Wewe ukipwa kada unajitukuza, jee unalijua hilo neno kada limetoka wapi halafu lina maana gani?ukilijua maana yake hilo neno kada sio kua hutajiita tuu hilo jina la kada bali hata mtu akikuita basi utamtukana au utapigana nae sawa?
sheikh umesema kweli kwa kupinga kule kuhusu madini walipinga sana wakasema rais hafai kuzuiya mchanga nchi itashtakiwa kumbe wamenunuliwa wasomi hao waliandamana walipokosa mikopo Leo wanasaidia kuwatetea wazungu mbowe muogope mungu muda mwingine ona aibu mzazi hata wewe unandugu hapa nchini wazungu waache
kamamm sikumpa kurayangu ila loo inaniuma namuomba mungu 2020 nitampa kurayangu mm kama kijana niliichukia sana ccm lakni kwakuwa amekuja mussa namuombea afiya aendelee kututumikia nakuwajenga watumishi wengine wanao fann nayeye daa magufuli
Moja ya hasara kubwa ya secular education ni hii. Sheikh aliyekuwa Sheikh hawezi akamsapoti kiongozi kiongozi aliyebeba mzigo mkubwa wa waovu wake na akamkubali kwa koti la wema kwenye macho yake, huyu na ww sheikh ni watu tofauti jielewe!
Hawa watanganyika wanataka kujifanya wajanja sana hata kama mtu ni kafiri lakini na yeye huvaa mavazi ya Kiislam akataka kujifanys muislam,na hata wakati mwengine unakutana nao ukiwauliza kwamba dini yao ni ipi?hata kama makafiri basi wanakuambia wao ni waislam, hawa ni binaadam wa hari sana sawa?
HUYU SHEKHE KAMA MASHEKHENA WALA NGURUWE,MAANA HUTOA SABABU ZA KINAFIKI SANA.UNGETUMIA AKILI KUWAFANYA WAISLAMU WAIONE PEPO NA SIYO KUWAGEUZA WAISLAMU WOTE WAJINGA.
Innalilahi wainnaylahi rajiuun ewe Allah shuhudia dini yako inako pelekwa sasa viongozi wetu daa yanayo husu uma wa waislam hawasemi wala hawana mpango nayo lakini yaliyo nje ya uislamu mashallah mpaka wana wapa waheshimiwa sifa za manabii na mitume haya shekh piga kazi baba cheo ni dhamana tuta ulizwa juu ya tulivyo visimamia ilitosha tu kupinga ufisadi mbona wenzio hawakusema chochote zaidi ya kusema tuwakatae wezi na mafisadi
Innalilah. Yaaan ktk watu wajinga huyu jaamaaa ni box kwel me najua anafahamu dini kumbe box me najua wanaoshangiria wooote mabox ....waalaah huju dogo hajui dini box kasahamu mungu anasema hao makafiri hata muwapende vip lakin wao hawawapendeni ....me natafuta watu hao
JOHN BEK Mfinanga wewe jike una jua ni nn maana ya john kwaiyo jina lako jina jike wewe jike tulia usiseme kitu jike na kila ukisema wewe jike co john wewe jike mwenye jina la john ni rais co wewe jike
JIKE LILITOKANA NA DUME NA DUME LIKAZALIWA NA JIKE, WASWAS WAKO NN. HAPA UNAONGEA NA PHYLOSOPHER SIO MPITA NJIA. MWANADAM GANI KAUMBA ILI UJUE HILI JIKE? MUNGU ASIJUE !.
Myuki Danny mbona walikuwa upande wa chadema maidens wanahaki kuongea siasa? Leo wanaimwagia sifa ccm tuliandika hivo hivo pumbavu wewe, hapa kazi spews sifa
😂😀😂😀 shikamoooo wewe shehe tuna taka mashehe kama wewe Wazalendo sema baba sema usi mung'uunye maneno💪💪💪👊👊👊👍👍👍
Ni kweli kabisa tanzania hakuna wasomi. Tundulisu na zitto kabwe
Shehe mkuu wa mbeya, shikamoo 🇹🇿
Mzungumzaji nimempenda sana
Good sana mkuu
Kweli kabisaaa wala haujakosea
Wewe ukipwa kada unajitukuza, jee unalijua hilo neno kada limetoka wapi halafu lina maana gani?ukilijua maana yake hilo neno kada sio kua hutajiita tuu hilo jina la kada bali hata mtu akikuita basi utamtukana au utapigana nae sawa?
Najua wapo waraka kusema vibaya lakini unaongea ukweli sana
Uko sawa
Shekhe umesema ukweli Mungu akubariki sana
Safi shekh wangu
Wewe pia mjinga kama nyauuu.
Kweliiiiiiiii
Shikamoo kaka
Shekhe vigelegele! Huyu shekhe nihatar
Waovu wamerudi kwenye uongozi sasa.
