Fel ghurl you need to change bana welcoming yako inabore sasa na vile mama roms kutoka kwake alikua na vibe eiyy wadoz hawataki kusumbuliwa enyewe na macameras😂 sina ubaya
Perfect combo...you, Redna and Fel. Then tuongeze your kids...just perfect👌 Fel amefanya nikaangaliwa vibaya ju ya kucheka time amesema she is jealous.😂😂
But fel though😢😢 unafaa kuchange..watu wamekuja kukutembelea ata hauchangamki si ata ungewaordea food na huko na dooh afadhali wakataange..na nyinyi mtazoea kukaa kwenu
Haki Fel changamka ulipata wageni ...mtu kukula kukutembelea nani sio mostly atlist welcome mtu vizuri 😢😢😢iyo udhi walai ...you're not a welcoming person
Wenye wanateta hapa kuhusu fel kujeni mnipige achaneni na fel banaaa 😂 enhe ako hvyo ...so mnataka aje😂😂😂 mnaumwaa maaaaan😂😂💔....aaai nyi pia ishieni achaneni na fel 😂....
Aki watu😢 Be nice ..hiyo ni Personality ya Fel ..You can see even Zoey kametulia kakiona wageni...it is inborn ..sikupenda... sometimes msee hutry but unajipata tu umenyamaza .....Introverts derive their joy when they are alone😊
Hakuna kitu mbaya fel amefanya mngeingia kwanza you talk to each other ndio you start creating content sio kufungua gate na kamera kwa face ya mtu its gives a vibe ulienda tu for content creation
Lol😂; I understand it's an "introvert " personality which is okay and we respect. I am just sharing how people like us feel weird when we are at a friend's house and they are quite.. we try to force conversation ndio we feel good/make the house lively
Thank God redna was there' otherwise cjui wambu angekuwa anaongea na Nani since mwenye nyumba nikama ameboeka 🤦♀️😅
Wambo kindly nijibu...hiyo sound imeanza kwa video song ni ya Nani ama inaitwa aje...have been longing to know the song
Felicity is that how you welcome visitors yawa😏i love you but hapo haujanibamba
Mimi ananishangaza walai
I realised fel is not welcoming
Fel is not welcoming,eti "Mnanikaribisha na cameras"
She's so unwelcoming and boring,hii friendship mnaforce issues
Felt the same too 😩😩no vibe at all
For real
Me too ,aki,Hana vibe hata kidogo
I saw that as well.wawache kuforce hii friendship Walai
Walai n ukwel
Fel ghurl you need to change bana welcoming yako inabore sasa na vile mama roms kutoka kwake alikua na vibe eiyy wadoz hawataki kusumbuliwa enyewe na macameras😂 sina ubaya
Was looking for this comment.
Ata watoi wenyewe hawamtaki kabisaaaaa
True welcoming yake haiko poa
True welcoming yake aiii ziii😢😢😢
Perfect combo...you, Redna and Fel. Then tuongeze your kids...just perfect👌 Fel amefanya nikaangaliwa vibaya ju ya kucheka time amesema she is jealous.😂😂
Tupitiane guys we grow together
Nipitie pia please nimekupitia
Done npitie
@@NaomiiMwitodone ✅ nipitie pia
@@eunicembithadone nipitie pia mimi
@NakuruCornerdone nipitie pia
Weeh fel 😂😂😂😂na kukaribisha wageni hajui soo cold welcome
Ashley wacha kuforce baki na ngigi na Georgina
Yeah true like she is forcing
Weeh wambui nikaa fel hapendi wageni
Kids also know, when they are at a new place, l can't wait to see this guys at five years ❤❤
Fel weee utaki wageni ama ..
Sijaona anytiing wrong ako tu sawa...kwani mnataka arukaruke
😂😂😂Aii atleast achangamke.
