Lowassa afunguka, ampongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Siku moja baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya Kamati ya Uchunguzi wa madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi lee June 13, 2017 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa amekutana na wandishi wa Habari na kutoa ushauri kuhusu ripoti hiyo…

КОМЕНТАРІ • 277

  • @gabrieljoseph4409
    @gabrieljoseph4409 7 років тому +16

    sela za ccm.ambazo nawe ulihusika kuziandaa;rais wenu huyoo ambae nae rais wake ni magufuli..

    • @emmanuelmsigwa714
      @emmanuelmsigwa714 7 років тому +4

      Kweli kabisa naye anahucka namadudu haya yamadini awadanganye wajinga.

    • @chriscomedian4141
      @chriscomedian4141 7 років тому +3

      tatzo la huyu mzee ni nini hapo mbna sijawaelewa ,,,,,povu lina watokaaa
      bila sababu ya msingi

    • @muhengavission8344
      @muhengavission8344 7 років тому

      makeke%vp

  • @matalusaguda6455
    @matalusaguda6455 7 років тому +2

    Hongera sana,Mtu asiye haki na Ache mawazo yake,na Mungu atamsamehe.JPM piga kazi

  • @alexndermakoko8972
    @alexndermakoko8972 7 років тому +14

    wewe ndo ulikua kene uongozi sasa unasema wapinzani waliongea wakakataliwa ni pamoja na wewe ulikuwa mmoja wapo mpinga hayo

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 7 років тому +1

      Alexnder Makoko ulipokuwa wazir mkuu mbona uliwaponda wapinzan,,,,ndo walio liamsha la Rich Monduli,,,,Richard mtoto waako,,,,,,sasa hvi ni kidole na pete....Mwalimu kusema mpinzan wa ukweli hatatoka ccm ndo Magufuli huyo....

  • @francisshimbala1629
    @francisshimbala1629 7 років тому

    Ilitosha sana kumpongeza tuu Jembe JPM, Jamaa anapiga kazi na yuko vizuri

  • @myahudi6951
    @myahudi6951 7 років тому

    Nmekuelewa sn Lowasa
    Mwenyez mungu akulinde

  • @edwinmalangalilaidolchanne5619
    @edwinmalangalilaidolchanne5619 7 років тому +14

    duuu nice mzee

  • @alexlyova5115
    @alexlyova5115 7 років тому

    MY PRESDAR..... ASANTE SANA MH LOWASA.

  • @annamhanje3167
    @annamhanje3167 6 років тому

    Lowasa uko vizuriii mpongeze mwenzako Kwa mazuri anayo yafanya mwenzako huo ndio umojaa

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 7 років тому

    Emmanuel mwinguluka..... kama uoni siwezi kuzamisha uone lakini wenye akili timamu tunaona ni mkombozi wetu..... poleee sana.......

  • @ntagomegwamarlius9727
    @ntagomegwamarlius9727 7 років тому

    my president God be with you

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 7 років тому +20

    lowassa maneno maneno hatutaki mwache mkombozi wetu apige kazi... hiyo kazi usingeiweza wewe ni mpiga dili sana nani asiyekujua unafiki atuutaki kbsa!!!!

    • @deogratiusminja2302
      @deogratiusminja2302 7 років тому +4

      choko ww hakuna mema ndani ya ccm leo mnatumia Ilana ya upinzani

    • @emmanuelmwaiguluka889
      @emmanuelmwaiguluka889 7 років тому +3

      Juliana Masunga labda ni mkombozi wa familia yako kama ni mkombozi kwanini bidhaa ziwe bei juu ukianzia na sugar

    • @moseswilliam1854
      @moseswilliam1854 7 років тому +1

      hehehe Mungu atusaidie Watanzania kwakweli duh

    • @josephphilipo9431
      @josephphilipo9431 7 років тому

      jaman siasa itabaki kuwa siasa.

  • @isdorimoshi7820
    @isdorimoshi7820 7 років тому

    mzeee lowasa anamuelew Mr president.... congratulation

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 7 років тому +6

    Hapo zamani alikuwapo Huyu; naye Huyu alikuwapo kwa waleee, na Huyu alikuwa....... kila kilichofanyikaaaa; Hata Katiba mpya aliipinga.

  • @neemamrosso9800
    @neemamrosso9800 7 років тому

    congratulations honourable Lowasa you are our political model.