Mti wenye ma2nda mazur lazima upigwe mawe wache wakutukane lakn ime penyaaaaa
Hongera shekhe mwanaccm.
sheikh umesema kweli kwa kupinga kule kuhusu madini walipinga sana wakasema rais hafai kuzuiya mchanga nchi itashtakiwa kumbe wamenunuliwa wasomi hao waliandamana walipokosa mikopo Leo wanasaidia kuwatetea wazungu mbowe muogope mungu muda mwingine ona aibu mzazi hata wewe unandugu hapa nchini wazungu waache
Duuh kazi kwelikweli
Mhuuuu makubwa haya
Francis rogers wapinzani kuingia kutawala siyo rahisi ulie tu
kamamm sikumpa kurayangu ila loo inaniuma namuomba mungu 2020 nitampa kurayangu mm kama kijana niliichukia sana ccm lakni kwakuwa amekuja mussa namuombea afiya aendelee kututumikia nakuwajenga watumishi wengine wanao fann nayeye daa magufuli
Bhabhule shehe
Mashehe ubwabwa
Ni ukweli uliomtupu
njaaaaaaa
Nahisi yote hayaendani na Magufuli maana Magufuli anawabana, na huna ujanja tena
But nyinyi mashehena wa Mikoa nyinyi!!! ni hatari sana
Mashehena wa Mikoa munapenda saana tonge,tonge,tooonge ya Ugali!!! Khaaaaaaaa?? Shehena!! Eti CCM oyeeeeee.
unajua azza ally waisilamu tunaongoza kwa fitina na chuki kujichukia wenyewe kwa wenyewe kuliko wenzetu haya baya alilo liongea hapo lina ubaya gani?
Sema sema oyooooo
Wewe.nimuisilamu
Tena.unajita.shekhe.je.unajua.kama.ccm.imezaliwa.kanisani
Wacha kutia udini kwa masuala ya kitaifa ,nenda somalia basi ukaishi huko bwege wewe hamis
sawa kabisa kiongozi wetu! anayekuchukia ni mwendawazimu peke.
Edson Sign yuko sawa anayooongea big up Sheh Mkuu
Was islamu wambeya,huyo sio shekhe ,shehena.
Sasa mpumbavu nan 😀
Haki huinua taifa!Vipi utawala bora,demokrasia mahakama huru,chaguzi huru za haki,uhuru wa habari?
magufuli juu huna mpinzani wanaokupinga nimatahila
ivi shekhe mkuu lazima awe kada waccm
magufuri sikia haya na uendelee kufanya zaidi ili usifiwe zaidi nasi wtanzania tujivunie kua na raisi anaye pendwa na wananchi
wew ni miongon mwa wasomi wasio kuwa na akili
Philibet dosso nawe huna akili kwa vilenamsifia magufuli roho mbaya tu
Shehena kama wewe khaaaaaaaa,nyuma yako siswali ng'ooooooooooo
Wewe nawe bendera fata upeppo unasifia kwa kuwa yuko madarakani, sasa akija kiongozi wa upinzani naye uta mpokea na kunenea mazuli achani unafiki
mimi kila siku nawAambia hizi njaa zitatuua Jamani 😁😁😁😁😁😁
Ustadh anasumbuliwa na njaa
Mta bakia hivyo hivyo
Moja ya hasara kubwa ya secular education ni hii.
Sheikh aliyekuwa Sheikh hawezi akamsapoti kiongozi kiongozi aliyebeba mzigo mkubwa wa waovu wake na akamkubali kwa koti la wema kwenye macho yake, huyu na ww sheikh ni watu tofauti jielewe!
ussikhamis ussi wewe ni Pemba nautabaki naupumba wako hautamaumbia mtu maana Hutoshi
wajameni naona hamjasikia hiki kinachoongelewa humo? basi nyumbu watakuwa wameangamizwa.
Edson Sign yaambie Manyumbu hayo....yanatanga tanga......
Joshua Nyonyi j
Kwann kwenye mitandao sisi waislam tunaongoza kutoa kauri chafu kutukana kwanini sasa ivi kunakuwa na tabia gani???
wacha ujinga unaogopa kusema ukweli
Khalid muache shekhe aseme kama wewe fisadi na chuki zako kafie huko
Kwanza alivyo anza tu kitawhid kashafeli tena hakuna ushehe wa hivyo
Ramadhani umekwisha unamuonea wivu shekhe mzuri sana acha ukabila na udini humo ndani ya vyama vyetu tupendani waislamu na wakristu tunazaliana
Hawa watanganyika wanataka kujifanya wajanja sana hata kama mtu ni kafiri lakini na yeye huvaa mavazi ya Kiislam akataka kujifanys muislam,na hata wakati mwengine unakutana nao ukiwauliza kwamba dini yao ni ipi?hata kama makafiri basi wanakuambia wao ni waislam, hawa ni binaadam wa hari sana sawa?