I deal with kid's hair salon,,mtoi akiachwa na mamake anaweza songwa ata na 30 min but mom akiwa around we can spend the whole day there tukizunguka
uko wapi umisongee wangu
I agree with that
Are you mind your own business 😂
😂😂😂😂😂aiiiiii hizi n gani
It's good to be together love you guys.but fell hayuko sawa anakaa kuboeka xana
Huyu fel wah niede kwako unipokee ivo narudi tu my wambui nakupeda sana n our babies nisiwai waona uko tena
Walai 😮
Ushasema😂😂😂😂
Fel is not welcoming
Nikaambiwa shika hii 1M utuambie roman n mgani na rommie n mgani may b mungu anisaidie kungez😂weuh it's so hard for me
Roman ni kanono kuliko rommie
Na mimi sioni ubaya ya Fel apa leo...wueh kuwa celeb inahitaji roho ya chuma aki😂😂😂
For real they look alike kabisaa my namesake I tell you n I love you gals incase mkue na job ata kaa ni househelp kindly give my siz the chance kindly
So cute wakiwa wote watatu😊😊
Hi dear naomba unisupport pia I'll appreciate it so much 🙏 ❤
Aki fel weuh your welcoming skills ziko poor,next time check on that mtu hadi aneza kosa kurudi tena.
All the same the kids wanakaa poa sana pamoja
huyo sister Fel ni KEKI.. MALI SAFI
Kwani ni mimi peke yangu naona Fel hajafanya kitu mbaya😂💔mkuwe serious sasa
But fel though😢😢 unafaa kuchange..watu wamekuja kukutembelea ata hauchangamki si ata ungewaordea food na huko na dooh afadhali wakataange..na nyinyi mtazoea kukaa kwenu
😂😂waache matembezi😅
Eti na nyinyi mzoee kukaa kwenyu 😂
😂😂😂naisha mimi
Fel hivo ndo unakaribisha wageni😂😂😂😂😂😂kuboeka nayo
Now she will understand what. Georgina felt 😅😅😅
We nawe kila kihii got me down....kulea boys si mchezo 😅😅😅
Hiyo jina hunimaliza😂😂😂😂
I quess fel aliboeka juu ya cameras and maybe she wasn't told before.
Cameras gani huyu mjinga hajui... She's has been on cameras si ati ni mtu hajai kuwa
Aky ww 😂😂😂@@karenkiki4553
Haiyaaa,,,😂
Roman ameona kadem kake sasa anajifanya kulia ati anafunga macho
Siezi enda tena..not welcoming at all..this is like forcing issues 😢
Utaenda aje na huwezi itwa😂
Uzuri hakutambui😂😂💔😭
😂😂😂
@@nancywairimu7149😂😂😂
😂😂😂😂😂@@nancywairimu7149
I don't see an issue with Fel she's an introvert and so kind aki..the twins are stunning 😍😍
Felicity usikue ivo
Kitambo fel was lively wakianza kudate na pluto bt nkama sikuizi ndoa is not ndoaring anymore maybe something is bothering her.
My thought too
Wambo are you sister to Mulamwas wife???
Twins are so jovial I like their characters unlike Zoey sa mbona ujam na umetembelewa😂
Kwenda huko kwani huoni huyo ni mtoi matured lady nkt
Mtoi matured you say😅😅😅😅@@MARIONMUGONO-h2q
Redna hautakikani hapa huyu dame sio mzuri Maringo utashushwa tu
@@damariskanini3376 so unataka ambembe na baby carrier ndo ujue anampenda
Felicity hapendi kubeba watoi😂😂. Second time sijamuona akiwashika. Anashika tu Zoey 😂
Mbona huendi na Rebecca huyo mwingine adi last time church but she is shy😢
Mob love❤
Subscribe please
Yeye anapenda kukaa tu home
PITIA MKÜÜ 🤜🤛
Fel hakufurahia wageni
Mimi siwezi enda huko,,,so boring 😢
These children should have their own channel,stop milking children
Hawakupewa food 😮just soda...
