clam umemufunik san mung akubalik san tunakukubal san

    • @man_killerOG
      @man_killerOG Рік тому

      Naongea na wewe naongea na huyuuu 😂😂

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +1

    Kichecheeeeeee! pumbavu zako baba au nigale gale kushoto au kulia

  • @ejenybaraka59
    @ejenybaraka59 Рік тому +9

    Jama kwel hana hakili timamu

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Рік тому +4

    Namkubali

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 Рік тому +3

    Nkukubali xana kicheche

  • @user-yn3dt6pc2p
    @user-yn3dt6pc2p Рік тому

    Kicheche mbwaa wewe,unaweza kaka na unatia raha sana

  • @Manlike96
    @Manlike96 Рік тому +7

    👍👍👍

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Рік тому +1

    Hivi kavaa Miwan au macho yangu mabovu

  • @emarrgeorge8536
    @emarrgeorge8536 Рік тому +1

    Kicheche Hatar

  • @MjedaTumbe6909
    @MjedaTumbe6909 Рік тому +1

    😂😂😂Gonga laiki kwa anko samweli❤❤😂😂😂

  • @peter_boym_drc
    @peter_boym_drc Рік тому +7

    Starting makoti 🤣🤣🤣 aka blegedia

  • @SafariChaka-on1tf
    @SafariChaka-on1tf Рік тому

    Kicheche ni noma

  • @yohanayohanaadamu6483
    @yohanayohanaadamu6483 Рік тому

    Safi sana kwa kazi nzuri kicheche

  • @kitamisiofficial5150
    @kitamisiofficial5150 Рік тому +1

    Kicheche number moja comedy

  • @patrickherman1906
    @patrickherman1906 Рік тому +1

    Jamaa anajua sana

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 Рік тому +1

    Jamaa hili nikilicheki mbavu Hadi hua zinauma

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому +2

    Kicheche mbwa mm😂😂😂aka kikofia

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 Рік тому +3

    😂😂😂mbwa kicheche🤣🤣🤣🤣

  • @frankmwaikambo-on7tg
    @frankmwaikambo-on7tg Рік тому +1

    Kicheche kweli unapendwa sana sy utani😅😅😅😅😅

  • @AugastaYohana-oq2gm
    @AugastaYohana-oq2gm Рік тому

    Nakupenda kicheche your so comedian

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 Рік тому +1

    Kijiomoli🇿🇦🔥

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Рік тому +1

    Noumaaa sanaa 😆😁😂 uyu Mwamba

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Рік тому +2

    Basi katika maisha usisahau njia iliyo kutoa binafsi sipendi comedy lakin wew ni moja kati ya comedian Tanzania wanao nifanya niendelee kuzipenda hizi kitu lakin take note usimsahau kitale ata siku moja.

  • @billaplatyna8730
    @billaplatyna8730 Рік тому +2

    Kicheche Kiboko

  • @rebeccaalliance5901
    @rebeccaalliance5901 Рік тому

    🇨🇩 God wark

  • @denotheactor
    @denotheactor Рік тому

    Mmmmm nice content

  • @adrofinalilola-zr2kv
    @adrofinalilola-zr2kv Рік тому

    kcheche unatsha kaka mungu akufkishe mbali

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 Рік тому

    Mr Maconfidence

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Рік тому +4

    🔥🔥🔥🔥

  • @mcmamu610
    @mcmamu610 Рік тому

    Ongera kwa lambalamba

  • @themusicsyllabus
    @themusicsyllabus Рік тому

    Kicheche na mkojani kwa movie moja 😂😂😂😂itakua motooo

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Рік тому +4

    NIMESOMA COMENT ZOTE SIJAONA ANAYEMPONDEA HAKIKA UMEKUJA KICHECHE MUDA SAHIHI WATU WAMECHOKA NA KINA MKOJAN KILA SIKU NI VILE VILE

  • @marcoemanuel6892
    @marcoemanuel6892 Рік тому +1

    Natoka.naenda

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +1

    Namkubar sana kicheche....mbwa kicheche 🤣🤣

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 Рік тому

    Japo bando limepanda lkn unachangia sana kunimalizia bando langu mzee unajua Hadi unaboa