HUYU SHEKHE KAMA MASHEKHENA WALA NGURUWE,MAANA HUTOA SABABU ZA KINAFIKI SANA.UNGETUMIA AKILI KUWAFANYA WAISLAMU WAIONE PEPO NA SIYO KUWAGEUZA WAISLAMU WOTE WAJINGA.
Mbona wanakataa kujihusisha na siasa wanadini?
Aloyce Mwakatala mbona wakishambulia serikali mnaongea sawa?
Wenzio,wanaacha kazi ilikumuunga mkono ,sasa na wewe acha ushehena kama utaweza.
Shehena wa Mkoa,unaamrisha vigele gele hapo ulipooo. Humyogopi Mungu anayezisitisha sauti za wanawake zisipae! wewe unasema vigelegeleeee!!!!
Huon aibu ww unaongea vidudu kabisa aibu hiyo w juha tu huna lolote
Innalilahi wainnaylahi rajiuun ewe Allah shuhudia dini yako inako pelekwa sasa viongozi wetu daa yanayo husu uma wa waislam hawasemi wala hawana mpango nayo lakini yaliyo nje ya uislamu mashallah mpaka wana wapa waheshimiwa sifa za manabii na mitume haya shekh piga kazi baba cheo ni dhamana tuta ulizwa juu ya tulivyo visimamia ilitosha tu kupinga ufisadi mbona wenzio hawakusema chochote zaidi ya kusema tuwakatae wezi na mafisadi
shekhe mkuu wa mbeya!
wewe ndo mnyonge usitujumlishe.
Huna lolote
Hahahaha shee shehena ccm hoyeee heti kiongozi wa dini hapo hakuna sheikh huyo ni sheee
Umejuaje kama wewe co mjinga/mpumbavu. Ungekuwa mwerevu ucngeongea hivo n ishara tu wew mwenyew boga tu.
Chacha Magoti unaona wivu jpm anavosifiwa naanayoyafanya?
Njaa mbaya
Innalilah. Yaaan ktk watu wajinga huyu jaamaaa ni box kwel me najua anafahamu dini kumbe box me najua wanaoshangiria wooote mabox ....waalaah huju dogo hajui dini box kasahamu mungu anasema hao makafiri hata muwapende vip lakin wao hawawapendeni ....me natafuta watu hao
Umenena vema
WEWE WAJUA KUPIMA KWELI WAJINGA, MTANDIO WA NINI SASA BEGANI? NYANI TOKA LINI AKAONA KUNDULE?
JOHN BEK Mfinanga wewe jike una jua ni nn maana ya john kwaiyo jina lako jina jike wewe jike tulia usiseme kitu jike na kila ukisema wewe jike co john wewe jike mwenye jina la john ni rais co wewe jike
JIKE LILITOKANA NA DUME NA DUME LIKAZALIWA NA JIKE, WASWAS WAKO NN. HAPA UNAONGEA NA PHYLOSOPHER SIO MPITA NJIA. MWANADAM GANI KAUMBA ILI UJUE HILI JIKE? MUNGU ASIJUE !.
JOHN BEK Mfinanga mwache Magufuli apewe sifa nihaki yake
Shehe gan wewe unaleta uchochez na hapo ni ofisi za ccm hapo? Duo kuchunge wanakondoo tofaut na hvo upewe ukatibu mwenaz na uachie ushehe
Myuki Danny mbona walikuwa upande wa chadema maidens wanahaki kuongea siasa? Leo wanaimwagia sifa ccm tuliandika hivo hivo pumbavu wewe, hapa kazi spews sifa
Mnafiki wewe shehe mzima unapiga siasa
Acha uchochez mjinga were umeshindwa kuwatetea mashehe wanaosota katika jela bila zamana acha upumbav
Nikweli mnafiki
Halfani Hassan kweli nini? Kama wamefanya uhalifu awatete tu? Nenda kwa mkeo akufundishe kukuna kazi bwege wewe
Ismaili Saidi mash when wapo katika kinda la wahuni
Wewe shehenaaa,ukitaka kujua tafasiri ya neno Elimu nenda kwa Mtume Muhammad(swa) na sio wazungu wako
Duh kweri Tanzania inasngamia utamaduni wetu unapotea
mkutano wa chama au...,
Hujielew were mjinga tu unapiga kampeni kwa kivuli cha dini mpumbavu aunachonganisha waumini nawanasiasa
Excellent...!
ndugu zangu naomba mungu watanzania mjitambue na kujidhamini bila hila
Sheikh hongera sana, haya mambo sio rahisi kuyafahamu kama ukuhurukiwa. Ingependeza hata kama Mbowe angekuja kujifunza kwako.
Nadhani hao wanaokusikiliza ndio wajinga. Kwani ukisema kuna wasomi wajinga , ni jambo la kupigia makofi na vigelegele? Hao ndio wajinga.
We sheh nimpuuz huna sifa yeyote takua shea sula yako inaonesha w nikibaka
Njaa mbaya