  • @mcwaya
    @mcwaya 7 років тому +31

    Lazima ampongeze kwasababu haitamuacha salama...

    • @jumamakuri3218
      @jumamakuri3218 7 років тому +2

      George Waya
      Amenoa haya akijikomba JPM lazima awatumbue mawaziri wakuu 2 yeye na mwenzake. Anajijua.

    • @mcwaya
      @mcwaya 7 років тому

      Juma Makuri kweli kabisa,hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe

    • @joshuanyonyi8820
      @joshuanyonyi8820 7 років тому

      George Waya haponi kwenye mziki wa Jpm,,,,ataamini,,,alafu na sumaye haponi haponi,,,,wote tumbo moto,,,,sasa Jpm akilikumbushia la Richmond,,,,hapo simu yangu macho,,,yangu jicho

    • @mcwaya
      @mcwaya 7 років тому

      Joshua Nyonyi kweli kabisa kaka,tusubiri tuone mwisho wake

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 7 років тому +1

      Joshua Nyonyi kweli pamoja na kikwete na mkapa apo uko vema

  • @haitumikitena4978
    @haitumikitena4978 7 років тому

    lowasa yuko sawa nakupenda Mzee wangu wacha magu atekeleze sela za ukawa

  • @kojjofoloza5696
    @kojjofoloza5696 7 років тому

    Mzee busara yako ni nzuriiii hongeea

  • @michaelkasebele7168
    @michaelkasebele7168 7 років тому

    safi mzee wangu nimekuelewa sana

  • @livingstoneurassa4949
    @livingstoneurassa4949 7 років тому

    katika maisha ni vibaya sana kuwa mnafiki. unafiki huo utapotea na wengi

  • @franknyant51
    @franknyant51 7 років тому

    huyu Mzee nimemuelewa sana kuliko TL anaejenga hoja zake kwa kejeli!
    EL kaeleza namna tunavyoweza kuepuka kuingia kwenye matatizo!!! safi sana babu!!

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 7 років тому

    kwakweli mweshimiwa Lowasa nakupenda kwa Busara ulizonazo..kwenye ukweli unasimamia kweli kweli

  • @mazeejohnie
    @mazeejohnie 7 років тому +5

    amesema ukweli wake wote aliposema tatizo ni sera za ccm. maana sera ndio chama. mind you! wanapopita kuomba kura huwa wananadi sera za chama, sera hizo ndizo hutumika watakapounda serikali. unfortunately sera zetu kama nchi kwa sasa zimesimamiwa na zimekuwa zikisimamiwa na ccm maana wao ndio sera zao inasemekana huwa zinashinda kwenye uchaguzi kwa miaka 50+.
    Sasa yeye ni mpinzani maanake yupo nje ya sera za ccm. Hana kinga yoyote maana hayupo serikalini.
    Ametaka iwe collective responsibility yeye akiwemo kama atapatikana na hatia.
    Hii vita sio ya chama ni vita ya watanzania, inatupaswa kusimama na kusema lugha moja sote. Ndio iwe ndio na Hapana Hapana.
    #katiba Mpya. Tanzania Mpya#

  • @jenifaelenest2735
    @jenifaelenest2735 7 років тому +3

    jaman mzee wa watu hana makuu na watu lakin wanaslccm wanamchafua tu

  • @abelmwanshinga4139
    @abelmwanshinga4139 7 років тому

    Abel mwanshinga nimependa Sana ukweli wako lowassa mungu akubariki

  • @danielmakundi4187
    @danielmakundi4187 7 років тому

    Walau wewe ukizungumza huwa nasikiliza maana kama ni kukosoa unakosoa kwa njia sahihi na kupongoza unapongeza kwa dhati pasipo kujali jambo limetendwa na kiongozi gani, cha muhimi ni Utanzania wetu na maslahi ya taifa letu. Mungu akubariki

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 7 років тому

    Tunamshukuru Mungu, ww Mzee kupigwa chini kwenye uchaguzi!vinginevyo baada ya Richmond, nchi ingeuzwa.

  • @deedee3614
    @deedee3614 7 років тому +2

    hivi kweli wewe ndio ili kuwa uwe raisi??? Namshukuru Mungu alietuepusha kwa hilo. we needed a strong man (kwenye maamuzi na kiafya) kama magufuli. wewe pumzika tu. huo ushauri wako ulishindwa kumpa kikwete ndio leo hii umshauri magu? leo hii ndio unazungumzia mikataba? eti ni sera za CCM,we si ulikuwa huko? hatutaki unafki saa hizi..