Hata kufungua gate ilichukua time😂
Fel haleti any vibe..it's like ako forced alafu Ako na attitude about Redna akianza kutaja Aimee
Haki Fel changamka ulipata wageni ...mtu kukula kukutembelea nani sio mostly atlist welcome mtu vizuri 😢😢😢iyo udhi walai ...you're not a welcoming person
Wageni wenyewe hawateti😅
Kuna Fel kuna wwe ngoja wageni kwako
@@ruthngendo6414 Me I'm a welcoming person...usini lete....fel nampenda lakini iyo welcoming ndyo ilini booh
@@nancywairimu7149 🤣🤣🤣🤣🤣🥰Eti sisi ndyo tunateta
Khai bona fel ako soo boring ☹️☹️ uyu n kama apendi wageni
Kumbe pia wewe umenotice😅😅😅
@@JaneGathii-yn2uy 😂😂
Felicity unawelcome wageni aje huyu dem aaah ata kama wewe ni tajiri welcome wageni vizuri
It has nothing to do with richness or poverty am poor and this is exactly how i do behave
Mbna felicity akaa kuboeka nikama haja furahiya
Cute wote wakiwa pamoja
Ulizeni redna mbona alipost video moja akatulia na venye tumesubscribe
Cuties babies ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Redna ❤we love you
Waiting ❤ nipitieni nitawapitia
Pitia
Done ❤confirm it pia nipitie please
@@KikuyuvibezDone pia nipitie confirm it❤
Ok
@@Kikuyuvibez u too pitia
This is her personality sasa mnataka ajiwekee character yenye sio yake Fel don't mind them coz haters will always hate.
Cute and healthy babies ❤,,,nipitieni guys
Name of the song please
Girls are expensive Ashley....
Pia mimi amenibore, sijui ni maringo su ni nini
Weeee,hakuna lunch🤣
Cute babies❤❤
❤❤❤❤ great
This happy kids wanafaa kutaftiwa advisement hatakama niya pampers ama baby jelly they look wow
Cutie babies❤❤❤❤
Tupitiane guys
But fel ako bored or ni personality
Fel mgeni ni kama river anapita tu uwache iyo attitude kabisa...
Akh these twins are kioko's duplicate
Amazing twins ❤❤👏🙏
Wenye wanateta hapa kuhusu fel kujeni mnipige achaneni na fel banaaa 😂 enhe ako hvyo ...so mnataka aje😂😂😂 mnaumwaa maaaaan😂😂💔....aaai nyi pia ishieni achaneni na fel 😂....
Hawajui Fel hajui kuforce issues
@@MARIONMUGONO-h2q vile inafaa
Waiting❤❤ nipitieni nitawapitia pia
Anza
@@Kikuyuvibeznimekupitia
Thanks nimekupitia pia
Done confirm it❤ pia nipitie
Nmekupitia nmpitie
Fel is not a vibe
Waiting ❤
Subscribe please
Was the visiting a surprise??
I don't see any problem
Genz Mlisema hampikiii wageni 😂😂😂😂 wacha nikae kwangu😂😂 Ata chai mandazi
Labda they didn't show that part akii😅😅
Btw nikama hatukuli huku😂😂
If you're not an introvert huezi understand Fel 😂 but I like this video
I thought of commenting the same coz I understand her
Ama Kwa pritty vishi 😊😁
Walai mtu anaeza dhani hataki wageni 😂
Aki watu😢 Be nice ..hiyo ni Personality ya Fel ..You can see even Zoey kametulia kakiona wageni...it is inborn ..sikupenda... sometimes msee hutry but unajipata tu umenyamaza .....Introverts derive their joy when they are alone😊
Enyewe
Tell them
Tell them juu hata dadake Michele akija yeye hukua hivo hajui kuforce issues
Sure
If marriage is not working well someone has no energy to welcome visitors.some marriages works well on cameras
Weee hii nayo umeoverthink😂😂😂😂
Wah jamanii😂😂😂
Nimewatch video mzima nione ubaya wa fel vile mnasema na sijaona any ubaya........wacheni kuview na wivu akh
Watu wako na makasiriko huku we
Y'all won't understand fel if you're not an introvert
Hakuna kitu mbaya fel amefanya mngeingia kwanza you talk to each other ndio you start creating content sio kufungua gate na kamera kwa face ya mtu its gives a vibe ulienda tu for content creation
Lakini hiyo gate mmekaa kabla ifunguliwa
Kiokos family 🙏 are so amazing 😍...wambos keep the fire burning bbygal 😘
Fel mgeni akija kwako kwanza mwambie karibu halafu unamhaki NDIO afeel at home but vile umekuwa not welcoming at all
I also realised that,fel is not welcoming
Aki fel anareceive shopping hakuna hata thanks coz yeye huwenda kwa wenyewe mikono tupu🤣🤣🤣
😂😂😂wee amesema thanks maybe ukusikia 😢🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Alisema thanks🤣
Wueee haters jamani si amesema thanks hukuskia
Aki weee😂tuko rada sana welcome is not welcoming 😂
Wambu usiwai enda kwa fel
Huyu msichana anaona wageni anaboeka aki, hadi anasema eti "Zoey anashindwa nani hawa wamekuja kumuharibia starehe". Like seriously?
