Chado na anifa mnajuwa sana nakufatilieni tangu mpo mkojani ganag .mpaka sasa nawafatilia mnajuwa sana hanifa dada angu mungu atakuongezea balaka .by south africa .cape town
Mganga alikosa Vitu zingine cha kuweka zaidi ya kifuniko cha juices kichwani ila vijana tuwe makini na utafutaji wetu riziki zetu ngumu mno tunapitia changamoto mno
Binafsi nahisi bora kuwa maskini mwenye furaha kuliko Tajiri mwenye kuishi kwa wasiwasi kama chado ,bytheway ni picha yenye fundisho kubwa, hongereni kwa wahusika
Nipo pamoja nanyi leo naomba tuchat
Fixe
Honger kwakazi nzuri unazozifanya❤❤
@@zaitunimwandetele4400asante sana
Chado kazi yako Iko vzuri nakafatilia xana
This is my favorite episode 😅
Mbona vipande navipata baada ya cku2 inaondoa uhondo movie nzur sana
Chado na anifa mnajuwa sana nakufatilieni tangu mpo mkojani ganag .mpaka sasa nawafatilia mnajuwa sana hanifa dada angu mungu atakuongezea balaka .by south africa .cape town
Chando master unajua sanaaaa broo
Honger sana move nzuri sanaaa honger kwa kipaji
Ndadaya pepo utaisikia tu,mwenzako anajuta wew unamwambia afurahie maisha😂😂😂😂
Napenda vipindi vyako chado vinamafunzo sana mashaallah,,Acheni kukimbilia likes Tujifunze kitu hapa
Hapo ume Nena manake kira mtu anataka laki
Lete stori mista chad
Lete muv zilokua nzuri zaid
Ww ndio umesema watuu wap bze na likes tyuu 😂😂😂 jifunzen mambo apa
Chado Masta, nimeipenda apo ulipo sema umeamkaje!
Vizuri sana KBS MTU wangu
Chado big up na group lako aki hii movie 🎬 inamafunzo
Congratulations ❤❤🥰🥰🥰🫶🫶 chado na hanifa nawapenda bure 🤝🤝
Oya usitulazue movie toa kafara mambo yaende❤😂
Kazi nzuri Kaka chado masta
UKo vizur San mzee man autucheleweshei
Wakwanza Leo mlishani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Khanifah,et mdudu mende😂😂😂😂😂😂😂😂 nd wamuogop,fany ibad khanifah,hvi karibun unaend kua chzi😢😢😢
😂😂anaend kuwa chz😅😅😅😅
😅😅😅😅
Chado nakupenda sana🇧🇮
Hapa chado kaonyesha upendo mkubwa sana kwa mke wang,
Chado hicho kitu ni mkewako ndie ananyetakikana na huyo Jamaa Yani kafara umpe yeye
Nakupenda dadaangu hanifa ❤
Hanifa bana😂😂😂 ati je angening'ata,mende! Chado yani hadi huruma😢😢😢 tisa kama sita kuchanganyikiwa sio kuchanganyikiwa 🙌...pole sana
Jirani yangu alienda Mombasa baada ya miezi kadhaa bibiye akawa wazimu na hivo Tu...