  • @mtindamtinangi6430
    @mtindamtinangi6430 7 років тому +5

    hujasikia akisema wabunge huwa wanapiga kura kutimiza sera za chama lawama wapi Sasa hongera lowasa

  • @marcosabun4774
    @marcosabun4774 7 років тому +4

    Uzalendo haujifichi"""

  • @josephloy2841
    @josephloy2841 6 років тому

    huyu ndio kiongozi,hana bifu na MTU Lowassa safiii,

  • @gediusgervase2731
    @gediusgervase2731 7 років тому

    aaaaaaaah,huyu mzee aache ujinga bhana,unafiki mwingi

  • @simonsimumba7887
    @simonsimumba7887 7 років тому

    safiiiiii

  • @erickassey3939
    @erickassey3939 7 років тому

    Watu wanaanza kujihami mapemaaa , Siku zote ushauri huo uliuficha kwa nini ,Au na wewe ndo wale waliotajwaaaaaa ..

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 років тому

    safi sana

  • @ellyms5581
    @ellyms5581 7 років тому

    AAA jamani Mimi amenifurahisha kumpongeza Rais .....walau anaonyesha uzalendo sio Li Lisu limeniudhi Mimi haya sasa wenzie wote wapo kinyume naye....Lowasa mwaya rudi nyumbani tufanye kazi

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 7 років тому +1

    Hata sijui. Sasa nitasema nini!?

  • @namindipeter8329
    @namindipeter8329 7 років тому

    Mzee wa busara Mungu akubariki xana

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 7 років тому

    wewe many we theboss @Usiseme rais wetu kipenzi wa watanzania sema rais wako wewe na mke wako. uache ushabiki.

  • @alexndermakoko8972
    @alexndermakoko8972 7 років тому +7

    hauna busara unafiki tu

    • @chriscomedian4141
      @chriscomedian4141 7 років тому +6

      hapo unafki upo wapi kama kampongeza mwenzie .......................katoa ushauri tusirudi kwenye lile tatzo kama la samaki

    • @jumamussa7061
      @jumamussa7061 7 років тому

      Alexnder Makoko

  • @marcosabun4774
    @marcosabun4774 7 років тому

    Hivi Lowasa ni Mpinzan jamn??? Au Ccm B??

  • @ibrahimkhamis1862
    @ibrahimkhamis1862 7 років тому +6

    umeishiwa ww lowassa huna uchungu na nchi hii

  • @mkwechemedy9929
    @mkwechemedy9929 7 років тому

    Watanzania kwenye mpira wao ndo makocha wamidomo kwenye siasi pia yani kila mtu anajua kuliko mwenzie ndomana nchi aiendelei 7bu ukisikia tu unaanzisha zogo kisa umesikia na hutaki kueleweshwa....sasa kuna kuna watu wamejitokeza kupinga na kukosoa kauli ya lowassa na kuna wengine wanapinga uwamuzi wa Rais ndo nyie mnae panga kikosi cha mpira kwenye vijiwe kila kitu mnakijua acheni izo mambo

  • @azizshaban45
    @azizshaban45 7 років тому

    kwa mara ya kwanza namuelewa mr liwassa hapo ndo ukongwe wa siasa unapo onekana HONGERA BABA

  • @gurustudiostv9956
    @gurustudiostv9956 7 років тому +1

    Eti anayewajibika ni rais..? Umesema waziri mwenye dhamana "analishawishi" baraza la mawaziri ili likubali yanayoelezwa na waziri nusika, sasa ni hivi; rais anafanya kazi kwa kushauriwa na hao wote aliowataja Lowasa. Kwa kuwa Rais anafanya kazi kwa kushauriwa na baraza la mawaziri so 98% chochote alichofanya rais juu ya hayo ni kutokana na kushawishiwa na baraza lake na kwa hivyo anayewajibika kwa hili si rais tena ni baraza la mawaziri pamoja na idara nyingine za sheria. Watu wasimuingize Kikwete katika hili kwa ujanja wa kutaka kutuaminisha kuwa ni jambo gumu, hapa kikwete hausiki kwani yeye hakuwa anafanya kazi kama MFALME. Mawaziri waliohusika ni lazima wale matapishi yao...!! Rais si mtaalam wa madini, rais si mtaalam wa sheria, rais si mtaalam wa Uchumi wa taifa, rais si maraika mwenye jicho la unabii ambapo angeweza kuona akila baya na jema lijalo mbeleni pasina kusaidiwa na idara zake husika. Pumzika KIKWETE, sisi tutapambana na hawa waliokupeleka chocho. #Tuna Muda Mfupi wa kukiona kijani kikavu, bali tuna muda mrefu wa kukiona kijani kibidhi kilicho nawili. VIVA JPM