  • @ramadhanichuka3583
    @ramadhanichuka3583 Рік тому +1

    Anatoa uchaw anatoa mzmu anatoa majn

  • @ARMEDIKisimba-xh7uf
    @ARMEDIKisimba-xh7uf Рік тому

    Jambo kitchetche tunataka kutumalizia lamba lamba parka mwicho

  • @user-eh2sn9yo8m
    @user-eh2sn9yo8m 10 місяців тому

    😂😂😂Anko samwel❤❤❤

  • @Manlike96
    @Manlike96 Рік тому +2

    Jamaa huyu kwel kicheche😅😅

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 Рік тому +1

    Kicheche mbwa mimi

  • @efronaaron6772
    @efronaaron6772 Рік тому +2

    But why Nkurunzinza😂😂😂😂😂

  • @occymoccy539
    @occymoccy539 Рік тому

    Yani najikuta nimecheka kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jasminetarimo6952
    @jasminetarimo6952 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mafonia una siku chache 😂😂😂

  • @zuberimsabaha8474
    @zuberimsabaha8474 Рік тому

    Arusha hapa

  • @Rasheedsmartguy
    @Rasheedsmartguy Рік тому +1

    Kicheche mbwa kicheche😂😂

  • @MtumishiNgowi-wt9ph
    @MtumishiNgowi-wt9ph Рік тому +2

    Esko tutafutie na stive mweusi

  • @saidyhasshim2373
    @saidyhasshim2373 Рік тому

    Sikuzote uki jifananisha na mwana Mke basi shuuri una mwanaume awezi jifanisha na mwana mke

  • @DOGOCLAM-qc9wr
    @DOGOCLAM-qc9wr Рік тому

    Kicheche umeulizwa kwamba unatuambiaje sisi tunnao taman tuwe kama nyinyi
    Umejibu ety TUACHANE NA
    HII KAZI NI NGUMU tufuate shughli zingne
    Unatukatsha tamaa kaka

  • @ayubukilasi4378
    @ayubukilasi4378 Рік тому +2

    Umbwa mim

  • @janaakimu6171
    @janaakimu6171 Рік тому +2

    Big Up #Kich£chE
    💯%

  • @saidyhasshim2373
    @saidyhasshim2373 Рік тому

    Kichehe Yuko izuri kuriko. Uyo shoga clam

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 Рік тому

    Kicheche

  • @GabrielManyaji-zl2zh
    @GabrielManyaji-zl2zh Рік тому

    Oi huyu mwamba anajua sio powa na enjoy kinyama mbwa wewe

  • @fahadabdulaziz9071
    @fahadabdulaziz9071 Рік тому

    Kicheche Amlish pool 😂😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @burunga8686
    @burunga8686 Рік тому

    Nkurunziza tena

  • @shabanisafi7030
    @shabanisafi7030 Рік тому

    Ubwa ww pumbafu Zako😃😃

  • @kalumekimwanga7964
    @kalumekimwanga7964 Рік тому +2

    😂😂😂😂❤❤❤

  • @StephenOdhiambo-kn4md
    @StephenOdhiambo-kn4md 10 місяців тому

    Mganga wa rioba

  • @Rwandadaytodaytv
    @Rwandadaytodaytv Рік тому

    huyo anatisha namukubali niko dubai

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 Рік тому

    😂😂 nc

  • @blobotzmovie
    @blobotzmovie Рік тому +4

    Tatutene muda mzuri mufanye interview kali na uyo jamaa

  • @alitiktok1
    @alitiktok1 Рік тому +1

    😁😁😁

  • @gagathunder778
    @gagathunder778 Рік тому

    Pumbafu Zako mbwa wewe Oman 🇴🇲 tunakupata 100% mbwa wewe mzee wa mzagamuo

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 Рік тому

    Nilisha cheka tayari hata kabla sijasikiliza interview

  • @shijadeogratias317
    @shijadeogratias317 Рік тому

    Anatoa majini

  • @husseinally3015
    @husseinally3015 Рік тому

    NAKUPA PONGEZI KIJANA UCHUKUE MIKOBA YA MZEE MAJUTO MUNGU AMREHEMU KIJANA HII YA MGANGA KICHECHE KILA MDA NARUDIA😂😂😂😂

  • @asantefilibetr4842
    @asantefilibetr4842 Рік тому

    Kicheche 🤣🤣🤣🤣

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 Рік тому

    Kicheche unakimbiza

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 Рік тому

    Mkurunziza alkua rais wa burundi😅😅