😂😂Matajiri hawapendi kukanyamgwa 😂😂unabebana na family yako mzima kuboesha watu
Fel sometimes changamka ukiwa na friends
That's her personality, unataka afanye?
@@verahshee9573 ajikaze achangamke
Kuna personality ya kutowelcome wageni😅😅
@@verahshee9573her personality kitu gani,, am also an introvert and I am wwlcoming
The reaction after kuona zoey,aki nimeisha haka kamoja kako like"run"
Wueh,ati zoe anajiuliza hawa ni akina nani wamekuja kuniharibia starehe😢
😂😂😂
As an introvert i understand Fel well it's not as if we are boring but we only feel comfortable with the people we are used to
Ati introvert 😅😅na yeye ni celeb ushai ona introvert celeb Ama ni jina introvert hijui meaning yake😅
When the house is quiet until mgeni anajikaza kubring conversation 😂
Hapo ndio mtu akirudi kwake huregret mbona alijibeba kwa wenyewe 😂😂😂
But unastahili ujuwe Fel sio talkative or hananga kiherehere
Ako tu kama mimi sipendi wageni ..i prefer nikae pekeagu
Lol😂; I understand it's an "introvert " personality which is okay and we respect.
I am just sharing how people like us feel weird when we are at a friend's house and they are quite.. we try to force conversation ndio we feel good/make the house lively
Siwezi rudi wololo
@@ellah1468Mimi nikapata na force conversations nitakata hio video na nirudi kwangu😂😂😂😂
Wachanini kueda kwa fel hapenda watu kwake at all at all
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Ata afadhali ungeeda kwa akina ruhi huyu fel sijui😢
Hahaaaaaaaa.
Ama kwa Bahatis
Haki comment section you're bitter 😮😂Kwani mnataka fel apige nduru ama😅😅😅you people are funny
Ashley unapenda Rebecca xana
Welcoming ya bb Pluto haibambiii kabisaa,mama twins Nikama umekuja uku kaa hawataki.
Sasa mnataka ajump kama masaai .fel hata dadake akija huwa hivo so ni maumbile .Muachane na felicity nkt
😂😂 Kabsaaa@@MARIONMUGONO-h2q
Nieti fel hajui kuwelcome wageni
The twins sleep sooo peacefully aaaaaw nice job mameeez
Weeeh hiyo welcoming ya fel n ya kuforce issues ako boring saana......N kama anasumbuliwa
Hakuna kusumbuliwa yeyote ye hukuwa tu ivyo
Haki ina booh sio welcoming person then akona ma attitudes
Enda basi ukaribishwe vizuri😂😂
At least Redna was there,,,
huyu hukua boring ever
Pluto ako wapi akuje sanitization huku😂😂😂😂
Wadosi hawapendi kusumbuliwa that why fel feel bored
Na si angewambia wasiende anakuanga boring
your kids are handsome i am 14 yrs one day invite me and you will see how they will love me🥰🥰🥰🥰🥰
Fel is like sasa hawa wataenda sangapi 😂😂
Hahaaaaaaa ..ameboeka sana
Hahaaaaaaa ..ameboeka sana
😂😂😂
😂😂😂 ameboeka ,,,
Hehe kabisa
Kwani kwa wadosi hakuna kukula, ama mme edit part ya kukula😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 usinichekeshe
Fel leo umepatikana.utakua trolled mpka you adress the issue of welcoming😂😂.wakenya apana