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому +5

    Mwanadamu ni mnafki sana.
    watu wamewahi kushika nyadhifa za juu na hawakufanya chochote

  • @barakamweta9958
    @barakamweta9958 7 років тому

    wewe siulikuwa waziri mkuu, mungu tusaidie. rais walete maraisi wote wawojiwe
    wazamani.tukopamoja.

  • @mohammedhimba6490
    @mohammedhimba6490 7 років тому

    Wakati karamagi anasaini mkataba na Buzwagi Uengereza Erdward alikuwa Uengereza na alilala hoteri moja na Karamagi na akae ajue JPM tutamuongezea vipindi vitamo vya miaka mitano mitano

  • @igilimawitandayi7421
    @igilimawitandayi7421 7 років тому

    na bado ninyi nyote ni ccm bila kujitambua mnafanya ushabiki tu Wa chadema "CCM"Juu

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 7 років тому

    😂😂😂😂 hili Sunami litakwenda na wengi vip kupanic?

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому

    We ndo ulikua huko mda mrefu huko ccm kwa hiyo huna lakuongea

  • @januaryjulius9821
    @januaryjulius9821 7 років тому

    thats gud man

  • @glorykweka6846
    @glorykweka6846 7 років тому

    Uyu mtu anaakili sana kuvunja mkataba kuna gharama zake ,na kila jambo utaratibu lazima ufuatwe

  • @nurukimu7872
    @nurukimu7872 7 років тому +1

    Tukaneni sana ile magufuli hana mpinzani huyu ni mkombozi 2020 mtashuhudia

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 7 років тому

    Lowasa utaendelea kupongeza tu, mpaka hapo utakapotumbuliwa, umepona almas na dhahabu bado Tanzanite, wanyamapori na misitu, hata huko ukawa utatumbuliwa tu.

  • @michaelchitto9698
    @michaelchitto9698 7 років тому

    Muwe mnaelewa Wazir hawez kusain mkataba wowote bila Rais wa Inchi na ndio maana mnaona hata mikataba ya ndege barabara flyover yote hiyo haiko waz, wakulaumiwa ni marais co mawazir.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 7 років тому

    Mr prizidenti anacheza ngoma ya ukawa pembenpemben namshauri asione aibu aingie kati alisakate ngoma la ukawa linachezeka kwa staili uiwezayo iwayo yote

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 7 років тому

    Jamani tuckurupuke hapa kuna jambo mm naangalia tu..wacha tuone na tuombe kheri

  • @saulmwakyusa1001
    @saulmwakyusa1001 7 років тому

    mtakubali tu magufuli ni jembeeeee sema pamoja nagusia yote haya anko magu MAISHA magumu sana kitaaa

  • @gezaulole7988
    @gezaulole7988 7 років тому

    yeye anajitoa eti duh tz Kuna vivutio vingi sana vya utalii

  • @likeclikec882
    @likeclikec882 7 років тому +1

    Huyo ndo LOW-AS-SA.

  • @borderitdaressalaam4395
    @borderitdaressalaam4395 7 років тому

    mzee kali hali mbaya...umemsahau hata Tundu Lissu?

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 7 років тому

    Jamani, #Lowassa kanena yamsingi...

  • @mrgwantanamomrgwantanamo4733
    @mrgwantanamomrgwantanamo4733 7 років тому

    Naona unatafuta kiki kwa mweshimiwa unataka ukuu wa mkoa nini

  • @michaelcanisius1615
    @michaelcanisius1615 7 років тому

    peoples power skitak hata kukisikia chama cha wachaga viongoz wote Wa juu ni wachaga du hataree xana

  • @damasyngaga7308
    @damasyngaga7308 6 років тому

    Jamani panapo takiwa kupongeza, pongezi sio kila jambo kupinga huo ndo ukomavu wa kisiasa, mtu akifanya vizuri opongezwe, haijalishi ni wa ccm au chadema, mtakomaa lini kisiasa jamani.