CHADO MASTA Naomba hii 🎵 ringtone ambayo ulikuwa waitaji kulia ukiongea na baba
😂😂😂😂jaman Chado na mkeo mnanifurahisha ukwel mnajua sana
Niheri ukateseka na umasikini wako kuliko huyo utajiri ulioutarajia wa mkeo kuwa kicha Bora umasikini kuliko utajiri wa lazima wa kishirikina
Ushirikina haunafaida mtegeme mungu ndie tajirimkubwa anaweza kukugawia japo kidogo utajiri wake kulikoni ushirikina
Chado unaweza sana🎉🎉🎉🎉
Hongelakwakazi nzr ilapole sasa mkeo anakuwa tahila nahuo uzr wake 😢😢
Kweli kbc mmetisha sana ila kama kuna nafasi ya maigizo mnicheki jamani
Ongera kak chado unaweza❤️❤️
Nawakubali Sana jmn
Ila ngadaya ananifuraisha 😂😂😂
Good job chado from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Iyi Ina nionesha maisha ambayo tuna pitia bila kujuwa
Mganga alikosa Vitu zingine cha kuweka zaidi ya kifuniko cha juices kichwani ila vijana tuwe makini na utafutaji wetu riziki zetu ngumu mno tunapitia changamoto mno
Dahh chado hii move kali sema mnachelewa kutuleta machoni mwetu
Wanawahisha bana
Chado umetak utajiri umepata ila utajua ujui😂😂😂🇰🇪🇸🇦
❤❤❤kazi nzuri sana🎉
Uko vizuri sana chado
Ni heri niteseke na ufukara wangu... ila mambo ya kupita njia za mkato mtu unakuja kuuponza bure📌🔥🔥🔥
Mambo gani haya sasa umpige tena mkeo viboko😢😢😢 dah adi huruma
Namuhurumia mume wa anifa masikini yawapata wg haya kz nzr keept up
Kwa hakika tumejifnza meng kupitia hii filam mashaallh
Nipeni maua yangu....... Wapi Ngadaya
Chado Master nakukubali sana wewe na kundi lako from Zambia
Tbt imara zaidi❤
❤❤❤❤❤nawapenda sana
🎉🎉 unajua sana
Leo nimewayi 💯🏃😊
Kazi nzuri sanaa
Hapo sawa boss wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
Nzuri sana ❤🇹🇿
Mpo vizuri sana
Yani nifa anajuwa kuuigiza sana chado mwisho wa maneno
Mwisho nomejikuta nimeceka kwajinsi chado amecanganyikiwa kwa mkewe kuwa cizi Anifa nae anamuona kama cizi naye ndo karibu awe cizi😂😂😂
Hii kiswahili ya wapi😂😂😂
@@AshulaMbola😂😂😂ovyo kbs
Na wapenda sana tena❤
Movie nzuri inafundisha sn
Gabriel nikiwa Kigali Rwanda nawapatavizuri
Chadomaster hiiii nymboo fany mzee tuipat naona n kaliii
"Kuna changamoto kweny dunia*
By rama masame napenda kazi yenu team chado I like ndo napenda
Big up sana Mr chado kwa elimu hiyo
Wow kazi safi
Hongel brother kwa kazi mnzur 💯💯🇹🇿
Binafsi nahisi bora kuwa maskini mwenye furaha kuliko Tajiri mwenye kuishi kwa wasiwasi kama chado ,bytheway ni picha yenye fundisho kubwa, hongereni kwa wahusika
❤❤ ongera muvi mzuli sana love you chado
Ndagaya ana sura ngumu
Chado anamsimamo Kwa mkewe
Kaz nzur chado ❤❤
Wakwanza eti Mimi jaman
Chado ni heri ugelibaki vilevile maskini na mungu agekujalia utajiri wa halalikulikoni hivyo ulivyo Fanya mkeo kuteseka
Hanifa kawa msukule duuh
Weeee bora nibakie umaskini wangu hiii maisha apana
Unajitahid San broo
Movie iko vizuri inafundisha sana
Kaka wew fundi broo😅😅
Mbona muna nililisha hivio jamani 😢 Nime penda sana hoyi épisode 😊❤
Tuko pamoja Kaka mkubwa Chado Kazi nzuri
Chado uko sawa pamoja na team yako
Kongole kwenu, nawapenda sana
Love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
Nipeni like kwajili ya chado master
uhkk bro p1 sana
Nyie hya mambo yapo ujue jmn😢😢😢
By jembe wakwanz mm. Liki zangu
Mr vitusi
napenda nijiunge na nyiee jmn
Nakubali kaka
Kazi mzuri 👏👏👏
Hongera sn kwa kazi nzuri chado
Maisha mazuri yenye furaha 😂😂😂 😁😁😁ndio hayoo 🙌
Kale kamsemo tu nakapenda tenaaa
Ongel sana
Nawapenda sana kazi m'zuri 💪
Movie zako nzuri unakaribia kuwa ngoma nagwa
❤❤❤from Burundi
Nataman kuigiza😢
Siyo.kukukaraisha nifa ni itakukiraisha
Nakupenda chado masts
Chado mambo bro
Kazi mzury
Tunakbar saan mana hutucheleweshe kbx
Chado master nomaaah