My favorite part of the interview “ungependa kuona kiswahili kinatamba allover the world “ love that nivizuri kuwa mzalenda let us push kiswahili duniani jamani acheni lugha hii itutambulishe kama waafrica ,”one language one Africa…”
Unajua kama music inataka mambo mengi mfano posti video ile ya harmonize akionyesha range yake arafu uweke kile kipande chako ukisema kuhusu range uone mazao yatakayo kuja
There's no other online tv ambaye inaweza kunifurahisha kama sns !!!!big love chris and sky
Wa Tanzania wanapashwa kuishi kama wewe nakupenda sana Allah akuzidisheye kila lakheri 🥰
She has a gorgeous voice and a beautiful smile. The cutest
❤❤❤❤❤❤ feza we mrembo ulienda wapi
Nimemiss nyimbo zako
My feza i like your simplicity💋🇨🇩
Ravnyn Chuiii kasha kuja diamond Zuchu ❤
My favorite part of the interview “ungependa kuona kiswahili kinatamba allover the world “ love that nivizuri kuwa mzalenda let us push kiswahili duniani jamani acheni lugha hii itutambulishe kama waafrica ,”one language one Africa…”
FEZA KONDE ♥️🔥🔥 Ana akili saaana
She knows how tò talk very mature
This is being educated and civil
Feza anajua Sana kujielezea na anajibu maswali kiufasaha zaidi.
Wow harmonize amemfanya afatiliwa.,.😘😘🙌
Ni mzuri feza
Yaani vijana wa SNS nawapenda sana. Feza kaulizwa na waandishi wengi tena wanauliza maswali Yale yale but this guy asked differently. S/O
For sure man
Gud dada ana confidence sana
Sana ashakuwa presenter ndio Ana she have confidenc
Feza unapendeza zaidi ukiwa natural hilo wigi halijakutendea haki, anyway that's my opinion 😉
I love you guys
iLife so much Fezza
SnS love from 🇧🇮
Love u from 🇺🇸 ❤
Nampendaga sana uyu Kaka sana
Ni mzuri en yuko matured
Uchambuzi mzuri kinoma
I love amd enjoy
Nice one 👍👍
Harmonize kibinti kizuri hiki♥️♥️♥️♥️
Keep it up baby girl tunakupenda
Ata fika mbali akiwa honest ivi kweli , ila yeye Na konde ni sawa
Pisi ya kond
Oi naomba no ya feza nampenda kinoma
Ravnyn kasha kudanganya kimapesi😃
Jeshiiiii
Kazuri
kesiiiiii
Ila huyu mdada mzr bhna
Acha tu nikwambie ukweli ,FZ unatreand kupitia Harmon ndo ameshakupa jina na si si leo tumekujua kupitia harmo ,uyu jama anapower saana
kwa muziki kipaji hana labda ajaribu bongo’movie
Was she in big brother naija???????
Mmekula bata mkala mkala mkala mkala na makala hadi mkazoena! Nimeshika hiyo.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kwahio unamaanisha nin
Ndo ulichojia humu😂😂😂😂.AAA,jamani?
yaani mimi mwanamke akivaa wigi hata awe na uzuri gani namuona mdangaji na nusu.
Km mmi
Hhhhh
Unajua kama music inataka mambo mengi mfano posti video ile ya harmonize akionyesha range yake arafu uweke kile kipande chako ukisema kuhusu range uone mazao yatakayo kuja
Beautiful girl
Feza kumbe unakaa Ununio‼️
Feza akicheka anafanana na mama P,jackline
Kweli kabisa
Pia wanaitana twin
SnS huyu criz inabidi aongezwe mshahara
Unafanana na wolper
True
😍😍💪
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Mmh
.
Kiki hyo
Sasa mbona uyo mdada anaongea kingerezaaa Sasa sisi niwazunguy au wabongo ndipo waga mnabiaaa sanaaa
Sasa ni kingereza gani chenye huelewi jamani
Uliambiwa usisome au pamba a na Hali yk wewe wenzako wako international na wanaishi nje xo kilaa muda ndioo lugha wanayoitumia Apo xaww xo
Kasome na wewe
Sasa wewe mbna una hasira na maisha ya watu😅😂😅
Na umepatia kweli, huyu anaongea kiingereza, wenzangu na mimi wanasema kiingereza.
Was she in big brother naija???????