  • @joohcloudy738
    @joohcloudy738 7 років тому

    lowassa mzee wa busara miaka mia ntakukubali....anayekukataa hana akl....anahitaj elimu elimu elimu

  • @nicholausn.bundala6600
    @nicholausn.bundala6600 7 років тому

    Mh, mbona hatukuelewi kipindi madudu haya yanafanyika ulikuwepo tena ulikuwa mtendaji mkuu wa selikari mbona haukuyasema haya unayoyasema ulifanya nn kuzuia yasitokea au ndo kutafta kick!!!!!

  • @hamissrajabu6730
    @hamissrajabu6730 7 років тому +5

    Achaunafiki ulikua waziri mkuu mbona hujawahi hats kusonta kwa kidole Leo unajifanya kuongea ujinga nyinyi ndio mnae mtesa magufuli kwakufanya kazi ngumu mngekua wazalendo hii nchi isingekua hivyo

    • @ramadhanathuman6140
      @ramadhanathuman6140 7 років тому

      Hamiss Rajabu magufuli jembe werowasa,tundulisu wajingatu ulikua wazili mkuu inamaana,ulikua haupi ushauli jk?au umbea!!watanzania tume wachoka,upinzani bilayaakili si upinzani!!amakweli nimeamini kama huna akili zakuzaliwa,hatausome wapi buretu'.!

    • @jastintimoth6485
      @jastintimoth6485 7 років тому

      Ramadhan Athuman sasa wewe ramadhani kati ya wewe na lowassa nani mjinga? maana wewe atakuandika tu nishida! umeunganisha maneno yaan duh!!!!!

  • @richardnelson2281
    @richardnelson2281 7 років тому

    May God bless him pakusifia unasifia pakukataa unakataa simple mathematics tatizo wajinga baadhi huwa hawaoni wao ni kelele za vyura madenge...

  • @husseinjejeleje6585
    @husseinjejeleje6585 7 років тому

    lowasssssa viva

  • @michaellukas3914
    @michaellukas3914 7 років тому

    sawa lowasaaa

  • @calvinmorgan66
    @calvinmorgan66 7 років тому

    katiba mpya ndio solution ya haya yote

  • @tatunaally1510
    @tatunaally1510 7 років тому +1

    sela za Ccm na ww ulikuwa ccm we mzee ww

  • @bkcommwantwebe2208
    @bkcommwantwebe2208 7 років тому

    katoka wapi we we mbaba tyu use riport

  • @hassanlengesela2390
    @hassanlengesela2390 6 років тому

    mmmh Lowassa!!!!!!

  • @newworldremmy3334
    @newworldremmy3334 7 років тому

    saws baba

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 7 років тому

    Lowasa umemtuma Lisu apinge ili uone upepo wakutokea? Lisu tumemgomea sasa umetokea lango la kumpongeza Rais !!!!! unaakili sana Ila Lisu umemweka rehani ....ss tuko na Magufuli toka 5/11/2015

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 7 років тому

    ndugu mlifanya nini kipindi cha jk..?

  • @boazjohn2017
    @boazjohn2017 7 років тому

    mzeee mbona unaleta mrorongo au unapongeza magufuli alisema kama mtu umemkuta na kosa live hizo protocal za nini mzeee

  • @chachamarwa5857
    @chachamarwa5857 7 років тому

    aaaaaa lowasa unataka katiba mpya wew......umenichekesha san

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 7 років тому

      Chacha Marwa ww unapenda sana katiba inayoruhusu mikataba mibofu

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 7 років тому

      Chacha Marwa ww unapenda sana katiba inayoruhusu mikataba mibofu

  • @philipomduma2690
    @philipomduma2690 7 років тому

    Guilty of consciousness.

  • @maajaliwacassim1977
    @maajaliwacassim1977 7 років тому

    kweli rais akifanya vizir pongezi zinamuhusu poa baba umekomaa angekua mwingine angepinga pia

  • @jumamakuri3218
    @jumamakuri3218 7 років тому +26

    Lowasa hana busara yoyote yeye ndiye mpiga deal wa 1. Haya hii mikataba anahusika hata kwa kushawishi kusainiwa. Huu ni umbea tu hana lolote, hafai hata kuigwa.

    • @bongotrendingnewsbtntv8311
      @bongotrendingnewsbtntv8311 7 років тому +1

      ashasema mpelekeni mahakamani sio kuimba taarabu kila siku

    • @chriscomedian4141
      @chriscomedian4141 7 років тому +2

      hana busara kivip n nn kibaya kaongea hapo

    • @jumamakuri3218
      @jumamakuri3218 7 років тому +8

      Chris Comedian
      Anaongea umbea tu, amekuwa madarakani muda wote wa maisha yake tena top figure. Tena nahisi kichefuchefu.

    • @emmanuelmsigwa714
      @emmanuelmsigwa714 7 років тому +5

      Kweli kabisa mwanangu .anabusala gani huyu.amejaa tamaa kilasekta.

    • @chriscomedian4141
      @chriscomedian4141 7 років тому

      ha ha ha haya bwana maana naona hamjamuelewa huyu mzee

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 7 років тому

    wapinzani tunawajua sio ww, ulipochujwa ccm ndo ukajua chadema wapo!!!

  • @masubenjamin4880
    @masubenjamin4880 6 років тому

    raisi tumbua huyo asijipendekeze fanya kazi yako kuazia Leo nahamia kwa mangu

  • @ramadhanimagela6514
    @ramadhanimagela6514 7 років тому

    Msimukumu mtu bila kujua au kwa kuskia.

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 7 років тому

    😂😂😂😂 ni bora ungekaa kimya katiba mpya ulishika bango kuikataa leo hii kawa mkavuuu shikamoooo JPM

  • @Manjanjagara
    @Manjanjagara 7 років тому

    ndo siasa hyo mjomba wafuate na hata mazuriii

  • @bakarimakida1145
    @bakarimakida1145 7 років тому +1

    Anae muunga mkono uyu mzee aneitwa wa hekima, kwa 100% atakuwa na mapungufu... Uyu mzee amekuwa ndani ya chama cha green toka ujana wake woote mpk leo anapoitwa mzee wa hekima.. Leo hii ako opposite amekuwa ni mkosoaji... "sera za ccm" ndio unaziona mapungufu yake leo baada ya kusaliti? SHAME ON YOU.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 7 років тому

    Katika hili wa kulaumiwa ni sisi wenyewe wananchi kwani kila baada ya miaka mitano wanakuja na doti zao za khanga, then tunawapa kura wanaenda kumega keki kipande kwa kipande... sasa keki imebaki robo eti tunamtafuta mchawi... haya sasa adhabu yenu kafukieni mashimo yalioachwa.

  • @katungenyanda6177
    @katungenyanda6177 6 років тому

    ulishajichokea kalale monduli mwache magufuli achape kazi wewe ni mmoja wa watuhumiwa wa ufisadi Tanzania ccm ni pamoja na wewe uliyezeekea huko na katiba Mpya wewe ndiyo uliyeongoza kuipinga Leo unatuambia mini tens unyamaze aibu wewe

  • @ibrahimumsukuma2860
    @ibrahimumsukuma2860 7 років тому

    hahahahaahahaha et hii vita haita muacha salama

  • @barnabasyesaya1236
    @barnabasyesaya1236 7 років тому

    Watuache kwanza watu wapo since 1980s kwenye serikali hawakuyaona haya leo analaumu

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 7 років тому

    Kwa mda huu magufuli ataonekana ndio mkombozi kwasbb yy ndio driver tunawalaumu kina Lisu na kusema nimpiga kelele tu lkn hiyo ndio kazi yake ashapiga kelele sana na wenzake kuhusu hili lkn hana hawakuwa na maamuzi wenye maamuzi walikaa kimya ila saiv muamuzi ndio kataka kutekeleza sera na kelele za wapinzani

  • @allyshame4013
    @allyshame4013 7 років тому

    Hiyi vita haita muacha salama hilo alijuwe

  • @calebgutaba6506
    @calebgutaba6506 7 років тому

    Mh kajiunge shilawadu nakushauri

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 років тому

    mi staki wawekezaji bwana, tuchimbe madini kwa sururu hadi tupate hela ya kununua mitambo ila kama mtu anataka madini aje anunu dar sokoni, ni hasira tu hizi

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 років тому

    Hunaishuu

  • @mussalucas3456
    @mussalucas3456 6 років тому

    yeye mzee lowasa aludi tu.

  • @mhandowalace2594
    @mhandowalace2594 7 років тому

    ha ha mmanyika
    lindu ndio nani ahoo nisaidien